Nikki Wa Pili - Massage (Official Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Nikki Wa Pili - Massage (Official Audio)
    Produced by Paul Maker (B Records)
    Follow Me:
    Instagram: / nikkwapili
    Twitter: / nikkwapili
    WEUSI.

КОМЕНТАРІ • 126

  • @emarkimaro7297
    @emarkimaro7297 5 років тому +1

    Mamae mb zng..zmeind buree..

  • @ssulking8136
    @ssulking8136 4 роки тому +2

    Eeeh ni massage....

  • @andersonmelodyandersonmelo3246
    @andersonmelodyandersonmelo3246 5 років тому +2

    hii ni Kali Niki

  • @emmanuelademba7919
    @emmanuelademba7919 5 років тому +1

    GOOOOOOOOOOOOOOD huu ndio wimbo,siyo nyimbo zenu za matusi tu ndio zinazo pendwa ,Hata hivyo ni nyakati za mwisho kama maandiko yalivyo eleza kuwa siku za mwisho watu watapenda mambo mabaya.

  • @kyelaonlinetv2
    @kyelaonlinetv2 4 роки тому +1

    Ninge kua mm ndo nikk .masha biki wana ongea ninge futa ngoma kama hii

  • @ericknnko4549
    @ericknnko4549 5 років тому +4

    Lafudhiiiiiiiiii 😂😂😂😂ngomaa tamu

  • @kajunabakamanya6253
    @kajunabakamanya6253 5 років тому +3

    Creativity ya niki always ni next level.....
    Ngoma kali

  • @kilimanjarotanzania1115
    @kilimanjarotanzania1115 5 років тому +2

    n 💆 Tisha Sana dingii,,, Aikatai kila Kitu n massage 💆............!! 👊👊👊

  • @iconlyx2724
    @iconlyx2724 5 років тому +1

    Mwanaume ambaye ni mwanaume kamili hawezi enda massage..ni ushubwada tu na ukike na umama mwingi...kitaa kita prove ila uu ujnga mi naupinga sana...ngoma kali sana sababu nahisi mwenyewe sipendi massage ila ngoma ni kaliii

  • @obeidjoseph3610
    @obeidjoseph3610 4 роки тому +1

    Uumiiiiiiii

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 5 років тому +1

    Naanza kumwamini Afande Sele.

  • @barakarichi2629
    @barakarichi2629 5 років тому +1

    Nyimbo kal sna wanoh fanyiwa masaji ndo wanapondaaaaaa ngoma ya nikk

  • @leahkipambe9489
    @leahkipambe9489 5 років тому +2

    Good good boy mwanangu

  • @kamasiuk4399
    @kamasiuk4399 5 років тому +1

    ngoma ni kali kwa anae sikiliza fresh

  • @allenpetter2260
    @allenpetter2260 5 років тому +2

    Eeeeh ........Ni Massage kuna tatizo kwaaaniiiii !!!!!?

  • @felixgasper3378
    @felixgasper3378 5 років тому +12

    Huko massage uwezi toka unajasho ilaa unaeza toka unaitwa baba kijachoo ...maninaa ngoma ninkali

  • @paschalpatrick904
    @paschalpatrick904 5 років тому +1

    Ni massage
    Wanabaki na boxer uko ni massage
    Tulianza kushikwa kichwa shingo na kifua natunapoelekea uko tunaeza ogeshwa kabisa
    Kama umekubali gonga like na comments

  • @wasajo
    @wasajo 5 років тому +1

    Halafu Nikki hapa umetuibia mb zetu hakuna ulichokiimba

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 5 років тому +1

    ngoma Kali aisee.. ngoma zako mazee zinakuakuaga za tofauti sana asee zinakufanya unakua unique.. bigup mweusi..

  • @sureboyofficial6473
    @sureboyofficial6473 5 років тому +2

    Umeona mbali sana , Nikki fundi

  • @Jukwaa-7
    @Jukwaa-7 5 років тому +1

    Ngoma Kali Niki.very creative

  • @belindarichard6343
    @belindarichard6343 5 років тому +1

    Who iz heree🤣🤣🤣ni massage,,,mnapoelekea mtaogeshwa kabisaa😂😂hko massage hutoki na jasho ila utatoka baba kijacho

  • @IconIcon-yz5vm
    @IconIcon-yz5vm 5 років тому +1

    Biggest trap magic aidea vzr xana kaka ila basata naona macho kwenye hii ngoma

  • @frankchina9246
    @frankchina9246 5 років тому

    Ni massage tu, Kichwa ni Idea #nikkiwapilli uko makn mzee, hakuna zenye nymbo nachkia kam #mapenz kil day...

