Allah subhanahu wataala akuzidishie nguvu na umri zaidi kufaidisha ummah na kutoa ujinga kwa waliofanya bidii kujua haqq na kutupilia mbali batil, JazakhAllahu kheyr sheikh Abdallah Humeid..
BarakAllah fiyk ma shaa Allah dawa ya kisalafi Allah ameijalia inaenea Alhmdhulilah Allah awaifafhi ma sheikh wetu na awajalie umri mrfu Allahuma Amiyn
Doktor islam Allah akuhifadhi. Achana na porojo zao .na hasad zao. Hata usipate tabu endelea daawa. Maana wao ndio waliopewa hizo funguo za kuwatakasa watu.Allah awaongoze
JAZAKA ALLAH KHAIRAN. ALLAH AWAHIFADHI WALINGANIZI WA HAKI WA MANHAJ SALAFIYUN. HATA MKACHUKIA MANHAJ SALAFIYUN NI HAKI. ENDELEA KUBAINISHA BIDDAH NA WALINGANIZI WA BIDDAH. WALA MSIOGOPE MATUSI HIYO NDIYO SUNNA. FASWABRUN JAMEELUN.
Lakini tuelewe duktor anafunza style yakuenda into details of those books .he takes his time in research and brings out different aspect. It doesn't matter how many books u can read and teach .the quality of the knowledge is what matters and thats is the essence of tadabur
Ukucha wa kielimu wa Dr Islam hamutafika maisha yenu yote , mutabaki ku post video za upuzi tu mitandaoni maishani yenu yote. Mwataka force umaarufu kwa viji video , umaarufu waja kwa elimu yenye taufiq kutoka kwa ALLAH , Dr Islam amekubalika katika mujtama'a naturally , hana radd wala upuzi wa mambo munayo yafanya nyinyi. Mutabaki kutafsiri vitabu juu juu kutoka kiarabu mutafsiri kwa kiswahili bas! Hamuna elimu wala lolote.
Allah akuongoze humed naona unaelekea kufa vibaya,mche Allah riyaa itakufedhehesha, inalillah wainailaih raajiun,ucjitakase humed,ila Dr Islam indelea Wala usihangaike nao,hizi ni chuki,ACHA nao,
Akhui kua mwadilifu mm simtetei dileli lakin yeye kwenye hii video hahusiki wala hajui kama kwafanywa mambo haya Hii channel sh abdallah dileli yeye haijui wala hana uhusiano nayo huyu ni mtu tu kafanya haya kwa mapenzi yake yeye binfasi kwa hivo usimtuhum sh kwa makosa ya watu wengine
Radi kwa wenye kukhalif ni njia miongoni mwa njia za kuamrisha mema na kukataza mabaya cha msingi mwenye kufanya ruduud azingatie misingi ya aljarhi wa taadil asimjeruhi mtu kwa chuki bali kwa uadilifu na haya wamefanya wanachuoni wengi akiwemo Imam Ahmad ibn taymia na imam Malik na imam shafi wamewaradi jahmiya masufi mashia na wengineo jazaka Allah khair sheikh umefikisha
Hapo sheikh uko sawa hawa hawana haja na dini mimi huwa nawaita brokers wa dini kazi yao nikutafuta pesa kwa wanasiasa wala hawana wakati wa dawa wala kusomesha waislam dini yao sheikh humeid wambie tu ukweli
Wewe shekh wallahi Allah akuongoze,maana wewe ndo wahitaji muongozo kuliko hata wale wasojua,kuna baadhi katika hao mashekh ulowataja,wajutuma na sisi ndo tunaoujua maana tuko nyuma yao,maeatib wao
Akhui baaraka'llahu'fiik kua mwadilifu mm simtetei sh abdallah dileli lakin yeye kwenye hii video hahusiki wala hajui kama kwafanywa mambo haya Hii channel sh abdallah dileli yeye haijui wala hana uhusiano nayo huyu ni mtu tu kafanya haya kwa mapenzi yake yeye binfasi kwa hivo usimtuhum sh kwa makosa ya watu wengine
Assalamu alaikum warahmatullah wabarakatuh shekhe abdallah hua nakukubali sana ktk kurekebisha baadhi ya makosa ya mukhalifina lakin hii sijaikubali maana naona hakuna FAIDA ya kujua kuwe wewe mpaka Sasa kushafundisha vitabu vingapi na hisi hii inakua ni sehem ya riya'a na kujionesha Allah AKUSAMEHE Lau ungalifanya kwaajili ya Allah bas ingalikua vizur lakin pia shekhe fulani kwamba amefundisha vitabu viwili au kimoja sidhani kama hii inakipimo Cha manhaji salafy Kuna kitu mashekhe zetu wa SUNNA tuwaambieni kunasehem wanakosea kama huyu shekhe abdallah hapa kaharibu Wala sio Kila kitu kumsifia

Hapa naona kikubwa ni 1.Hasadi 2.Riyaa 3.Sum-a' 4. Kukosa uchaMungu 4.Khusuma. 5.Kudhoofisha juhudi za wengine.Ndo maana Waislamu wanasema nyinyi mnatumika kudhoofisha Daawa. Wewe kama umesomesha vitabu vingi unataraji malipo kwa nani?Sisi tutakulipa nini mpaka ututangaziee????? Hili Pekee linaonesha shida uliyonayo na hao wenzako. Na hao walosomesha vitabu vichache toa hukumu yao. Au unamshawishi nani ili awapunguzie ujira???.
