BIBI WA MIAKA 60 AMPELEKA POLICE KIJANA WA MIAKA 27 SIJALALA NAYE MIMI HANA ADABU HUYU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 308

  • @tulimwaipopo-eq3be
    @tulimwaipopo-eq3be Рік тому +15

    Wewe mtoto unaemtetea huyu mama Mungu akukumbuke

  • @VioletNamz-tq4tg
    @VioletNamz-tq4tg Рік тому +4

    Pole Sana Kaka pamoja na Bibi, dunia imeenda tuko mwishoni.

  • @LilianKahaso-em1ek
    @LilianKahaso-em1ek Рік тому +2

    Huyu kaka nimempenda sana hongera umeonge vizuri saana❤

  • @MamuissumailinassoroNassoronas
    @MamuissumailinassoroNassoronas 2 місяці тому

    Hongera kaka umeongea sana upo vzr

  • @VioletNamz-tq4tg
    @VioletNamz-tq4tg Рік тому +8

    Mungu akubariki Kaka yangu kwakusimama pamoja na Bibi utalipwa.

  • @LaCharmanteL
    @LaCharmanteL Рік тому +1

    Mashaalah kaka asante kwa kuongeya vizuri na akili kweli. Yani karibu niliye maskini ulipo zungumziya kumzika mama yako. Barikiwa kabisa. Na Mungu amshindiye uyo bibi yetu. Ila piya sote tufunzwe. Ehh Bwana Yesu atuepushiye, dunia mvurugo.

    • @annembithe9846
      @annembithe9846 Рік тому

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @sarahdanny-k5k
    @sarahdanny-k5k Рік тому +6

    😂😂😂 Bibi hovyo nakijana hovyo tu mabusu yameishia wapi😅😅😅

  • @EshaKinjumbi
    @EshaKinjumbi 13 днів тому

    Weee kaka nakupoongeza sana kwakumsimamia bb

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 Рік тому +1

    Penzi la bibi lavunjikaaa msitutuo kwenye reli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Oman-nu2kc
    @Oman-nu2kc Рік тому +2

    Jamani bibi kacheza vzr sana nmeona hiyo nafsi saba noma❤❤ jamani muongalie hyo nafdi saba mtapenda

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 Рік тому +9

    Huyu bibi uliyataka mwenyewe, kucheza na kijana mdogo, hivi hukuona aibu, kubebwa mikonon mwa kijana, uliyavulia nguo yaoge...

    • @nurusaid4698
      @nurusaid4698 Рік тому +1

      Unatumiya Kiywaji Gani Cjui Mtu Ufanya Mambo Yake Bila Kufikiria Yamemkuta Anajutia Aki Cpowa

    • @niwemugenimediatrice5640
      @niwemugenimediatrice5640 Рік тому +1

      Eti kwa miaka alionayo huyu atasema je ?

    • @rosekadzokillian9700
      @rosekadzokillian9700 Рік тому +1

      @@niwemugenimediatrice5640... Yashamwagika tayali, kuyaxoa ngo'o,. Pooping

    • @nancyabuga7944
      @nancyabuga7944 Рік тому +1

      C mlikuwa pamoja mkishikana sasa unakataa

    • @rosekadzokillian9700
      @rosekadzokillian9700 Рік тому

      @@nancyabuga7944 ndio nashindwa mm

  • @florangido202
    @florangido202 Рік тому +1

    Bibi si Ulikubali Mwenyewe Kumpa kiki, Sasa Police wanausika Vipi!!
    Ndiyo Madhara ya Kukubali Upuuzi..Si Ul8kubali Kuonekana Mke wake Ukiwa Mtu Mzima.
    Mbona Ukampiga Kibao Cha Wivu kwenye Interview.
    Bibi Kubali Umeachwa Uwo ni WIVU. MSAMAHA WA NINI...
    BIBI KAA KIMYA BANA.....😂😂😂

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu7641 Рік тому +1

    Good boy aacheeee kabisaaaaaaaaa eeh

  • @niwemugenimediatrice5640
    @niwemugenimediatrice5640 Рік тому +9

    Police tunawasumbuaga kweli!!!

