Nitakushukuru Mungu-Kwaya ya Familia Takatifu KITUNDA(TANZANIA)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 191

  • @patrickmukambilwa584
    @patrickmukambilwa584 5 років тому +3

    Naimba kwafuraha nacheza kwafuraha na mshukuru mungu muumba mbingu na inchi kwaku nijalia neema za ajabu maishani mwangu asanti kwamaneno ayo mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume ilimpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 3 роки тому +1

    Naimba Kwa furaha na cheza Kwa furaha na mshuku Mungu muumba mbingu na Dunia Kwa kunijalia rehema nyingi za ajabu maishani mwangu , asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi nzuri yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina

  • @pasilisajerono7409
    @pasilisajerono7409 3 роки тому +1

    Nice song congratulations).

  • @susanabby2129
    @susanabby2129 2 роки тому +2

    Congratulations nice song 🔥🔥🔥

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 3 роки тому +1

    Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu

  • @mathiasisuja8053
    @mathiasisuja8053 4 роки тому +1

    Mzuri wimbo wa utamadunisho,hongera saana,nimeipenda sana

  • @paulinejepkorir3696
    @paulinejepkorir3696 4 роки тому +1

    Mungu awe nanyi daima wakatholiki wa Tanzania

  • @josephinejanuary8374
    @josephinejanuary8374 4 роки тому

    Nimeiimis Sana kitunda yetu kipindi icho, tukiongozwa na James mwiyunge waroma tupo juuu

  • @rosebeauty700
    @rosebeauty700 7 років тому +1

    na mimi na mshukuru Mungu muumba wa mbingu na inchi kwa kunijaliya rehema nyingi za ajabu maishani mwangu Amen❤

  • @juliusmuthui1173
    @juliusmuthui1173 9 років тому +1

    wapendwa shukulani kwa wimbo mzuri unao tujasa roho zetu na furaha ya mungu maishani mwetu.mungu kawabariki sana na awape nguvu mnapo enderea kumtumikia na kuliupili neno lake kote duniani. AMEN!!!

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 4 роки тому

    Naimba naimba kwafuraha nacheza nacheza kwa Furaha na mshukuru Mungu muumba mbingu na inchi kwakunijalia rehema nyingi za ajabu maishani mwangu asante sana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina

  • @hakizimanaalexia7831
    @hakizimanaalexia7831 6 років тому +1

    hi everyone nice song ,ningependa munipatiye lyrics ya hiyi nyimbo .nimeyipenda sana nigependa kuifundish ndani ya choir .asante sana na Mungu azidi kuabariki

  • @destamirimo7761
    @destamirimo7761 4 роки тому +2

    Ooooh nooo it's fantastic

  • @anunciatachibole515
    @anunciatachibole515 7 років тому +5

    I always love your Catholic songs, they inspire, they have a good message, they entertain n they bless our souls. Congratulations for this well practiced, well sang n well composed songs. Kutoka St.Joseph Kahawa sukari parish Kenya twasema Hongera!!!

  • @m1r4ful
    @m1r4ful 4 роки тому +1

    I have spent my childhood in this island. It was a cycle estate and my father was working there. I was born in Lindi.

  • @jacquelineshabani7035
    @jacquelineshabani7035 7 років тому +1

    jambo kwanza ,mungu awazidishie kipawa cha nyimbo nzuri Sana'a aaaaa

  • @enricoodokodit3690
    @enricoodokodit3690 5 років тому +1

    Wimbo nzurk kabisa !mungu akubaikiwe sana

  • @cesar-augustinmambukukhoso6553
    @cesar-augustinmambukukhoso6553 4 роки тому +1

    Je suis très heureux d'écouter ces chants . Mnafuraha kabisa

  • @susanabby2129
    @susanabby2129 2 роки тому +1

    I like this song 🔥😍
    Be blessed all.

  • @maribasimon801
    @maribasimon801 9 років тому +20

    What a wonderful song!
    Tuendelee kumsifu Bwana bila kurudi nyuma wanafamilia!
    Tumsifu Yesu Kristo!