Na hizi sura za maduat munazo weka kwenye headlines zenu kuwafedhehesha mujue mutakuja ulizwa ..... Kwa kuharibu irdhwi za watu wengine. Hamukushindwa kuwafuata kuwanasihi ipaswavyo lakini shida ni kwamba mushawahukumu kwamba ni watu wa motoni na nyinyi ni wa peponi
Hahah....majadida...mnataabu Sana Sasa hio ni dini au ujasusi...hahaha...mnanifurahisha Sana..Halafu hizo picha za mashehe mnazozitumia...kuziweka mbele ya screen....Sasa dalili gani inayosema kutumia picha ya mwenzako ni halali..lakini za majadida ni haramu..hahaha....nyinyi ni madhaif zaid ya udhaif wenyewe
Kwao sawa,video na mushada ni Haram kwao na kwake haweki TV ila kiganjani ana TV kubwa ya UA-cam,na hakuna kinachompita,yy aweke audio lkn video zote anaangalia,Hadi za wasanii,mana wanaongelewa Hadi kina mkojani,mara kingwendu,Sasa bila videos zao ungewasemaje?
Mtihani wa ahlulkitabu, hawakufarikiana ila baada kuwajia elimu!! Inavyo tarajiwa watu waungane baada kuja elimu lakini imekua kinyume tafaruk inakuja baada yakuja bayana. MTIHANI WA AHLULKITAB UMETUKUMBA TUNA FARIKIANA BAADA YA KUTUJIA ELIM... ALLAH ATUONGOZE KATIKA LILE LA SAWA
Mnachanganya haki na matamanio. Tunapouliza hoja za msingi hamzijibu,mnatoa kejeli, vijembe na uwongo. Hadhaliliki ambae ALLAH SUBHANAHU WATAALA kamtukuza, na wala hatuki ambae ALLAH SUBHANAHU WATAALA kamdhalilisha, au aqida yenu inasemaje? NASAHA:"Tahadharini kuharibu matendo yetu mema kwa kujitukuza, kutaka sifa na kujionyesha.
Akhui baaraka'llahu'fiik kua mwadilifu mm simtetei sh abdallah dileli lakin yeye kwenye hii video hahusiki wala hajui kama kwafanywa mambo haya Hii channel sh abdallah dileli yeye haijui wala hana uhusiano nayo huyu ni mtu tu kafanya haya kwa mapenzi yake yeye binfasi kwa hivo usimtuhum sh kwa makosa ya watu wengine
Je! mnawaamrisha watu wema na hali mmesahau nafsi zenu, kama mnavyosoma Kitabu? Hutatumia sababu yako? (2:44) Wakosoa wenzio hali ya kuwa mwasahau nafsi zenu.....haijalishi umesomesha vitabu aina ngapi...... Je! Athari ya unachokisomesha ipo? Mcheni Allah ﷻ...viongozi hiii ni dini ya Allah sw...sio mabishano ya kipuuzi puuzi... Usimshushe thamani ww ukajiona ndio Bora........اتقى الله
Kweli wewe dilele ni mpuzi sana yaani kwa akili yako watu hawajui haqqi mpaka kuja wewe au watu hawakujua tawheed mpaka kuja wewe ajabu alikosomesha wewe alisoma wapi.