  • @perfectpixelsstudio3603
    @perfectpixelsstudio3603 Рік тому +1

    😅😅😅😂😂😂😂 kijana nae anatumia upepo kutangaza tamthilia yake 😅😅😅

  • @sultanaswaleh8892
    @sultanaswaleh8892 Рік тому +1

    Looh ! Poleni sana. From kenya

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 Рік тому +5

    Pole sana bibi lakini usikubali tena kuwasaidia vijana kiki Maana kuna watu wanautu na kuna watu hawana utu kwakweli

  • @emmymwakakango6266
    @emmymwakakango6266 Рік тому +2

    Kaka mungu akubaliki na akutunze

  • @rosemdegela6252
    @rosemdegela6252 Рік тому +4

    Mama huyu nae hayuko Sawa kiakili

  • @AzizahOmary-xr9js
    @AzizahOmary-xr9js Рік тому +6

    Hata kama ni kiki wewe bibi ungekua mamangu ungekiona hata kama nilaana mimi ningekutimua utabusu aje mtoto wako ety kiki🙄😎aii zeeka vizuri mama tumekuchoka mimi sioni mkuelihapo wote wakumbavu😠😠

    • @GraceMbula-gh2kz
      @GraceMbula-gh2kz Рік тому

      Kabisa

    • @eunuceogechi9202
      @eunuceogechi9202 Рік тому

      😂😂😂Mimi nilikua nafikiri ni ukweli ju alikua anabebwa juu na huyo kijana.akisema anangoja kuvalishwa Pete😂😂

    • @mamasalhat
      @mamasalhat Рік тому

      Hasara mno kua na mzazi kama huyu hajitambui mala makiss kibao Leo ana sema kiki

  • @mohammedabdullah5895
    @mohammedabdullah5895 Рік тому

    Aki pole sana

  • @AnnaMukhwana-pf4qr
    @AnnaMukhwana-pf4qr Рік тому +6

    Chanzo cha haya yote ni pesa ..nasi tujiadhari tusipende pesa kuliko Mungu

  • @AsmaniZiada-xg2lh
    @AsmaniZiada-xg2lh Рік тому +1

    Heeee yarabii hiyi mitandaoo jamanii makubwa mahaba kumbe kiki hadi kunyanyuwana nakupeyana mahabaa mungu akusamehee hadi baba ya baba harusi kuhamaa kuiaca nyumba yake toba maulana tule vidogo tulale mapemaa

  • @AngeliJoseph-es9hi
    @AngeliJoseph-es9hi Рік тому +7

    Kweli bibi mkomeshe uyo mpuuzi uyo

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa Рік тому +3

    Kiranga komoo😂😂😂 tamaa tu sasa ulivyo kua unampandisha midadi

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 Рік тому +2

    pole sana mama😭😭😭😭❤❤

  • @marieakili3005
    @marieakili3005 Рік тому

    Good amen 🙏🙏. no no no

  • @elikamoses104
    @elikamoses104 2 місяці тому +1

    Jamani hao ni wasanii msitoe comments bila kujua manbo yalikuwaje Naamini hata huyu mama anavyojitetea ni kweli halafu wanawake ndio wa kwanza kumsodoa bila kujua wanachoongea Acheni basi

  • @adelakemile5129
    @adelakemile5129 Рік тому +6

    Wewe mama makosa ni yako. Kwa nini ulikuwa unampiga mabusu huyo kijana saizi ya mtoto wako.

  • @MwajumaSalima
    @MwajumaSalima Рік тому +2

    Wewe kaka yaani unaonekana moyo safi mzuri sana mungu akubariki Jamani ata ukekuwa baba wa family yangu 😢❤️🙏🏾🙏🏾

  • @DijaMriri-wc4qd
    @DijaMriri-wc4qd Рік тому +3

    Bado naona siamini kwa jinsi mapenzi yalivokuwa moto😂😂😂😂😂😂

  • @yosephakomba1201
    @yosephakomba1201 Рік тому

    Uyukaka yukosiliazkabisa mungu akubaliki kaka

  • @FLORAHANSIBERTY
    @FLORAHANSIBERTY Рік тому

    Hatukuelewi,omba toba Mungu hawezi kusikiliza upuuzi,omba toba

  • @RehemaCharles-bc6fn
    @RehemaCharles-bc6fn Рік тому +4

    Kaka nimekupenda unaongea vizuri. Uyu bibi anaongea ukweli

  • @mauafelicia4274
    @mauafelicia4274 Рік тому +1

    Mama huyo ni mshenzi

  • @melitalaunoni4018
    @melitalaunoni4018 Рік тому +1

    Ww Bibi umekosea buana

  • @AishaMuhidin-uj7vw
    @AishaMuhidin-uj7vw Рік тому

    Nilijua tuu mm,ni kiki wabongo baana

  • @khadidjaabdi-hd8py
    @khadidjaabdi-hd8py Рік тому +1

    Bib Kiki zimemponsaa kutaka kumpiga dada wawatu kisa kijana kumbe Kiki kwa kutaka pesaa😂😂😂😂😂 mumeo hamuachani mpaka kifoooo😂😂😅

