SHOCK AS VIRGINIA WANGARI KAMOTHO'S BROTHER BLAMES VIRGINIA & KIDS BADLY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 кві 2023

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @TeacherNyoks5258
    @TeacherNyoks5258 Рік тому +55

    Ile kiburi iko na Virginia na watoto wake,,..Ngai,mtatafuta huyu uncle yenu kama hamjaambiwa,afadhali mngemnyanganya pesa lakini musimtusi...huyu atatafutwa na watoto wa Virginia one day,na nimeenda

    • @jackyshalom2337
      @jackyshalom2337 Рік тому +6

      Hao wanaona walishafika. But hiyo kiburi itawacost. Umeona hata muyu hangeweza kukaa dumai venye walikuwa wamedaisha coz hiyo tabia yao hakuna mwenye anaweza vumilia

    • @suzzanenjoki9547
      @suzzanenjoki9547 Рік тому +2

      ​@@jackyshalom2337 fact👌

  • @blessedwachera7133
    @blessedwachera7133 Рік тому +19

    Kamotho was right. Virginiah ni jangili. She’s very greedy and her children have taken after her.

  • @mumboys-ky2rr
    @mumboys-ky2rr Рік тому +29

    This uncle was there for Virginia and her kids all thru. Shame on you Virginia na Wa Toto wako

    • @Coach585
      @Coach585 5 місяців тому

      They insulted Baruthi the person who stood with them through thick and thin..

  • @millicentmbataru8941
    @millicentmbataru8941 Рік тому +20

    Sorry to hear that.Virginia move davis off the house otherwise atapata laana. Children's should respect their uncle.
    Please pay your brother his dues.
    Be in peace

  • @bilharwambui2035
    @bilharwambui2035 Рік тому +22

    Mimi niliona Virginia kitambo anakaa kiburi sana.

  • @zipporakihanga8841
    @zipporakihanga8841 Рік тому +21

    This is a direct curse aki mtu kutusi uncle yake,he is in pain

  • @kareg1222
    @kareg1222 Рік тому +8

    Nowada baruthi hakufuatilia hiyo nyumba, Viginia kimama kimkora

  • @beatricewandia116
    @beatricewandia116 Рік тому +34

    He need to be paid for sure

    • @susansarah2847
      @susansarah2847 Рік тому +1

      Wewe huyo ni siz yako unataka kumharibiya njina kuna watu wengi wamesaidia watu wao Kwa hivwo huwezi saidiaya watu wako

    • @cynthiawanjiru559
      @cynthiawanjiru559 Рік тому +5

      @@susansarah2847 asaidiwe aje na alikua amechangiwa pesa mob sana, huyo mzee ata ukimuangalia na uangalie Virginia, nani anafaa kusaidia mwingine surely?

    • @cynthiawanjiru559
      @cynthiawanjiru559 Рік тому +1

      @@marynduta7488 amemharibia aje?

  • @mamaketwins138
    @mamaketwins138 Рік тому +16

    my uncle could mistreat us but mum insisted we forgive him and hold no grudge,, uncle is a strong name

  • @ruthwachera984
    @ruthwachera984 Рік тому +5

    Virginia na watoto wake wote wamejaza kiburi, I personally supported them but nowadays I hate them

  • @virginiakariuki6479
    @virginiakariuki6479 Рік тому +7

    Uncle bariki watoto according to Kikuyu culture, uncle brother to the mother has power to bless or curse is sisters kids. That's very serious

  • @Tmk5342
    @Tmk5342 Рік тому +20

    Usiwahi kubali watoto wako watusi mjomba ni vibaya, watu husahao haraka sana waaaaa hii sisemi kitu

    • @tabithakimani981
      @tabithakimani981 Рік тому +1

      Family members are the worst...watakuiba uishe kabisa!
      Do not trust your relatives.
      Nyumba ya mami wanyu ti yaku ni ya ciana via nyukwa.

  • @worriedk7803
    @worriedk7803 Рік тому +89

    Mimi for no reason, l don't like that family, before they were very humble,after people helped them,maringo, mucene,kibelebele mingi ,no wonder that's the reason kamotho couldn't stand them,it made me get sick of baruthi wa thayu interviews,ya Hiram and Virginia

    • @Tmk5342
      @Tmk5342 Рік тому +14

      Me too now nikama wanatakanga watu wanunulie viti

    • @annem2980
      @annem2980 Рік тому +12

      She didn't deserve to kunjengewa, sio kiwete, All she needed is someone to offer her and her grown kid's jobs wafanye wanjinjenge.I helped kuchanga arundishiwe watoto but after that nikaondokea.Arafu,Nikiangalia kwa ukweli, Alikuwa akiitisha watoto na hakuwa na uweso wakuwalea, wangembaki na yule mzazi anauwezo lakini apatite rights zakuona watoto na kuwasaindia atakapoweza.

