Better Luck Next Time - Young & Stupid 9 Ep 3
Вставка
- Опубліковано 11 лют 2025
- In this Episode, I tell the story of how a young chap, despite swearing numerous times that he was done with women still ended up suffering in the hands of someone else’s woman.
Buy your ‘Makosa Ni Yangu’ Film watch link now at philittv.com/?...
YOUNG AND STUPID: bit.ly/3tYwDm0
Other mkurugenzi abel mutua stories: bit.ly/3sMl7tF
Submit a Story: stories@mkurugenzi.co.ke
Official Mkurugenzi Podcast: spoti.fi/3sL0YXT
Mkurugenzi Merch:
mkurugenzi.co.ke/
SUBSCRIBE NOW: bit.ly/3gQxC4q
Thanks For Watching!!!!
Support Ya Mkurugenzi
Mpesa No. - 0798 659792 - Judy Mureithi
Mpesa Till - 5283289
Shot at Location, Longonot Place Apartments
Happy New Year, Wakurugenzi!!
Happy new yr too🎉🎉
Mkuru next time ukikosa jina ya character chukua yangu (Yash Mayan) nitanuaissss aah nitanuais mbaya usinisahau mkuruuu
Nimetoka na wewe mbali tangu tukiwa Kwa majani chai ukishoot na simu Mzee usinisahau sahii wakati umemake
Mwaka mpya na Better luck next time
happy new year to mkuruuu...umekuwa mtrue 2024....i hope u got us 2025,,,
If u agree that Mkuru is the BULL of UA-cam Storyteller!!Anguka na comment yangu🎉🎉
Much big up to mkuru
Nimeanguka nayo Yan imedondoka Chini kabisaaa,,😅🇹🇿
Mkurugenzi just incase you didn't know, you keep most of us company...... me and many others are grateful. ASANTE
I might not be his friend but for sure he is my best friend here in gulf ❤❤❤❤❤
I might not be his friend but for sure he is my best friend here in gulf ❤❤❤❤❤
Imagine na clean hao na Mkuru. Ndo nimerudi mboka. Mode. Company. Kwanz headline hitters! Hadi unaweza pika udishi na uoshe vyombo supper. 😊
Sure
Baana on a daily basis
Ati leo ni sikukuu bona tunapewa hivi 😂😂😂😂 mkuruu the G💪
😂😂😂😂😂 style deadly deadly
😂😂😂
😂😂😂
Today Mumbus turns 15 years old,we want to wish her a happy birthday and a happy new year filled with happiness grace,favor,joy and abundance.More Blessings Steph keep soaring higher 🎉🎉🎉
Ni tatu tu imebaki 😂😂
Hope tutapata footage ya birthday yake kwa channel ya Bi.Mkurugenzi
😂😂😂 2028 si mbali@@Vincelola_1
Deno unamark😂
😂
Mkuru Tunataka story ya santiago airline the aeroplane that went lost for 35 years and came back with 95 skeletons on board we want your own version.
That ain't true bro😂😂
Wait what🤣🤣🤣☠️☠️
It cannot be true
😂😂wee mzee
Go watch manifest..it's a series
Wasee sijui kama mnajua leo ni birthday ya mumbus . I bet you didnt even know
Happy Birthday to Mkamba 🎉🎉🎉
Aii! Mbona mkuru hakutushow? Napita Bamas na kichwa ya ng'ombe
Sherehe early Jan, Happy birthday
Kwani ni sikukuu mbona tunapewa hivi....😂😂😂😂😂hii imeweza...
😂😂😂😂😂naisha😂😂
😂😂😂😂😂😂Na Abel nachekea watu usiku utakuja kuniua mimi Ati the aaaaaaaaiiiiiiis have it !!!
😂😂😂😂😂😂jamaa alichambua vipengele za wenyewe😅
Happy new year wakurugenzi.Piga like if you've seen the grace of God coming your way this year.
"kwanini sauti yako iko pale?"😂😂😂😂😂😂
Nduru ya happy new year si ya kuchezewa😂😂
Hii ilinimaliza mbaya sanaa🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂
Jacob to Leah: Aaah..Weeh Mbona husemi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💀
😂😂😂😂
Aaaaaaah😂😂😂
Here I am
😂😂😂😂
Mkuru...ebu tupigie hii stori ya Sophia na Bumpy ...kuskiza 2 Hours podcast siwezani
20:30 you had me at first half that one, care taker amezima stima, lone ranger ako solo kwa mattress kijana wetu posture imemlemea na kuna giza, dem ako washroom bado 😂😂 I expected a very bad change of event for a second there 😂😂😂😂
😂😂😂😅😅😅,hii nayo nimecheka kwa sauti bila kujua juu ya headphones ,nyumba ikona giza😭,this was really funny,kwani huyo dem hajui mtu wake,ata kwa giza ntajua mtu wangu bana😂😂😂, anyways jamaa aligongewa na si mayai😂.....
