MATATIZO YA KICHAWI | PASTOR GIDION KANYAIRITA | 20/07/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лис 2024
  • IBADA YA JUMAPILI
    📃 MATATIZO YA KICHAWI📃
    Luka 13:
    Na tazama, palikuwa na mwanamke aliyekuwa na pepo wa udhaifu muda wa miaka kumi na minane, naye amepindana, hawezi kujinyosha kabisa.
    Kila tatizo linalompata mtu lina nguvu ya pepo nyuma yake. Pepo wa udhaifu anasababisha udhaifu kwa mtu, pepo wa madeni anasababisha madeni kwa mtu, pepo wa magonjwa anasababisha magonjwa kwa mtu na pepo wa kukataliwa anasababisha mtu asionekane ama akataliwe.
    Ili tatizo linalokusumbua liondoke na kuisha unahitaji umuondoa pepo aliye nyuma ya hilo tatizo.
    Bila kumlazimisha pepo aliye nyuma ya tatizo ulilonalo atoke na kuondoka hauwezi kufanikiwa wala kupiga hatua kwenye eneo hilo.
    Luka 9:37
    Na tazama, pepo humpagaa, naye mara hupiga kelele; tena humtia kifafa, huku anatokwa na povu, wala hamwachi ila kwa shida, akimchubua-chubua.
    🎤 TEGETA UWANJA WA MKANADA
    📌BISHOP GIDION GASPER KANYAIRITA
    Watu wote na dini zote mnakaribishwa, karibuni sana.

КОМЕНТАРІ • 7

  • @johnmayeka8957
    @johnmayeka8957 2 місяці тому

    Nabarikiwa sana kwa huduma inayotolewa kupitia ww, hata kabla hujaanza huduma mie nshabarikiwa,mami namuombea kwa mwenyezi Mungu akubariki,na akuinue kwa viwango vya juu ktk huduma Amen!

  • @grationgasper8728
    @grationgasper8728 3 місяці тому

    Amina

  • @johnmayeka8957
    @johnmayeka8957 2 місяці тому

    Jamani huduma inabariki,but video inafifia haionekani angavu Ahsanteeeee!

  • @JuliethPaul-ld3ng
    @JuliethPaul-ld3ng 3 місяці тому

    Amen Baba waoooooo

  • @brendanyigongo4058
    @brendanyigongo4058 3 місяці тому

    Nayasambalatisha matatizo ya kichawi kwa jina la Yesu,

  • @JuliethPaul-ld3ng
    @JuliethPaul-ld3ng 3 місяці тому

    Wachawii wapigweeeeee Kwa Jina la YESU

    • @RizikiMaluku
      @RizikiMaluku 3 місяці тому

      Aminaaaaaaa⚔🗡🪓⛏✂️🏹🔨