G pullet kwenye mic... The best verse of all time .. Kutoka Nikuwe born cjai skia rap verse Kali Kama yake... Ikona both humor, sarcasm Na proverb Ndani... The best 🔥 🔥 🔥
Ephesians 5:15-17 "Be very careful, then, how you live - not as unwise but as wise; making the most of every opportunity, because the days are evil. Therefore do not be foolish, but understand what the Lord’s will is."
It's 2023,,,, I'm still enjoying the vybe
Have noted people are still watching this 9 years ago. When music flow was top..Imenipea vibe nomaaaaaa
Chikago Madness 😂⚡⚡💥👌.G-Pulleit Cypher Still Slaps Hard Like It Was Yesterday. Good Ol Days Mehn!
G pullet kwenye mic... The best verse of all time .. Kutoka Nikuwe born cjai skia rap verse Kali Kama yake... Ikona both humor, sarcasm Na proverb Ndani... The best 🔥 🔥 🔥
I ningekuwa apo ni dance c walk walai hii imeweza ❤❤pullet the G
Uyu bro ako na jezi ❤❤
Plus the guy mwenye anafuata💯
Lowkey!
2024 nimekam tena cypher....topper the toppest
2019 WHERE YOU GUYS....NEED MORE OF THESE BARS
Ruiru Dani Bao Bao murdered the beat🔥🔥🔥. Lil Maina Kinare matapeli hao.
ati nilifanya uncle Moody A wori🔥🔥🔥👏👏
Nilifanya anko moody a worry 😂🔥
PULLET you have potential to be a great MC for sure...
Haha, ona haka, ni kama daudi alikabaka.....maaaaaaaaan! the first guy is on point!
😂😂 kali sana
ilus kali sana...mijeledi ukiwa macho redy
Since 2017 still listening to this great gang
G pullet
Alifanya Uncle Mody A wori
Had to come back and check on my homies... Antidote to hao mafalaa, hawana taxin na ati wamekuja kutemaa 🔥🔥🔥😂😂😂
Sickhead....more tei ni doom🔥🔥🔥🔥
Nje sigingi hapo sawa nko proud
G pullet ngorii, alafu pia Low-key ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
The first guy ni noma 😂😂😂
Is any one of you guys still around and doing music?
I’d like to work with you
This guy's very much inspire us💥💥🔥
I got links to some i bet
SickHead mambo mbaya...
HiI ngoma naishingi kuiskiza....🔥🔥🔥🔥💥Hadi wa Leo....Hawa wasee warudo Kwa game
Wah...kitambo sana ..still hits
5:03 ILus 🔥🔥 Huu mjamaa ni Mjanja sana anajifana lakini ako sawa Mistari ako nazo.
G pullet and Lowkey..killed both cyphers!!!
Where is low-key now? This guy was Destined to be great.
Bro nicheki @ lowkey 254
Ni vile ako lowkey😆
@@collinsmwaura1637 ako low key 😅
Sign hapa kama umeletwa na Nairobi gossip 😂😂
Lil maina ndo amenileta huku😂😂
Hii mbogi ni noma!Assap They should check in 2020!
2023 still a hit🔥
mtapeli amenileta apa
Niko hapa juu ya Mtapeli
2023 and its still 🔥🔥🔥
I came to check it after copyright
Ephesians 5:15-17
"Be very careful, then, how you live - not as unwise but as wise; making the most of every opportunity, because the days are evil. Therefore do not be foolish, but understand what the Lord’s will is."
Alwhez bossin de Kenyan hip-hop from America,,mo love na Raspekt
Hii ndio yenye tapeli ameiba😂
Bana
love it love it,watching nikiwa moyale.hiphop for life mabuda
Wachana na mtapeli 😂I
Where this dudes right now they mad spitting
Hii gang ilienda wapi i really liked it
Like a fine wine 🍷..big big... Ruiru ndani mbao mbao 🎉
Lil maina alitoa verse huku ya hio song kinare.
This is so cool i have been following wat u guys do yaani nmetii nyinyi ndo wale wasee #big talent #pullet #node we save the last for the best haha
Napenda hiyo mistari
😂😂😂😂Uyoo wa kwanzaa😂😂aache tabiaa mbayaa😂😂😂shenzi sanaa
Na niliwaaambia -- "mistari kwa wingi msanii unaeza kopa/
Lakini usiibe ka wire Za copper/
😂Mtapeli
Jamaa hii ilimpita mbona😂😂😂
Lil maina brought who here😂😂😂mtapeli bombo😂😂😂
2020 still Lit yooooh 😂💯
Ati mimi huwa Jaba ndo niwapee full anderstanding ya kuwa nasa
Dope meeeeeeen!!!G pullet on point
Sickhead pia🔥
Ati More tei ni doom...kali sana
Ilus 🔥 🔥 ruiru ndani bao bao
Ruiru ndani mbao mbao
Baddest producer,🔥🔥
Baada ya Kinare😂😂
Noma, hii time nlikuwa primary nafanya upuzi
2023 April is hot 🔥🔥
@Low key where you at?
Mtapeli aliiba verse apaa😂😂🙌
bana
i love his so much i never stop listening replay 100000 give us more
Skiza kaka beef achia paka😂😂 celebrating 5 years Yoh.... 🤧💯🔥 Mentored me in my current music career Bro... Big up. From County 035 Thee Green Town
Ati mtema kuni alikiona kimewaka akaondokea ye ni wa masigara😂😂noma sana
Back to it again 🎉
Kali oe💪💪
I had to comeback here in 2022
Cant get enough of this banger 🙏
R.I.P to all the deceased ♨️ been rewinding since 2015💥💥 moja baddest my Gs
27 April 2024
Still listening to my niggaz😂❤🇰🇪
sickhead & g- pullet,🔥🔥🔥🔥🔥
Yaani kitu inanyc ni ati akuna msee anastruggle wote ni moto noma
Pullet ako wapi banaaaa
@David irungu maze rudisha hawa wasee studio wafanye mambo
Nice and new #kehiphoprevolution
#streetrap
#+254freestylingcyfer
#isupportkemusic
#realhiphopmusicisneverplayedontheradio
Kaliiii🔥🔥🔥
I wish we had more of this men
2024 innit
Haha hawana takzin lakini wamekam kutema
G pullet eish man
does this still happens ?? 2018 I gotta come through guyz
sickhead na lowkey🔊🔊
Ilus arudi game joh 🤟
Daudi alikabaka noma sana
Here from TikTok. If you know you know. Big up Mkenyaa
Yoooh🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I LOVE CYPHER MEEN..ANYONE WHO CAN HELP ME LINK WITH ANY CYPHER THAT THIS TEDDY JUGULAR BOY IS IN PLEASE????
2019 still top
Hawa wasee wako piwa🤔
nomaaaaa🙌🙌🙌
Waitin on part 3
2021 BIG UP nOMA NI ? nOMA!
2024 oct still listening
Shit gets finer with age 💯
First guy Ana spit 🔥 ati nafanya modi aworry ona haka nikama daudi Ali kabaka
so hapa ndio mtapeli aliiba verse?
Imagine
😂😂 hizi ni bars za 2014 na zilikuwa zimeteka kenya in 2023🔥
1 cube kwa belly=kitambi😂
2018 anyone?
g pullet.. trexxy.. sickhead.. node.. mko fty tu nyi wte aki ya nani... lakini gpullet ni muguruki
2024 and still cooking..... 🎉