    • @worriedk7803
      @worriedk7803 Рік тому +14

      @@annem2980 very true,nikama wanaona watu wana adore, l dont watch their shows nor do l envy them,,silence is the best weapon, Kamotho alikimia,truly l like the co wife Tabitha no matter in what situation she got married to Kamotho that family you can tell ni sumbua

    • @luciakabui3151
      @luciakabui3151 Рік тому +12

      ​@@annem2980 I concur with you gal. Karangu, Jeremy Damaris n Karanja MC have built very good n ordinary houses for many people - not high-living palatial homes. Imagine tenants contributing money towards such extravagant opulence. These are people who were living in single room shacks. No wonder their new status has brought out their greed, arrogance n waywardness. Growth should be organic.

    • @jackyshalom2337
      @jackyshalom2337 Рік тому +13

      ​@@Tmk5342mbona hawakubeba zile viti walikuwa nazo huko kwingine? Wamezoea vya bure

  • @shikswaJesus5451
    @shikswaJesus5451 Рік тому +6

    Kukosea uncle yao heshima nivibaya hiyo ni laana.....they should respect him fully...mahali baba mzazi hapatikani uncle husimama........
    .to the Virginia's family....HUMBLE YOURSELF BEFORE THE LORD AND HE WILL LIFT YOU UP......

  • @susangitau715
    @susangitau715 Рік тому +15

    Ugikuyu-ini Mama wamundu ndarumagwo nandaimagwo gitiyo Virginia umenye niciana ciaku urenjera irima

  • @liliannjeri6786
    @liliannjeri6786 Рік тому +23

    I hated Virginia from the word Go. You will come down!!!!

  • @janewaitheramwaura3678
    @janewaitheramwaura3678 Рік тому +15

    Mama ucio ekwanikwo ni Jehova nginya muthia tondu ni oimire wega ini wa Ngai ekiraga nginya inyatha na mibuto nginya iria ihana thogithi na ni mundu wari na nguo ndaihu na ni athiomaga mama cokerera Ngai ni murakaru ata na kuherithia ni Kuma wega ini wake

    • @puritykarimi363
      @puritykarimi363 Рік тому

      Atumia nithu cia atumia aria Angi uyu no Ngoma uramuhithira ya uiru

    • @Andumewira
      @Andumewira 10 місяців тому

      Athiomaga ndakorio ciuria she was a scammer from day one, Mungu amemwanika as you said 4 months ago

  • @esthermaina2961
    @esthermaina2961 Рік тому +12

    Kamotho clapping 🚶🚶🚶

  • @dorcaskiragu4306
    @dorcaskiragu4306 Рік тому +37

    Yani mtu anatusi uncle yake 😢😢 nyinyi hamna baraka ata Kwa mungu mmelaaniwa kabisa

    • @bigg1091
      @bigg1091 Рік тому +8

      Hiyo na plus nyawira alipiga mama yake na according to virgia akalala na babake. Cursed

    • @salomendore9653
      @salomendore9653 Рік тому +8

      Hata kupiga mzazi, so hio inaonyesha nyawirà ni nani kaschana kanakuanga na tukutuku nyingi.

    • @cynthiawanjiru559
      @cynthiawanjiru559 Рік тому +3

      @@bigg1091 bytheway nmekumbuka hio story, ikiwa ata hana heshima kwa mama yake, naje mjomba?

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b Рік тому +7

      Yes ata Ile tabia waliinyeshia babayao sio baraka kabsa Baba ni Baba ata awe wazimu ,juu laana ya Baba nibaya Sana Hana uhuru,,na plus MTU WA pili ni mjomba heshimu mjomba uchelewe kufa,hii jamii yote mama ndio shida

  • @puritykibunja
    @puritykibunja Рік тому +61

    Mama wa mundu ndarumaguo😢😢😢😢

  • @lydianzula9081
    @lydianzula9081 Рік тому +14

    Virginia amekua na kiburi na vile tumemsaindia ajui laana iko mbele yake ako na laana pamoja na watoto wake na atalipia kupitia watoi hiyo nyumba utakaa na Raha wewe Virginia

    • @Andumewira
      @Andumewira 10 місяців тому

      As you once said

  • @Clementroblox981
    @Clementroblox981 Рік тому +8

    I support wamuratha,huyu mama n broker

  • @annahkimani4458
    @annahkimani4458 Рік тому +52

    Mzee Patrick is pained. He has to vent in public. Whatever went down will be exposed and justice will prevail.

    • @janekamau1546
      @janekamau1546 Рік тому +3

      If he is pained, then he should have done the right thing. Not media. Media will not help but put more firewoods to the fire. We will learn more about their family for no good reason. We are not interested. Families have issues and they can never be solved by the media.

