BONI YAI AMPASUA LISSU MBELE YA MBOWE,HATA UKIONDOKA CHADEMA ITASONGA MBELE-ACHA KUTOA SIRI ZETU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 250

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 8 годин тому +25

    Hakika wewe ni mkweli
    Kumbe mpo HAPO kwa ajili ya familia zenu mnakula na familia zenu sisi tuna Vunjwa miguu Asante kwa tarifa na maarifa

    • @FucianeBulemo-nd4wc
      @FucianeBulemo-nd4wc 8 годин тому +1

      Huyu jamaa

    • @Soudbako
      @Soudbako 8 годин тому

      Sijui kwanini mijitu mibonge kichwani kunakuwaga hakuna kitu

    • @agreymbwilo5874
      @agreymbwilo5874 7 годин тому

      Kila mtu atafaidika kwenye angle yake. Mfano mbunge anavopiga makelele huduma ziwe za uhakika jimboni ndio kula kwetu wananchi. Na yeye atalipwa mshahara wa anachokifanya.
      Mchungaji kanisani anaombea, anakula kwenye sadaka. Mumming anakula kwenye huduma anayopata. Kwaio hamna kibaya alichoongea. Tusiishi kwakuamini wanasiasa wapo kutupigania sisi. Wanapigania maisha yao na sisi tunafuata wazo Lao ikiwa tu tunaona linatugusa kwenye maisha yetu. Shukrani 🤝

    • @alphoncewilliam4325
      @alphoncewilliam4325 7 годин тому

      😂😂

    • @PiusMdoe
      @PiusMdoe 5 годин тому

      Sasa kilicho Cha Siri usichokijua nini.Yeye alikuwa diwani,akawa meya hukuwa ukijua alikuwa anakula.

  • @JuliusSimba-p3d
    @JuliusSimba-p3d 8 годин тому +16

    Lissu ndiyo habari ya mjini,

  • @BoniphaceManyama-y2s
    @BoniphaceManyama-y2s 3 години тому +2

    Bon husikurupuke kum undermine lissu , Tundu ni nguzo ktk chama husijifananishe nae , nafikili elimu na upeo wako wa kupambanua mambo ni haba kulinganisha na Liss Chadema mnaitaji mabadiliko ya kiuongozi na mapambano Mapya Naamini Busara ya Mbowe itaendelea kukijenga chama kiwe na mvuto zaidi . Kuliko kumsikiliza Bon yai anavyobwabwaja

  • @apostelgodwin
    @apostelgodwin 9 хвилин тому

    Acha kubeza watu ..Ni lazima ukweli usemwe MBOYE aachie ngazi ama atengue baadhi ya sheria za kunyanyasa walio chini ya chama na pia nafasi asitoe Kwa upendeleo.. Asante. LISSU NDIE HBR YA MJINI ..Tuliisha jua miaka mingi Sana ..ww Yai kibaraka wa Mboye na huu ndio ukwel ...Mungu awabariki na kuwasaidia..MBOYE IDARA ATAFUTIWE YA KULINDA CHAMA TU KAMA MSHAULI NA MUANGALIZI BASI..

  • @hermankingu
    @hermankingu 6 годин тому +7

    Kwa hali ninayo iona hiki chama si cha wanachama bali ni watu wachache ndio wanataka kutuaminisha au?

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 3 хвилини тому

      We mwana chama au nani maana uwezii ona mamb ya chama na wewe kama sio mwana chamaa

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 4 години тому +5

    Mimi sio mwana chadema,Niko tukuyu lakini Mbowe uwe makini na wanasiasa kama boni yai,mtaongozaje nchi kama myapewai kumbe hata ninyi hamtaki haki ndani mwenu?kweli tumepigwa

