ENG HERSI AMEMPA MKATABA JEAN BALEKE!! TP MAZEMBE WANAJIBU LA NDIO AU HAPANA!!

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 9

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 15 днів тому

    yanga wanachukuwa kwenye Dampo la simba halafu husema Hamuna wachezaji simba

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 15 днів тому

    Yanga wanachukua wachezaji simba mliowaacha. Kama dampo si muache??na huyo mtangazaji unasemaje mtu anazagazagaa??

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 15 днів тому

    Wewe mtangazaji ni mtu wa ovyo sana sasa yanga wameibomoa kivipi Simba

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 15 днів тому

    Baleke alicheza Simba akaondoka na akawa team nyingine kama yanga wamemchukua kutoka team nyingine sasa hapo yanga watakuwa wanaibomoa kivipi Simba uandishi wa ovyo kabisa

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 14 днів тому

    Nyie wachambuzi uchwara. Chama kamaliza mkataba, is free agent, Baleke aliachwa katikati ya msimu, unasemaje yanga wanaibomoa simba. Simba inajibomoa yenyewe.

  • @mickdaddymjungu8283
    @mickdaddymjungu8283 16 днів тому +1

    unapenda kuchokonoa mambo ya simba nenda ukafanye kazi yanga

  • @mickdaddymjungu8283
    @mickdaddymjungu8283 16 днів тому

    wewe mnafiki

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 16 днів тому

    Lazima wachukue mtu aliyejuwa wa simba. Hawana jipya. Sasa wanamtaka msemaji wa Caf😅😃😃

    • @RashidRamadhan-fe7fb
      @RashidRamadhan-fe7fb 16 днів тому

      ukishindwa kumuhudumia mke wako wengine wanamuona😂😂😂😂