    • @janekamau1546
      @janekamau1546 Рік тому +1

      @Annah Kimani how will he get justice from the public?

    • @annahkimani4458
      @annahkimani4458 Рік тому +14

      In May 2020, Virginia Wangari spoke to Monica Kagoni and we are all aware of how this lead to an uproar and assistance from a lawyer and the wheels of justice did roll. If one sits privately, marinating and stewing in their misery, they will hardly receive help. Wacha Patrick speaks out, who knows, someone might be listening who might offer him the help he needs in order to receive what is owned to him. From Madam Virginia's case I have learnt THE PUBLIC can forever change the trajectory of one's life. Unfortunately, in my opinion, this public support got into the said lady's head until she felt she was extraordinary and was owned.

    • @wanjirunjiru3083
      @wanjirunjiru3083 Рік тому +3

      @@janekamau1546 UKWELI

    • @WamboMerci
      @WamboMerci 10 місяців тому

      It’s being exposed now

  • @joycemwangi9452
    @joycemwangi9452 Рік тому +85

    Virginia, where is the humble woman with wisdom we knew?????

    • @shigitau910
      @shigitau910 Рік тому +7

      I think we thought not we knew

    • @wandiaflorence7712
      @wandiaflorence7712 Рік тому +11

      Virginia is a ConWoman, her husband knew all about her. My Son has respect my brothers like his own Father, and in Kikuyu Uncle is some one very important to his Sister's Children.

    • @peace_peace154
      @peace_peace154 Рік тому +6

      To an extend Lucy breaks his uncle's house, mannerless children

    • @lucymuthoni8203
      @lucymuthoni8203 Рік тому +5

      Pride comes before a fall

    • @danngugy8999
      @danngugy8999 Рік тому +5

      Lakini huyu mzee amefanya rehearsal poa kabla ya mic test

  • @catherinenjau4640
    @catherinenjau4640 Рік тому +8

    For those who knows Kikuyu in deep hakuna mtu huwa na curse mbaya kama uncle

  • @annieirungu3489
    @annieirungu3489 Рік тому +8

    Story zangu na dugu zangu 😢😢. Watoto wangu wasijaribu kuingililia. Wakae ukooo.... Staki laana kabisa .

  • @ambitiousalicemwenenaivash521
    @ambitiousalicemwenenaivash521 Рік тому +4

    Wooi ndetooo.mutumia ucio aga kwariria ciana icio niikuigaira kirumi😢😢😢😢😢

  • @monicahwambui-tj7oc
    @monicahwambui-tj7oc Рік тому +8

    Martha Mwihaki Hinga, Wairimu Kimani ati kumesemekana Davis ni wa Bishofuu sio Kamotho🙉

  • @esthernjerimuiruri9822
    @esthernjerimuiruri9822 Рік тому +9

    Virginiah has got every right to inherit her mother,,our current constitution is very clear every child ako na haki ya urithi wa wazazi wake, ,enda ukatafute mali yako.😊

    • @nomatusi7514
      @nomatusi7514 Рік тому +4

      They are supposed to divide their inheritance by 4

  • @nancydave8964
    @nancydave8964 Рік тому +4

    Waah nyawira kamotho be careful .when uncle is angry you can't have peace ..he carrys your blessings oo ...bitter truth

  • @favorryan1153
    @favorryan1153 Рік тому +3

    How can they insult their uncle surely??? Mbona asimlipe pesa na nowadays virginia ako na pesa sio the humble woman we knew, khaii

  • @margaretwanjiku5973
    @margaretwanjiku5973 Рік тому +17

    Pole sana, Virginia tafadhali usitume watoto wako wapatwe na laana juu laana ya huyu bro watu itakumalizia kisazi ukichaza,wakanye haraka iwezekanavyo kama ni ukweli na warudi kumuomba musamaha

    • @goldenbazaars
      @goldenbazaars Рік тому +3

      Kwanza huyo Davis ni kandinya kama babake!nyawira ni mdomo tupu kama mamake.

  • @reginadavid4454
    @reginadavid4454 Рік тому +7

    Huyo mwanamke anakuwanga na kiburi sana watoto na wao hawana adabu niliona wakitusi hadi barothi na vyenye aliwasaidia 😢😢

    • @puritykathambi1336
      @puritykathambi1336 Рік тому +3

      Kwanza vienye walitusi baluthi after kuwanjengea hapo ndio watu waliwachukia

  • @veronicahwangari8847
    @veronicahwangari8847 Рік тому +3

    Saahi hawataki kununua vitu za nyumba ndio wahurumiwe wanunuliwe na wako na pesa na magari Waha ni con

  • @lydiamuthoni8604
    @lydiamuthoni8604 Рік тому +8

    Hiyo family iliingiwa na kiburi. Kamptho once said that Virginia is a drama queen but many ignored him. Anyway time will tell but Virginia David and Lucy isa throw.

