BABA LEVO Aisifia SENSEMA ya HARMONIZE na RAYVANNY/Ni wimbo MKALI sana
Вставка
- Опубліковано 5 вер 2024
- _________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe UA-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
#BabaLevo
True baba levo
Baba levo ana akili sana tena sana ndo maana nampenda sana respect bro
Let's talk about kings harmonize ft rayvanny
Yaan baba levo unafurahisha xana
Respect
Baba levo nampendaga sna😅😅
Siyo wimbo mzuri
Hata wakiungana matusi kututukana bado tuko mbele kama mfuko wa shati komasavaa
Simba 🔥
Jamani huuu mjin ni mgumu sana
Ingekuwa ni diamond maneno yangekuwa mengi wachawa angekuwa wameshasema na matusi mengi
Comment za kisenge kama hizi sio za Ku entertain
Sasa kubwa jinga kwa akili Yako vesii ya naizee badestii ana wezaa kuimbaa vilee elewa ww kichwa majii kakosea uyo anae itwaa zoombiee ndio matatizoo
Na 7 media wakamuhoji na asake
Baba levo anajua sanaa harmonize hana lolote wote na Vanny Boy jau
Kicheria bzbalevo amejiyobowa tumbo sana kabisa.
Kubali Ama kataa ulizo. Kwa sababu mahali iliyokeya Idea aina mahana kwetu mashabiki
baba levo today 🙌🙏
Lamaana ilosasa baba level
Sesema ni ninyimbo ya kisukuma ya juma mariko
Sensema kwenye huu wimbo wametohoa mbeya, baddest s2kizy na ray wote wa mbeya, wamefanyia remix nyimbo ya asili mbeya
Lukuga sio upepo mjomba.
Huo nimto mkubwa unapatikana inchini congo tena kalemi.
B levo bwana
Baba levo bhn
Lengo komasava ishuke jmn game ni ngumu
Yaan hii nchi ya ovyo,Kwa hyo wasitoe wimbo loooh
Ndo maana harmonize aliwahi kihimba wimbo wa wapo
Ahahah 1 moja hiyo
Wameiba wimbo
Ingekuwa mond wange msema
Baba levo pls chunga kauli haki ya mama ancalia usiharibu kizuri umeshakiongea wewe. Nakuja huko soon
Tu bet sensema aita shusha komasava Ata 0
Mwenye nyimbo kaondolewa si ndo wizi
KUNA VITU UNAONGEA VYA KIJINGA KUHUSU DIAMOND UKIDHANI NI SIFA LKN VINAWEZA KUKULETEA MATATIZO BAADAE.
Mpaka useme
😂😂 babalevo
Kama million 30 hiv 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Baba Levo shkamu zako😅😅😅😅😅
Atafutwe nani kaiba
Et wiz khalifa 😂😂
Sensema ni kisukuma
Ukimzungumzia Harmonize utapimwa akili kama sio uchawi utakuwa mlemavu wa akili🇧🇮
Mwongo mkubwa producer pasua kichwa ni majani
Chui 🐅x kode🦍
Kitatange😂😂😂
KITATANGE😂😂
Kitatanga
Mh
😂😂😂😂😂😂Mkwarurooo
Siyo wimbo mzuri