Akhui baaraka'llahu'fiik kua mwadilifu mm simtetei sh abdallah dileli lakin yeye kwenye hii video hahusiki wala hajui kama kwafanywa mambo haya Hii channel sh abdallah dileli yeye haijui wala hana uhusiano nayo huyu ni mtu tu kafanya haya kwa mapenzi yake yeye binfasi kwa hivo usimtuhum sh kwa makosa ya watu wengine
Wenye imani na ufaham sahihi wakukufata hawa ni masifa kama kweli hawataki radd waketi chini wasomeshi dini ya Allah wawache kujidai masheikh kumbe ni brokers wa dini ya uislam
Ni ukweli usiopingika hawa jamaa ni jadida sio Salafi. Daawat Salafiya haiwezi kuwa hivi. 1.Ikhlaas ni Imani iliyo moyoni lakini kuna matendo yanayodhihirisha maharibiko yake. Kubeza na kujitukuza. 2. Usulubu mbovu wa kiidaawa 3.Yale wanayowakataza na kuyakana ndo wanayafanya 4.Khusuma 5.Mushadiddiina 6. Kukataa Sulhu 7.Kufanya tathmini katika matendo ya waja wa ALLAH A'ZZA WAJALLA, hali ya kuwa nao ni viumbe (Uchache wa Tawhiid).

Yani ukweli mtupu,mi kuna dogo nlimuona katoka maahad imaam shaafii,kwa barahiyani nkamuuliza umemaliza,akasema nimemaliza thanawi,wallahi hiyo thaanawi ilikua ni vituko,nkamwambia umepotezewa mda,njoo markaz ya irshaad ilala hapa,usome,wallahi saiv anashkuru kuwa na masalafi
@@yusuphuswalehe1540 ni kweli lkn usufi ni uruhbaaniii kama ule aloutaja allah ktk suraatul hadiid ورهبانية ابتدعوها Ndo usuufii,huwez ukatuletea uzushi afu utaumbie ليس كل محدثة بدعة Kanuni ya kisheria inasema الأصل في العبادات المنع إلا بالنص Someni acheni kukata viuno maulidini
@@sultansaidsalehe3805 kwani thanawi ndo elimu😁,endelea na thanawi ya kukatika viuno maulidini,mtu anaeweza kuwafundisha watu mfano wa kitabu kma مغني اللبيب عن كتب الأعاريب Huyo martaba na marhala yake ya elimj ikoje,sasa abuu khaula kafundisha mfano wa vitabu kma hvyo,asa sijui hicho ni level ya thanawii?!!
Hizi ndizo Inaad , Riaa, hasad na uchafu wa moyo , tofauti zenu mnazichanganya na hasad muogopeni Allah , huyo anayesema hawezi Kuizuia Hii daawh, na yeye ndiyo hiyo hiyo daawah anayo ilingania, yaani mnamaajabu nyie , halafu kuorodhesha vitabu ulivyo somesha hii sio Tija na alama ya kuwa katika Haqq, Kwani hakuna Wanavyuoni walio kuwa na vitabu vichache tu na wengine hawana Historia kabisa?? Acheni chuki za kishetani.
@salafi. Ninaamini duktur ameandika risala na vitabu mingi.. mbona hujavi_include katika hii video yako kama kweli unafanya haqi,, ukamtetea humeid ameandika vitabu na risala mbona pia hujasema duktur ameandika lakini samahani hukupata nafasi ya kuvitaja!!!??
www.assalafiyyah.com, whatsapp group, youtube channel ya markaz imam shafi, Telegram, hudhuria mskiti wowote wa masalafi kila baada swala utasomeshwa na pia live and free kwa youtube .ukitaka links za google drive pia utapewa.Chaguo ni lako
@@abdulrahmanabubakar5127 Ndugu yangu tukisema abdulrahmaan anapoteza watu haimaanishi abdul nimtu wa motoni elewa hilo natunaposema wanalingania watu kwenda mitoni yani hawa wanalingania chuki nahasadi bila misingi yakisheria wanahamasisha kuwadharau waisilaamu wenzao jambo ambalo niharaam namengine mengi tu nasisi hatumtii peponi mtu wala motoni awe hai au mayyit ila kwadalili قطعية nahiyo ndomisingi ya ahlussunnat waljamaat.
tunamjua mwingine,sheikana YAHYA BIN ALLY ALHAJUURY ALLAH AKUHIFADWI!! Sheikh wako Kassim mafuta baada ya sheikh YAHYA BIN ALLY ALHAJUURY kutoa fatawa ya masalaf kuacha tabia za kuweka MAKAPU ya kuomba omba na kuachana ma TAASISI za kuombaomba kwa watu,alipandisha MASHETANI na kuuanza kumtukana na kumvunjia heshima!!