  • @esthermagua8359
    @esthermagua8359 Рік тому +53

    😳😳😳😡🙆🏽‍♀️ooh my goodness unbelievable Virginia has failed to control those kids, that family is too loud no one can stand them, but insulting their uncle is a curse it’s lack of respect

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b Рік тому +12

      Virginia fear to be beaten by those kids,bt I blame there mother's,aliwalea vibaya Sana no wonder kamotho looked her in the room ,this woman can turn all flat up side down, looking at those kids ,waaaa there's no difference between then and welding machine,Yani hawana heshima wanaongea prarrrrrrrr phooooop

    • @janekamau1546
      @janekamau1546 Рік тому +7

      @@user-cg3vf2bl6b Leave them alone. Samahani niseme hivi. Please lea wako. Those are Virginia children good 😊 or bad. Were you there when they insulted their uncle? Wachia Mungu.

    • @Kary_254
      @Kary_254 Рік тому +7

      @@janekamau1546 Wee kwenda kama hawana adabu lazima tuseme..unamtetea kwani anakugawia Ile anaombaomba online

    • @janekamau1546
      @janekamau1546 Рік тому +4

      @@Kary_254 No she does not share with me what she gets on line. I think 🤔 it is better we understand that, what ever she learns is her money 💰 and we or Virginia we did not expect her to ask for money 💰 on line for ever. On line business is open to whoever who wants to earn through it. She did good for having looked for other means to earn and feed her children. As for her children, good or bad, they are her children. It should not be people's business. Take care of ours and leave Virginia with hers. All said, she is a good mother, no matter our opinions.

    • @FIN256
      @FIN256 Рік тому +4

      Children can not insult their uncle if he has done no wrong to them. Uncle must be having a weakness too

  • @shirondungu4412
    @shirondungu4412 Рік тому +14

    Kiburi ilimtawala.. utafanya watoto wako wateseke juu ya kutusi mjomba

    • @jackyshalom2337
      @jackyshalom2337 Рік тому +2

      Watoto wameeka standad tha maisha juu ile yenye sijui wataeza kumantain

  • @marygithinji1310
    @marygithinji1310 Рік тому +11

    Mm nifanyie mtu kazi akatae na pesa yangu arafu atumiange watoto wake kunitukana wuui naeza mpeleka kama ngari za miraa. Hao watoto ata Wana Baraka kweli??

  • @shirowapk
    @shirowapk 10 місяців тому +7

    When pride get in your head. She needs to get it together

  • @mwariwamugo3991
    @mwariwamugo3991 Рік тому +11

    Weeee...nii nidamaka kama hii niukweli nikubaya..Virginia chunga mungu asikarike nawee talk to your brother niwe winakirathimo GIA ciana ciaku,mama wamudu ni 🔥🔥Virginia dont forget Ngai niarathima uria uthingataga thayu🙏

    • @gracious6317
      @gracious6317 Рік тому +1

      Hiyo si poa surely she will pay dearly

  • @hellenwanjiku3285
    @hellenwanjiku3285 Рік тому +16

    I saw it coming 😢
    Virginia she's a con
    I stud with Kamotho from day one.

    • @Andumewira
      @Andumewira 10 місяців тому

      Thank you God has given you wisdom

  • @marywachira1972
    @marywachira1972 Рік тому +49

    This is unbelievable. Hearing uncle with such a pain, is shame. I heard a prophecy that this year pple will be exposed. So Virginia do what is right. For sure kunamahali ilifika dhamili yangu ikamkataa. Ni mutumia arí uhinga mùingí muno. God help us to have a discerning spirit.

    • @beldinanjeri650
      @beldinanjeri650 Рік тому +7

      Alipata kiburi kupitia michango

    • @marionwambuinjoroge2256
      @marionwambuinjoroge2256 Рік тому +15

      same here,waaahh hata fupisha sjawai watch for months,first walidharau baruthi now Even her own bro?so kamotho was right

    • @essienonino7163
      @essienonino7163 Рік тому +5

      Dhamili ilikataa kabisa idid my part when it was needed, later i don't watch any of vedio they put coz Wali change sana anything they do have to put on social

    • @phoebewanjiru1955
      @phoebewanjiru1955 Рік тому +3

      ​@@essienonino7163 I hardly watch when I saw they took the life of celebrities

    • @essienonino7163
      @essienonino7163 Рік тому +4

      @@phoebewanjiru1955 true they changed a lot ata baruthi akajitoa

  • @SuzanneJeffersons
    @SuzanneJeffersons Рік тому +44

    Virginia' s greed was beyond

    • @franciscamuindi9266
      @franciscamuindi9266 Рік тому +6

      I saw her pride and character changing and I sensed there is red flag but anyway let's listen to the bro the truth will come out

