ndoto ya mkono na maana zake 1 (sehemu ya kwanza ). Skh:Jafari Mtavassy (rahimahullaah) you

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 38

  • @rehemajamila9583
    @rehemajamila9583 5 місяців тому +1

    Shekhe nimeota mpenz wangu nanivalisha saa mkono wa kushoto hii inamaana gani

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  4 місяці тому

      Jali muda wako katika maisha. Hii ni maana ya kwanza naiona hapo. Pili ni kwamba inaweza ikajulisha hii ndoto juu ya kusifika kwa matumizi sahihi ya akili kaytika jambo fulni sasa zingatia kwamba kama alikupatia ushuri basi kuwa makini na huo ushauri unaweza ukakufaa

    • @rigeiyenyika570
      @rigeiyenyika570 Місяць тому

      Sheikh nimeota naonyesha mkono wangu namuonyesha mtu siunaona bado nnakinyesi yan niligusisha kweny utupu wang wa nyuma nilivyoona umechafuka nika​wa nmuonysha mtu ilianiongeze maji nitawaze vizurilakin mtu mwenyew sijamuona ninaeongea nae@@MTAVASSYTv

  • @HamidakomboKombo-xs2ju
    @HamidakomboKombo-xs2ju 11 місяців тому +1

    Assalamualaikum shekhe mie nimeota mkono wangu umechomwa na mwiba! Lkn nikautoa. Nini maana yake?

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  10 місяців тому

      kama haitotokea kama ulivyoona kwako au kwa mtu wa karibu yako basi fahamu kwamba hii ndoto inakutahadharisha marafiki au watoto wake watatu watakupigia kelele

    • @HamidakomboKombo-xs2ju
      @HamidakomboKombo-xs2ju 10 місяців тому

      @@MTAVASSYTv samahani shekhe sijaelewa

  • @HuzaimaAmeir
    @HuzaimaAmeir 2 місяці тому

    Shukran

  • @nuruabdullah7814
    @nuruabdullah7814 Рік тому

    Asalam aleikum sheikh nimeota napewa mkono na akabusu na mtu wakaribu sana na Ameshakufa tena ukiwa na tabasum yy na bint wake wore ni marehem

  • @shamimusuleiman1278
    @shamimusuleiman1278 2 роки тому +1

    assalamu alaykum sheikh...mm naweek mkono wa kushoto unawasha p1 na mguu wa kushoto unawasha sana,naomba kujua maana yake

  • @trishababy1580
    @trishababy1580 Рік тому

    Shehe Mimi nimeota nampiga MTU kibao na mkono wakulia😢😢

  • @lizzyzacharia2638
    @lizzyzacharia2638 2 роки тому +1

    Nin maan yake

  • @fatumamwaveso247
    @fatumamwaveso247 2 роки тому +1

    Assalam aleykum shehe mm nmeota babang amenipa mkon nn maan yake?

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 роки тому +2

      Atakusaidia kama yupo hai mtake ushauri ukikwama na muhusishe kwenye mambo yako, lakini pia baba huwa na tafsiri ya Mungu ndotoni hivyo taka msaada wa mungu uwe unaamka usiku unaomba, ikiwa ni tabia yako kufanya hivyo basi unaambiwa kuwa maombi yako yamepokelewa maashaallaah

  • @naimahassan4858
    @naimahassan4858 2 роки тому +1

    Asalaamalykum shekh niliota mkono wamtu nikijaribu kuitamu ajeaone sauti aitoki

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 роки тому

      Huo ni uchawi unaambiwa unafanyiwa lakini hii inataka nitafiti zaidi kwasababu mkono wa mtu huwa ni msaidizi,uchawi na baadhi ya mambo mengine sasa ukiona kimya basi hilo tu lakini nikiona kuna kingine nitakujuza inshallah

  • @azizahasan2851
    @azizahasan2851 2 роки тому +1

    Shekhe mm nimeota boss wangu kaniretea pesa chumban kwangu badae mm nikampa mkono kama kumshukuru yani tulipeana mkono lakin mkono wake unavidoavidoa vyekundu kwasavabu yy ni mweupe