    • @mamasalhat
      @mamasalhat Рік тому

      Kaachia mdomo kama feni haibu haoni

  • @ishyjuma2246
    @ishyjuma2246 Рік тому +19

    kwa heshima na taadhima, mama pia unamakosa basi pia ..utafanxaje kiki na mtoto mdogo vile na pial na mukabusiana jamaniii

    • @nurusaid4698
      @nurusaid4698 Рік тому +1

      Namshangaa Jirani Ata Yye Bbi Atiwe Ngani Wakati Anakuomba Mbona Ukumkataliya

    • @sarahsara-xe2fe
      @sarahsara-xe2fe Рік тому

      Kabisa

    • @fauziyaomar7090
      @fauziyaomar7090 Рік тому +1

      Kwa wasanii ni kawaida

    • @melitalaunoni4018
      @melitalaunoni4018 Рік тому

      ​@@nurusaid4698kabisaaaaa

    • @sghdrdhidf7603
      @sghdrdhidf7603 Рік тому +1

      Mimi pia nakubali kua bibi vile vile anamakosa makubwa kwann alitangaza ndoa na yeye mwenyewe bibi alikubali na kuunganzia uma kua uyu bwana yake na mabusu kibao wewe mama mshenzi tu umetuzalilisha wanawake na mama zetu wara sikuugi mkono kwa ilo uliyataka acha yakukute

  • @husseinmaula4965
    @husseinmaula4965 Рік тому +1

    Bibi hana haya

  • @sifauseni6900
    @sifauseni6900 Рік тому +2

    Jamani mnaweza kusema uyo Bibi anamakosa lakini yule kaka ni mtumbaya sana kweli inauma sana kweli jamani 😢😢😢😢

    • @fauziyaomar7090
      @fauziyaomar7090 Рік тому

      Sana

    • @nurusaid4698
      @nurusaid4698 Рік тому

      Bibi Makosa Anayo Tena Sana Atashidwaje Akili Na Kijana Anaweza Mzaa Wiwa Jameni Achukuliwe Atuwa Kali Sana Uyu Bibi Kizee Ili Iwe Funzo Kwa Wengine

  • @FatumaMachongwe
    @FatumaMachongwe Рік тому

    Safi sana kijana wangu

  • @irene3abi123
    @irene3abi123 Рік тому

    @shein ataleft group 😂😂
    Maanake nini jamani Tanzania nisaidie

  • @Oman-nu2kc
    @Oman-nu2kc Рік тому

    Vzr sana bro🙏🙏

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Рік тому

    Bibi katulia kavuta.mdomo 😂😂😂😂 mapengo mama.kweli anatakiwa aheahimiwe.kwa vyovyote vile usimdharau mama wa mwenzio ila.mama kwa umri wako Archana na.mambo ya vijana.kukingiza kwenye usanii endelea na kazi zako za sanaa na watu wako wale.wanaoeleweka vijana awafai ss tunatambua kabisa kama ulikuwa unamsahidia kijana basi pole Archana nae mama pambania mambo yko mengine

  • @RehemKipango
    @RehemKipango Рік тому

    Bibi kayataka mwenyewe mibusu na mikofi aliyompiga pale studio veep

  • @magrethpaul5959
    @magrethpaul5959 6 місяців тому

    Hii tz maigizo haya ishagi kha

  • @khadiijoaxmed4763
    @khadiijoaxmed4763 Рік тому

    NYIE FOXE TV MNAJUWA KILA KITU KINACHOENDELEA MUACHENIII MZEE WA WATU NA NYIE MNA MAMA VILEVILE , UYO BBI KISHASEMA KUWA KIKI KILA SIKU SUALA NI HILO HILO TUMECHOKAAA BWANA , MUACHENIIII 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jerusabasweti7212
    @jerusabasweti7212 Рік тому +1