  • @keyphaedisonedison2607
    @keyphaedisonedison2607 5 років тому +1

    Noma sana huyu jamaa

  • @nansal55
    @nansal55 Рік тому

    Nimeiskia leo kwenye jahaz ikabidi nipite huku

  • @yusuphbaracha6137
    @yusuphbaracha6137 5 років тому +1

    Bonge la Beat. Fun rapping is Lit blood

  • @juliuselifasi8858
    @juliuselifasi8858 5 років тому +2

    Wa Pili Nikiiii👊👊

  • @namelessnameless4868
    @namelessnameless4868 5 років тому

    Niliacha kuwa shabiki wa hawa jamaa kitambo sana naona wanazidi kinihakikishia kuwa nilichofanya ni sahihi sasa ndo upuuzi gani huu we jamaa unaimba kaaaaaah

    • @azizimwambasi9289
      @azizimwambasi9289 5 років тому

      Jamaa wamekuwa pumba siku hizi.... hiyo masters alonayo haina mchango wowote kwenye kile anacho kifanya....

  • @khalifawapili1799
    @khalifawapili1799 5 років тому +3

    aaah Niki bhana umeuwa

  • @yohanareuben1600
    @yohanareuben1600 5 років тому +2

    ni massage tuuuuuu♪♪♪♪
    river 4 life,√√√√

  • @pettykemmy4846
    @pettykemmy4846 5 років тому +3

    Nimejikuta ata ngoma imeisha bila kuisikulza..kwa kusoma comments za waja😂😂

  • @live_love1
    @live_love1 5 років тому +2

    Ngoma kaliii sana

  • @nurdinimndeme2912
    @nurdinimndeme2912 5 років тому +1

    Nje ya box ' ulifikiri bro hapa - vitu kama hivi watu hufikiri juu juu tu ndo maana wanaona haiko poa

  • @smartkid531
    @smartkid531 5 років тому +1

    Nikki pili ngoma kali ⏩🔥🔥

  • @andrewmchilo205
    @andrewmchilo205 5 років тому +1

    ngoma kama hizi hata airtime zisiwe zinapeewa dah

  • @felicianbwinyende4884
    @felicianbwinyende4884 5 років тому +2

    Eeeee ni massage#nikki 2 mbunifuu xna

  • @lesmanhg.8306
    @lesmanhg.8306 5 років тому +3

    ni masajiiiiii tuuuu

  • @florencetairo3958
    @florencetairo3958 5 років тому +1

    Nmefikiri mkenha

  • @kingmussa6705
    @kingmussa6705 5 років тому +1

    kaliiii

  • @jonasoponcian1058
    @jonasoponcian1058 5 років тому +2

    😁😁😁😁😁😁😁wasoma comments wenzang mpoooo mi cjaelew kwakwel

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 5 років тому +3

    Wa piliiiiiiiiiii#.

  • @vedastogenius45
    @vedastogenius45 5 років тому

    Hamna kitu humu

    • @robertmatonya1851
      @robertmatonya1851 5 років тому

      lakini kwa kua wanabebwa na midia utasikia imemeingia top ten midia za BONGO za kinafiki sana

  • @tonyelshabbaz
    @tonyelshabbaz 5 років тому +1

    Time will tell!

  • @immapiusi3172
    @immapiusi3172 5 років тому +17

    Nyimbo ya kibwege umeshakua mwanayumba Nikki

  • @geraldhumphrey517
    @geraldhumphrey517 5 років тому +1

    Masajiii

  • @kamandarhuxeinkamandarhuxe2277
    @kamandarhuxeinkamandarhuxe2277 5 років тому +2

    Wozaaaa💯🤣

  • @miguelsanare7647
    @miguelsanare7647 5 років тому +1

    😁😁😁😁😂😊 ni massageeeeeee

  • @ramadhaniathumanimlenge6641
    @ramadhaniathumanimlenge6641 5 років тому

    Huyu kaishiwa misitari

  • @sephjoseph8097
    @sephjoseph8097 5 років тому +1

    🔥🔥🔥Ni massage

  • @osiahstimah8910
    @osiahstimah8910 5 років тому +2

    Ila nae niki wa 2 sjui wa 4 flow yake tumeichoka bora niende Kwa darasa #achianjia #RUDISHA AKILI ULIKO AZIMAAAAA 😂😂😂😂