  • @barrews
    @barrews 4 роки тому +1

    Great song asante sana

  • @jacquelineshabani597
    @jacquelineshabani597 6 років тому +1

    Mungu awabariki sana kwa nyimbo mzuri

  • @FR-AUSTINE-OFFICAL
    @FR-AUSTINE-OFFICAL 4 роки тому

    Hongera....safi kabisa

  • @susanraphael5894
    @susanraphael5894 5 років тому +1

    asante Yesu mbalikiwe sana watumishi

  • @actionfamilialofs1536
    @actionfamilialofs1536 7 років тому +1

    Very nice to see and listen for ius christians

  • @janeamoding2742
    @janeamoding2742 3 місяці тому

    Great inspiring song thanks

  • @janethmassawe106massawe7
    @janethmassawe106massawe7 6 років тому +1

    Wimbo mzuri sana Mungu awabariki sana

  • @richardnyakundimorwabe8638
    @richardnyakundimorwabe8638 5 років тому +1

    Ongera wanakwaya! Kenya tunabarikiwa!

  • @labanamuria6609
    @labanamuria6609 4 роки тому +1

    May the Almighty feel our praises, oh God never leave us alone, tutaanzia wapi sisi. May you be praised mchana kutwa na kila siku za maisha yetu.
    Thanks God for blessings.

  • @missruthie8488
    @missruthie8488 4 роки тому +2

    I love this song million times💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞

  • @jacklinesamwel2457
    @jacklinesamwel2457 5 років тому +2

    Ooh wow Catholic 💝💝💝💝💝💝💝am proud to be catholic ooh god bless all

  • @Mushi613
    @Mushi613 10 років тому

    WOW!Mungu awabariki sana jamani naombnea maneno ya huu wimbo hatakama ni kiitikio tu. Natanguliza shukrani zangu za dhati

  • @mamatuishi-mamatuondoke8822
    @mamatuishi-mamatuondoke8822 8 років тому +4

    mungu awape rehema muzdi kumtukunza kwa njia ya nyimbo zenu"me cna la ziada kama pongez wametoa wanzangu wa nyuma yangu"endeleeni mungu wangu atawalipa ujila wenu"Ameni♡

  • @jacksonruitiari9245
    @jacksonruitiari9245 4 роки тому +2

    Those vocals awwwww soo nice,keep it up n b blssd.

  • @kauziarifakrifac5076
    @kauziarifakrifac5076 6 років тому +1

    ..me gusta un montón. ...enhorabuena. ...bendiciones. ..

  • @martintsii734
    @martintsii734 7 років тому

    hongereni sana kwaya ya familia kitunda mko vizuri ,yaan kwa jinsi mnavyoimba ata mgojwa atapata hamu ya kucheza na kuamka

  • @GervaisMughanyiri
    @GervaisMughanyiri 9 років тому +1

    Asante sana kwa wimbo huu!! Tumsifu Yesus Christo...

  • @patriciamwaniki1858
    @patriciamwaniki1858 4 роки тому +2

    Congrats guys you have done a good job God continue blessing you to worship Him

  • @steveeenmwangiiis4581
    @steveeenmwangiiis4581 5 років тому +7

    These songs gives me strength and hope in life am so impress

  • @stephenmacharia9217
    @stephenmacharia9217 8 років тому +2

    Catholic songs are a blessing. God bless!

  • @blandinakimbe4019
    @blandinakimbe4019 3 роки тому +1

    I love this song

  • @englengaipaul6000
    @englengaipaul6000 7 років тому +1

    Wimbo nzuri sana Mungu aseme nanyi sana

  • @lydiaomosa711
    @lydiaomosa711 4 роки тому +1

    This song blesses me so much. Barikiwa Familia Takatifu.

  • @kennedyochieng943
    @kennedyochieng943 8 років тому +5

    Nyimbo nzuri wapendwa.Densi yenu pia iko juu sana.Mwaaaaaaaa

  • @dahsiejules7128
    @dahsiejules7128 4 роки тому +1

    26 Pia, kumbuka kuwa yeye ni mtu yule yule na kumbukumbu moja. Anakumbuka kuwa alikuwa na wandugu na dada wengi hivi kwamba alifanya vile na kitendo kama hicho duniani wakati wa maisha yake. Na ni ama malaika wa Mungu ambao wanakupeleka, au malaika wa Shetani ambao wanakupeleka. Yote inaambatana na njia aliyokuwa ameifuata duniani! Mnaona? Sio kitu cha siri, utaonekana huko katika mwili usioonekana kwa wanadamu na watu ambao hauwajui watakupeleka mahali pako pa mbinguni! Na mara tu huko, utagundua wale ambao wapo! Ni wale wa kanisa lako duniani! Unaweza kuona ndugu kama hawa na ambao walikuwa wamekufa! Na kama wewe "ulikuwa mwanasiasa utajikuta katika kikundi cha wanasiasa wengine! Ikiwa ulikuwa mcheza mpira au ikiwa ulichukua hatua kama hiyo na vile, utapata sehemu yenu Mbinguni!

