Kumbe tuko wengi aky hiyo mapenzi ya kwanza don't judge a lady juu weah after you realize unaeza jiuwa but mm niliachwa na ball after several red flags
Sheryl and kabugi i remember the first time mr alot more interviewed you both and you were in love and now you are saying you have never dated watu si wajinga mnatuumiza kama uchumi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
If you have ever dated a boy from KU my friend nothing more can scare you in this world 😂😂😂, nilipata heartbreak ingine sijawai date 😅😅😅, na mbona wanapenda pesa,
@@carenchepngeno2435 🤣🤣🤣 neno atleast wewe ulipata warning mapema 🤣🤣, sema kumlipia rent mtu for five months, sema kumpea pesa ya lapii na hivyo ndo sikubuy lapii tena🤣🤣🤣, na pesa zingine za ati oo Leo sina ya kubuy lunch
Anywea penye kris ako lazima niwatch.vaibu tupu
Na huyo ex wa Kris was my ex too hii dunia ni ndogo I can relate everything 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaa
And you are the namesake to my mummy Khasandi
its a whole community we are suffering together😂😂😂😂😂
"si mnapendana na public ime approve..."😆
The love I have for Krisbaby❤❤❤ God will reward you my dearest 🎉🎉🎉🎉
Much love to Sheryl and kabugi,,....my role model krisbaby ,,she always beautiful with or without makeup 🥰🥰
Aki kabugi is bringing out the fun from this Convo 'si public imeamua' 😂 😂
Privacy 🔏 in a relationship is key,, not everything should be said out,, unless u want to look like a burden to the person,,
Kahawa West iko Nairobi but kahawa wendani na githurai ziko kiambu
Venye kabugi anasema aii si tunapendane😂😂😂
Kumbe tuko wengi aky hiyo mapenzi ya kwanza don't judge a lady juu weah after you realize unaeza jiuwa but mm niliachwa na ball after several red flags
Thank you for bringing my namesake❤Wangare🎉I love you Nairobi Whaaaaaat😂❤
The way kriss say nikamsameheeee😂😂😂😂😂
Krissbaby anakaa Karen nyamu....karemboo
Kabugi's eyes for me when Sheryl talks about first love😂😂😂kahuruma tu😢
This goes to women, don't build a man but you can help him, in short i can't pay someone's son school fees and he has parents
Mbona husemi don't build a Woman
Am happy that my man tries to build me that makes me to support him even more
@@mwaukyalobrian6322 A Man should work to provide to his family/ wife/girlfriend 🤣🤣
@@mwaukyalobrian6322 juu ni kazi yenu to build us 😂😂😂
you wrong
When in a relationship red flags hukua pink😂😂😂
😂😂😂wangu I used to block...the moment he used to call kwake mbio😂😂😂. First love fear
Krissbaby you are my role model,,,,,I love you ❤❤
Waiting for part 2
Our kalenjin gal and kabugi....much love guys ❤❤❤❤
We want part 2 😌
First love,,,like do you all want to cry😂😂💔
How i love the stories😂😂
More love ❤️ to u guys 🎉🎉u doing great 😢❤
Krisbaby the madam understanding 😢😅
Nimeland huku wueh!!!
Leta colloblue sasa
Alishaletwa
Did Sheryl just say jesos😂😂go to Nigerian mamii❤❤
Part two waiting ❤
The lady looks like keke palmer
Hawa mboy light skin I fear then vitu nmejionea cwezi rudii apo Tena
Na simuliachana ama rada yenu
Sasa wasifanye content😂😂😂
@@faithwanjiku1466 😂😂😂😂😂😂😂 wanaboo
hatukuwa pamoja 🤣🤣🤣🤣
@@carolinemakena6413 sisi tunaboeka na kulipa tax wewe unaboeka ju ya business partners😂😂😂
Amazing sana ❤
Waiting for part 2☺️
THIS was amazing ❤
I love krisbaby🥰she is humble and open .
Show iko top congrats Kabugi my nyb from wanyama
Great convo🎉
Nikamsameheeeeeee😂😂😂😂😂😂
Apo kwa pressure ya friend that's me
Kabugi..... Story mob nh sherly....... Why can't you allow interviewer to express her
Kris 🎉
Take turns when asking sth .....
I love you kris
Mob love krissbaby
This show is spicy 🔥 I really want part 2❤❤❤
Amazing 👏
Part 2
Much love💕💕💕💕💕
Sai uyo ex anakutamani
Part 2 ikam faster faster🔥😂
Hawa Wa hawapendi phone calls😂😂😂
Nkamsameehee🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
😂😂 that part sounds good
Achana na Truphena mamangu please. May she continue resting in peace 😭❤️❤️❤️❤️❤️❤️
May she Rest Easy
Sheryl thinking, she is the one
Leo ni mefika mapema
Nlibrekiwa virginity at 23yrs na tuliachana
Heri ww mm nilibreakiwa 24yrs na ng'ombe tuliachana
😂😂😂😂 woiyee kriss
😂😂2 minutes unskipable ads
@krissbabby Mimi nitashika iyo simu coz l cann't trust this sons of pharaoh with my private party and not his 4n sitaki kaswende mm
Niko Edi Nataka kiatu pair mbili
Naeza pata
It's the "Alice"ascent for me😂😂
Sheryl rudianeni please
Please Love us that way ❤❤
Amazing 😍
bestie bestie chumbwiii....
Wow
🔥🔥🔥
Izi heartbreak siamini akh...my ex really knew am a don't care 😂😂😂
Walai hahaa yaani mm naumia nikienda sina mda kulilia mtu haha
😂wueh heartbreak ww
❤❤
Za watoi ni how much shoe's
Call us
Sheryl and kabugi i remember the first time mr alot more interviewed you both and you were in love and now you are saying you have never dated watu si wajinga mnatuumiza kama uchumi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Zilikuwa promises za UDA. Hazikuji 😂😂
If you have ever dated a boy from KU my friend nothing more can scare you in this world 😂😂😂, nilipata heartbreak ingine sijawai date 😅😅😅, na mbona wanapenda pesa,
Walai hapo umesema ukweli
They are always broke,,no money at all
@@rachel431 🤣🤣🤣 never will I ever date anybody from KU 🤣🤣
Aki I almost got into one's box, my friends wakaniambia venye ataniomba pesa harudishi. Jesos,, kumbe ni ugonjwa Iko KU 😂😂
@@carenchepngeno2435 🤣🤣🤣 neno atleast wewe ulipata warning mapema 🤣🤣, sema kumlipia rent mtu for five months, sema kumpea pesa ya lapii na hivyo ndo sikubuy lapii tena🤣🤣🤣, na pesa zingine za ati oo Leo sina ya kubuy lunch
Kris shika iyo simu ju ya Sexually transmitted disease
Iyo ni kujiumiza Bure aki hakuna haja jana nilishika ya boy wangu aki nilishtuka
@@nellycherono1870 heri hustuliwe na cheating kuliko kaswende
@@valentinefaithyour way of thinking is dope,mi naye acha niuliwe Na stress kuliko kisono no
@@nellycherono1870 kushtuka na kisonono Gani mbaya
@@rossykiminza139 eeee
Kabugi aki uliangukia dem anakaa shosh kabisa
Pia wakale hukua na wivu
What do you mean by that
Hamuoni
Wewe Kila mtu Ako test yake ety shosh 😂😂😂
She's very pretty in person❤...
Truphena my mums name ❤❤❤@iamkabugi wacha mchezo 😂😂😊
Leta colloblue sasa
Part 2
❤❤❤
❤❤❤