Nyoka wa ajabu Kericho

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 522

  • @jewelzarry8465
    @jewelzarry8465 Рік тому +4

    I’m watching news of 4yrs ago😅😅😅😅😅😅😅 it’s new for me now😅

  • @Nelly_Kifano..2014
    @Nelly_Kifano..2014 4 роки тому +8

    Lakini Rashid you've come from for God bless your work
    You're skills are amazing

  • @siznic2156
    @siznic2156 5 років тому +258

    Before kws waingilie huyo amebeba mtoto afanyiwe uchunguzi wa akili😂😂😂haiwezekani usikie Kuna hatari Kisha ubebe mtoto uende naye kwenye hatari,ikitokea ule chatu imewakuta kighafla utakimbia aje na mtoi 😂😂😂 Kenya inabidi tusaidiwe maombo toka tz,

    • @lucynjoroge9233
      @lucynjoroge9233 5 років тому +2

      🤣🤣🤣🤣

    • @siznic2156
      @siznic2156 5 років тому +2

      @@lucynjoroge9233 hahahaha not funny at all plz😂😂

    • @nancymwangi4886
      @nancymwangi4886 5 років тому +1

      Not fun for sure 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @roseirungo1950
      @roseirungo1950 5 років тому +22

      Inawezekana amehofia kumuacha mtoto kwa nyumba alfu chatu ajifiche nakumpata chumbani Peke yake😂😂😂😂😂

    • @siznic2156
      @siznic2156 5 років тому +3

      @@roseirungo1950 akili zake anazijua mwenyewe 😂😂😂Yani nimerudia kuangalia sijaamini mm😂😂😂

  • @YussufYadab-ex9yf
    @YussufYadab-ex9yf Рік тому +1

    Right my son Rashid,Yusuf Daud Yadab wa Mazeras.

  • @kellydread174
    @kellydread174 5 років тому +36

    Kiswahili ya the reporter imechanganyikiwa just like the said snake😂😂😂

    • @Elektra_Anthony
      @Elektra_Anthony 5 років тому +3

      Ni mkalee,what do you expect

    • @siznic2156
      @siznic2156 5 років тому +1

      😂😂😂😂😂

    • @munyualeah4722
      @munyualeah4722 5 років тому +8

      Mnajuanga kutoa MTU makosa Sana no one is perfect

    • @kellydread174
      @kellydread174 5 років тому +1

      munyua leah wewe uko confused as fvck

    • @munyualeah4722
      @munyualeah4722 5 років тому +1

      Kelly Dread eee nimebarikiwa Sana na mungu Hadi nimekuwa confused si kupenda kwangu

  • @dji.mini.2
    @dji.mini.2 2 роки тому

    😀😃😄😁😆iko na haki ya kuishi hapa

  • @hanneyhakobyan7942
    @hanneyhakobyan7942 5 років тому +40

    Huyu reporter ati wakenya wamejaa ngori😂😂😂😂

  • @youngmistak4929
    @youngmistak4929 4 роки тому +7

    Waaaaa mkale na kiswahili safi big up

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 років тому +4

    Mungu awalinde wote waliofika hapo Jericho,pole Kwa hofu

  • @samuelmunene6622
    @samuelmunene6622 2 роки тому

    Aki.mungu.akumbuke.kenya

  • @nevilokuthe398
    @nevilokuthe398 4 роки тому +12

    There is nothing as painful as watching the news then you realize its 1year ago!! wa wa wa! anyway news is new.

    • @ahmedrashiid4357
      @ahmedrashiid4357 3 роки тому +2

      Sasa pain inatoka wapi ndugu?

