Awali ya yote...nakupongeza sana dada yangu...kwa kusoma maana wakristo weng huwa hawapendi kusoma....ILA Lai yangu kwako...kuwa MUISILAM...ucje kusema hawakukujia waonyaji...
❤❤njoo kwangu usilimu nikuoe we mwaaya...... Acha dini za biashara za wakoloni na wachafu..,.... Nakusubiri hapa inshaallah Naamini ipo siku ukiacha tamaa za dunia utasilimu
Nenda zako huko na udventist usabato wako. Huna Teolojia ya kulifundisha Kanisa. Hiyo ni tafasiri yako. Nchi gani hiyo iliyokuwa inatoa watoto hao toa ushahidi. Ulipo mi chuki zako kuchukia na kuchafua Kanisa, sijui ukristo gani huo chuki. Kwanza msabato siyo mkristo na huna elimu wala mamlaka ya kusikilixwa labda sikilizwa na wehu wenzako wasabato.
Ni kweli Christmas ni upagani na mkristo wa kweli haisherekei. Christmas ni birthday ya Tammuz mtoto wa Semiramis ambaye anaabudiwa na baadhi ya makanisa ati Mama wa Mungu. Mkristo wa kweli haisherekei siku hiyo. Yesu alizaliwa kama Mwana wa Mungu mithali 8: 20 baadaye anafanyika mwili na kuzaliwa na Mariam. Luka 1:25, Yohana 1:14. Maria hawezi kupewa taarifa za ujauzito mwezi wa sita halafu akazaa mwezi 12. X-mass ni ya Tammuz endelea kuisherekea ili uwe kuni siku ya mwisho, maana Mungu anasema usiwe na miungu wengine ila Mimi.
Bwana yesu alimuambia mwanamke wa kigiriki si vizuri kuchukua chakula cha watoto na kukipatia kukipatia mbwa pia si vizuri kuchukua jina la mbwa(kristo) na kulipatia watoto. Kristo si masihi wala masihi si kristo
Polepole tu uenda mungu atakujalia pia kugundua ya kwamba yesu sie kristo wala mgiriki, kristo ni mgiriki alie pakwa mafuta. Kristo si masihi wala masihi si kristo
Mimi ni mkristo ila naona kabisa ukristo hauko sawa kwa Asilimia kubwa nawashauri wakristo uisilamu ndio dini ya kweli maana Uislam maana yake ni kujikabidhi na kumuamini Mungu mmoja kama wewe unaejitambua umenielewa
Dini ya kitumwa tu kufanya ibada hadi uongee kiarabu,uvae kiarabu!!!!Kwani hiyo lugha yako Mungu haielewi?Tokeni gizani njoo kwa BWANA YESU mpate NURU ya milele
Ni hatua ya awali na Kwa umri wake amengamua kitu kikubwa ambacho watu wazima wake hawajaelewa Kwa kule aliko kuchambua ka,a alifanya yeye inakuwa ngumu Kwa sababu padre hutoa neno alilokusudia na kushurikisha kusoma vifungu vidogo mistari ambapo wengi wao hawapitii tena , Mungu atampa ufahamu zaidi ili atambue njia ya haki
😂😂😂😂 Nilishawahi kusema hakuna msabato mkiristo ila wao kila kitu wanapinga sasa wewe katoto unajua hostoria ya Yesu Kristo au usabato ndiyo umekufanya uwe kipofu Yesu amezaliwa mwezi 12 japo hatuna kumbukumbu ya tareh rasmi ila kuhusu krismasi haina uhusiano na upagano🎉🎉❤
Umeongea vizuri nakuombea ujue haki uingie Uislamu,lakini twambie hilo kanisa la kwanza la kristo lilikuwa wapi maana hakuna andiko ata moja Yesu alingia kanisani bali alifundisha kwenye masinagogi ambayo ni Msikitini
Procheser… Hv ww unafikiri watu wote wanaakili ya kudanganyika km ulivyodabganywa ww na wachungaji kwa kukubabaisha juu ya mchungaji Domenic? Wenzio wanasoma kuutafuta ukweli na sio kuishia kusikiliza maneno ya kuambiwa na wapigao pesa.
