CCM ilihamisha watu kata ya Lituhi Nyasa kwa sababu ya mafuriko ya mto Ruhuhu. Suluhisho ni kuziba mto Ruhuhu na kutengeneza bwawa la Kikonge, umeme 330mw na kilimo Cha umwagiliaji kunufaisha wakulima 20,000.00. pamoja na bunge kupitisha bajeti ya Tzs47bn mwaka 2022/2023 lakini mpaka Leo hii hakuna kinachoendelea
Mtaka yuko vizuri
Amenkumbusha sanaa yan Enzi za Fadha Merodius bg up sanaaa an❤❤❤
Mkuu wa mkoa mh Mtakka ,Baba,uko vizuri Sanaa ,endelea kutufungua akili ,tupone kudanganywa.
Namkubalii sanaa Mkuu wetu wa mkoa❤❤,point kubwa sanaa yan ametoa
Maelezo mazuri sana. Hongera sana mkuu🎉
ACT miaka 4, CCM miaka 63. Mungu atusaidie
Mipango mizuri sana hii ya uwekezaji
Ok
Huyo mbunge wa Ludewa hiv kweli yupo?