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 8 годин тому +7

    Huyo mpenzi wa chairman for life 😂

  • @abuubaya7614
    @abuubaya7614 8 годин тому +7

    NYINYI HAMNA DEMOKRASIA YAN MKIACHIWA NCHI MNAWEZA KUUONGOZWA NA FAMILIA MOJA😅😅😅

  • @germanusmtono6352
    @germanusmtono6352 5 годин тому +4

    Yaani CHADEMA mnatia aibu, kwani uenyekiti ni usultani? Mnaitisha uchaguzi wa Nini, he mkipewa nchi mtaongoza kweli? Vyama vya upinzani Tanzania ni uchafu mtupu, kupigania matumbo

  • @V24hrs
    @V24hrs 6 годин тому +6

    kumbe mnalinda chama ili mle na watoto wenu

  • @tumahamza8972
    @tumahamza8972 Годину тому

    Kumbeeeee! Wanasiasa wetu wa afrika bwanaaa¡!! wachache tu wako kwa ajili ya raia wengi ni matumbo yao

  • @GodfreyMakala
    @GodfreyMakala 7 годин тому +3

    Poleni sana kama mnamteta lisu.....acheni uchaguz uamue nan atakuwa kiongoz na sio mono politician.

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 5 годин тому +4

    Lissu kibokoyao hapendi ujinga

  • @ip_header
    @ip_header 22 хвилини тому

    Tundu Lisu alipo sema machawa sikumuelewa, leo ndio nimeelewa vizuri baada ya maneno ya Bonge

  • @josephatilunde9329
    @josephatilunde9329 5 годин тому +4

    Mwenyekiti wa milele dah hatari sana

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 4 години тому +1

    Kwanini mnataka ccm,wawape haki na uwazi kumbe ninyi ndio hamtaki haki mara ndani mwenu mara mbili zaidi mbili,msifikirie kuiondoa ccm

  • @afisamipango005
    @afisamipango005 6 годин тому +3

    Hapo kwenye kula hapo, unatuchanganya, kauli zako hizo zinatoa tafsiri tata.

  • @PiusMdoe
    @PiusMdoe 5 годин тому +2

    Mimi ninamwamini sana Mbowe lakini kinachoendelea kinanifanya nikate tamaa na kuanza kuwaamini wanaosema mkiti hataki upinzani. Kwa nini tusiache milango wazi wapiga kura wakaamua?Je tatizo ni kutangaza nia hadharani?Je tatizo ni kusema ndani ya chama kuna mapungufu?
    Isije kuwa mwanzo wa kukidhoofisha chama na kuwapa maadui nafasi.

  • @PelleSamky
    @PelleSamky 4 години тому +1

    Acha hayo Boni, usijidanganye chama nihao watu wa wawili akitoka mmoja tutaona ya CUF kaeni myamalize uwenyekiti nni ? Itakufa kweli Wewe ndio unao haribu ,kuliko hata alianza,

  • @damiankilyenyi5367
    @damiankilyenyi5367 6 годин тому +3

    Hakuna uwenyekiti kwa mtu baki asiyetoka katika ule Ukanda.

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 5 годин тому +2

    Kumbe Lissu maskin yupo kwenye hicho chama wala hapwendwi

  • @eladiuspeter586
    @eladiuspeter586 3 години тому

    Lissu hamna kitu mnamuambia. Mnabaki wenyewe

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 5 годин тому +2

    Kumbe kutaka kugombea uenyekiti dhidi ya Mbowe ni kutaka kuua chama?

  • @AbuubakariKanuti
    @AbuubakariKanuti 6 годин тому +1

    lisu kugomea kunashidagani wwboni

  • @SaimoMwaipopo
    @SaimoMwaipopo 2 години тому

    Umefuga mindevu mingi lakini kumbe akili zako ni chawa, acha ujinga kama unakula na mbowe kumbuka ndugu zetu wanakufa, hongea point

  • @jumangozi2720
    @jumangozi2720 3 години тому

    Aibu itakayo mkuta huyo unaetaka aendelee kukilinda chama atajuta maishani mwake busara bora akae pembeni kwa heshima