Happiest birthday mumbus 🎉❤,
hapo kwa flashlight imeniweza😅😂
Finally I managed to watch makosa ni yangu hiyo show iko top wallahi good job mkurugenzi 🎉🎉🎉
Zainab hi
@alinzimo6757 hey
Hawa warembo ni stima. waneza fanya umadwe au life ispoil kabsaa. Good story Mkuru.
hii imenimaliza🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuru next time ukikosa jina ya character chukua yangu Yash Mayan nitanuaissss aah nitanuais mbaya
Happy New Year too Mkuruu.
Huskii bado nacheka hadi saa hii😂😂 eti 'beb, mbona sauti yako iko huku?'😂😂
Dem ameenda lote mama(sautisol song😂)
Happy birthday Mkamba wa Mama aka Mumbua we love you❤🎉🎉🎉🎉
Happy new year Mkurugenzi😂🎉niko na suggestion 😂mkuru ebu leta Merchandise ya kitenge 😂wazazi wanataka😂🎉🎉🎉🎉that said ...lets rooooooollll🎉
😂😂 ati kama indomine itashuka
Uyo Dem alikua mlaya😂😂😂ju hata harufu ya mtu shuwali utajua si yeye😂😂😂😂
The game was better. Dame ni kujifanya she didn't know😂
@@kennedykiboi9152 ikapata mtu wetu akiwa kutu😂😂😂
Happy Birthday mumbus 🎉
Is it possible to have mkurugenzi loyalty points? Mimi natutambua, hatuezi shindwa kumake cards kama za supermarket and we have loyalty points for every physical event one attends redeemable by maybe a reduction of the price of ticket later or merchandise. Think on it and maybe make the idea better
5:42 dust😅heri nipeane ya mzazi lakini si yake
Nimecheka nanguvu hadi Neighbour akanigongea mlango ..!!!😅😅 hapo kwa ' kwani leo ni sikukuu mbona tunapewa hivi !' 😂😂😂😂😂
sijacheka hivi for a long time .. wah umenibamba sana
This is funny asf🤣🤣🤣
After the mistery envelope, i'm adding this to my one of the best funny content of young and stupid series 😂
wakururugenzi kumbukeni consistency is better than motivation.
manze abel i think im ur first highschooler number one fan
hapoy new year, mkurugenzi,
keep moving its 2025, we expect even drama menh, stories mob, na hot documentaries. tuko na wewe hadi 2025 iishe. #MunguMbele
Huyo hana better luck😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Nyota yake iliibiwa
Mkuru undercover in qatar niaje...we've waited enough jameni
Sijawahi pata Jamaa wetu manze, nikama alienda mitini!
Na stori Fulani ya Ali ya last but 1 recording yenye mlihype na bi mkuru afterwards@@Mkurugenziii
HAppy new year🎉!by January kuisha mkurugenzi akuwe amefika one million ❤️
Happy new year,,,
Mkuru nipee kazi ya kumalizanga io juice
Niaje Mkuru ukipata time, piga story ya Noura Al Taqaqa, the famous Kuwait singer who sang for jinns at a wedding
Ati mbona tunapewa hivi🤣🤣🤣,I die
Mkuru the real GOAT💪❤️❤️❤️
Uongoo,,, mrembo alibebana Wana,,, A very nice story,,, to Bachelors,,,,Adios muchachos wakurugenzi,,,peace mkuru
Sio machakos ni muchachos
For those watching while on bed, register here. 😂
Reception ni wapi?
Nimeregister
@@lucas.senior hapo mkuru kaweka juice
Yaan me jmn nachukuaga SIM za wanafunzi wenzangu,,namsearch mkuruu nasubribe af nawarudishia SIM zao,,
Cha msingii subscription zifike Ile goal tunataka,,🇹🇿🥰🥰🎉
0:14 ...Amen...i know i deserve it ❤
wakurugenzi mnaeza niokolea job
Soma comments ntakulipa
Sina form but all the best
In the Building watching from Baltimore MD 😎😎😎
mkurugenzi honestly you are the gee in this thing manze kwanza the iiiiiiis have imeniseep kwa floor walai
Support for our boy Michael Olunga who plays for Al Duhail in Qatar league 😎👊👊
hio ilikua sikukuu kweli 😂😂😂
😂😂😂😂 Mkuru sijawai cheka hivi!!!!
Ety the ayes have it 🤣🤣🤣
Unajua kuna mahali constitution inafikanga pale mahali pa the Aaais have it 🤣🤣🤣🤣. nmeisha mbaya
Happy New Year Mkuru🎉🎉🎉
Unitag ama niseme kama si kijana yetu olunga haungekuwa na jersey leo😂😂😂😂😂♥️
Mkurugenzi c utupee stori ya Oj Simpson
One of the funniest & best episodes ever! 🤣
Mkurugenzi anajua kutumia tasfida vizuri tena sana.
