Shalom shalom watumishi wa Mungu jamani nilikuwa naomba kupata wimbo wa mtumishi mmja simjui jina alimba rumba ya Asubui nitaimba wema wako na subui nitaimba wema wako .pls nisaidie nipate
Huu wimbo bado haujatoka mtumishi ni wimbo wetu pia. Endelea tu kutufuatilia kupitia instagram tukiutoa tutapost kuwataarifu. Mungu akibariki sana mtumishi...🙌🏽
Adikeni wimbo unao sema welcome
Amina❤
God Bless you ❤
Shalom shalom watumishi wa Mungu jamani nilikuwa naomba kupata wimbo wa mtumishi mmja simjui jina alimba rumba ya Asubui nitaimba wema wako na subui nitaimba wema wako .pls nisaidie nipate
Huu wimbo bado haujatoka mtumishi ni wimbo wetu pia. Endelea tu kutufuatilia kupitia instagram tukiutoa tutapost kuwataarifu.
Mungu akibariki sana mtumishi...🙌🏽
Nakukubali Sana bassist
🙏 Amen
@@agapegospelband 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Courage kk
Nadai ile song ya kupiga danse
hans hajaongea😂
Amen 🤝
Natafuta wimbo wenu wa Jua halitanipiga mchana na mwezi wakati wa wa usiku.( ukae na nami) Tafadhali nipeni maelekezo ya kuupata.
Ako wapi huyu wa "nimeziona baraka" yuko wapii
hans hajaongea😂