duuuu!!huu wimbo unanishibisha hata kama sijala, unatibu maralia, unatibu kisukari, unaondoa mikosi na baraa za hatari napia unaongeza furaha ndani ya familia, hongera Nuhu
Kazi nzuri Nuh ,kuanzia kwenye uandishi,vocal,video mpaka beat,its a fully package ,watasikia tu,mziki mzuri hauitaji kiki kufika mjini,utachelewa lkn utawafikia wa mjini
Nyimbo ni nzr sana hasa ikipigwa kwenye tukio husika kbs itanoga sana, sema umefi kitu kimoja tuuuuu nacho ni dancing haiopo kbs ndio kitu kimeifelisha hii video, but ujumbe umesimama kwa kwel
Tulio kuja hapa baada ya kumuona mtandaon tujuane hapa😢😢😢
Tuliosikiliza 2024 tujuane
Nuh hapa umeimba hili gomaa halichuji paka kiama walah tena!!
I find myself here 24 August, 2023
I think will be Forever,
I belong here ,
Hatali saana
But let's say this Talent 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤
🤝🏼
Wimbo mtamu tujuane ambao tunatamani siku moja tuolewe na tumelemete
Naupenda sana nyimbo hii unanikumbusha mbali sana nikitoka Kwa mchumba wangu
Ukiskiliza mpaka mwaka 2028 nipeni like
😂😂so kwa ubaya bd upo nae
Gosh, searched for this song for like 3 years now😢 finally 😍🌹
Jaman Nuh mziwanda uko wp??umepotea😭😭😭♥️♥️♥️
Tunaeangalia hii nyimbo 2023 tujuane kwa like hapa ❤❤❤❤❤❤
duuuu!!huu wimbo unanishibisha hata kama sijala, unatibu maralia, unatibu kisukari, unaondoa mikosi na baraa za hatari napia unaongeza furaha ndani ya familia, hongera Nuhu
nuhu jamn...kinymbo kinachoma ad kweny blood vessels...lov t thnaaa yaaan cchok kuckiliza daah big up ...
Naikubali sana hii song weeeh acha 2.i really appreciate this song big up Nuh.yaaani naona 2 vnye unafeel huo wimbo hta mm naifil 2.
duuuh!!! bro hiyo nyimbo very nice, hongera snaaaa!!!!
Nuh anajua sana
huu wimbo unanikumbusha bint ambae nilimpenda toka nikiwa sekondari ihanamilo geita mhoja zazalaza❤
wimbo mxur sana nakupa big up nuh mzwnda uko poa sana inaujumbe na ina hisia za juu katika upendo Mungu akupe zaid
Wow! huu wimbo unakosha sana roho.....jamaa amewika kimya kimya, big up sana!!!!
Ruth Isaac unaonaje
Congratulations Nuh mziwanda kwa kazi safi.waoooh anameremeta mtoto.
mwimbo hu unapendeswa watu kijiini kilimanjoro ndio nahuko upareni na rombo wanapenda kufunga ndoa kweli wimbo msuri kasabuti boss
Big up Man wimbo ikom poa.....imetuliaa na ni tamu kusikiliza.....
Nuhu ngoma nzuri na sauti why usiwe rockstar ,mungu akuzidishie upeo zaidi nikuone CNN
Mwanangu kaz
Nuh napenda nyimbo zake anaimba sana ngoma kali huchoki kuskiliza 2023 🔥🔥💕✌️
🤝🏼
Jamani napenda sana huu wimbo
nuh mziwanda huko wimbo unahiti sana pandehizi hauchachi babu
nuh ww ni hatari nyimbo hii nimeipenda xn mungu azidi kukupandizia kipaji chako
kweli wimbo mzuri na utapigwa sana kwenye maharusi
Kazi nzuri Nuh ,kuanzia kwenye uandishi,vocal,video mpaka beat,its a fully package ,watasikia tu,mziki mzuri hauitaji kiki kufika mjini,utachelewa lkn utawafikia wa mjini
Daa aisee toangoma baba umetisha hapa sana kila saa naisikilizia sana
kasula kake kazuli kweli!!!!mziwanda ongeza ongeza sauti from kigali Rwanda your big fan.