@Fear_Allah394 ngoja nikwambie kitu ulikuwa ujui huyo unayemfuata ninani kwatarifa Yako mtume wako alikuwa ajui kusoma Wala kuandika 7:157 kwaiyo wewe unamzidi huyo mtume WA mchongo alitoka kwenye familia wajinga na waabudu masanamu
Mimi sijui maana wanaosherekea wana hoja zao za kidini.Huenda je wakapatia.Mimi sisomi maulidi lakini sigombani nao.Hata hivyo ni vyema unge komenti juu ya mada ungetenda haki.
UKITAKA KUMJUA MFA MAJI HAISHI KUTAPATAPA,NDIO WEWE!! MAANA HUJITAMBUI KAMA HUJUI,NA UNAJITIA UJUAJI HALI YA KUWA WEWE HUJUI!! TUKI KUAMBIE UTUPATIE ANDIKO WAPI IMEANDIKWA KUSHEREHEKEA MAULIDI NI UKAFIRI,ANDIKO UNALO?!!! AU UNAROPOKA TU ILI UJIFARIJI,KWASABABU TAYARI ANAEJIITA KATOTO CHA YESU,AMEKWISHA WASUMBUA?!! NA BADO IKO SIKU MTAWAPIGA NGUMI WACHUNGAJI WENU WANAO WADANGANYA KILA UCHAO,KWA KUJIFANYA NI MITUME NA MANABII,KWA KUWADANGANYA ETI,WANAPONYA MPAKA VIPOFU,VIWETE,KANSA,NA KUWAPENI UTAJIRI ETI KWA DAMU YA YESU!! HUU NI UJUHA USIOKUWA NA MPINZANI DUNIANI!!! NA BADO KITAELEWEKA TU!! MTASEMA WENYEWEEE!!!
Ajakosea ila sisi tutasherekra chrismas tunaamani nayo..nahuyu dada ni mkristo mwenzetu tunampenda na bado wapo wengi walipinga chrismas ila.bado inasherekewa
UISLAMU SIO DINI NI UPAGANI UNAO ENZI MILA ZA KIARABU ILI UWE MUISLAMU SHART UVAE KOFIA ZA KIARABU KANZU /HIJABU NA UJIFUNZE LUGHA YA KIARABU NA KILA MWAKA UNAPASWA KWENDA KUTEMBELEA MAKARI YA MABABU WA KIARABU HUKO UARABUNI
Hahaha😂 ukiondoa hasira omba hivi. Ewe mwenyezi Mungu ukiyeumba kila kitu usiye na mwanzo wala mwisho nionyeshe njia ya kweli (dini) Omba bila kutaja Jina la yesu wala Muhammad Utapata njia ya kweli.
@@hassanbilali1697 Kwanini kuna mpiga kristo na siyo mpiga allah au mpiga muhammed jitafakari acheni kuabudu mungu mbalamwenzi kama waroma walinyo kuwa wakiabudu mungu jua
@@hafidhsalum-jp2mw Umenena vema, hakuna andiko tusheherekee kuzaliwa Kwa mtume. Kwetu wakristo, tunaamini Yesu alizaliwa lakini hatuna tarehe, hivyo tuliamua kubadili siku ya kikafiri tukaipa kama siku ya kuzaliwa Yesu kristo, hivyo Mungu jua haabudiwi tena
Unajua kwanza nguzo za uislamu kwaiyo mtu yoyote akikamilisha hizo tayar ni muislamu soma kwanza so yoyote ata ajiite muislamu akiwa sio muumin wa hizo nguzo basi ujue hayumo huyo ata kama anajitia
nikweli Wakristo tunaelewa kila kitu isipo kuwa baada ya roma kuukubali ukirsto romani waliingiza sikuku iyo kuwa ya Yesu tunaelewa romani imetoka wapi tunaijuwa shafi mtumie katoto ka Yesu pesa yake siyo unatumia video zake unapata viwazi unakula pesa yake await maudhuyi niyake katoto ka Yesu fugue You Tube tutakusapoti awa wauni wanakuibiya una kitu ndani yako
Taratibu tutaelewana tu Allah akbar
Taratiiiiiiibu wanaelewa
Hongera sana dada Mungu akubariki
Fanya utafiti vizuri ukristo wenyewe ni upagani.
mungu mbalamwenzi ndoo upangani
Taratibu mtaacha vyote na kumfwaata mtume Muhammad na uislam ndio dini ya mungu
Awali ya yote...nakupongeza sana dada yangu...kwa kusoma maana wakristo weng huwa hawapendi kusoma....ILA Lai yangu kwako...kuwa MUISILAM...ucje kusema hawakukujia waonyaji...