  • @songombingo108
    @songombingo108 7 годин тому +1

    Chawa kama Chawa. Mbwa nyie. Kwani Lissu ana kosa gani kuutaka Uenyekiti. Hivi kwani nani hajui ubora wa Lissu

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 3 години тому

    Uchaguzi ukifanyoka na lissu kutengea kama anavyosema boni yai,mbowe jiandae kuishi maisha ya lipumba,mrema ma mbatia,namuhakikishia soma alama za nyakati itakusaidia

  • @jumangozi2720
    @jumangozi2720 3 години тому

    Amejivua nguo sana huyu jamaa na ameivua nguo chadema yani kumbe wanalizika kua chama cha upinzani tuuuuuuu kwa miaka 30 sasa. Na ikibidi mpaka 300 ijayo ili waweze kufaidi matunda tu sio kushika dola

  • @GbpAud_King
    @GbpAud_King Годину тому

    We na mandevu yako, uyo freeman anazingua aache ngazi sasa

  • @stankebacho
    @stankebacho Годину тому

    Wewe kubwa jinga tu

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 7 годин тому +3

    Cheki ulivyo nenepa luzuku yote unakula wewe 😅😅😅

  • @barakajohn8005
    @barakajohn8005 7 годин тому +1

    Huyu ni Bonny kweli😢

  • @Josephmwambe-r6n
    @Josephmwambe-r6n 2 години тому

    Ivi vyama vinasiri kubwa sn mungu Nena na wanasiasa wanalo litaja Jina lako kwa ziaka. Wanatuaminisha sisi kama niwako kumbe ni washetani

  • @assaandrew2411
    @assaandrew2411 5 годин тому +1

    Tundulissu for Change

  • @DominicaLucas
    @DominicaLucas 4 години тому +1

    Msikubali mbowe ndie mwenyekiti tuuu lisu ana asiraa asira sa! A

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 2 години тому

    Huyooo bingwa wa kulalamika ni kirusi ndani ya chedema since 2018 kumsema marehem hajui mazingira na muktadha wa kuongea mambo ya faragha

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 5 годин тому +2

    😂😂😂😂 aloo Chadema kuondoa ccm bado sanaaa

    • @rashidissa5887
      @rashidissa5887 3 години тому

      NAKUBALI . MIMI NI MACT LAKINI HUWO NDIO UKWELI NI

  • @JuliusSimba-p3d
    @JuliusSimba-p3d 8 годин тому +1

    Sisi wanachama tuko na Lissu,mkileta njaa zenu tunampa KURA zetu nje ya CHADEMA.

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 4 години тому +1

    Tundu hana hekima ya Mbowe. Ana papara sana hajatulia.

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 4 години тому

      Mlimpaje bendera ya chama agombee urais?

    • @AmanLaizer-rb5rt
      @AmanLaizer-rb5rt 4 години тому

      Kajifunze kwanza kusoma na kuandika fala wewe.