I lyk it
Nado Serge hunahoneya visuri
naipenda
iwe special kwa mke wako nuh na muwe na maisha yafuraha
big up ngoma kari kinyama na mapozee ndo zako anamelemeta
umetisha baba video queen mzuri wewe Ndio kabisa mmeendana keep it up aseeeeeeee haikuhitaji madancer hapo nyie wenyewe mlitosha kabisa
Wimbo mzuri sana. Keep it up bro
Yaan mm napendea tu ,Nitunzie penzi langu mamaaaa maliza ni mengi ooo
The song inspiring so much...... Nakaribia pia kuitwa baba.... So kananipa moyo sana nag kunifanya nimpende Mkewangu sana
wimbo huuu naupenda hatari unanikumbusha siku ya harusi yangu
Hongera kwa kufunga ndoa
Ata mim nakubuka harus ya dad yangu nakubukia kweli
Hongera
Where the hell was I I didn't see this before???Oh my..the best hit ever...can't hold replaying!!My ache I can't tire retwining thius!!
hongera sana kijana song limetulia mnoooooooo mpaka Lina keraaaaaa
ase huu wimbo siuchokaki hongera sana maana haujawahi achwa kila harusi ninayohudhulia lazima kapigwe
shida zetu zenyewe tunazijua!!!!congz
kiukweli wimbo mzuri sana yaani mpaka siuchoki kuusikiliza,japo vidio fupi sana natamani iongezwe tena
kenedy muganyizi fupi tam ndefu inakera..
respect bro una sautiiii hatari watu hawajui kipaji chako but kuna vitu unani angusha mze kazaaaaaaa
2024 listening from Tabora
Brother imewenza
comment langu la kwanza kwa nuh mziwanda,kipofu hao,kiziwi hasikiii du noooouuumaaa
madem wa bongo kila mmoja na bonge la tako ,bongo bila tako wewe si dem anyway am Sudanese sielewi swahili vizuri good work Nuh Mziwanda
Josephine Andeso nimekupenda bure
hahaa what's the meaning of nimekupenda bure
You wise woman(girl) i love 4 u free..
Habby Mangata oooh really thank you
Josephine Andeso ...Yes thanks ..Hav a nice day!!!!!
Eti ukaribu we2 Kama mapacha aaiiiiii,I wish nngekuwa mm nmeimbiwa hii song 2020 bado niko ndani all the way 4rm Saudi Arabia
wimbo mzuri sana ....salute Nuh mziwanda
mushaishiwa mistari ss ilobaki mwatwaa nyimbo zakanisani mukibadilisha !!!! chefuuuuuu
nyimbo iko poa ila huyo video queen sijamwelewa bora ungemweka hata mkewe tu ila ngoma iko poa sana big up
Wabongo makocha, wabongo madirector, wabongo kila kitu kwa iyo nuh we yasikufelishe
Ah saf sana
Wajinga sana
hii ndio bongo kasura kake kazur anamelemetaaaaaa suti na shera duh Bonge LA nyimbo twende kwa king tukakisanue nuh mpaka wcb wakubal
Kama utasikiliza mpaka 2030 weka like .......I love it
Me leo nimeiangalia hadi milele
Mpaka sasa naangalia
2023nmeicheki
Haya mpk 2050
Dah Mungu asaidie na mimi nioe ❤
Kama badoo upoo hapa like zako hapoo
waoo nyimbo nzur ,vidio hatareee big up mziwanda
iyo nyimbo inanikunaaaaaaaa,,,,Hongera Nuhu Mziwanda
Kweli kabisa
We nuh ulipoterega wap bhn
shilole.endelea kuiba pole pole hivi kweli kunahaki gni kwamfano umwachie bb ale pekeyake mwambie nuh ale ila.asjisahau.ikibidi pia apate mtoi
big up nuh mziwanda umetisha sana
Wimbo mzuri hongereni San wafunga harusi
My favourite song nuh bigup sana Egypt tunakupenda sana
hongera kwakupata mtoto ilajina lake sio zuri kanya jina gani hilo, ila ngoma poaw sana
Shuweha Haruna Omari Ikwena 😃😃😃😃
Shuweha Haruna Omari Ikwena Nailah
+Shyne Platnumz poaw sana
Saida kaloli
Kusikia ngoma hii, nimejikuta nimetamani ktk ndoa yang igongwe nyimbo hii. Naikubali sana
😂😂🤣🤣
Hakuna nyimbo najipenda Kama hii kila nikisikiliza nakumbuka harusi yàngu Jaman nilivyo ingia nayo hatari
nyimbo nzuri sana sema ndio hivo usimamizi shida lkn uko juu jmni uko vizuri nuh
nuhu mweee utaniuaaaaa.....tumbojoto wamevimba atiii simooo
Tantalizing voice...wish he could have more variety of scenes in the video...Should be encouraged as he's promising..