  • @martintsii734
    @martintsii734 7 років тому +1

    nimeipenda sana kiukweli.

  • @mureithialice
    @mureithialice 4 роки тому +5

    Nice. Reminds of The good old days!

  • @dotolikonga1435
    @dotolikonga1435 8 років тому +2

    nyimbo nzuri sana,tunabarikiwa kwa nyimbo hizi.

  • @valentinemakokha2673
    @valentinemakokha2673 4 роки тому +1

    I love this song day and night ....wonder blend of voice

  • @franciswambuakitiku8537
    @franciswambuakitiku8537 9 років тому +2

    Juz like it, inculturation in its peak, thumps up guys and big ups mkude, alwas my mentor in organ playing.

  • @lizbosire4524
    @lizbosire4524 8 років тому +18

    this is my morning n night tune,I love your dancing my dears,you are amazing,the piano player tunes touches my heart ,cant wait to see you live
    May God give you good health for more inspiration

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 3 роки тому

    Alafu kuna mtu anataka kukosa mbinguni imagine hizi raha zote tuzikose milele woii Mungu nisaidie nisikose Mbingu

  • @siegfriedntare9287
    @siegfriedntare9287 6 років тому

    Asanten sana Kwaya Ya Familia Takatifu Kitunda ka Uinjilishaji kupitia Kuimba! Asanteni sana. Mungu awabariki!!

  • @ytgaryandgarypet660
    @ytgaryandgarypet660 10 років тому +1

    Wonderful vocals I will always enjoy your praise songs! Blessings to you all ...

  • @barrews
    @barrews 4 роки тому +2

    What a lovely song God bless you

  • @yosephandumbaro1425
    @yosephandumbaro1425 4 роки тому +1

    Amazing Catholic tradition song

  • @jamesshangala1546
    @jamesshangala1546 7 років тому +5

    Waimbaji hoeeee!!! nani kama ninyi keep it up! God bless u.

  • @simonshimba7759
    @simonshimba7759 6 років тому

    Nyimbo za kikatoliki nzuri Sana zinatakafarisha Sana

  • @barrews
    @barrews 4 роки тому +1

    Wonderful song thanks

  • @georgengugi4668
    @georgengugi4668 10 років тому +4

    very nice. A cut above the rest. full dvd needed. keep up!

  • @lucy111st
    @lucy111st 4 роки тому

    Big-up Mkude

  • @didacengendahimana7414
    @didacengendahimana7414 4 роки тому

    Asante Santa kwakuimba vizuri

  • @rosetsuma9306
    @rosetsuma9306 8 років тому +3

    I love t. I thank God for u guys keep up the good work of praising God. I keep on watching this video everyday. Namshukuru Mungu Milele Amina

  • @melody11519
    @melody11519 10 років тому +5

    Beautiful song. Keep up East Africa.

  • @mathewouma1324
    @mathewouma1324 8 років тому

    mathew ouma Hatuna budi kumshukuru Muumba kwa mema al'otutendea.Angekuwa mwanadamu.............................

  • @phelisterpatrick3155
    @phelisterpatrick3155 8 років тому +16

    I love the song plus the dances are perfect ..am blessed !kip it up & God bless u

  • @DagetuMasalu
    @DagetuMasalu 4 місяці тому

    Mmeimba vzr sana

  • @joycekengmail.comjoyce1236
    @joycekengmail.comjoyce1236 8 років тому +4

    Wimbo mzuri wa kutuliza roho...Mungu awa bariki sana

  • @zipporahkwambai879
    @zipporahkwambai879 4 роки тому +1

    I love the song.may good God bless us

  • @tyronkanamgire650
    @tyronkanamgire650 8 років тому +1

    beautiful beautiful song and people.I love the way yo so committed to the work of our GOD the dancing is spectacular.you guyz are a blessing.amazing a. called Cate wairimu

