Kati ya ALIKIBA na DIAMOND, PETIT MAN amchagua KIBA kwenye TUZO ya heshima ''sina chuki na Diamond''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @wilfredmbussa4930
    @wilfredmbussa4930 3 місяці тому +5

    Anajulikana kambi ya upinzani ya diamond

  • @AthumaniSalimu-yw1gz
    @AthumaniSalimu-yw1gz 3 місяці тому +9

    Kuna watangazaji mpaka Sasa hiv wanamchukulia kiba kama msanii mdogo ila kafanya kila kitu kwenye usanii wake na Bado anafanya Iko siku atawaashangaza zaidi

  • @AyubuMwaikela
    @AyubuMwaikela 3 місяці тому +4

    alikiba apewe tuzo nyimbo zake zote nzuri sana anajua kuimba kama yule mwenzie ni mpiga kelele

    • @svt3
      @svt3 3 місяці тому +1

      Na huyo wa kelele ndio dunia imekubali comments-savant uliza Derulo na Chris Diamond ni nani, ukitaka ulizia Alikiba ndio uliza Petiman sababu ndio level yake

    • @AyubuMwaikela
      @AyubuMwaikela 3 місяці тому

      @@svt3 kote huko alikiba kapita Canada nitanzania ila mwezi ulio pita kajaza uwanja ko dunia ipi unaizungumzia

    • @svt3
      @svt3 3 місяці тому

      @@AyubuMwaikela ni nani tena msanii mwenye tuzo nyingi east Africa ni kumbushe ni nani msanii wa east Africa anacheza na wasani wa inje nikumbushe ni msanii gani anauza music kwenye mitandao yote ya mauzo wa mziki tuambiane ukweli

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 3 місяці тому +3

    Huyu Roja wa Carrymastory mjinga sana huyu jamaa..linabowa hattariii

  • @ibrahimjoseph3221
    @ibrahimjoseph3221 3 місяці тому +2

    Kama ni heshima apewe apewe Dully

  • @ShabanMzee-u6y
    @ShabanMzee-u6y 3 місяці тому +1

    Hii apewe kiba, kama heshima kwa africa, Jamaa amefanya makubwa na bado anafanya makubwa aisee.

  • @officiallnobystar
    @officiallnobystar 2 місяці тому

    Kiba Hanasitahiri Tuzo Ya Heshima Kumpa Mond Ni Kumvunyia Heshima Kiba Coz Yeye Ndio Baba Wa Mond

  • @benedictomb
    @benedictomb 2 місяці тому

    Tuzo ya heshima nazani wote wamefanya kazi kubwa

  • @Barakanenealldays
    @Barakanenealldays 3 місяці тому

    Kwani miwani inashida au amelewa

  • @Barakanenealldays
    @Barakanenealldays 3 місяці тому

    Huyu ndio anafanya young lunya asipewe collabo na wasafi kwa kiburi ya ujinga

  • @MuksinMichenje
    @MuksinMichenje 3 місяці тому +2

    Kiba ndo baba achukue tuzo ya eshima ndo anastaiki

  • @lukasmnyethi5903
    @lukasmnyethi5903 3 місяці тому +4

    Na kweli tuzo ya heshima apewe kiba maana hadi leo anawaburuza Sanaa

    • @bovickpascal6554
      @bovickpascal6554 3 місяці тому +4

      Kwa engo gani

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 3 місяці тому +2

      Akina best naso

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt 3 місяці тому

      ​@@bovickpascal6554uandishi na nyimbo za heshima zisizo na matusi!na ni msanii ambaye hajawahi kuitwa au kufungiwa nyimbo za maadili machafu na Basata!!

    • @svt3
      @svt3 3 місяці тому

      Ana buruza akina nani? 20% au

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar 2 місяці тому

      @@svt3Ujui Msiki Mzuri Kk Kiba Ndio Kamfanya Mond Apende Music Na Piya Kamsaidia Ku Blless Kulekod Ngoma Sasa Kati Ya Baba Na Mtoto Nani Anasitaili Kupewa Tuzo Ya Heshima Na Tuzo Ya Heshima Aimanishi Kuwa Ndio Msanii Bora Zingatia Heshima