Vioja Mahakamani: Matumizi mabaya ya pesa wakati wa sherehe za Kristmasi
Вставка
- Опубліковано 23 гру 2021
- Wakati huu wa sherehe za Krisimasi, watu wengi hutumia pesa vibaya bila ya kujali msimu baada ya Christmas. Wengine hata huchangisha pesa eti wanapeleka kwa nyumba za watoto mayatima kisha kuzitumia kujivinjari. Watu wa tabia kama hizi watafikishwa hapa VIOJA MAHAKAMANI na wafunguliwe mashtaka.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: bit.ly/3mhaLOh
Follow us on Twitter: / kbcchannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: www.kbc.co.ke/
#ViojaMahakamani #Christmas