  • @ngaiwafamily6564
    @ngaiwafamily6564 2 години тому

    Kwa hali hii ccm itaongoza milele

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 Годину тому

    Hamna vyama vya Siasa tz kunawapigaji tu

  • @allyalsubhy6899
    @allyalsubhy6899 4 години тому +1

    Chama Cha familia mtei kamwachia mkwewe mbowe

  • @SNOWFALL92
    @SNOWFALL92 3 години тому

    YANI LEO NDO NIMEELEWA KWANINI UNAITWA YAI 😂😂😂 YANI WEWE NA SUFIANI HAMNA TOFAUTI CHAWA PRO MAX

  • @godfreykiwelu7253
    @godfreykiwelu7253 Годину тому

    Sio tena kutetea wananchi ni kutetea matumbo yenu

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 7 годин тому +1

    Hauwezi iondoa ccm kwa mwenyekiti wa milele

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 5 годин тому +1

    Huyu ni mbaguzi sana, sidhani kama ataisaidia chadema

  • @ponsianomwakisunga899
    @ponsianomwakisunga899 7 годин тому +1

    Kumeanza kuchangamka 😅😅 huo nimosh Tu Moto unakuja 😂

  • @ezradaudi7024
    @ezradaudi7024 2 години тому

    Nilikua nakuona kama mtu wa maana kumbe bule kabisa

  • @felixmsengi1084
    @felixmsengi1084 2 години тому

    Watu ndio wanataka democracy itumike kuchagua kwa haki sasa mnaanza kupinga wenzenu wenye sifa ya kugombea huku wewe huna sifa,

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 7 годин тому +2

    Chair man ameshakutuma 😂😂😂 tunakitaka hicho kiti umeshapewa asilimia kumi

  • @EliahLoserian
    @EliahLoserian 3 години тому

    Kweli nime amini kuwa chadema ni genge la wahuni maana ni chama gani isiyo badili kiongozi au mbowe tu ndiye mwenye akili ya kuwa ongoza acheni uzezeta badilisheni uongozi acheni kuomba Kila siku kuwa ccm ni madikteta viongozi wao wakati mbowe mwenyewe ni dikteta

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 3 години тому

    Mimi sio chadema ila Lissu aliteleza kidogo.Alipotangaza kugombea umwenyekiti alikuwa kama ana mkashfu na kumponda Mbowe mara anang'ang'ania madaraka,mara sijui nini,hapo hakutumia busara.Yeye alitakiwa atangaze nia yake ya kugombea kama haki yake inavyosema ila sio kumponda mwenyekiti kama ana ugomvi nae.wote mna haki ya kugombea ila mheshimiane.

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 3 години тому

    Mbowe hata uongee vipi watu wana imani na lissu,baada ya lissu watu wanamtaka heche

  • @cavanindimbe1670
    @cavanindimbe1670 3 години тому

    Hii nchi inatakiwa waongoze ccm miaka yote maana hakuna chama cha upinzani kilicho tayari

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 години тому

      Na wanaosababisha haya ni hao hao ccm ,wakoloni weusi.

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 8 годин тому +2

    Huyu ndio mtu anayearibu chadema

  • @zachariahariohay359
    @zachariahariohay359 3 години тому

    Boni mnafiki sana, LISSU ni mkubwa kuliko wewe na ana hoja kuliko wewe

  • @davidyongolo8102
    @davidyongolo8102 3 години тому

    Hojà hamna kabisà .
    Mbona mzee mtei Aliacha Chama kizuri tu. Kwa hiyo hamna demokrasia Wala itikadi na sera

  • @DicksonMagesa-r7h
    @DicksonMagesa-r7h 8 годин тому +2

    Acha mabadoliko yafanyike acha fikila potofu mpo kama nyumbu

  • @FucianeBulemo-nd4wc
    @FucianeBulemo-nd4wc 8 годин тому +1

    Hebu karudie hii speech

  • @chidolakhatib7847
    @chidolakhatib7847 2 години тому

    Endeleeni kula na familia zenu munao waongoza wafe njaaa

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 4 години тому

    Kila anayegusa nafas ya mbowe anaundiwa zengwe. Hata huyo bon akitaka aonekane snich atangaze kugombea uenyekiti

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 6 годин тому +1

    Acha uchawa kwa mbowe nilikuwa nakufuatilia kwanza namaliza mb zangu pimbi kweli 1:38

  • @experymassawe3521
    @experymassawe3521 4 години тому

    Lissu ndo anatakiwa awe Mwenye kiti saabu Hana mambo ya kubadilika

  • @PascalChiume
    @PascalChiume 6 годин тому +2

    Zamu yako inakuja,utajua hujui.

  • @Darian2550
    @Darian2550 6 годин тому

    Anaetaka kugombea nafasi ya Mbowe lazima apitie hizi changamoto, Mbowe hapendi kabisa ushindani kwenye nafasi ya mwenyekiti.

