Asante sana kwa kutuunganisha na wafanya biashara watanzania ni kweli kila kitu kinaazia nyumani na mimi wakati ukiwa tayari nitamtumia dada kwenye suala la ticket tuombe uzima mungu atufanikishe kazi njema manyara travel 🙏
Napenda vile haja sahau lugha ya nyumbani... Huku Kenya kuna baadhi ya viumbe ambavyo vikienda Marekani uropa na kadhalika... Hata iwe miezi mitatu au mwaka tu, ulimi una geuka kuwa vitu tofauti sana.. Wana taka ku iga matamshi kama vile mzungu
Ninakukubali sana EBM kwa juhudi,moyo wako wa kusaidia wa Tz na ucheshi wako --- God bless u --- lakini pia nimpe Hongera Huyo Dada kwa maono yake mazuri.
Waafrika tena weusi ambao wanakasumba hiyo huiwezi ikuta kwa wahindi wala wachina iyo inakuonesha hawa waswahili wananini vichwani kujifanya wanasahau lugha
Miaka 40 ndani ya marekani lakini kiswahili fasaha kabisa. Nimeamini wewe ni mswahili unapenda kiswahili na unaendeleza kiswahili. Hongera sana. Tumejifunza Nini kutoka kwa huyu mama?
Ndugu EBM Nauliza kama mtu akiwa na passport lakini bado hajasoma yaani hana elimu yoyote ila tu anajuwa kusoma na kuandika Swahili na siyo kingereza yaani kingereza hajuwi kabisa na angetamani kuja Marekani kutafuta maisha atafanya nini ili kuifikiya ndoto yake ya kuja Marekani
Jamani huyu Dada anaongea kwa utulivu sana.....Napenda unavyoongea kiswahili fasaha.... Barikiwa sana
Asante sana kwa kutuunganisha na wafanya biashara watanzania ni kweli kila kitu kinaazia nyumani na mimi wakati ukiwa tayari nitamtumia dada kwenye suala la ticket tuombe uzima mungu atufanikishe kazi njema manyara travel 🙏
Napenda vile haja sahau lugha ya nyumbani... Huku Kenya kuna baadhi ya viumbe ambavyo vikienda Marekani uropa na kadhalika... Hata iwe miezi mitatu au mwaka tu, ulimi una geuka kuwa vitu tofauti sana.. Wana taka ku iga matamshi kama vile mzungu
Ati unawaita viumbe😅😅😅😅
😂😂
anao watu wa kuongea nao
Hahaha nakwama hapo pa viumbe
@@casillascicero7944 wameumbwa kwa mfanano wake mungu wetu lakini wanapo fika humu duniani, kiburi sijui kama nini😅wanachosha
Ninakukubali sana EBM kwa juhudi,moyo wako wa kusaidia wa Tz na ucheshi wako --- God bless u --- lakini pia nimpe Hongera Huyo Dada kwa maono yake mazuri.
Hongera sana madam unaongea kiswahili vizuri na uko simple❤❤❤
Just subscribed🇰🇪🇹🇿
Humble lady, very impressed.
Huyu sister anamoyo wa kusapot watanzania wenzake Asante sana kaka EBM..Hana majivuno kabisa yaani yuko kama alivyokua tz kabla ya kwenda USA
Uko Smart sana mamangu
Ana ngozi nzuri… beautiful mama
Kusahau lugha yako ni ujinga sana.
Huyu dada ana akili nzuri🎉🎉
Miaka 40 yuko Marekani lakini anaongea kiswahili fasaha. Gen z wana cha kujifunza hapa.
Waafrika tena weusi ambao wanakasumba hiyo huiwezi ikuta kwa wahindi wala wachina iyo inakuonesha hawa waswahili wananini vichwani kujifanya wanasahau lugha
Mmh kuna wanaokaa miaka 2 tuu awaongei kiswahili
Mmh
Every person has their way of life. You can't dictate that.
