Wafanyikazi wa Ikulu waandaa hafla ya kumuaga rais

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Ibada ya shukrani iliandaliwa kwa rais Uhuru Kenyatta, majuma mawili kabla ya muda wake wa kuhudumu kukamilika.
    Rais Kenyatta akitumia ibada hiyo iliyoandaliwa ikulu ya Nairobi alitumia fursa hiyo kuwawapongeza wafanyikazi wa Ikulu kwa kujitolea na ukakamavu wao kuhudumia taifa.
    Rais pia akiwashukuru kwa jukumu walilotekeleza kumsaidia kutimiza majukumu yake kama Kiongozi wa Taifa. Maombi hayo ya madhehebu mbalimbali yalihudhuriwa na wafanyikazi wa Ikulu zote pamoja na Ikulu ndogo.

КОМЕНТАРІ • 20

  • @ndegedennissironga2412
    @ndegedennissironga2412 2 роки тому +1

    I love 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕 it

  • @isaackomen8806
    @isaackomen8806 2 роки тому +1

    Kenyans will never miss Uhuru Kenyatta's presidency. Infact he has destroyed his family legacy of leadership

    • @enkylion9525
      @enkylion9525 2 роки тому

      lies he handled covid well , he handled terrorism well, he brought peace, he did good infrastructure our economy grew to number 4 in Africa from position 6...

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 2 роки тому +1

    Leo ni ibada yakumuaga rais tarehe 9 ni yakumfuta kazi ruto.

  • @cheptanuimagdalene7936
    @cheptanuimagdalene7936 2 роки тому +1

    Aki kweli munatoa wapi ngufu ya kusherekea na wakenya wezetu ,wamepoteza maisha , O god have mercy on us😭😭

  • @rachelnaomi704
    @rachelnaomi704 2 роки тому +1

    At long last !!!!!

  • @kariz71
    @kariz71 2 роки тому +2

    The cake 🎂 was meant to be 10 trillion loan

  • @johnpaulkatana3345
    @johnpaulkatana3345 2 роки тому +6

    Aende tuone vile maisha itabadilika. Ruto aje kutusaidia maskini. Mungu saidia huyo Raila aende nyumbani na asingoe Reli.

    • @enkylion9525
      @enkylion9525 2 роки тому +3

      ruto hashindi.....Raila ndio next

    • @dominiceliakim4617
      @dominiceliakim4617 2 роки тому +1

      😂😂

    • @VvVv-kf8ho
      @VvVv-kf8ho 2 роки тому +3

      eti ruto asaindie maskini hehe mbona hakusaindia maskini 5 years ago

    • @thomasmarende2445
      @thomasmarende2445 2 роки тому +1

      @@enkylion9525 oolisikia wapi? Maybe opinion polls ina kuuza, kata 🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲 nani

    • @thomasmarende2445
      @thomasmarende2445 2 роки тому

      @@VvVv-kf8ho 5 year Mr Pandora box (uhuru Kenyatta) alipatiana KAZI za Ruto Kwa tumbo na kichwa kubwa (matiangi) na mchawi (Raila) usitulete story za mandamano na kutupa mawe after August 9.

  • @thomasmarende2445
    @thomasmarende2445 2 роки тому +1

    Mnafiki, mlevi , 🏃 akwende kabisaaaaa!

  • @titus1846
    @titus1846 2 роки тому +1

    Thanks God for collapsed bbi.

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 2 роки тому +1

    Leo ni ibada yakumuaga rais tarehe 9 ni yakumfuta kazi ruto.