Mch Moses Magembe - UUNGU WA YESU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Ibada ya Jumatano Jioni Tarehe 20.04.22 katika kanisa la TAG Majumbasita - Gospel Campaign Centre chini ya Mch Moses Magembe

КОМЕНТАРІ • 22

  • @yahayatuly76
    @yahayatuly76 2 роки тому +5

    KWA KWELI YESU NI MUNGU

  • @benaiahchaulah1037
    @benaiahchaulah1037 2 роки тому +4

    Ubarikiwe sana Baba huduma yako ni njema hakika alama unayoiacha ni kubwa mno

  • @agriphinafransis1203
    @agriphinafransis1203 2 роки тому +5

    Ubarikiwe Sana Mtumishi... Mimi nakuelewa sana .. nakupenda sana Daddy. Bwana akupe kuziona fadhili zake daima

    • @dorothyshiyyo3370
      @dorothyshiyyo3370 2 роки тому

      Umekuwa msaada mkubwa sana kwangu,najifunza na kuna mambo mengi yamenisaidia. Keep on our Global pastor

  • @emanuelwilliam6744
    @emanuelwilliam6744 2 роки тому

    ninafurahia sana kukufuatilia ninakupenda sana sana

  • @user-ox8pc5wu7u
    @user-ox8pc5wu7u Місяць тому

    Mungu alishaumba zamani mfumo wa uzazi

  • @ibrahimunyanda1306
    @ibrahimunyanda1306 2 роки тому +2

    Pastor nataka vitabu vyako!

  • @gracehaule5302
    @gracehaule5302 2 роки тому +2

    Barikiwa pastor Kwa ujumbe mzuri by pastor Haule

  • @simonmwashiuya6184
    @simonmwashiuya6184 2 роки тому

    Mungu akubaliki mtumishi wa Mungu Akuongoze sk

  • @davidmugisha5814
    @davidmugisha5814 2 роки тому +1

    Ubalikiwe.Amen

  • @SusanEdwin-rk7xm
    @SusanEdwin-rk7xm 11 місяців тому

    Mungu qkutumie kufufu kazi ya Yesu Kristo

    • @SusanEdwin-rk7xm
      @SusanEdwin-rk7xm 11 місяців тому

      Mungu akutumie kufufua kazi ya Yesu Kristo tubadilike sote

  • @dorothyshiyyo3370
    @dorothyshiyyo3370 2 роки тому +2

    Asante sana mchungaji. Mungu akulinde na kukutunza kila iitwapo leo pamoja na familia yako.

  • @bethkatunx7677
    @bethkatunx7677 Рік тому

    Ndio baba mungu akubaliki

  • @inocentlazaro7161
    @inocentlazaro7161 2 роки тому

    Mtumishi wamungu barikiwa na mungu akupe maishi marefu na aendelee kukutumia

  • @bugusambalinga3603
    @bugusambalinga3603 2 роки тому +1

    Thank you I'm from selous

  • @justice2557
    @justice2557 Рік тому

    Uungu wa kristo

  • @richardkayanda2317
    @richardkayanda2317 Рік тому

    Je ikiwa yesu ni Mungu je tuna miungu mingapi? Yohana 20:17 unaielewaje

  • @shukurubaruwani
    @shukurubaruwani 25 днів тому

    Emen

  • @richardkayanda2317
    @richardkayanda2317 Рік тому

    Naye neno alikuwa Mungu naye alikuwa kwa Mungu je mpaka hapo huoni kuna miungu wawili?