Hakika
Juyu
Ukweli unaendelea kudhihiri
😅😅 na bado mtaongea ukweli naipo siku mtakubali Yesu sio Mungu.
Mbona tayari weshasema
Haki hata ichelewe vip lkn siku moja itafika na kua juu ya baatwil ALLAAHU AKBAR
Mtaongea wenyewe ukweli 😂😂
Allah alishaahidi kua Wataingia kwa Dini Ya Allah makundi kwa Makundi❤
Allah akuongoze dada yetu ktk uislamu
dada hongera kwa kusema ukweli mungu akubariki
Dada soma tu..utaelewa Allah atakupa elimu ya kujuwa kuwa ukristo ni nini
Masha'allah shuk'ran sheikh shaff
❤❤njoo kwangu usilimu nikuoe we mwaaya......
Acha dini za biashara za wakoloni na wachafu..,....
Nakusubiri hapa inshaallah
Naamini ipo siku ukiacha tamaa za dunia utasilimu
Uislam na ukristo zote ni dini za kikoloni acha kupotosha.
Mtasema tu... Bado hamjasema mukiambiwa taurati imetiwa mikono mnanunj.
Bora muungane na sisi kwenye idd
😂😂😂😂😂😂😂😂
Siyo kama hamuyajui hayo yote mnafahsmu Kila kitu ila Bado hamjasema
Katoto kayesu silimu dada'ngu Nakupenda kwaa'jili ya Allah
We acha hizo bana. We sema tu umemtamani akisilimu umnyatie awe mke wa nne
😂😂😂. Maana ndo mnayofikiria nyie watu
🤣🤣🤣🤣🤣 masha'allah mke wapili?... ila nipo USA 🇺🇸 nafanyaje?
Wakristo sijui mnajikutaje,mtu kamhubiria uislamu eti amemtamani,ovyoo!sijui kati ya waislamu na nyie nani anawaza ngono
Mke wapili
@@ZayyanaBamuni 🤣🤣
We unadhani wale wanaojilipuaga wanawaza kupata nini peponi
🤣🤣🤣
Tuache kiburi.Tumwamini Mungu wa kweli.Siku zetu za kuishi zinaisha.Tutamwambiaje Mungu tukiwa peke yetu kaburini
Nenda zako huko na udventist usabato wako. Huna Teolojia ya kulifundisha Kanisa. Hiyo ni tafasiri yako. Nchi gani hiyo iliyokuwa inatoa watoto hao toa ushahidi. Ulipo mi chuki zako kuchukia na kuchafua Kanisa, sijui ukristo gani huo chuki. Kwanza msabato siyo mkristo na huna elimu wala mamlaka ya kusikilixwa labda sikilizwa na wehu wenzako wasabato.
Ni kweli Christmas ni upagani na mkristo wa kweli haisherekei. Christmas ni birthday ya Tammuz mtoto wa Semiramis ambaye anaabudiwa na baadhi ya makanisa ati Mama wa Mungu. Mkristo wa kweli haisherekei siku hiyo. Yesu alizaliwa kama Mwana wa Mungu mithali 8: 20 baadaye anafanyika mwili na kuzaliwa na Mariam. Luka 1:25, Yohana 1:14. Maria hawezi kupewa taarifa za ujauzito mwezi wa sita halafu akazaa mwezi 12. X-mass ni ya Tammuz endelea kuisherekea ili uwe kuni siku ya mwisho, maana Mungu anasema usiwe na miungu wengine ila Mimi.