  • @barakatemba441
    @barakatemba441 5 років тому +3

    Oyaa Eeee Massage 😂😂

  • @frankyared3861
    @frankyared3861 5 років тому

    Nyimbo LA kisenge tu shukuruni tu clouds mapindi nyie

  • @nguyamtwartz5413
    @nguyamtwartz5413 5 років тому +3

    daah nmepoteza mb, zangu2😎😎

  • @live_love1
    @live_love1 5 років тому +1

    Unajuaga tu mkaliii

  • @princesyvus3248
    @princesyvus3248 5 років тому +2

    Cjamaliza hata ngoma ila inahilo livibe hatar

  • @dronemiguel2230
    @dronemiguel2230 5 років тому +1

    Tixher mnyama

  • @mohachibu0017
    @mohachibu0017 5 років тому +1

    Hahaha ngori joh Nikki

  • @jamesuronu1306
    @jamesuronu1306 5 років тому

    Hamna kitu hapo dingii.

  • @diamondplatnumznewsajm2053
    @diamondplatnumznewsajm2053 5 років тому +21

    Wa.1. Gonga like Kwa NIKII WA PILI. Ngoma ni⏩🔥🔥🔥.
    ua-cam.com/video/LmFNPeYDTRE/v-deo.html

  • @abasimageta7695
    @abasimageta7695 5 років тому +2

    Kama kazi za kufanya huna niki kakojoe ukalale choko wewe nyimbo gani sasa hii

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 5 років тому

    Eti anajiita msomi huyu! Nonesense track.

  • @metallic5286
    @metallic5286 5 років тому

    Kaz kaz kaz
    Wa pili

  • @josephmshanimwanza5298
    @josephmshanimwanza5298 5 років тому +2

    just massage like here if like this song👉ni treeen not three

  • @amanipastory9334
    @amanipastory9334 5 років тому

    Ni kitu kizuri ila bado haijafikia kuitwa nyimbo nzur, labda ni jingle nzuri

  • @adamtanzania6292
    @adamtanzania6292 5 років тому +1

    na kifua wanakushikwa eeeh ni massage😂😂

  • @jumatoccy4491
    @jumatoccy4491 5 років тому +8

    kumamayo ndo nyimbo gani

    • @bahatiomari1319
      @bahatiomari1319 5 років тому

      Eti mwanang ii nyimbo au ngonjera...afande sele alichosema ni haki

    • @sebachaz6483
      @sebachaz6483 5 років тому

      we ndo kuma Hujui chochote #kuma ww

  • @aidandago5528
    @aidandago5528 5 років тому +2

    Kaliiii like kam zote first to comment

  • @blingswaggz8265
    @blingswaggz8265 5 років тому

    Massage sio poa kule

  • @florencetairo3958
    @florencetairo3958 5 років тому

    Mkenyaa

  • @sizzaamiri3668
    @sizzaamiri3668 5 років тому +1

    konk

  • @petromwinyi4955
    @petromwinyi4955 5 років тому

    unabebwa tuu baba ila hamna kitu, hii sio nyimbo ss tuna kuita,intellectual rapper afu unaimba pumba hii, kama huna nyimbo ya kutoa cungekaa kimya tuu.
    afu Wa bongo wengi ni wanafiki kinoma,ndo maana wasanii wanakufa kimziki mnasifia pumba , kama artist kazngua kuimba ni bora kumwambia ukweli ili ajirekebshe kuliko kusfia pumba hii.