Wewe admin wa hii channel, kua na inswaf, ukieneza picha hizo zoote hapo nia yako hua ni ipi? Dr. Islam aliwafanya nn mpaka mue na CHUKI kiasi hichi nae !!!!!!
Kama huyu mwengne kwao uislam unangamia badala aende huko awalinganie na kuwasomesha amekatalia hapo mombasa kwa ajili pesa ndogo ndogo sasa anadhani anafanya dawa sheikh wakumbushe hawa brokers
@@abusihaa6396 .... SubhanaAllah Mm NamuAbudu Allah na Nawaheshimu Wanawazuoni kama NilivyoAmrishwa Na Qur'aani... Fanya Adabu wewe na Mwalimu wako ... Wallahi Nyama ya wanawazuoni ni sumu ... Tahadharini ... Kazi ni kuichafua dini wala hamna Da3waa ya style hio Ilifanywa na wema waliotanguliaaaa
𝗦𝗮𝗺𝗮𝗵𝗮𝗻𝗶 𝘇𝗶𝗽𝗼 𝗿𝗶𝘀𝗮𝗹𝗮 𝗸𝗮𝗱𝗵𝗮𝗮 𝗻𝗮 𝗯𝗮𝗮𝗱𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝘃𝗶𝘁𝗮𝗯𝘂 𝘃𝗶𝗹𝗶𝘃𝘆𝗼𝘁𝘂𝗻𝗴𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝗦𝗵𝗲𝗶𝗸𝗵 𝗔𝗯𝗱𝗮𝗹𝗹𝗮𝗵 𝗛𝘂𝗺𝗮𝘆𝗱 𝗔𝗹𝗹𝗮𝗵 𝗔𝗺𝗵𝗶𝗳𝗮𝗱𝗵𝗶 𝗵𝗮𝘁𝘂𝗸𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 𝗻𝗮𝗳𝗮𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘃𝗶𝘄𝗲𝗸𝗮.𝗛𝗶𝗶 𝗶𝘄𝗲 𝘁𝗮𝗻𝗮𝗯𝗮𝗵𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗮𝗹𝗶𝗻𝗴𝗮𝗻𝗶𝘇𝗶 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗼-𝗲𝗻𝗲𝘇𝗮 𝗽𝗿𝗼𝗽𝗮𝗴𝗮𝗻𝗱𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗠𝗮𝘀𝗵𝗲𝗶𝗸𝗵 𝘄𝗮𝗸𝗶- 𝗦𝗮𝗹𝗮𝗳𝗶 𝗵𝗮𝘄𝗮𝘀𝗼𝗺𝗲𝘀𝗵𝗶 𝗻𝗶 𝗿𝘂𝗱𝘂𝗱 𝗽𝗲𝗸𝗲𝗲.
Mahizbi wanaeleweka ni wavivu mnooo,,
Abdalah humeid acha tabia za kike wewe ni mwanaume watuletea ujinga maawamu ndo nini sasa
mbona Muhammad mafuta humtolei mfano
Yeye mwenyewe humeid vtabu alivyofunza havielewi utaelewa ww uliefundishwa acha abrush brush tu arudi kutukana masheikh
@@ismailyusuf3755 kwan umeskiliza darsa ipi mpaka ukawa hujaelewa
au unaongea upumbav tu
Allah subhanahu wataala akuzidishie nguvu na umri zaidi kufaidisha ummah na kutoa ujinga kwa waliofanya bidii kujua haqq na kutupilia mbali batil, JazakhAllahu kheyr sheikh Abdallah Humeid..
Alhamdulillah Allah amhifadhi sheikh abul khatwab na wote katika masheikh na wanafunzi wanaobidiika kwenye daawatu salafiya.