Kipindi icho ilitumika calenda ipi mbaka useme mimba ilikua na mienzi sita
Mashallah
Subhannallah
Tr
Sio crismax kwa ujumla ukisto hàukubaliki mbinguni shahadieni muwe waislam ndio dini haki
Bwana yesu alimuambia mwanamke wa kigiriki si vizuri kuchukua chakula cha watoto na kukipatia kukipatia mbwa pia si vizuri kuchukua jina la mbwa(kristo) na kulipatia watoto. Kristo si masihi wala masihi si kristo
Polepole tu uenda mungu atakujalia pia kugundua ya kwamba yesu sie kristo wala mgiriki, kristo ni mgiriki alie pakwa mafuta. Kristo si masihi wala masihi si kristo
@@MwasabuniSuleiman Hilo umesema wewe sasa ila andiko huna.
wakristo wa wanashelekea kuzaliwa kwa yesu siyo siyo talehe ya kuzaliw muwe na hakili timamu
Kwanza Yesu haja zaliwa 25 Dec
Wanaanza kuumbuana wenyewe sasa.. Ninachomshauri Katoto azidi kusoma na mwisho ataujua ukweli kuhusiana na Dini anayoiabudia..
Mungu gani wa kuzaliya😂😂😂😂😂
Bado hamjasema
Hakika dini mbele ya Mwenyezi ni uwislam
❤❤
Yesu ni njia ,kweli na uzima
Washia ndio dini waajem.kuna dini mbili tu shia waajem na ukristo dini ya kweli.guko shia wanasemaje kuhusu uislaamu
Mimi ni mkristo ila naona kabisa ukristo hauko sawa kwa Asilimia kubwa nawashauri wakristo uisilamu ndio dini ya kweli maana Uislam maana yake ni kujikabidhi na kumuamini Mungu mmoja kama wewe unaejitambua umenielewa
Kwenda uko kafiri
@JohnOuya-w7j we utakua kuni kule
Si uende tu kwenye uislam?unasubiri nini?
Dini ya kitumwa tu kufanya ibada hadi uongee kiarabu,uvae kiarabu!!!!Kwani hiyo lugha yako Mungu haielewi?Tokeni gizani njoo kwa BWANA YESU mpate NURU ya milele
Kidogo kidogo huyu dada ataelewa tu ingawa kichwa chake ni kigumu sana kutambua mambo kiurahis
Ni hatua ya awali na Kwa umri wake amengamua kitu kikubwa ambacho watu wazima wake hawajaelewa Kwa kule aliko kuchambua ka,a alifanya yeye inakuwa ngumu Kwa sababu padre hutoa neno alilokusudia na kushurikisha kusoma vifungu vidogo mistari ambapo wengi wao hawapitii tena , Mungu atampa ufahamu zaidi ili atambue njia ya haki
Mbona hataYesu hakuwa Mkr
😂😂😂😂😂😂😂
Atakuwaje Mkristo wakati yeye ndiye Kristo?Endeleeni kupotea huko?
@@JaneMujuni-je8wv sikukuu ya wapagani inakaribia.
Wewe dada yesu Hana katoto
Kama wanasema yesu ni mtoto wa Mungu basi na yeye ajiite mjukuu......astaghafirullah
Huyu dada kavuta bangi za Arusha
😂😂😂😂 Nilishawahi kusema hakuna msabato mkiristo ila wao kila kitu wanapinga sasa wewe katoto unajua hostoria ya Yesu Kristo au usabato ndiyo umekufanya uwe kipofu Yesu amezaliwa mwezi 12 japo hatuna kumbukumbu ya tareh rasmi ila kuhusu krismasi haina uhusiano na upagano🎉🎉❤
Mungu anazaliwa? Baba yake mungu na mama yake wewe nani zako?.
Eti siku ya kuzaliwa kwa Mungu wenu 😀😀
Mungu anazaliwa jmn
Mbona hata Yesu hakuwa Mkristo na hii inaeleweka na wewe dada unjiita mkisto Hapo vipi bora tu uwe mwislamu katika hayo hakuna utata.
Yesu ndiye Kristo atakuwaje tena mkristo!!! Wafuasi wake ndio wanaitwa Wakristo.
@methodemmanuel4658 jina kristo kapewa na nani na alikuwa na dini?