@@paolo4584 it ain't nothing of a way than showing some self hating characters. Attempting to become something that you can not.
😂😂😂😂sawa kaka
Hongera sana Madam
Bg up wabongo pia wanapambana
Hapa nachojifunza cha muhimu huwezi fanikiwa bila kushikwa mkono na mtu mwingine
Huyu dada anaongea vizuri anaeleweka,SABABU
shule imenyooka
Miaka 40 ndani ya marekani lakini kiswahili fasaha kabisa. Nimeamini wewe ni mswahili unapenda kiswahili na unaendeleza kiswahili. Hongera sana. Tumejifunza Nini kutoka kwa huyu mama?
ndiyo shida iko wapi??sina mpango wa kusahau nina miaka 15 sasa nikiwa nje
Wow fluent swahili
Pia mnyenyekevu sana.
Natamani nikutane na wewe NAMI Niko Marekani.
Miaka 40 ndani ya america lakin anaongea kiswahili kama hajaishi marekan kwa miaka mingi wasanii wa kibongo wanachakujifunza hapa
kawaida ru
Yuko vizuri
Ernest Boniface Makulilo..... Eti umekula migebuka Hadi ukakomaa😂😂😂
Mtangazaji unahoji kwafujo sana huna utulivu..mama hongera
Watu wakigoma ndo walivyo
Ninaomba mawasiliano yake kwasababu kumpuni yake ni jointer mzuri Sana. I wanna fly some day
Its true,tujifunze kufanya vitu vitakavyowavusha watu wengine
19 84 was in form three .
Nje ya nchi kuishi maisha ya upweke, akaa! Nimezoea uswailini.
Ndugu EBM
Nauliza kama mtu akiwa na passport lakini bado hajasoma yaani hana elimu yoyote ila tu anajuwa kusoma na kuandika Swahili na siyo kingereza yaani kingereza hajuwi kabisa na angetamani kuja Marekani kutafuta maisha atafanya nini ili kuifikiya ndoto yake ya kuja Marekani
Kaka swali zuli sana
Unaomba Green card ukikubaliwa unakuja kuishi kuna Kazi za Mashamba
Kaka samahani ili eneo Lina kuwa na kakelele kidogo atuaikii maongezi vizur kaka
Anaitika abee❤😂
Unaishi wapi Merikani?
Nipe kazi yakuocha but unakaa vizuri kama wewe niwamiaka 40 years
Habari naomba tuwasiliane naitaji kusafiri mwisho wa mwezi
No yako ya simu.tutumie
Mtoto wa Mzee Wasira huyo
😂EBM your so funny
Sana eti tumekula migebuka tumekomaa😂
Anapenda kuongea na watu
mbona anasemapekiyake angekuwepo mtu ameshimama karibu take kusema nimepata kupitiya huu
Amesaidia wangapi ?
Sio jukumu lake kusaidia watu. Endelea kusubiri misaada uone kama utatoboa.
@@Burner_Accamesaidia Si anawasaidia kupata ticket,Au ana maana Missada ya Bure??hatuna huo mpango
Hi ebm
Woow🎉🎉❤❤
Story nzuri ila makelele kwa nyuma 😮
Safi sana
Kuna wasanii wakifika kuburudisha ulaya wiki 2 tu wakirudi Tanzania kila baada ya maneno 2 wanaweka kiingereza…😅
Ni ushamba tu basi vile wabongo wengi nao hawana exposure wanawaona wajanjaa
Siwezi kuwa mlowezi nchi za watu naipenda Nchi yangu Tanzania Marekani sio mbinguni kusema ufi
pole sie tumelowea Vizuri sana
Wanaoenda sio walowezi au washamba , ni utafutaji wa maisha, fungua hiyo akili, maisha di bongo tu
Anakimbiza 70 ila yupo kama wa 40
ndiyoo
MUSIKA og
Hi mimi niko Kenya Nairobi nawomba pia kukuja marekani
Baki kenya 😅
Nipo std 2
Naomba urudie phone number please