Bi Msafwari | Je, ni kweli wanaume wanateseka kwa kutodekezwa na wake wao?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 15

  • @rosekadzokadzo1401
    @rosekadzokadzo1401 4 роки тому

    Mapenzi hayNa umri... Mam bimsafwari na mariam kongole sana mafunzo mwafaka....Rashid pia Tibim

  • @ochiengacholla
    @ochiengacholla 4 роки тому

    Ushauri nasaha, mzaha mzaha hutumbukia usaha

  • @fridahmalanga906
    @fridahmalanga906 4 роки тому

    Noted

  • @rahmahassan3206
    @rahmahassan3206 4 роки тому

    Kweli kabisa mnachoonge

  • @isareje8579
    @isareje8579 4 роки тому

    MSWAFARI Miriam sambamba

  • @margareosoro1875
    @margareosoro1875 4 роки тому +4

    Hata umudekeze vipi mbona mwanamke amebebe majukumu yote ,mbwa ni mbwa tu hata umpe vyia mbinguni

  • @sylfiailavonga9867
    @sylfiailavonga9867 4 роки тому

    Mwanamume hata umfanyie nini atakuacha tu hata umbebe mgongoni walai ataenda tu.... Nawapenda wanangu tu mwanamume akwende huko nkt nkt🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮

  • @calisterbosibori151
    @calisterbosibori151 4 роки тому +1

    Mume hata umfanyie chochote...kama ni wakukutoroka ataenda tu... ukipenda mume saaana atakuacha... hahaha uuuii

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 роки тому +2

    Mwanamme ana khulka ya kwenda na mpango wa kando, kuanzia kuzaliwa mtoto kwenye 40, nani alaumiwe hapo, alozaa ?