    • @vigilancemkoo3066
      @vigilancemkoo3066 2 роки тому

      😂😂😂this has made me relook, it's actually a year ago. New is news 😂😂

    • @phanicemoraa9384
      @phanicemoraa9384 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @0R3WO
      @0R3WO 2 роки тому +2

      you just made me look....its 3 years ago😱😂😂😂😂💔

    • @joanwanjala8079
      @joanwanjala8079 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 5 років тому +2

    Rashid hao watu watakutoa swaum yko ikiwa utapangiwa kazi na mtu aliye uchi
    .. SubhanaAllah

  • @agnesmacharia2541
    @agnesmacharia2541 5 років тому +10

    Here in filipins small boys are the ones know how to deal with them they just play with them. After that they make very nice food with those big chatus i mean Asian countries.

    • @fatmafatma3033
      @fatmafatma3033 5 років тому

      🤣🤣🤣OMG point taken

    • @wimsywizzy2774
      @wimsywizzy2774 5 років тому +3

      WTF!!!! where the hell is filipins is it even a country.....it's called Philippines not filipins😠

  • @agnettahmusauagnettahmutin1795
    @agnettahmusauagnettahmutin1795 5 років тому +12

    Aty Sheria mkononi,,,rudisha mtoto kwa nyumba kabla

  • @aggycherry9400
    @aggycherry9400 5 років тому +2

    Wakaazi wamejaa ngori...Fada Lord

  • @rhozeymunyali2387
    @rhozeymunyali2387 5 років тому +12

    Nkwambia bahati mbaya ianguke kutoka hpo juu. mbio znye zinaweza kuwa hpo.weee tunaweza pata wtu w kuenda marathon.hizo majani kutapatikana n barabara y haraka sana

  • @catherinejepkoechkiyeng7927
    @catherinejepkoechkiyeng7927 2 роки тому

    Poleni

  • @Footballmoments-p8r
    @Footballmoments-p8r 8 днів тому +1

    2025 gang

  • @lashymreal6555
    @lashymreal6555 5 років тому +5

    Climb up na mtoto huyu jamaa boya sana 🤣🤣🤣

  • @josephmbugua5407
    @josephmbugua5407 5 років тому +1

    Tannku chuma pili 1:48

  • @patrickmwangu2646
    @patrickmwangu2646 3 роки тому

    Hatari xana

  • @JessicaAfricaOfficialke
    @JessicaAfricaOfficialke 5 років тому +2

    Hata sijaiona vizuri

  • @brianrotich4259
    @brianrotich4259 4 місяці тому

    Wait, I just watched this video today!!!!

  • @tatawasusan7201
    @tatawasusan7201 5 років тому +2

    We can climb up there tutoe hio kitu😂😂😂😂.. mgekuwa mmetoa kwanza peleka mtoto home

    • @chelseamuthoni9200
      @chelseamuthoni9200 5 років тому

      Hahaha huyu ni Fala ako na akili fupi . Apeleke mtoto home..

  • @MAXMILLAOMONDI
    @MAXMILLAOMONDI 7 місяців тому

    Hi citizen tv

  • @Swahili37
    @Swahili37 Рік тому

    Asiyejuwa ngeli hajui kiswahili.

  • @ildajonson526
    @ildajonson526 4 роки тому +1

    Umetixha duhh

    • @eucadate2542
      @eucadate2542 3 роки тому

      Watu wa kericho chatu mtuu kwani wewe mwanaume utaeza enda n mtoi place Kama hiyo swali n je nyoka alipanda aje juuu

  • @chepngenomaureen9120
    @chepngenomaureen9120 2 роки тому

    I can't imagine am watching it Dec 2022

  • @trizza3381
    @trizza3381 2 роки тому +1

    Nice

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 років тому +28

    Duuuh ukweli ni kwamba wote wana silaha,But chatu akatoke utaona watu watakavyo fyatua mbio.

    • @siznic2156
      @siznic2156 5 років тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 5 років тому +1

      @@siznic2156 😂😂😂😂😂 Watatimua na Mapanga yao.

