Hadithi ya Kachiki - 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Kachiki ni hadithi inayomuhusu binti wa kiafrika ambaye amekulia kwenye mazingira ya kiafrika na kupitia vikwazo vingi katika maisha yake. Je atafanikiwa kuviruka vikwazo na viunzi vilivyopo mbele ya maisha yake? Je ni vikwazo vipi hivyo?
    Jiandae kusikiliza Hadithi hii ya kusisimua ambayo itakufundisha na kukuburudisha ‪@hadithimbalimbali‬

КОМЕНТАРІ •