Hamna upagan wala ukristo
Naam kidogo kidogo tutufikiya sote kwenye point ambayo NI "LAA ILAHA ILALLAH MUHAMMADAN RASSULULLAH" inshaAllah
Ingekuwa Muumini Wakweli Nawe Huko ungetoka kama Unakiri Kuwa Ukiristi Umekuja Baada Ya Yesu Kuondoka Wewe Unasubiri Ninihuko
Mmmh walikusanya au waliandika bhn
Umeongea vizuri nakuombea ujue haki uingie Uislamu,lakini twambie hilo kanisa la kwanza la kristo lilikuwa wapi maana hakuna andiko ata moja Yesu alingia kanisani bali alifundisha kwenye masinagogi ambayo ni Msikitini
Sinagogi ni msikiti wa wa kiyahudi, yaani nyumba ya Ibada ya wayahudi, Sasa wayahudi ni waislamu???
@charlesmwasi7646 Yaani hapo swali lako ni kama vile uniuulize ,Kwani wahaya ni waislamu?jikite kwenye point unijibu
@charlesmwasi7646 Alaafu ujue wayaudi waislamu wapo Tena pale pale Islael
Heeeeee kumbe yesu wenu kafa Akiwa na miaka33😂😂😂😂
Vinaitwa (disco light)
Yatakupotezea muda, Mama Jusi wa mashariki walienda kumwona Issa bin Mariam tarehe ngap? Au kulopoka kwako nikutokujua maandiko
Mchungaji wenu mliojitamba naye kaakimbia Giza Dominic tumetambua kuwa hiyo Dini Sio ya kweli kazi mnayo waislamu
Hivi unawezaje kustahimili.kisujudia kuelekea Qibra Makka kwenye Kaaba yenye JIWE JEUSI mara Tano Kwa siku du
Nawe ushawahi sujudu basi hata kuelekea unakotaka ww japo siku moja ya umri wako?
Manabii wote wametufunza kusujudu Wala sio kupiga makofi.
Vile vile unavyoeza ww kustahamilia kuabudu anaelala, kula na kwenda haja km ww.
Procheser… Hv ww unafikiri watu wote wanaakili ya kudanganyika km ulivyodabganywa ww na wachungaji kwa kukubabaisha juu ya mchungaji Domenic? Wenzio wanasoma kuutafuta ukweli na sio kuishia kusikiliza maneno ya kuambiwa na wapigao pesa.
@Fear_Allah394 ngoja nikwambie kitu ulikuwa ujui huyo unayemfuata ninani kwatarifa Yako mtume wako alikuwa ajui kusoma Wala kuandika 7:157 kwaiyo wewe unamzidi huyo mtume WA mchongo alitoka kwenye familia wajinga na waabudu masanamu
Naww jistiriri basi
Piga pazima pabovu panaanguka penyewe
Wenzio wengi hawasomi
Ukristo wenyew umetok huko huko
huyu akilsimu nitafteni nimuoe anaeza kua wife mzuri anaejua dini
Wapi mmeruhusiwa kusherehekea maurid
Maulid hayasherehekewi idi ndio sherehe na sio lazima kufanya
Jifunze kuandika kwanza
Kaonge ujinga mtupu hakuna anachojua
😂😂😂
Wewe dada wakristo wakikuskia utaona moto
Acha tumsherehekee Mwokozi wetu,,kama hutaki ni wewe,na hatuachi maana tunajua tunachokifanya,Usichokijua ni kama Usiku wa giza,Endelea kukaa gizani
Kusherehekea MAULID NI UKAFIRI.
Mimi sijui maana wanaosherekea wana hoja zao za kidini.Huenda je wakapatia.Mimi sisomi maulidi lakini sigombani nao.Hata hivyo ni vyema unge komenti juu ya mada ungetenda haki.
