Zogo Mchongo S2EP8 (Sehemu ya 1): Haya yanayosemwa kuhusu pesa nawe yanakukuta pia?
Вставка
- Опубліковано 10 гру 2024
- Ubunifu kwenye biashara za kila siku ni jambo linaloongeza thamani kwa wajasiriamali na kuvutia wateja wengi. Ubunifu unapokosekana, uwezekano wa biashara kurudi nyuma. Kwenye Episode hii ya saba ya Zogo Mchongo tutakuwa na alwatan Masoud Kipanya , ambaye ni mtangazaji, mchoraji na mjasiriamali ambaye atatupa uzoefu wake kinaga ubaga kuhusu mada inayosema Ukosefu wa ubunifu watajwa kuua biashara nyingi. Lakini pia tutapata ufumbuzi kutoka kwa Bi Jenipher Tondi kutoka Benki ya CRDB unaotatua changamoto za Wajasiriamali.
Haaaaaaa❤❤❤❤