    • @wanjirugakuo4387
      @wanjirugakuo4387 Рік тому

      Very True 😮

  • @wangecimurage3742
    @wangecimurage3742 Рік тому +8

    Na huyu baba mdogo kwani ndiye amekuwa bwanake juu hata usiku ako kwa huyu mama. Mpaka bedroom anaingia bila heshima. Kamotho tried really

  • @winniewangui116
    @winniewangui116 Рік тому +5

    Huyo mama ni online beggar.i always had a feeling davis was different from the rest.such a shady and shody family. Battalion of beggars

    • @Andumewira
      @Andumewira 10 місяців тому

      You’re 100% right

  • @virginiawambui7603
    @virginiawambui7603 Рік тому +15

    Nimekwama hapo Kwa Davis by the way huyu Davis hawafanani na hao watoto wengine kumi na Moja na ndio maana alikuwa anafanyishwa job ya mnjengo na kazi ngumu ngumu na kamotho coz damu haziabatani ngai kamotho kam here usikize uhondo ulichezwa aki Virginia mungu anakuona kurumithia siana kwi mamawe thiyo nilaana direct watoto wapee uncle zao heshima

    • @qrellissa2127
      @qrellissa2127 Рік тому +1

      😂😂😂

    • @cathycyrus306
      @cathycyrus306 Рік тому +1

      😂😂😂sure

    • @ameliaab131
      @ameliaab131 Рік тому +1

      Eeee I suspected. He was bitter alichezewa thats why he told him never to name him.

  • @annewaiyego7318
    @annewaiyego7318 Рік тому +20

    God have mercy on this man. Can't believe this. Uncles are carriers of children's blessings. Heshima si utumwa

    • @Godbestk
      @Godbestk 9 місяців тому

      😂😂😂😂lies ,No uncle carries blessings,Knowing truth is good

  • @rahabnganga2793
    @rahabnganga2793 Рік тому +9

    It is so wrong to annoy your uncle in kikuyu tradition

  • @gladysmungai2695
    @gladysmungai2695 Рік тому +6

    Huyu mama anjifanya saana tumbe ni ubwa mwitu

  • @PCEABEREAGachororoJuja2
    @PCEABEREAGachororoJuja2 Рік тому +3

    We need part 2 of this story

  • @mwikarimajuu8709
    @mwikarimajuu8709 Рік тому +7

    The big names like Dr Maina lady Maria the with a big physiology clinic abroad , mama boys mary Mburugu kui (mama mahianyu) who withdraw and many big names who were under cover walikwenda wapi… they probably got tired

    • @Chai-moto-fm
      @Chai-moto-fm Рік тому +2

      Something was so wrong
      Virginia is selfish plus her unmannered kids pride comes before a fall

  • @DMU718
    @DMU718 10 місяців тому +6

    If you want to know the character of a person, give him or her power and money

  • @matunda2008
    @matunda2008 Рік тому +11

    Waah! Just seeing this, nimestuka yangu yote! I lack words! Could this b true??

    • @mwikarimajuu8709
      @mwikarimajuu8709 Рік тому +3

      Matunda hata Mimi my dear
      Imargine all the money we contributed to Virgnia , I think I can count 100k

    • @matunda2008
      @matunda2008 Рік тому +1

      @Muikarimajuu8709... we must give Virginia the benefit of doubt... there's always 2 sides to every story... let's take this with a pinch of salt..

  • @estherwanja9754
    @estherwanja9754 Рік тому +18

    Virginia ni mukora muuru muno..ataletea hao watoto wake laana..asicheze na uncle..kamotho was very right virginia ni bure

  • @mariamohammed6367
    @mariamohammed6367 Рік тому +6

    HUYU MAMA ALILIA SANA WATU WAKA MSAIDIA HALAFU MARINGO IKAWAINGIA WATU LAKINI WAKANYAMAZA WAJIANGALILIE NA NA MACHO, LAKINI WACHA NIWAMBIE MDOMO YA MJOMBA IKI TETA KUNA SABABU. THE DAY I REALISED THERE'S SOMETHING WHICH IS NOT RIGHT NI KAJUA HII FAMILIA IMEJA KIBURI, HOW CAN CHILDREN GO TO AN EXTENT OF INSULTING THERE OWN UNCLE, LAKINI SURA YA HUYO MAMA ITAKWAMBIA NI MAMA WA MATHARAU LAKINI MUNGU YUKO LET US WAIT SIRI ZIMEANZA KUTOKA NJE.