UKITAKA KUMJUA MFA MAJI HAISHI KUTAPATAPA,NDIO WEWE!! MAANA HUJITAMBUI KAMA HUJUI,NA UNAJITIA UJUAJI HALI YA KUWA WEWE HUJUI!! TUKI KUAMBIE UTUPATIE ANDIKO WAPI IMEANDIKWA KUSHEREHEKEA MAULIDI NI UKAFIRI,ANDIKO UNALO?!!! AU UNAROPOKA TU ILI UJIFARIJI,KWASABABU TAYARI ANAEJIITA KATOTO CHA YESU,AMEKWISHA WASUMBUA?!! NA BADO IKO SIKU MTAWAPIGA NGUMI WACHUNGAJI WENU WANAO WADANGANYA KILA UCHAO,KWA KUJIFANYA NI MITUME NA MANABII,KWA KUWADANGANYA ETI,WANAPONYA MPAKA VIPOFU,VIWETE,KANSA,NA KUWAPENI UTAJIRI ETI KWA DAMU YA YESU!! HUU NI UJUHA USIOKUWA NA MPINZANI DUNIANI!!! NA BADO KITAELEWEKA TU!! MTASEMA WENYEWEEE!!!
Ni kweli hujakosea, si ndio mana waislam tunaikataa
@@mobilespecialschool4216 hujaeleweka,mnaikataa nini?
Toka ulivo anza kujua mbonq ubadili kua muislam au nn kina kuzuhia akuna mkristo asie jua kma huislam ndo dini ya khaki
khaki ganini iyo iyo siyo dini ni utamaduni wa mwarabu mungu asikii lugha nyingine isipokuwa kiarabu miungu mbalamwenzi
Leo kunywa soda kwa bill yangu
Ajakosea ila sisi tutasherekra chrismas tunaamani nayo..nahuyu dada ni mkristo mwenzetu tunampenda na bado wapo wengi walipinga chrismas ila.bado inasherekewa
Una imani nayo kwa nani? Na ipi imani yako kamili kwa hii hoja? Unakataa ukweli????? Aya lete maelezo kamili kama wewe umasema una imani nayo
ALLAH azidi kukufumbua macho na akili
Na hongera kwa kuwa mkweli dada
Silimu tukuowe
Ukafanye nusra
Ndo msokotane wenyewe uko mkija kwa waislam tutawaweka sawa
Wasabato hawali ngurue ila dada anakula
We dada mgonjwa,waliotunza records ya kuzaliwa kwake ni machizi? Kwa hiyo mtoto wako akizaliwa cku ya Mungu jua utamtupa chiz ww
UISLAMU SIO DINI NI UPAGANI UNAO ENZI MILA ZA KIARABU ILI UWE MUISLAMU SHART UVAE KOFIA ZA KIARABU KANZU /HIJABU NA UJIFUNZE LUGHA YA KIARABU NA KILA MWAKA UNAPASWA KWENDA KUTEMBELEA MAKARI YA MABABU WA KIARABU HUKO UARABUNI
Hahaha😂 ukiondoa hasira omba hivi. Ewe mwenyezi Mungu ukiyeumba kila kitu usiye na mwanzo wala mwisho nionyeshe njia ya kweli (dini)
Omba bila kutaja Jina la yesu wala Muhammad
Utapata njia ya kweli.
Muongo we kaaa. Chuki zimekujaa
@@hassanbilali1697 Kwanini kuna mpiga kristo na siyo mpiga allah au mpiga muhammed jitafakari acheni kuabudu mungu mbalamwenzi kama waroma walinyo kuwa wakiabudu mungu jua
Mbona waislamu wanasheherekea kuzaliwa Kwa mudi, wapi wameamrishwa?
Tarehe hiyo nikweli Mtume Muhammad alizaliwa na Haina shaka ila tarehe yenu mhhh niuongo YESU hakuzaliwa 25-12????
Ukimuona mhislamu anasherekea kuzaliwa kwa mtume
Jua uyo haujui uislamu wake
@@hafidhsalum-jp2mw Umenena vema, hakuna andiko tusheherekee kuzaliwa Kwa mtume.
Kwetu wakristo, tunaamini Yesu alizaliwa lakini hatuna tarehe, hivyo tuliamua kubadili siku ya kikafiri tukaipa kama siku ya kuzaliwa Yesu kristo, hivyo Mungu jua haabudiwi tena
@@Jesusalmasihi4193mmempa yesu siku ya uongo
Hapa katka ukristo kuna madhehebu,huyu msabato,kama ninyi waislam kuna shia sun nk, shia kuna baadhi ya maswahaba wanawakataa