    Where is the wedding

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 Рік тому

    Queen video ndo nini😂😂😂 #video queen

  • @FatumaMachongwe
    @FatumaMachongwe Рік тому

    Good guy NAKUPENDA

  • @queenmwanzia3283
    @queenmwanzia3283 Рік тому

    Very true Kuna maisha mengine

  • @Mb0g0z
    @Mb0g0z Рік тому +2

    Acheni kusumbua POLISIIIIIII,bibi alikubali,hadi interview alikuwa anafanya wana KISS 🫂🫂

    • @mamasalhat
      @mamasalhat Рік тому

      Kajisahulisha huyo bibi😂😂

    • @mamasalhat
      @mamasalhat Рік тому

      Hasara Sana kua na mzazi kama huyu

  • @AzharluqmanHema
    @AzharluqmanHema Рік тому +2

    Kwanzia mtangazaji wote mmepanga huyo kaka na yeye anatafuta kujulikana

  • @AnnaOgutu
    @AnnaOgutu Рік тому

    Kiliio tiari😮mam snosni

  • @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv

    Asante sana kwa kutupenda knamama

  • @elinurukitomali6008
    @elinurukitomali6008 Рік тому

    Ww BB huna heshima hata kidogo. Yale mabusu uliyokua unambusu. Huna heshima hata kidogo mbele ya jamii

  • @aishaaisha5466
    @aishaaisha5466 Рік тому

    Mwandishi Acharya dharau

  • @rahmahussein2020
    @rahmahussein2020 Рік тому +1

    ÀCHA KIKI MBONA HATUKUONA NAYO HAYA MALALAMIKO YAKO USITUCHOSHE

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 Рік тому

    We Bibi Wewe Ebu Tuliza Kikojoleo Chako Juuu Ata Wwe Unamakosa Makubwa Sana Mpka Kuuwa Mumeo Ujui Ata Wwe Unaweza Funguliwa Mashitaka Ya Kudangaya Watu Ebu Acheni Ujiga We Bibi Pia Uliyataka Mwenyewe Ungekataa Ungelazimishwa Na Naniiii

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 Рік тому +2

    Bibi Ogopa Mungu Jameni Utakufa Kifo Cha Mendeee Uliyataka Mwenyewe Ssa Yaogeee

  • @FatumaMachongwe
    @FatumaMachongwe Рік тому

    Asante kijana

  • @aminaalphana2185
    @aminaalphana2185 Рік тому +2

    😂😂😂😂na pua lako kama janareta

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa Рік тому +2

    Na unafanyaje kazi bila ushahidi eti mtwara😂😂😂

  • @RehemaMkubwa-jt5nr
    @RehemaMkubwa-jt5nr Рік тому

    Mi nimemuelewat mtt wahuyo mama mtt wake hawezi kumuongopea mamake hiyo mama nimuongo shaini alikua nimtuwake kweli.

    • @aminafundikira126
      @aminafundikira126 Рік тому

      Hata huyo mtoto hakua mwanae wa kweli itakua ni drama tu ya mchezo

  • @SarahMaloba-gd4yf
    @SarahMaloba-gd4yf Рік тому

    Hoseya unaongea point cheni ajuwi kuimba ndo maana kiki inaendeleya hajelewi yemwenyewe cheni

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 Рік тому +1

    Bibi humeyataka kuzaliliswa utakubari vipi kukisiana kubebwa kuogelea nae mpaka yamekukuta 😂

    • @nurusaid4698
      @nurusaid4698 Рік тому

      Udaku Utatumaliza Kumbe Tupo Wengi Kisha Mmi Nashangaa Na Awa Watto Wake Kipindi Mamayao Anachezewa Kma Kuku Walikuwa Wapi Vile Maana Kma C Kuku Ni Nni Kuku Afikapo Anapewa Anapewa Cndo Uyu Bikizee Ssa

  • @MubinaRoshan
    @MubinaRoshan Рік тому +3

    Ni kosa kutowa tishio azarani

  • @janewamaitha4930
    @janewamaitha4930 Рік тому

    That's true

  • @samahamed2418
    @samahamed2418 Рік тому

    Kiki😅😅

  • @adamoman4966
    @adamoman4966 Рік тому

    Pol Sana bibi

  • @josephinejohn2752
    @josephinejohn2752 Рік тому +1

    Kaka nimekuelewa

  • @francisgituti2494
    @francisgituti2494 Рік тому

    Mbona na wanao walithibitisha hayo yote inakuaje Leo pia kwann hukukanusha toka mwanzo?