    • @Andumewira
      @Andumewira 10 місяців тому

      As you said 4 mths ago

  • @sarahngugi2779
    @sarahngugi2779 Рік тому +3

    Arenda magai ma Nyina atunye brother ciake mugunda this is being greedy 😢😊

  • @shiro88886
    @shiro88886 Рік тому +14

    If Virginia CANNOT pick Baruthi phone who facilitated her house who else can she listen to??? Even if in her mind Baruthi wasn't perfect they should be grateful. He did a major thing. People like Lynn Ngugu had refused. #so ungrateful. And she has women who really mislead her and abuse and block people on her channel and she does nothing about it...abusing people who contributed alot wow ..but one day this family will be left alone. I wonder where Baba mdogo is......Davis is soooooo proud ...wah

    • @peace_peace154
      @peace_peace154 Рік тому +1

      @shanzu very proud people,alafu wakona hii tabia ya kuonyeshana Kila kitu wananunua especially on food,since ni za kupewa si ata mcheze chini..ama lazima waonyeshane ndio mjue wako sawa...anywho

    • @agnesveronica324
      @agnesveronica324 10 місяців тому

      Asante ya punda ni mateke alaaaaaaa

    • @Andumewira
      @Andumewira 10 місяців тому

      Imagine you said this 4 mths ago

  • @agneskanini3432
    @agneskanini3432 Рік тому +36

    Jacob never insulted his uncle Laban despite their differences. Uncle deserves respect no matter what the circumstances

    • @mwikarimajuu8709
      @mwikarimajuu8709 Рік тому

      He was even coned , he had to labour another 7 years

    • @muthoni888
      @muthoni888 10 місяців тому

      I put a mark here ,,😢

  • @salmanimz
    @salmanimz 10 місяців тому +1

    May God give them wisdom 😮

  • @nkitahtamarah453
    @nkitahtamarah453 Рік тому +7

    Huku Kuna mambo lakini mambo ya family n magumu ,,weuh I saw this wth my uncle and aunts weyh

  • @wanjiruwanganga5707
    @wanjiruwanganga5707 Рік тому +5

    Ghai hapo kwa Davis.....tea is 🔥 🍿🍿🍿🍿

  • @tabithamulwa3629
    @tabithamulwa3629 Рік тому +12

    I hope wairimu kimani is watching,God opposes the proud and give grace to tho those who humble themselves.

  • @beatricemarangu942
    @beatricemarangu942 Рік тому +7

    Maundu Maria mari thiino😮😮😮 mwathani ...may be ukiona ametry kureach out with no respect

  • @mamadenzel9137
    @mamadenzel9137 Рік тому +9

    Uncle ebu twambie kama Virginia aliolewa na yule brother wa kamotho😅😅😅

    • @rachelmaina2680
      @rachelmaina2680 Рік тому +2

      😮😮😮😮😮😮😮😮

    • @cons.cons.1060
      @cons.cons.1060 Рік тому +2

      Good question

    • @cons.cons.1060
      @cons.cons.1060 Рік тому +3

      Nikuoa ama nikuolewa,,hii familia wee!!!kamotho aliongea mkasema ni wazimu,,,Alijua tu

    • @lucynyaga566
      @lucynyaga566 Рік тому +2

      😅😅😅😅😅aki sisi tunapenda story kaa izi

  • @rositanjuguna7561
    @rositanjuguna7561 Рік тому +4

    Ngai navile ulimzaidia ata ukipikia watoto wake Ile time alikuwa akizunguka

  • @ciccoann2311
    @ciccoann2311 Рік тому +4

    Ngai ndeithia ndikanahingia urathi wa ciana kusaliti aciari kana brother na sister kusaliti one another,,these days tunatoanisha familia internet,,,

  • @mamadenzel9137
    @mamadenzel9137 Рік тому +6

    O rīrī chai wathiī kūgīa mūrīo rī Davis wa kamotho 😅😅😅 baruthi pea uncle interview

  • @GULF444
    @GULF444 Рік тому +1

    Kiburi shikamoo.virginia fikiria sana

  • @puritykathambi1336
    @puritykathambi1336 Рік тому +7

    Huyu mama nimkora sana ata nyumba alinjengewa na watu tena akawageuka tutaona pahali atafika nayo baluthi alimuhurumia akamjengea tena waanza kumtusi na hao watoto wake

    • @carolkimani2996
      @carolkimani2996 Рік тому +1

      She has forgotten the days she was begging us to help in building the house and even she forgot the main man Baruthi.asante ya punda ni mateke

  • @marthamunene2212
    @marthamunene2212 Рік тому +5

    Mimi nilionea virginia 18 she has a lot of pride

  • @liliannjeri6786
    @liliannjeri6786 Рік тому +2

    Ngai yaani Lucy Lucy Lucy mungu anakuona

  • @margretnyambura7381
    @margretnyambura7381 Рік тому +1

    Huyo Virginia after baruthi kumsaidia alirundi kuogea baya seriously ambia watoto waheshimu auncle yao

  • @wanguimwangi2246
    @wanguimwangi2246 Рік тому +4

    Mwathani what wrong with this family?? They need deliverance.