    • @frankkotte117
      @frankkotte117 5 років тому +1

      Wewe Mwanahalima una mbio

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 5 років тому +2

      @@frankkotte117 🤣🤣🤣🤣 Sana, Natimua utaona Vimbi 2 mi mwenyewe hutaniona.

    • @frankkotte117
      @frankkotte117 5 років тому +1

      Natamani shindana na wewe basi😂

  • @ephraimomudaki1816
    @ephraimomudaki1816 5 років тому

    Hatari

  • @elkairosway1895
    @elkairosway1895 Рік тому +1

    Does that video camera have an extender to focus tight on the snake so that we can see it closely?

  • @24untold
    @24untold 5 років тому +8

    i heard ngori

    • @eunicemusembi195
      @eunicemusembi195 3 роки тому

      waache Ku cheat wa Kenya tusimame imara kwa maombi

  • @samuelnjoroge5551
    @samuelnjoroge5551 3 роки тому

    Mapepo

  • @leonardkiriinya3365
    @leonardkiriinya3365 5 років тому +3

    The only way to deal with it Ni muangushe hiyo miti yote akose pa kulala arudi kwao. Niko hapa njooni mnipige

  • @Ncanal-wv6lc
    @Ncanal-wv6lc 9 місяців тому

    ❤❤❤

  • @robertkiriago3871
    @robertkiriago3871 5 років тому +2

    Mumekosa kazi yakufanya

  • @footballlovers7214
    @footballlovers7214 5 років тому +20

    where is this guy from ''snakes in the city'' progrmme in Natgeo....

  • @hanifajuma342
    @hanifajuma342 5 років тому +20

    Watu.wamesahau wakale na mbio wako sawa, kwa hivyo Yule jamaa amebeba mtoto anajua chochote kitakacho tokea atafyatuka na mtoto wake.

    • @janerurugu7172
      @janerurugu7172 3 роки тому

      ZzzzzzzzzzzZVzzTMZzMzzz zzz zztzdzZZzzzzzzzzZTzz manz.ZZzzzzzzzh
      zzzzZ zzzz XZ ZTZZZZZZZ ZZZZZzzzz zzzz
      zzzz zZzzZZzZzzzzZZzh a ta zXZZzzzzzzztzzZrz zz fzzzzzZZZZZZZZZZZ,

  • @JANEILHAIRCOLLECTION
    @JANEILHAIRCOLLECTION 5 років тому

    kericho mmmh kiswahili nacho thumps up

  • @shadracktoo2978
    @shadracktoo2978 4 роки тому +1

    Wanume wa kericho huo ni mama kuita wandishi wa habari eneo lenu eti nyoka... mwanaume kamili angepanda Kule juu na kutoa yule nyoka na kujinja na hiyo stori ipate kila mtu kama kaa breaking news🤣

  • @leahgithua6728
    @leahgithua6728 4 роки тому +5

    Hadi wa mama na mapanga 😂🤣

  • @hezronabuga737
    @hezronabuga737 2 роки тому

    Nyoka kubwa

  • @galaxyqwer7438
    @galaxyqwer7438 Рік тому

    Nasipigwe risasi akufe juu sasa kama hao wanambiwa wataki kuajibika itambidi waiyuwe😢

  • @mcharia5766
    @mcharia5766 3 роки тому

    Ni Mganga Raila ako juu ya miti. Kila pahali anaenda ana peleka uchawi.

  • @lilylilian8729
    @lilylilian8729 5 років тому +8

    Wakate mti na powersaw waivamie

  • @damariskhavakali8336
    @damariskhavakali8336 3 роки тому

    2021 kujeni tuone Ka chatu aliuliwa

  • @rachaelmoses8454
    @rachaelmoses8454 5 років тому +2

    If these people think A panga/matchete or clubs of any kind will harm that python then they will be suprised coz its skin and body will be like rubber. u can't cut its body .so to save life of the people and that of the snake let them call snake catcher or kws who will catch it using bare hands.