nakupendaga tooo,yni unajua achana nawpanga mkaa
Wimbo ulipigwa kwa harusi yangu was so amazing
Video iko poa sana kijana wimbo pia mzuri nakutakia kila la heri kwenye kazi zako
Sip Kwa HB huo nuhu wabongo majungu tulishazoeaa
anameremeta imenikosha Sana😍😍😍😍nice one
kaka video kali. congrats
Kizazi sana 👊
daaa Tanzania kuna vipaji sana nuhu uko poa sana unamelemeta.
shida zetu tunazjuaaaa safiiiii sanaaaaa ongeza juhudiiiii
Nyimbo nzuri sana, umetisha baba!
jamani me nikisikia kichaaa nikisikia anameremeta.jamn naipenda mpaka na umwaaaaa!!! ongera baba anya.
Nakukubali bro uko vizuri chapa kazi, nim shamiru swalehe wa bulembo kyaka kagera
Wimbo mzuuur mno, big up nuh
hatariiiiiiiiiiii kazuriiiiiiiiiiiiiiii kanyimboooooooooooooooo bombaaaaaaaa lakini huyo video qun nguo haikushaka matiti vizuri nuhmziwandaaaaa
dogo congratulation hakika nisikiapo wimbo huu dah inakonga nyoyo ya respect kwa nuh
Nikibahatika kukuona live nitakwambia hongera xana xanaaaaaaana
Tuko wangapi 2019 kakisonga....
Beautiful girl, handsome boy awesome song watching from Tanzania November 2019
wow this iz best mkewe angekua video queen ingekuwa balaa
napenda
Sauti
yako
daaah
Mpaka
raha
ninayisikiliza vizuli kweli.OOoooh!!!!muziki nzuli sanaaaaaaaaaaa
Nyimbo ni nzr sana hasa ikipigwa kwenye tukio husika kbs itanoga sana, sema umefi kitu kimoja tuuuuu nacho ni dancing haiopo kbs ndio kitu kimeifelisha hii video, but ujumbe umesimama kwa kwel
Yan iyo ngoma iko sawa, mungu akujalie kwenye kaz yako br
unajua nn huu wimbo at the first time nauona nliukubal kwanz dem mkal vbaya alf wimb unamaadili
Brown BRYSON safi
Brown BRYSON
Nyie Nyie Love is beautiful.... #corby4rever ❤️🔗
kaza buti nuh mziwanda nimependa sana anamelemeta love you nuh
Nimekuja tenaa wimbo wangu boraa
i keep watching this vudeo from 254 kenya almsot after every hour its a wonderfull song keep on bro nuh
pos sasaaaaa
Ju ij
Jaman sichoki kuskliza huu wimbo mie'ngoma moja hatareee
Nice song
Safi saaana Nuhu mziwanda We mkali sana
Bonge la nyimbooooo
l like it
bigup nuh
John George fr
woooou!Nur mziwanda niko nyuma yako you're Top1
nice song god bless you mziwanda
ukopoa can bro