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 4 години тому

    Lissu amewapa Imani watu,japo Hana hela.jaribuni kumuengua kama anavyosema boni kichwa kubwa akili hamna.jaribuni muone

  • @eladiuspeter586
    @eladiuspeter586 3 години тому

    Nyie tumewashtukia

  • @geraldleger5793
    @geraldleger5793 3 години тому

    Hapo ndio Chumbani au ? Nimeelewa maana ya UCHAWA, KUMBE !!!!

  • @herbertnzowa8657
    @herbertnzowa8657 3 години тому

    Ee huyu jamaa namuelewa au vipi, mbona sielewi aisee "ukilindwa, mara kufaidi, sijui ulindwe wengine wale" anataka kumaanisha nini hapa? Msaada

  • @josephjosephat4792
    @josephjosephat4792 8 годин тому +1

    M sifatlii sana siasa lakn Lissu mmeanza kumhofia pia anataka kuchekecha chana

  • @niubility5745
    @niubility5745 3 години тому

    Utamaduni wenu ni kuficha mambo? Mtu akiongea lazima awasiliane nanyie? Mtu ana ongea lolote.

  • @Revo_silayo
    @Revo_silayo 2 години тому

    Huyu jamaa anaakili k
    Zaid ya Lissu...Lissu ndie anayeua chama

  • @kakanicodemus3632
    @kakanicodemus3632 6 годин тому +6

    Kukilinda chama= kumbakisha mbowe kuwa m.kiti

  • @liberatusjames5835
    @liberatusjames5835 4 години тому

    Ongea KWA kiasi hifadhi maneno lissu anashinda

  • @niubility5745
    @niubility5745 3 години тому

    Hii nchi upinzani wajinga sana, jifunzeni nchi zingine, mtu ana ongea too much juu ya msaada wa mil100?

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 8 годин тому +1

    Jacob unaharibu chama ww mshenzi sana ww mwenyekiti miaka 20 wapi na wapi

  • @YasserSuleiman-s5y
    @YasserSuleiman-s5y 6 годин тому +1

    Yai ana sauti kama mpoki,😄😄

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 6 годин тому +1

    Lissu wakikukataaaa anzisha chama kipya tutakuwa na wewe

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 6 годин тому +1

      Acha kumdanganya mwenzio

  • @Hancymtembo
    @Hancymtembo 2 години тому

    Kumbe kula eeee

  • @patrickkulwa3563
    @patrickkulwa3563 3 години тому

    Wachaga wamechachamaa kwakweli 😂😂😂

  • @anthonyrwiza1205
    @anthonyrwiza1205 4 години тому

    Hakuna cha utamaduni wa kuongelea chumbani, Acha ukweli usemwe adharani

  • @WilbertMalula-vv7ml
    @WilbertMalula-vv7ml 5 годин тому

    LISSU YUKO SAHIHI ,NINYI WENGINE ENDELEENI KUBWABWAJA NA MANENO YA KIMBEA.

  • @moureen7446
    @moureen7446 6 годин тому

    Hapa umechemka! Bora ubaki kuwa whistleblower hiyo ndo kazi utaifanya vema. Lissu akitoka hamna chama hapo!

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 6 годин тому

    Tyr huko, mtu anakaribia kuliwa kichwa syo Muda mrefu. Mtasikia kaenda sisiem.

  • @Ali.salimu
    @Ali.salimu 5 годин тому

    Kwahali. Hio. Ccm. Kuiyondoa. Ngum. Wenyewee. Mwalumbana. Kesho. Mukipata. Itakuajee. Mimi. Simo😊

  • @Mteulehalisi
    @Mteulehalisi 3 години тому

    Huyu jamaa nilikua namkubali ila kwa Hotuba hii nishamkataa

  • @NoelChambo
    @NoelChambo 6 годин тому

    Mwezi uliopita mimi niliota Lisu amechukuliwa na watu wa ccm na yeye amevaa mavazi yao.
    Nilijua tu kuna jambo litatokea juzi nilipomuona anaongea na wana habari, moyoni nilikuwa najua kinachoendelea.
    Lisu anatafuta tu mlango wa kutokea.