  • @mwadusaveli
    @mwadusaveli 5 років тому +1

    Masage

  • @hamadinhndii9900
    @hamadinhndii9900 5 років тому

    Hahahahahahaaa hataree

  • @kingandrews1576
    @kingandrews1576 5 років тому +1

    hahah manina huyu mtoto

  • @asnahassan4875
    @asnahassan4875 5 років тому

    Ni massage

  • @EliyacostantinoPius
    @EliyacostantinoPius 5 років тому +1

    nyimbo mbaya hatari..basata wanakula nayo ...ujinga mtupu

  • @fortunatekintu8057
    @fortunatekintu8057 5 років тому +1

    Msenge ww usiaribie watu biashara zao hey wenye massage ueni hii ngoma

  • @johnmwanga496
    @johnmwanga496 5 років тому +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @cornelnyigu8707
    @cornelnyigu8707 Рік тому

    2022 😂😂

  • @yusuphmbasha6706
    @yusuphmbasha6706 5 років тому +1

    Oiii

  • @Djumaselemani
    @Djumaselemani 5 років тому +1

    Massage 😂😂😂😂😂

  • @robertmatonya1851
    @robertmatonya1851 5 років тому +2

    Katika nyimbo zoty zilizotoka mwaka huu hii ni mbovu kuliko zote nenda kanywe
    mbege tu mziki umekushinda

  • @live_love1
    @live_love1 5 років тому +3

    Arusha boi unajua sana

  • @HustleOnTv
    @HustleOnTv 5 років тому +1

    Nick kashindwa kuitumia vizuri hii beat, like if u agree!!

  • @yoriacharles9309
    @yoriacharles9309 5 років тому

    Jaman 😂😂😂😂😂

  • @goldmaster6639
    @goldmaster6639 5 років тому

    hahahaha massage

  • @mwaelias
    @mwaelias 5 років тому +1

    😂😂😂

  • @nkuba_tz258
    @nkuba_tz258 5 років тому +2

    daah na ww umeanz kutoa nyimbo za kiboya ee, basata mpo wap😅😅😅😅😅

  • @dogorama3422
    @dogorama3422 5 років тому +1

    Baba kijacho😂😂

  • @aliuali4690
    @aliuali4690 5 років тому +2

    kwa heshima ulionayo sikutegemea utaimb
    a upuzi kama huu kababa ....unaangusha chuga chali.... chuga rap hua iko deep ila hapa ...umebugi chali

  • @ramadhanisaidi3883
    @ramadhanisaidi3883 5 років тому

    ah! kwel wasanii wanaimbia hela tu, very stupid song. fid q & wakaz & niki mbishi salute kwenye ndan ya hiphop tz.

  • @edenchulla5663
    @edenchulla5663 5 років тому +3

    Nonsense!

  • @hushbtz3310
    @hushbtz3310 5 років тому

    Kuma una mkubali Nikki gusa link ua-cam.com/video/U2dnmwKgWcQ/v-deo.html ua-cam.com/video/U2dnmwKgWcQ/v-deo.html

  • @vahley3162
    @vahley3162 5 років тому +11

    Huuu ni usenge haiwezekani mtu msomi unatoa nyimbo mbaya namna hii, yaani idea ya nyimbo massage alaf unarudia maneno na kuongea ovyo juu ya biti. ..niki apa umezingua torati ya Arusha. Arusha tunajulikana kama ma big thinker lakin apa hata dogo janja mwenyw hawezi imba huu upuuzi...

    • @yonamoses8626
      @yonamoses8626 5 років тому

      Acha ushamba ww

    • @iddmussa224
      @iddmussa224 5 років тому

      nyimb mbona kali 2uuuu acha ubwege ww hii ni sanaa ustake kila nyimb itok unavotarajia ww

    • @amanistephano5208
      @amanistephano5208 5 років тому

      Vah Ley imba yako emb tuskize

    • @sundaypatrick5693
      @sundaypatrick5693 5 років тому

      Ushamba mzigo

    • @robertmatonya1851
      @robertmatonya1851 5 років тому +2

      uko sawa achana na hao shabiki kondoo kila kitu wao ndio tu hata kama ni usenge

  • @dodoshavu488
    @dodoshavu488 5 років тому

    😄😄😄😄😄😄😄😄

  • @kingandrews1576
    @kingandrews1576 5 років тому +2

    gonga like tuondoke

  • @petiidanker4246
    @petiidanker4246 5 років тому

    Naxhangaa w2 wanavyo kudiss juu ya hii ngoma wakatii amna ubunifu mkliii kam huu.

  • @kiddybaba9495
    @kiddybaba9495 5 років тому

    LIKE KAMA UNAMKUBALI MH RAIS NIKKI
    Subscribe yetu hii ua-cam.com/channels/svpA3UKaWkFZjomQT5EXoQ.html

  • @kolokokoloko1955
    @kolokokoloko1955 5 років тому +9

    Nyimbo mbovu du!!! Ujinga tu