@@wemamtundu7906 maana wadada wengi hũwa wanashindwa kupata mtu sahihi maana hũwa wanajiwekea vigezo vikubwa sana.mfano mimi ni mzuri siwezi kuolewa ✓ na masikini ✓ na niliyemzidi elimu ✓ niliyemzidi umri ✓ siwezi kũolewa na kabila fulani Kibũri na dharau vinawafanya wanapata watu watakao Watesa sana. ✓ maana bĩblĩa ĩnasema yakobo 4-6 kwa maana Mũngũ hũwapinga wenye kibũri balĩ hũwapa neema wanyenyekevu ✓ Diva mtangazaji wa clouds kabla hajolewa alikuwa anajisifu sana mara nataka mahari ya milion mia tano,nataka mwanaume mwenye kũjũa kiingereza,yeye hũwa anakoso sana mahusiano na kujisifu ni mzuri.juzi Diva wameachana na mume wake na sasa anaanza tena lawama mitandaoni,kwamba alikuwa anateswa na kufanyiwa ma mambo mabaya na anadai talaka
@@UsafiMichael-mc8kt Jambo la muhimu ni Mtu awe na hofu ya Mungu, haijalishi awe Mwanamke au Mwanaume hofu ya Mungu ni nguzo Imara sana. Muonekano sio nguzo au Pesa ni vitu tu. Japokuwa hata wakaka wengi pia huchagua, Sura, Umbo, rangi, elimi, kazi n.k
Uko sahihi Baba kanuti mi nimuimbaji toka Elshaday kwaya Antiokia kigamboni,tumepewa uwezo was ajabu Sana,ukisimama kwenye nafasi yako,natayari niwazuri Sana tusidanganywe kujiongeza nakalio Wala kope tayari kipimo alichopima Mungu katika parts za mwili wetu kinatosha
Madini, madini matupu. Somo zuri sana lifundishwe kona zote za Tanzania Mungu aiponye nchi. Kuna mpaka nyuchi fake.,Lord have mercy. Waliojibadilisha hata matajiri wanakuja kufa kutokana na athari zakujibadilisha. Hata hizo surgery zakupunguza uzito, after some years zinatibuka wanakufa. Its needs a lot of money to keep up with that fake body shapes.
Yani kwa kweli nimefurahi sana kipindi cha leo haya ndo mawazo yangu naomba san Mungu anipe mume wakusimama na familia mimi nikae sehemu yangu kama mke
❤Dada siachi kwambia hivi love anae sema 50/50 ni nani ukipata jibu basi umepata majibu ukijua uzazi wa mpango ni nani umemaliza kafanikiwa mazara kwetu tumepata na Bado huko mbeleni ndio tatizo kubwa Sana kwanini tunajiuwa na kujitupa sehemu hatari
Uyu mwalimu 🎉abarikiwe sana hii point imeniponya kusema kweli
Masuku Jonas
Nikiwa Kivu kusini ktk Muji wa baraka
Tusiogope women empowerment tuizoee tu sababu katika ulimwengu wa kazi, maisha ya sasa siyo ya kumtegemea Baba peke yake kiuchumi.
Baba Asante sana Sana Ila bado tunakuhitaji naomba upate nafasi nyingine utulishe Tena SoMo kuhusu family
Ukweli wanawake hatujitambui kabisa. Namshukuru Mungu kwa alivyo niumba. Naomba Mungu anipe mume mwema na hofu ya Mungu
Mume mwena unampima kwa vigezo gani
✓ appearance
✓ richness
✓ holliness
✓ professionalism
✓ talented
@@UsafiMichael-mc8kt HOFU YA MUNGU huo ni utajiri tosha, appearance kila mtu anayo, tajiri wa roho na si utahiri wa dunia ya mapito n.k
@@wemamtundu7906 maana wadada wengi hũwa wanashindwa kupata mtu sahihi maana hũwa wanajiwekea vigezo vikubwa sana.mfano mimi ni mzuri siwezi kuolewa
✓ na masikini
✓ na niliyemzidi elimu
✓ niliyemzidi umri
✓ siwezi kũolewa na kabila fulani
Kibũri na dharau vinawafanya wanapata watu watakao Watesa sana.
✓ maana bĩblĩa ĩnasema yakobo 4-6 kwa maana Mũngũ hũwapinga wenye kibũri balĩ hũwapa neema wanyenyekevu
✓ Diva mtangazaji wa clouds kabla hajolewa alikuwa anajisifu sana mara nataka mahari ya milion mia tano,nataka mwanaume mwenye kũjũa kiingereza,yeye hũwa anakoso sana mahusiano na kujisifu ni mzuri.juzi Diva wameachana na mume wake na sasa anaanza tena lawama mitandaoni,kwamba alikuwa anateswa na kufanyiwa ma mambo mabaya na anadai talaka
@@UsafiMichael-mc8kt Jambo la muhimu ni Mtu awe na hofu ya Mungu, haijalishi awe Mwanamke au Mwanaume hofu ya Mungu ni nguzo Imara sana. Muonekano sio nguzo au Pesa ni vitu tu. Japokuwa hata wakaka wengi pia huchagua,
Sura, Umbo, rangi, elimi, kazi n.k
Uko sahihi Baba kanuti mi nimuimbaji toka Elshaday kwaya Antiokia kigamboni,tumepewa uwezo was ajabu Sana,ukisimama kwenye nafasi yako,natayari niwazuri Sana tusidanganywe kujiongeza nakalio Wala kope tayari kipimo alichopima Mungu katika parts za mwili wetu kinatosha
Mr Kanuti barikiwa mno, natamani wanawake wote tukuelewe kwa kina!
Daaaah ukweli mtupu🖐
hiyo 50...50 wameileta wazungu kumpinga Mungu
Very very true. Kuna vitu watu wanaiga lakini hawajui.
Madini, madini matupu. Somo zuri sana lifundishwe kona zote za Tanzania Mungu aiponye nchi. Kuna mpaka nyuchi fake.,Lord have mercy.
Waliojibadilisha hata matajiri wanakuja kufa kutokana na athari zakujibadilisha. Hata hizo surgery zakupunguza uzito, after some years zinatibuka wanakufa. Its needs a lot of money to keep up with that fake body shapes.
Huyu mwal. ana madini muhimu sana juu wanawake. nimemwelewa mno
Yani kwa kweli nimefurahi sana kipindi cha leo haya ndo mawazo yangu naomba san Mungu anipe mume wakusimama na familia mimi nikae sehemu yangu kama mke
Very interesting topic. My God bless you
❤Dada siachi kwambia hivi love anae sema 50/50 ni nani ukipata jibu basi umepata majibu ukijua uzazi wa mpango ni nani umemaliza kafanikiwa mazara kwetu tumepata na Bado huko mbeleni ndio tatizo kubwa Sana kwanini tunajiuwa na kujitupa sehemu hatari
Nimeipenda hii,mwanamke kubeba mimba anauwezo wakubebe chochote
somo zuri sana
Nice one Irene
tuletee Chris mauki
Best teacher
Asante sana
Kw maombi yang naomba uyu mwl kanut arud tena somo nmelielewa
Mtazoe tu acha wanawake tusonge mbele maana miaka ya zamani wanaume walitunyanyasa mno😂
Understand the purpose of woman
Iren leo umeishiwaaa ad maswii😂😂😂
😂😂😂😂
Kuna Uyesu sana kwenye hivi vipindi vyenu! Vinaboa sasa!
さふぃ
Asante sana 🙏