Daah namkumbuka mbali sana niko shule Dodoma mlimani p/school enzi hizo Dodoma kuna mahali kunaitwa tambuka reli vilabu vya pombe kama vyote kibao hicho kilikua kikipigwa sana maeneo hayo
Miaka ya 1980s ilikua ni miaka ya kizazi Cha gold generation ya music wa dance Tanzania.Juwata Jazz Band ilikua ni legendary Band.Itakaa kwenye kumbukumbu zangu mpaka mwisho wa Siku zangu Hapa duniani.
Ungesema kizazi ya nyuma ya miaka ya 70 make hawa vijana unaowasikia kipindi hicho cha miaka ya 80 walikuwa tiyali walishazaliwa wanaimba miaka ya 80 kizazi hicho ni wasikilizaji
Hapo solo kasimu mponda,rip,ridhim said tabora rip,bass Joseph nzeru,waimbaji fresh jumbe,ali akida,joseph lusungu tramphet nk,moshi tx hajajiunga,yuko polisi jazz
Umenikumbusha enzi za Wami Bar mwananyamala mwanzoni mwa miaka ya 80 na umenikumbusha kikundi kimoja cha kiboko msheli walikuwa wanafanya fujo wakitoka Wami wakiwa wanarudi kwao Magomeni. Asante kaka
Safi sana kaka kwa kutukumbusha mbali, naomba uniwekee ule wimbo wa Zahir Ally Zoro uitwao Kabwe, na Mashujaa wa vita vya Kagera jina siukumbuki, zote alipiga akiwa na Kimulimuli
Wale tulio kutana kusikiza wimbo huu kisa kijana alie achwa na Hamida tujuane kwa like
It was 1982 mambo music ulipigwa kwa hisia Kali Sana Moshi William ndio nyimbo zake za mwanzo
Bado namkumbuka kaka George kibwana,yeye mkiristo,mchumba wake hamida muislamu,ila baadae hamida alihamia kwa kaka,RIP kaka George
Daah namkumbuka mbali sana niko shule Dodoma mlimani p/school enzi hizo Dodoma kuna mahali kunaitwa tambuka reli vilabu vya pombe kama vyote kibao hicho kilikua kikipigwa sana maeneo hayo
Miaka ya 1980s ilikua ni miaka ya kizazi Cha gold generation ya music wa dance Tanzania.Juwata Jazz Band ilikua ni legendary Band.Itakaa kwenye kumbukumbu zangu mpaka mwisho wa Siku zangu Hapa duniani.
Ungesema kizazi ya nyuma ya miaka ya 70 make hawa vijana unaowasikia kipindi hicho cha miaka ya 80 walikuwa tiyali walishazaliwa wanaimba miaka ya 80 kizazi hicho ni wasikilizaji
Hii ni msondo music band moja kati ya band bora mno na watani zao sikinde
Rip mabera,mponda,lusungu,japo huwa akina romario wanaupiga kama remix,mmekufa kimwili,kimuziki mko hai
Romalii siyo romalio
Hapo solo kasimu mponda,rip,ridhim said tabora rip,bass Joseph nzeru,waimbaji fresh jumbe,ali akida,joseph lusungu tramphet nk,moshi tx hajajiunga,yuko polisi jazz
Umenikumbusha enzi za Wami Bar mwananyamala mwanzoni mwa miaka ya 80 na umenikumbusha kikundi kimoja cha kiboko msheli walikuwa wanafanya fujo wakitoka Wami wakiwa wanarudi kwao Magomeni. Asante kaka
Hahahaha! Unakumbuka kiboko msheli? ile ilikuwa timu ya mpira kaka! wakicheza Noma!!
Hao kiboko msheli walikuwa hatari cc ndiotulikuwa tunaishi naokule magomeni makuti hatari
Kaka Seif bana hahaah Kiboko msheli oyaaa hahha
Mnaraha sana wahenga mnakumbushana mambo ya kale hongereni sana
Solo ya kasimu mponda,rip,baada ya akina abel,buchuka no kuhama,achaaa,
Eddie za siku mbili tatu kk. naomba ngoma moja ya msondo penye penzi hapakosi tezi. ile original asante
Safi sana kaka kwa kutukumbusha mbali, naomba uniwekee ule wimbo wa Zahir Ally Zoro uitwao Kabwe, na Mashujaa wa vita vya Kagera jina siukumbuki, zote alipiga akiwa na Kimulimuli
mhhhhhh!!! hapo hatumwi mtoto, BABA YA MUZIKI ALL THE WAY
Msondo afya
Sheikh Eddie kuna ngoma ilipigwa na Dar international sijui kama unayo "rufaa ya kifo",,,,nitashukuru ukiturushia hio pia
Muziki wa ki Tz, uliokatika ubora wa hali ya juu.
Hatimaye HAMIDA ageuza mtu KAMBARE
Hahahahahaha!! Mnatutesa sana akina Hamida
@@jafaripaje5366 😄😄😄😄 ni shida
Moshi alikuwemo ktk wimbo na gitaa ni la Mabera
Kwamba msondo wamerudia huu wimbo
Naomba Nyimbo zilizo ktk Albam ya Mlimani Park iliyotoka Mwaka 1993" Albam iliitwa KIGUU na NJIA..!!
Msondo ilikuwa zaidi ya bendi sikiliza vyombo vilivyopangwa
Dah nimekumbuka mbali sana🤔🤔
kaka naomba tuwekee kibao cha Pesa ni maua
Kaka naomba kama unayo ya Pamela ya msondo aliyeimba Fresh Jumbe
Nafikiri nnayo ndugu,nitatizama na nikiwa nayo basi nitai post Mungu akipenda.
Inshallah
Heri,nimepost Pamella.Burudika ndugu na naomba radhi kwa kuchelewa.
kazi nzuri kaka
Ya kale ni dhahabu