  • @josephkirimi5453
    @josephkirimi5453 3 роки тому

    Huyo nyoka sio chatu. Chatu hapandi juu ya miti.

  • @kenyanboy7627
    @kenyanboy7627 11 місяців тому

    It's 4 years now,what finally happened?

  • @princessdiane0
    @princessdiane0 5 років тому +1

    Me nataka kuona huyo chatu. Mpiga picha fanya kazi yako vizuri.

  • @kiruinelson5126
    @kiruinelson5126 5 років тому +4

    Watu wa kericho mkuje kwetu mjionee Joka kubwa,kama ingekuwa Python c mgeita Recce Squad waoga nyinyi

  • @jeps.e4305
    @jeps.e4305 4 роки тому +1

    2020😂😂😂😂
    Hivi ndivyo tutauwa BBI....nyoka ya Raila

  • @fatmafatma3033
    @fatmafatma3033 5 років тому +3

    Mbona huyo chat haonekani sasa hebu huyo mwenye camera apande juu ya huo mti ili tutapate kumuona vizuri

    • @ummeythanneythanneymohamme8308
      @ummeythanneythanneymohamme8308 5 років тому +1

      Hahahahah we kapande

    • @fatmafatma3033
      @fatmafatma3033 5 років тому

      @@ummeythanneythanneymohamme8308 😂😂😂waonekana ni waongo hao wanakijiji sasa ss watazamaji hatoni chatu sibora huyo mwenye camera atudhihirishie wazi kwamba amemuona hapo juu ya mti akiwa na camera yake 😂😂😂

  • @abdulbari5573
    @abdulbari5573 3 роки тому

    My friends hiyo ni majini

  • @robertsimbeiywet1257
    @robertsimbeiywet1257 3 роки тому

    Python is not dangerous.... Panga ni ya nini sasa😂😂😂....... I learned alot of snakes and i noted kumbe ni uwoga tu

    • @graceamadi1096
      @graceamadi1096 11 місяців тому

      It is dangerous coz ina swallow binadamu na hamna nyoka mzuri why don't you go there na uishike

  • @apocalypsething8088
    @apocalypsething8088 5 років тому +4

    simple call in the Chinese it's a great meal in Chinatown

  • @muasemuase8849
    @muasemuase8849 5 років тому +5

    ITS DANGEROUS PLEASE THE ARMY CAN DO SOMETHING INSTEAD OF SLEEPING IN THEIR BARACKS : KWS DO SOMETHING IT MIGHT BE ONE OF THE ENDANGERED SPECIES but of Course human first

  • @khadijaomar3299
    @khadijaomar3299 5 років тому +4

    Huyu chatu akianguka hapo hakuna atakae baki mguu niponye😂😂

  • @MohammedKhan-qe9ro
    @MohammedKhan-qe9ro 4 роки тому

    Les work

  • @hezronpeter5364
    @hezronpeter5364 5 років тому +5

    Acheni vituko... Ati chatu.... Hapo wako wengi kwanza usiku mtajua.... Naskia hao ni wanaume.....

  • @decoloniz_afro
    @decoloniz_afro 5 років тому +6

    they love majani chai..already be careful farmers

  • @eugeneonyiz880
    @eugeneonyiz880 10 місяців тому

    Camera at its best😂 we zombie!!

  • @brianotieno5768
    @brianotieno5768 5 років тому +36

    Python is one of the most peaceful snakes ever and has no poison

    • @indayamulembe
      @indayamulembe 5 років тому +2

      ....but it feast on people

    • @sharonachieng4015
      @sharonachieng4015 2 роки тому

      What are u saying meet it when it's hungry

    • @sdd8689
      @sdd8689 2 роки тому

      Msijaribu kupanda juu ya Huo MTI,heri kateni Huo MTI m ingojee Chini ndio m ifamie vizuri

    • @eddahwambui3476
      @eddahwambui3476 2 роки тому

      A big hungry one can swallow a human baby...