  • @ajsmainde5138
    @ajsmainde5138 3 години тому

    mwenye akili nyepesi hawezi kumuelewa huyu mwamba.🎉

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 4 години тому

    Mfanyieni figisu lisu muone kama mtapata hata kiti kimoja Cha ubunge

  • @KhatibuMshana-wy9pf
    @KhatibuMshana-wy9pf 3 години тому

    Uchawa Kila mahala wapo jamani

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 4 години тому

    Kwa staili yenu ya boni yai na yeriko Nyerere mtakata nusu ya wanchama kuondoka na kukata tamaa.wewe mbowe hivi hujui watu wanataka mabadiriko kuiendea ccm?

  • @GodfreyBikukan
    @GodfreyBikukan 4 години тому

    Boni kibaraka mkubwa acha kujipendekeza Chama sio chamtu Mmoja acheni kufanya hivyo mnasema ccm wanang-ang-ania madaraka wewe kwann Unaponda Lisu

  • @KamugishaSupe
    @KamugishaSupe 6 годин тому

    Mmeanza maana ikichagua nje na ukanda wao wanajua ulaji umekoma lisu anataka chama kiwe Cha wanachama wote sio mtu mmoja

  • @deodatuskuyenga5192
    @deodatuskuyenga5192 7 годин тому +1

    upo sawa mzee baba lisu aende na ushamba wake mboe mimi namchagua miaka mia mwenyekiti lisu anabip ajikumbushe slaaa yupo wapi alijiona kama yeye leo yupo nje anatamani kurudi lakini aiwezekani

    • @rashidmohd115
      @rashidmohd115 6 годин тому

      Kwani huyu mbowe n mtakatifu ktk chadema kua nafasi iyo yeye pekeake ndio anafiti wengne wte hawana akili.

  • @godfreykahabi1964
    @godfreykahabi1964 6 годин тому

    Lissu viva aluta continua

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 6 годин тому

    CHADEMA TUACHE MANENO MENGI NA KUJIANIKA KWAN MWENYKIT SI ANACHAGULIWA?? TUACHE KUJIANIKA TWENDE UCHAGUZ UAMUE MWENYEKITI FULL STOP. SIJAPENDA HAYA MANENO NI USHAURI TU.

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 4 години тому

    Hili nalo bichwa kubwa kumbe akili nzuri halina,yaani kisa uenyekiti ndo asemwe lissu?mbowe kakifanya chama mali yake

  • @deodatuskuyenga5192
    @deodatuskuyenga5192 7 годин тому

    bonn wewe mwanaume tena naomba uwe mmewa wa lisu mshamba ana sifa ya mwenyekiti mboe anafaa miaka 2000

  • @damiankilyenyi5367
    @damiankilyenyi5367 6 годин тому

    Hiki chama cha Demokrasia na maendeleo, yaani LISU ameshakuwa adui wa chama kweli ni aibu kubwa. Mwenyekiti ni kama Mungu haguswi, kwa nini msiruhusu kura zikapigwa mshindi apatikane kwa kura kuliko kuanza kumshambulia, mtu aliyepigwa risasi na nyingine zimo mwilini, lakini Leo anaonekana adui.

    • @JamesSamatha-vi6lg
      @JamesSamatha-vi6lg 5 годин тому

      Hahahaha daaaa cham kinaenda kuanguka hicho achieni nafasi ya umwenyekiti aingie mwingine

    • @JamesSamatha-vi6lg
      @JamesSamatha-vi6lg 5 годин тому

      Chadema ya mbowe haiwezi kuitoa ccm madarakani nyie walamba asali tu mbowe kawagawia mfwebe hamn jipya