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 роки тому

      Huyo atakwambia maneno kama kukutaka ushauri kwani hana usaidizi inavyoonesha ni hivyo, na anakupenda,
      Sasa basi kama ndoto itasema kweli ni hayo lakini kama haitosema kweli basi hakuna kitu

  • @khadijaleornad9763
    @khadijaleornad9763 Рік тому

    Shekhe nimeota nikiwa nipo barabaran mazingira ghafra akatokea mtoto akaniambi naomba mkono wako nikusaidie kunamtu amechukua nyota yako nikasita kidogo lakin nikampa akaugusisha na wake mkono wake ulitoa mwanga ukaingia kwangu akaniambia tayari nenda kwa tabasam mi nikashangaa kweli

  • @djyondergigi1027
    @djyondergigi1027 2 роки тому +1

    A aleikum nimeota mkono umefura mpaka imepasuka kawa na kimbilia kwenda hospital kumuona dakatari

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 роки тому

      Wa,salaamu warahmatullahi wabarakaatuh
      Hapa unaambiwa kuwa utakosa msaada hivyo tafuta watu sahihi kwenye maisha yako

  • @lizzyzacharia2638
    @lizzyzacharia2638 2 роки тому +1

    Mim nimeota mama yangu amekwata mkono na vidole

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 роки тому

      MKONO NI UWEZO SASA HAPO NAONA MIMI ANAAMBIWA HANA UWEZO

  • @wizzmoh
    @wizzmoh 3 роки тому

    A sallam alleykum warahmatulah wabarakatu.samahani shehe je ukiota mkono wakulia kidole kikubwa kimepasuka lakini hakiumi na nikakifunga kwakitambaa cheupe nn maana yake

  • @djyondergigi1027
    @djyondergigi1027 2 роки тому +1

    A aleikum ukiota mkono umefura mpaka umepasaka kawa na nikimbilia kwenda kumuona dakatari kujuwa shida nini

  • @yasobush8987
    @yasobush8987 3 роки тому +1

    Assalamualaikum shekh nimeota nko kazini nafanya kazi lakini nko mapumziko nyumba.

  • @janenjeri4676
    @janenjeri4676 2 роки тому +1

    Nini maana ya kuota mama mzazi ame amevunjika mkono kabisa??

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 роки тому

      Mama hawezi kusaidiwa yaani mama atakosa au anakosa msaada

  • @answarmusaanswarmusa5797
    @answarmusaanswarmusa5797 3 роки тому

    A salamu alekum shek naitwa answar musa niko dubai nimeota nime kanyaga mavi mguni Kisha nikaya futaa sehemu. Kisha Kwa kando Kuna dada moja Ana n zoa haja nyingine nini maana yake

  • @fatmaismail13
    @fatmaismail13 3 роки тому

    Assalam Aleikum sheikh, nn maana ya kuota uko bustan huku ukiskia Adhana akiadhini waenda kuswal jamaa na wenzako? mume wangu aliota hivyo

  • @magerito6811
    @magerito6811 3 роки тому

    jmn mm nimeota mkono wangu unaandikwa maandishi ya kiarabu kama piko

  • @ayshaswalekh9197
    @ayshaswalekh9197 3 роки тому

    Assalam alaykum sheikh nilikua nauliza nin maana ya kuota nyoka aina ya chatu wawili wakiwa ndani

  • @yunisalfarsi6168
    @yunisalfarsi6168 2 роки тому

    Nini maana ya kula chakula na vinyaji na hapo hapo kuna BOMBA lililo tengenezwa gafra tu

  • @nzeyimanaanassi3585
    @nzeyimanaanassi3585 3 роки тому

    Chekh nimeota naona mguu wangu Wa kushoto unaleta bitu byakuvimba vimba nikakemey bikaisha

  • @fatmaismail13
    @fatmaismail13 3 роки тому

    Na jee ukiota mkono wa shetan nn maana yake

  • @yunisalfarsi6168
    @yunisalfarsi6168 2 роки тому

    Nini maana ya kutembea na tumbo

  • @OmanOman-fk7ke
    @OmanOman-fk7ke 3 роки тому

    Little
    Mini maana ya kuota kitu kime vunjika au kumuona mtu kaka kwenye kiti