    • @rotichenock2594
      @rotichenock2594 2 роки тому

      but it swallos small people

  • @josephnyakundi1565
    @josephnyakundi1565 5 років тому +12

    aty can climb na uitoe😂😂😂😂

    • @willybett1906
      @willybett1906 5 років тому

      😂😂😂😂 Achana na watu wangu

    • @summerrose8439
      @summerrose8439 5 років тому

      @@willybett1906 , Stop we are one, you don't expect them to climb the tree, do you?

  • @josephwandera5680
    @josephwandera5680 4 роки тому +1

    Tumia viambishi vifaavyo kwenye matamshi yako.. Chatu huyu sio Chatu hii...

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 5 років тому +4

    huyo ni mrinzi wa majani chai.🍃

  • @teresamaina9700
    @teresamaina9700 4 роки тому

    Kwanini hamuonyeshi Hugo nyoka vizuri hatuioni? Teresa Maina

  • @agneswanjihia1383
    @agneswanjihia1383 5 років тому

    Surely unambeba mtoi

  • @mejubaraza9415
    @mejubaraza9415 5 років тому +8

    Na uyo chatu akishuka au kuruka upende wenye muko na ww ukona mtt utaweza kujitetea kweli au uangushie chatu mtt

  • @kamaungethe9739
    @kamaungethe9739 5 років тому +1

    Huyo mtoi ako na kofia ya red ni msoo sana hafai kubebwa

  • @Elvomaria
    @Elvomaria Рік тому

    kws to acces immediately

  • @GabarTV7
    @GabarTV7 10 місяців тому

    Where are the wild life department?

  • @MaryShimuli-b4k
    @MaryShimuli-b4k 11 місяців тому

    Huyo n koitalel arap Samoei ,hataki kuona ruto vile anatesa watu wake,,😢😢😢Msijaribu kumuua Koitalel Arap Samoei,he's touring in kericho😂😂😂😂

  • @kerinekaisa4524
    @kerinekaisa4524 5 років тому +1

    Citizen tunataka updates please

  • @Mikesiomi
    @Mikesiomi 10 місяців тому

    Uyo chatuniwakawaida kweli

  • @ruthmwangi3785
    @ruthmwangi3785 3 роки тому

    Saa itoke ata hawatajua penye hio miti itarushwa

  • @winniearuka6566
    @winniearuka6566 4 роки тому

    Sijaona hio nyoka

  • @alicewawangui6514
    @alicewawangui6514 5 років тому +25

    Surely huyo ni mtoto wa kupelekwa place kama hiyo, what the snake ikivamia

    • @mombasaraha1502
      @mombasaraha1502 5 років тому

      kulipia zoo ni gharama ndio mtoto amepelekwa aone chatu haha

    • @siznic2156
      @siznic2156 5 років тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂akili za huyo baba jamani😂😂😂

    • @johnongolla6042
      @johnongolla6042 5 років тому +3

      Nyoka haiwezi vamia crowd not unless iko cornered

    • @josephmbirua1064
      @josephmbirua1064 4 роки тому

      Nyoka hawindi binadamu

  • @lilianiq8416
    @lilianiq8416 5 років тому +1

    Acha ashuke akupate apo na mtoi, ndio utajua uyo sio nyoka ni chatu mla watu🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️acha nikajifiche

  • @vuva_vuvaofficial6209
    @vuva_vuvaofficial6209 5 років тому +20

    amesema wana nchi wame jaa ngori

    • @hanneyhakobyan7942
      @hanneyhakobyan7942 5 років тому

      Hahaaa walai ata Mimi niliskia nilicheka yangu yote

    • @siznic2156
      @siznic2156 5 років тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 reporter alikua na wasi wasi vile aliambia chatu ipo kwenye miti😂😂😂😂😂akafikiria ako mahali pakuongelelea sheng😂😂😂

    • @Just_You22
      @Just_You22 5 років тому

      😂😂😂😂pia wewe una ngori

    • @jacklinewairimu2513
      @jacklinewairimu2513 5 років тому

      unless wewe hujui ngori ni nn. its very fluent.