Exemplary storytelling as always.
Hello mkuru tafadhali tuchapie story ya assassination of Dr Robert Ouko
Have never laughed in my entire life like the way have listened to Mkuruus story 🤣🤣🤣🤣🤣
Hii story ya kuchambua vipengele😂😂kuna one of my cousins ishai mfanyikia na yeye ndio alikua host wa bash🤣🤣
One of the funniest story by mkuru😅😂 but the moral lesson of the first phase of the story is that easy come easy go
Basi niombee!!!!! God is good. I started the year ROUGH! My little dog got attacked by a German Shephard and 3,1085 is my bill. That is how 2025 started for me!!!!!
Top G siku zote
Great story 😁👏🏿
Twende kazii
This story just made my morning Mkurugenzi Always in Love with your storyline Selection
Happy new year to you too Mkuru have it a blast🥳🥳🥳.. Anyways Mkuru kukumbusha tuu utuchapie ile story ya Mysterious Death of Jenniffer Fairgate in room 2805
Last time polisi waliniuliza kwa simu itakuja ama tukukujie nliwaambia kwani ni njia hamjui, long story short nliumia baadae
Na si Mkuru uko na ufala....
After the big foot headline hitters, this is my all time best hadithi,,, coz I relate😂😂
Mkuru nayo i want to be like you when i grow up bana
Year well started nice I like n still love it well done mkuru
Mtu hawezi amini nikisema nimewatch video zenyu zote 😂 lakini it's definitely always worth my time
Big up manze 🫶🏿
Happy Birthday Mumbus❤ beautiful girl
Happy birthday mkamba wa mama ❤🎉
Many content creator have tried to imitate you but ahhh urs is just unique!! The only Kenya you tube channel I have subscribed❤
This is the 5th time I'm watching and everytime I watch it feels like it's the first time😂
Mkuruuu always delivers buana....Wapi likes za Mkuruuu👍👍
Mkuru my 7 year ameniuliza kama hizi story zako huwa za ukweli.....😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Coincidentally my 8 year old ameniuliza the same question tu sahi😂😂
@@starmbathacrotchetanddesigns 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Why is a 7 yr old listening to these randy stories
Happy Birthday Mumbu/Mkamba much love from Papua New Guinea.
But, niko na request moja Mkuru, could you kindly give names to the characters in your stories like you used to?
Haki nimerudiq hii episode 10 time but niko confused kidogo.
Si kwa ubaya, ni menopause inafanya akili isiconcentrate hope unanielewa 😂😂😂😊
Ningewapea story yangu lakini hii ni moto😂😂😂😂😂
Kama sio mambo ya mungu na pesa don't call me too
So good I had to listen twice, kwanza hapo kwa watu kuwa wazuri kumuachia matress 😂😂😂
Kuletwa karibu😅😂😂😂😂😂
😂😂😂noma
Hii imenijengea siku 😂😂😂
Nilikula Mali ya Njoro juu Njoro alipiga makali akazima
WakuruGenzi .........THIS IS YEAR OUR YEAR $ AMEN to THAT
Tugawe KADI ..........KDD
Unaweza sema huyo msichana na huyu boy wetu waliona GIZA
Mkuru my Guy 🎉🎉🎉🎉🎉🎉ndio kudonjo 🎉🎉🎉
😂😂😂 hii ya leo kali😅😅😅🔥🔥🔥🔥🔥
Nko nyuma n episode moja but nko on😊
It's a new year wakurugenzi 😊 may this year be your year in Jesus name 🙏
Mimi nayo mambo ya wasichana Niliacha nijikute ….mkinipata ni kicc nikue statue am goneee 😢ladies ni ……..
hi ni moto❤️🔥❤️🔥
Abeli listening to your stories nikiwa deployed maze asante Sana
Aaah!! Rada??
@Mkurugenziii Rada Safi Bro maze Jua ya hizi pande za Eastern Kenya ni kali Sana. Lakini Stori zako zinaslap kama Smochaa!!😂
This is handsdown the best story ever. Naisha mbaya😂😂
😂😂 nikona story inaendanisha na hii where do I send😂😂 wonderful
"Oh you can leave that chicken" 😭😭😭😭 I can't dude is funny
Eti KDIC😂😂🤣🤣🤣🤣🤣walaii mkuru
Only one noticed the signed
Jersey.....#true fan will know wat I'm talking about ❤#watu wavae jersey original 🎉
After kudownload nakuicheki nimeisha mbaya imebidi nirudi huku.....buda imeweza
Hio jezi 🔥🔥🔥
Olunga
😂😂😂😂this one is hilarious 😂😂
Happy birthday to mumbus
Happy new year wakurugenzi,may the mighty God walk with you all this year🎉🎉❤
mkuru ww ndio unafanya tusioe ju hizi story zako zinatukeep company mbaya sana🤣🤣🤣