Kusema YESU KRISTO siyo MUNGU ni matokeo ya mawazo ya WAFUGA MINYOO! Huu msemo ni mahali pake kwa sababu ............,ni Mbumbumbu mzungu wa reli. Barikiwa sana pasta.
"Sifa ya anayeitwa MUNGU ni kuabudiwa" imenifunulia uungu wa BWANA yesu sawasawa Mchungaji ndani yako naiona roho ya mtume Paulo kabisa kwa mawazo yangu
yani sisi wakrsto ndio maana tunafeli kuongoa watu sababu tunaweka sana mawazo yetu kwenye mahubiri yetu kwani uyu mchungaji anashindwa nini kuwafundisha watu kuwa yesu ana sujudiwa kwa sababu baba amempa mamlaka yote
Kwa neema na upend wa Mungu Baba na Bwana wetu Yesu kristo, hatuhitaji ELIMU (philosophy au theologia) kubwa ya kuelewa kweli wa MUNGU, kwa kuwa amejifunua wazi kupitia Neno lake. Yohana 17:3 Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe Mungu wa wapekee na wa kweli na Yesu Kristo uliyetuma. Kuna Mungu Mmoja wa pekee wakweli, kuna Yesu Kristo ambaye ni mzaliwa wa Mungu BABA tangu milele yote, aliyekuja duniani kwa njia ya mwili kwa kuzaliwa kama mwadamu kwa ajili ya kafara ya msalaba ili mwanadamu apete wokovu, na pia kuna Roho ya Mungu. Huo ndio Uungu. MUNGU BABA, YESU KRISTO MWOKOZI WETU NA ROHO YA MUNGU/YA YESU INAYOENDELEA KUTUFUNDISHA NA KUTUONGOZA 32:21 Hakuna UTATU wa Mungu baba. Mungu Mwana, Mungu Roho mtakatifu. Hili ni fundisho la kipagani na kishetani.
Kusema YESU KRISTO siyo MUNGU ni matokeo ya mawazo ya WAFUGA MINYOO!
Huu msemo ni mahali pake kwa sababu ............,ni Mbumbumbu mzungu wa reli.
Barikiwa sana pasta.
mwanzoni lilikuwa kama liko slow, lkn linahubiri hasa halafu kwa point nzito nzito💚💚💚
"Sifa ya anayeitwa MUNGU ni kuabudiwa" imenifunulia uungu wa BWANA yesu sawasawa
Mchungaji ndani yako naiona roho ya mtume Paulo kabisa kwa mawazo yangu
Yeremia 3:15 👈 maneno haya yametimia masikioni petu
MUNGU ashukuriwe saana kwa ajili ya karama aliyokupatia pastor semba.unanibarki saana
AMINA
huyu mchungaji kuna vitu anafeli
Kristo kuumbwa ni uzushi, Ubarikiwe sana mchungaji.
Amina
Nakuelewa saana mchungaji MUNGU akubariki sana
AMINA
huyu hawezi mdahalo na ndasha ndasha ni mkweli na haongozwi na mfumo
yani sisi wakrsto ndio maana tunafeli kuongoa watu sababu tunaweka sana mawazo yetu kwenye mahubiri yetu kwani uyu mchungaji anashindwa nini kuwafundisha watu kuwa yesu ana sujudiwa kwa sababu baba amempa mamlaka yote
Fanyeni Mjadala wa Hadhara wewe na Mwalimu Ndacha ili Washiriki tujifunze zaidi.
Àmen 🙏🔥🙌 kbs 👏
Ndacha Hana lolote Yuna fikira finyu
Kwa neema na upend wa Mungu Baba na Bwana wetu Yesu kristo, hatuhitaji ELIMU (philosophy au theologia) kubwa ya kuelewa kweli wa MUNGU, kwa kuwa amejifunua wazi kupitia Neno lake. Yohana 17:3 Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe Mungu wa wapekee na wa kweli na Yesu Kristo uliyetuma.
Kuna Mungu Mmoja wa pekee wakweli, kuna Yesu Kristo ambaye ni mzaliwa wa Mungu BABA tangu milele yote, aliyekuja duniani kwa njia ya mwili kwa kuzaliwa kama mwadamu kwa ajili ya kafara ya msalaba ili mwanadamu apete wokovu, na pia kuna Roho ya Mungu. Huo ndio Uungu. MUNGU BABA, YESU KRISTO MWOKOZI WETU NA ROHO YA MUNGU/YA YESU INAYOENDELEA KUTUFUNDISHA NA KUTUONGOZA
32:21
Hakuna UTATU wa Mungu baba. Mungu Mwana, Mungu Roho mtakatifu. Hili ni fundisho la kipagani na kishetani.
Mbona imeeleweka vizuri, mjadala wa nini? Mungu atusaidie sana.