    • @dairuskomen2662
      @dairuskomen2662 5 років тому +1

      Kenya 😂😂😂😂😂😂😂

  • @peterkariuki9073
    @peterkariuki9073 5 років тому +8

    Tanzania wanacheza na chato wakubwa wakiwa uchi huku wananchi wakishangilia!! Dunia INA mambo. Nguvu za kichawi zishindwe katika jina LA Yesu.

    • @kelvinmunene1034
      @kelvinmunene1034 2 роки тому

      😂😂mjinga wewe, nyoka ni mnyqmq sio shetani

  • @maikoibrahim2362
    @maikoibrahim2362 2 роки тому

    Worry not

  • @ayaga9667
    @ayaga9667 4 роки тому +2

    hyo witness wa KWF tulisoma naye narok high school class of 2014, bright student

    • @beera.g5302
      @beera.g5302 3 роки тому

      Acha umbeaa nanikakuulizaa🙄🙄😳😳😂😂

  • @moxeymoch3273
    @moxeymoch3273 4 роки тому

    Kiswahili ya reporter ,,,,kuna vitu Fulani apo zenye huitwa ngeli ....

  • @sierrakamau1510
    @sierrakamau1510 5 років тому +2

    If this was Tanzania, the office in charge could have been fired hapo hapo for ignoring the citizens whose lives are clearly imperilled by a huge dangerous snake!!!! So haphazard is Kenyan government!!! USELESS!!!
    By the way this is no joke so improve on your journalism!

  • @jokshtv
    @jokshtv 5 років тому

    am coming to get it

  • @nicholasotieno9536
    @nicholasotieno9536 2 роки тому

    Nipigie Ruto atume pesa yakutoa huyo jini hapo la sivyo mtatolewa kafara

  • @ELYJAAZ
    @ELYJAAZ 5 років тому

    Heheh tuchukue mkono sheria

  • @josephinemukeni8574
    @josephinemukeni8574 5 років тому

    nyoka huu,what swahili is this?

  • @NaomiNelima-y7v
    @NaomiNelima-y7v Рік тому

    Iyo ni nyoka ya mtu sio kawaida

  • @godfirst7452
    @godfirst7452 5 років тому

    Propesa to call uliam urgently

  • @رشاالعنزي-خ1ش
    @رشاالعنزي-خ1ش 3 роки тому

    Mwagen diesl muakisheota itashuka

  • @godfrey5856
    @godfrey5856 5 років тому

    Sauti ya Rashid. 😍

    • @mourinejay7327
      @mourinejay7327 5 років тому

      I always crush on his voice honestly

  • @maghangamngangu6347
    @maghangamngangu6347 5 років тому +7

    Python is harmless, it has no poison so let them call KWS

    • @youngsaka6681
      @youngsaka6681 5 років тому +1

      But can swallow, so it's dangerous too

  • @lilylilian8729
    @lilylilian8729 5 років тому +2

    Nilimuuliza mkaazi wa kericho kuhusu kama kuna nyoka katika majani chai
    Akanicheka eti hakuna nyoka kwa majani chai
    Wee mimi naogopa sasa

  • @gracendungu5860
    @gracendungu5860 5 років тому +3

    Chatu ishaa kuwa celebrity, mm ata siwezi enda kuiona😂😂😂😂😂😂😂

  • @gladysmwangi1875
    @gladysmwangi1875 5 років тому +1

    Wah pia mtoto amejuja kuona nyoka

  • @eunicewanjiru8812
    @eunicewanjiru8812 5 років тому

    Achaneni na chatu ako kwa raha zake,hawasumbui nyinyi ndio mnamsumbua,

  • @peninahwahu3712
    @peninahwahu3712 2 роки тому

    Kasrani live