  • @JdurnJdurn
    @JdurnJdurn Рік тому

    Waja kutujanganya mlisema bibi alikufa tena Yuko hai bara hilo😊

  • @salimakuyela7813
    @salimakuyela7813 Рік тому +1

    Ote nyie waongo tu bibi kishazagamuliwa na ameumizwa baada ya kuona sheini anamzunguka bibi ameludiana na mzazi mwenzie kiukweli bibi anamakasiliko ya kuachwa 😂😂😂 na wewe kaka huna lolo unataka umlale na wewe tu huyo mzee

  • @ngowibeatrice1701
    @ngowibeatrice1701 Рік тому

    Kweli

  • @sperabais
    @sperabais Рік тому +1

    Hata mimi mwanzo nilijua mkewe aisee ila kumbe mambo yenyewe ndo yako iv uwiiii

  • @لفونوكينيا
    @لفونوكينيا Рік тому

    Mm.siwamini.kiki.gani.hii.wakat.alisema.alimtongoza.mwenyewe.huyu.mama.nikigeugeu.mtoto.alijua.maji.ni.marefu.karud.nanyuma.saiz.mwamtafutia.makosa.kijana.kama.anamakosa.na.watoto.wa.bibi.mbona.wamfukuze.mama.yao.waliona.upuuz.gani.😂😂😂😂

  • @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv

    Safi sana broo

  • @samahamed2418
    @samahamed2418 Рік тому

    Huyu bibi hashuo😅😅😅😅

  • @TumainJackson-r8g
    @TumainJackson-r8g Рік тому

    Hata ukienda polese umeyataka mwenyewe na umejichola mwenyewe mjinga ww fala MTU mzima ovyo

  • @qatarworls1902
    @qatarworls1902 Рік тому

    Hamjalala pamoja na vire mnasikananga ma mbega mka kiss kwa camera mkaenda GYM kunyorosha miguu na baskeri😂

  • @christinainnocent3184
    @christinainnocent3184 Рік тому

    Ni wewe bibi ndio uombe radhi kujidhalilisha mwenyewe kwani ulilazimidhwa? Weee kama uthibitisho nenda BASATA kaulize sheria za kujiunga na na fani za sanaa. Na bora ukae kimya uendelee hatua xako za Mtwara za kufumga ndoa za usiku na kula chikandanga😂😂😂

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js Рік тому +1

    Wewe kijana usiingilie mapenzi yao kwanini bibi afanye Kiki nakijana mdogo bibi huyo niaibu tu

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 Рік тому +1

    Toka huko wewe bibi mwenywe amasema mume wake amefariki, muda wote ulikuwa wapi,

  • @islamicreligiontv2718
    @islamicreligiontv2718 Рік тому +1

    Mi ushauri wangu bibi achana na hizo interview, coz unazidi kujidhalilisha

  • @margaretkaranja1864
    @margaretkaranja1864 Рік тому +1

    Mama ajiheshimu mwenyewe zile vitu walikuwa wakifanya wote wachezi

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 Рік тому

    Mimi siamini kams ni kiki mabusu yale looh musituchanganye sisi fumanizi tu bibi ndii lilovuruga

  • @janetadhiambo4618
    @janetadhiambo4618 Рік тому

    Tumechoka na hii story

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 Рік тому

    WaaaaLa.

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 Рік тому +2

    Nikikukumbuka haya mambo yalivoanza simuamini mtu hata hii nahisi ni KIKI.

  • @queenmwanzia3283
    @queenmwanzia3283 Рік тому

    Kweli kabisa

  • @monicamtui2596
    @monicamtui2596 Рік тому

    Mama mbona sikusomi hiyo kiki sijaipenda

  • @roydahnachona1594
    @roydahnachona1594 Рік тому +3

    Acha Zambi ww mama mungu anakuona

  • @madinajamada9180
    @madinajamada9180 Рік тому +1

    Ulisema ww mkiristo sasa hivi unabadilisha

  • @FawziyaSeif
    @FawziyaSeif Рік тому

    Kweli yanaumiza

  • @viviannanjala4114
    @viviannanjala4114 Рік тому

    Mama mjinga

  • @carolinevijedi9139
    @carolinevijedi9139 Рік тому

    Kile mumekuwa mkifanya kwa siri mungu Ndiye ajue maana kilicho na mwanzo hakikosi mwisho wake .

  • @MonoMono-q7s
    @MonoMono-q7s Рік тому

    Fedha fedheha bibi imekupata mama hayo uliyataka

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 Рік тому +1

    Meneger😂😂😂😂😂uuuwiiii