    • @MmmMm-tv7mb
      @MmmMm-tv7mb 8 років тому

      i wish to be part of your choir member , u have touched my heart. blessed are u

  • @agustinosixbertmonica1825
    @agustinosixbertmonica1825 8 років тому

    I'm more impressed with Catholic songs, God bless those singers

  • @tracywamuyu3111
    @tracywamuyu3111 5 років тому +1

    Nice song have been searching for it for almost an year

  • @emeldaakeyo4441
    @emeldaakeyo4441 6 років тому +1

    such a nice song .. nimeipendaa lakini naomba mniambie jina la hiyo nyimbo ya mwisho ( heri walio maskini wa roho) nimeitafuta lakini sipati

  • @alfredrhoda1492
    @alfredrhoda1492 8 років тому +8

    I really love it may God bless u all

  • @lydiaomosa711
    @lydiaomosa711 6 років тому +1

    Oh my goodness. Love the song very much. and the dance it is very traditional. The pianist is professional too. Hongera sana Kwaya ya Familia Takatifu

    • @paulk.kiamba7565
      @paulk.kiamba7565 4 роки тому

      this is awesome, gives me a passion to be an organist too

  • @jeanboscontibanceko6566
    @jeanboscontibanceko6566 10 років тому +6

    This song is one of my favorites songs. Good Job St. Kitunda!

  • @LeonardTumainiChuwa
    @LeonardTumainiChuwa 10 років тому +4

    Good job! Kudos! Keep it up. Hongera sana

  • @princessjosekanini665
    @princessjosekanini665 7 років тому

    Thanks Lord .....wow nice song
    naimba kwa furaha

  • @TimothyMahea
    @TimothyMahea 10 років тому +3

    Lovely song, good vocals.
    Mahea - Kenya

  • @mashainfo1653
    @mashainfo1653 8 років тому +4

    thank you, thank you, thank you for love ness song.
    keep blessed.

  • @kimwakimtech6590
    @kimwakimtech6590 8 років тому +1

    i feel blessed when i listening this song i love it God bless you all gud guyz

  • @nikkynimmoh3397
    @nikkynimmoh3397 4 роки тому +1

    I love this song so much ❤️ it always sings through my mind ❤️ I love you God

  • @maryannealaka9756
    @maryannealaka9756 10 місяців тому

    I wish the last part was a song of its own.

  • @chricensiamathew1856
    @chricensiamathew1856 8 років тому +2

    more than excellent!!! God bless you Guys...

  • @gabrielmeyasi5236
    @gabrielmeyasi5236 7 років тому +1

    Nice song may almighty God bless you all

  • @hadassahjohnty6816
    @hadassahjohnty6816 8 років тому +2

    waaoo be blessed all.really i like your folkdance very atractive.

  • @dennismartin3441
    @dennismartin3441 7 років тому

    Mme imba vizuri sana na nazidi kubarikiwa GOD BLESS

  • @Zawadiii
    @Zawadiii 8 років тому +1

    nice song. God bless you

  • @waqxeskaaleng8987
    @waqxeskaaleng8987 4 роки тому

    The greatness of God is above everything in this world, God, always I have to say thanks to you for abandant blessings.

  • @nikkynimmoh3397
    @nikkynimmoh3397 2 роки тому

    My baby sleep to this song

  • @victorgwako6168
    @victorgwako6168 8 років тому +1

    I like it may GOD bless you all

  • @theodominic101
    @theodominic101 7 років тому

    kiukweli mneimba vizuri, nabarikiwa sana

  • @maxmillanakinyi4968
    @maxmillanakinyi4968 6 років тому

    u like fire anyway nice tune,,,dancing also somehow good

  • @maryannealaka9756
    @maryannealaka9756 10 місяців тому

    It is realy nice

  • @francoishabonimana446
    @francoishabonimana446 6 років тому

    God blessed all the Catholic songs Amen.

  • @mohdcassim1193
    @mohdcassim1193 9 років тому

    so creative big up guys

  • @trizagaturuhu1803
    @trizagaturuhu1803 5 років тому +1

    Good music, praise God

  • @destamirimo7761
    @destamirimo7761 4 роки тому +2

    Ooooh nooo it's wow

  • @didacengendahimana7414
    @didacengendahimana7414 4 роки тому

    Nawafwata kwakaribu

  • @slavahamimo425
    @slavahamimo425 7 років тому +3

    Love the dancing styles