  • @ruthnjeri1291
    @ruthnjeri1291 Рік тому +4

    Woi uncle wa mundu ndarumaguo.... Kwanza kikikuyu uncle ya mtu woi Virginia chunga watoto wako wasipate laana.

  • @nkitahtamarah453
    @nkitahtamarah453 Рік тому +14

    Kumbe Lucy huvuta bhangi 😂😢

    • @hanifajuma6121
      @hanifajuma6121 Рік тому +9

      Ata anakaa bangi

    • @sarahngige1589
      @sarahngige1589 Рік тому +3

      😅😅😅

    • @puritykathambi1336
      @puritykathambi1336 Рік тому +1

      Ata anakaa naye kijana mkubwa namuonanga roysambu ni pombe tu kwa wine and spirits

    • @sarahngige1589
      @sarahngige1589 Рік тому +2

      @@puritykathambi1336 waa pesa usipozitafuta wewe mwenyewe huwezi icontrol but it will control you but in a wrong way

  • @tracynyambura4494
    @tracynyambura4494 Рік тому +15

    🙄🙄🙄Virginia this is not accepted.why treat your bro hivo na una entertain your kid wamtusi..giki ni kirumi direct cha uncle and again remember a firstborn in the family can curse you too juu ni your elder bro....#where did the humble Virginia we knew went ?

    • @bigg1091
      @bigg1091 Рік тому +1

      She was never humble. This is her true colours

    • @Andumewira
      @Andumewira 10 місяців тому

      She faked everything 😂😂😂the real Virginia is here now

  • @paulinewangui813
    @paulinewangui813 Рік тому +13

    There is a spirit of strive in this family.

  • @JesusChristLovesUs4ever
    @JesusChristLovesUs4ever Рік тому +11

    Please humans don't judge and comment what you don't know.
    Wacheni matusi humble yourselves and life will be humble to you.
    *Reke ciume na ene*

    • @philiswanjiru2328
      @philiswanjiru2328 Рік тому

      Public is so judgemental, inaweza kuwa Hadi ni wivu ya siblings

  • @milkakamau1478
    @milkakamau1478 Рік тому +1

    Ngaii... Pole sana.. nimaremuo nikuherera mama wao nimekuona uria mekuona

  • @paulinewanjiru3507
    @paulinewanjiru3507 Рік тому +1

    Remember your ancles words are very powerful

  • @charitykamau4785
    @charitykamau4785 Рік тому +9

    Online well wishers take care where u r sending your money.

  • @nimoras
    @nimoras Рік тому +13

    May God intervene but si poa kutusi uncle iyo NI laana 😡anyway sina maoni kwa sasa

    • @coopernjoroge1133
      @coopernjoroge1133 Рік тому +2

      Money is the root and source of all evil. Even before I listened to his story I knew it was Money oriented. Hii ni upuzi

  • @peninarkamau6993
    @peninarkamau6993 9 місяців тому +3

    As Davi's uncle, is this the rightway to disclose to him such a very sencitive issue of who his father is?
    Do you mind the damages you have just caused in the life of Davis ?
    - Must you have adressed this issue in the social media?
    -Do you know that Virginia and your other siblings have equal rights with you to your parent's inheritance?

    • @Coach585
      @Coach585 5 місяців тому

      We knew the family through social media.

  • @mercylynnnjoki5404
    @mercylynnnjoki5404 8 місяців тому +6

    Despite what.....Virginia should be respected...she suffered alot.

    • @Coach585
      @Coach585 5 місяців тому

      Waiting for diaspora(s) to release the documentary

  • @mwikarimajuu8709
    @mwikarimajuu8709 Рік тому +3

    I remember this uncle patric

  • @bigg1091
    @bigg1091 Рік тому +117

    Please give him another interview. He has a lot of tea

    • @beatricemarangu942
      @beatricemarangu942 Рік тому +8

      Yaani watu wamebatisha mucene kuwa chai...

    • @tabbyomar5298
      @tabbyomar5298 Рік тому +11

      Hii Chai ni moto vizuri.😊

    • @zsme7629
      @zsme7629 Рік тому +7

      chai tamu sana

    • @marykinuthia6067
      @marykinuthia6067 Рік тому +3

      Heeee haaaaa! You guys are funny 😅😅😅😂😂.

