SABABU ZA DK SLAA KUSHITAKIWA, KUNYIMWA DHAMANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 31

  • @mkude
    @mkude 10 днів тому +1

    Mzee anazeeka vibaya huyu.

  • @MrossoBarth
    @MrossoBarth 15 днів тому +3

    Kazi za Samia zaonekana. Hongera Mama. Endelea na kazi

    • @HENRYNa-l5y
      @HENRYNa-l5y 14 днів тому

      😂😂 Yaan ww ni nyumbu tuh

    • @mkude
      @mkude 10 днів тому

      Safi sanaaa huyo mzee anazeeka vibaya na kutoa taarifa ya uongo.kazima ukiwa na tuhuma utoe na ushahidi.

  • @ip_header
    @ip_header 15 днів тому +2

    Mzee kigeugeu, Hafai kuaminiwa

  • @saidakiwale9227
    @saidakiwale9227 14 днів тому +4

    Yaani kutembea tu anaonyesha kaachoooka laki ni mzee mgombanishi sana huyu MZEE

    • @2000-j3i
      @2000-j3i 14 днів тому

      Anataka kuleta vurugu akijua yeye muda wake umeisha

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 14 днів тому

    Tanzania ni nchi ya ovyo sana kwa Nini hakose dhamana hiyo tuhuma ina dhamana. Huyo Samia anauwa watu kwani uongo Na Samia ni mchochezi badala muangaike Na watekaji mnaangaika Na Dr Slaa!

  • @FatnaMfinanga
    @FatnaMfinanga 14 днів тому +1

    Kwani mnatuigizia maisha nikweli watanzania wengi Hawa aelimu elimu nisiasa inamaana nisayansi sawa

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 14 днів тому +3

    huyu Mzee anatafuta pakufia tu huyu

  • @alimzee5526
    @alimzee5526 15 днів тому +3

    Mzee ujielewe

  • @AnyosisyeKiluswa-fe2eu
    @AnyosisyeKiluswa-fe2eu 14 днів тому +1

    Ni kweli ametenda kosa ila hekima inatakiwa itumike kwa mlio na dhamana, mzee wa miaka 76 kunyimwa dhamana siyo sawa hata Mungu hapendi.

    • @geofreyanania1108
      @geofreyanania1108 10 днів тому

      We umeshamaliza na upelelezi ukajua kafanya kweli
      Alafu kesho anashinda kesi utasema nn sasa uccm yako imeingia ile mbaya akilini

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 14 днів тому

    Nakuombea Dr Slaa utoke kwenye hayo manyanyaso

    • @mkude
      @mkude 10 днів тому

      Atoke vipi na yeye ndo anayatafuta.anayataka mzee huyo

  • @ibrahimirove
    @ibrahimirove 14 днів тому

    Afungwe Tu Huyo Mzee Hana Maana Yoyoye

  • @raymondmushi9019
    @raymondmushi9019 14 днів тому +1

    Huyu mzee mwenzangu ananiangusha.mimi simuelewi.alipoondoka chadema,alisema wazi kuwa hataki tena mambo ya siasa.sasa anarudi kwenye siasa kwa mlango wa nyuma.ameisahau kauli yake.namshauri aachane na siasa.umri umeenda inafaa asitaafu tu siasa.taabu yote yanini.

    • @GodlistenTsere
      @GodlistenTsere 11 днів тому

      Alisema hataki siasa za vyama ila siasa nje ya chama anafanya

    • @geofreyanania1108
      @geofreyanania1108 10 днів тому

      Kwani we ni Samia Tena umevaa skirt 😢

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 14 днів тому

    Wamefanya uchunguzi kavla hawajamkamata?

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 15 днів тому +1

    Mtamuuwa bure uyo mzee

  • @FaniaHassani
    @FaniaHassani 14 днів тому

    Dah natamani kumsema neno lakini naogopa Sina wakili..itabidi uchunguzi ufanyike kama maneno aliyoyasema yanamaanisha au?

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 15 днів тому +2

    Kwani uongo? Kumtesa tu mzee wa watu! Upuuzi mtupu, kila mtu akiwa against na CCM au raisi lazima atafutiwe zengwe ili ashitakiwe.

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 14 днів тому

    Mtakaua hakakazee muwe na hurumaa

  • @AndreaDaud-k2c
    @AndreaDaud-k2c 15 днів тому

    Mama mtfutie huyu kasehemu akae apumzike bwana njaaa tu kana penda uongozi ila umri umezeeka kapeleke haya maliasili huko kakale bata

    • @2000-j3i
      @2000-j3i 14 днів тому

      😂😂

    • @mkude
      @mkude 10 днів тому

      😂😂😂😂 kabisa mzee anaonekana njaaa inamsumbua