    • @shigitau910
      @shigitau910 Рік тому +4

      ​@@beatricemarangu942😂😂😂😂😂😂 inaitwa jamhuri 😅😅

  • @webnejs5365
    @webnejs5365 Рік тому +4

    Hiyo nyumba baruthi aliacha kama imemalizika walikosania swimming pool

  • @felicitasattideke3254
    @felicitasattideke3254 10 місяців тому +5

    Virginia pls bring blessings not curses for your children. 😮 Educate and teach your children to respect elders and family. Uncle is a very important person in Our tradition 😮

    • @gracenzomo9386
      @gracenzomo9386 10 місяців тому

      Very true,they carry blessings

    • @susanapollo284
      @susanapollo284 8 місяців тому

      She preaches what she doesn’t practice

  • @gladysmungai2695
    @gladysmungai2695 Рік тому +5

    Hiii ukai muigwe eguciara na nja na mudurume ungi twaigaga kamotho ni muru uyu ni mwaki wakuotea mbali

  • @mwikarimajuu8709
    @mwikarimajuu8709 Рік тому +3

    Metha ya kagoni, Lynn Ngugi, where are you .

    • @zhegal1
      @zhegal1 Рік тому +1

      i doubt they will touch this

  • @margaretkaranja1864
    @margaretkaranja1864 Рік тому +23

    When you go to social media first expect ppl to comment anything it's their personal right. May God help the family to b honest n true to each other🙏🙏🙏🙏🙏

  • @maggiebernard
    @maggiebernard Рік тому +98

    Nii ndiri ndahiukia mutumia ucio, ateithirio niandu kuhitukira Baruthi no thutha mutheri akiona niateithika. Kiburi Dio iliwatawala yeye na watoto wake wote.😢

    • @priscillarnyutu
      @priscillarnyutu Рік тому +5

      Wacha wivu..Hana kiburi ata wewe ukibarikiwa watu wataanza kukuongea

    • @worriedk7803
      @worriedk7803 Рік тому +22

      Ako na kiburi mingi sana sana plus watoto, don't you know how to assess people, don't support

    • @maggiebernard
      @maggiebernard Рік тому +20

      @@priscillarnyutu Sina wivu hapo hakuna kubarikiwa kama Sio watu walimsaidia hangefika hapo alifika. Na kama ni mtu mzuri mbona Baruthi hakumalizia hio project yake na atlast wakakosana hawana shukurani ata kidogo

    • @maggiebernard
      @maggiebernard Рік тому +10

      @@worriedk7803 that's true, Sasa kana watoto wanatusi uncle Yao hawajui Kuna laana ama baraka imebebwa na uncles, then Davis anaenda kujinyakulia nyumba ya cucu kwani alikua anaishi wapi kitambo, si waona hao ni watu wavita tu.

    • @ikhayerejoseph1184
      @ikhayerejoseph1184 Рік тому +12

      Onanii ndiri ndahothera family iyo Nii ciakwa ndeithagia aria aruaru ndingihe mundu ciagwaka kaba thii children home kana Gicagi già gwitu gwakuo kana aria matari irio

  • @rositanjuguna7561
    @rositanjuguna7561 Рік тому +4

    Kumbe Lucy bangi diyo huwa inamtawala hiii wonders Wil never end

  • @Prosper99
    @Prosper99 Рік тому +13

    Nimekwama kwa Lucy na bangi! 😢😢

  • @peace_peace154
    @peace_peace154 Рік тому +32

    Kamotho is like i told you people,wangare is a drama queen see your lives😂😂😂

    • @marya6483
      @marya6483 Рік тому +7

      😅😅Niko apa nauza popcorns

    • @peace_peace154
      @peace_peace154 Рік тому +3

      @mary6483 popcorns kwa wingi ala😂😂

    • @saranduta221
      @saranduta221 Рік тому +3

      😂😂😂😂and kamotho is like mother I told you about her now you believe me ?😂😂

    • @erenestawanjiru1935
      @erenestawanjiru1935 9 місяців тому

      😂😂😂😂🎉🎉🎉😊

  • @Mrkid6000
    @Mrkid6000 Рік тому +3

    What a Shame...mama ndarumagwo

  • @sata3867
    @sata3867 Рік тому +3

    Mîciî nî ndogo.
    Ciana ciarumothirio kûrî ithe rîu ningî nî mama wao.
    Virgina Kaî ûceraga naû ûtagûtaraaga?

  • @favoredh
    @favoredh Рік тому +5

    Huyu nyawira akona shida, mara akararua mamake war sahi ni uncle ana harass😢😢😢😢! Wueh, huna nyota mwanangu

  • @jacquelinahmwehaque7660
    @jacquelinahmwehaque7660 Рік тому +1

    Ati davis ako na baba wangapi??
    He wants to inherit everywhere??hot tea loading

  • @ruclaingachogu2170
    @ruclaingachogu2170 10 місяців тому +1

    Baby gal joy congrats kwa heshima ya uncle