Aaamiin
BarakAllah fiyk ma shaa Allah dawa ya kisalafi Allah ameijalia inaenea Alhmdhulilah Allah awaifafhi ma sheikh wetu na awajalie umri mrfu Allahuma Amiyn
Doktor islam Allah akuhifadhi. Achana na porojo zao .na hasad zao. Hata usipate tabu endelea daawa. Maana wao ndio waliopewa hizo funguo za kuwatakasa watu.Allah awaongoze
La!!!hakuna kujitakasa wallahi Allah awaongoze,,,, ukweli utabainika biithnillah,,,,someni wacheni taasub
JAZAKA ALLAH KHAIRAN. ALLAH AWAHIFADHI WALINGANIZI WA HAKI WA MANHAJ SALAFIYUN. HATA MKACHUKIA MANHAJ SALAFIYUN NI HAKI. ENDELEA KUBAINISHA BIDDAH NA WALINGANIZI WA BIDDAH. WALA MSIOGOPE MATUSI HIYO NDIYO SUNNA. FASWABRUN JAMEELUN.
Allah atakulipa kwa kusingizia mashekhe wanzio uvivu, mada ngapi dr Islam ametowa unamwita mvivu?..Allah ndiye wakili
Allah akuhifadhi Sheikh Abdallah Humeid wewe ni mwiba kwa koo ya mahizbi na makhurafi
Lakini tuelewe duktor anafunza style yakuenda into details of those books .he takes his time in research and brings out different aspect. It doesn't matter how many books u can read and teach .the quality of the knowledge is what matters and thats is the essence of tadabur
Ukucha wa kielimu wa Dr Islam hamutafika maisha yenu yote , mutabaki ku post video za upuzi tu mitandaoni maishani yenu yote. Mwataka force umaarufu kwa viji video , umaarufu waja kwa elimu yenye taufiq kutoka kwa ALLAH , Dr Islam amekubalika katika mujtama'a naturally , hana radd wala upuzi wa mambo munayo yafanya nyinyi. Mutabaki kutafsiri vitabu juu juu kutoka kiarabu mutafsiri kwa kiswahili bas! Hamuna elimu wala lolote.
Allah akuongoze humed naona unaelekea kufa vibaya,mche Allah riyaa itakufedhehesha, inalillah wainailaih raajiun,ucjitakase humed,ila Dr Islam indelea Wala usihangaike nao,hizi ni chuki,ACHA nao,
Akhui kua mwadilifu mm simtetei dileli lakin yeye kwenye hii video hahusiki wala hajui kama kwafanywa mambo haya
Hii channel sh abdallah dileli yeye haijui wala hana uhusiano nayo huyu ni mtu tu kafanya haya kwa mapenzi yake yeye binfasi kwa hivo usimtuhum sh kwa makosa ya watu wengine
Radi kwa wenye kukhalif ni njia miongoni mwa njia za kuamrisha mema na kukataza mabaya cha msingi mwenye kufanya ruduud azingatie misingi ya aljarhi wa taadil asimjeruhi mtu kwa chuki bali kwa uadilifu na haya wamefanya wanachuoni wengi akiwemo Imam Ahmad ibn taymia na imam Malik na imam shafi wamewaradi jahmiya masufi mashia na wengineo jazaka Allah khair sheikh umefikisha
Ikiwa huelewi kuwa sheikh humeid yuazungumza haqq,, mpaka ukamchukia basi jua umenyimwa fahamu.
Barakallah feek
Hapo sheikh uko sawa hawa hawana haja na dini mimi huwa nawaita brokers wa dini kazi yao nikutafuta pesa kwa wanasiasa wala hawana wakati wa dawa wala kusomesha waislam dini yao sheikh humeid wambie tu ukweli
Kabisa sheikh Abdallah.Ukweli hauna cha udogo
Wewe shekh wallahi Allah akuongoze,maana wewe ndo wahitaji muongozo kuliko hata wale wasojua,kuna baadhi katika hao mashekh ulowataja,wajutuma na sisi ndo tunaoujua maana tuko nyuma yao,maeatib wao
Akhui baaraka'llahu'fiik kua mwadilifu mm simtetei sh abdallah dileli lakin yeye kwenye hii video hahusiki wala hajui kama kwafanywa mambo haya
Hii channel sh abdallah dileli yeye haijui wala hana uhusiano nayo huyu ni mtu tu kafanya haya kwa mapenzi yake yeye binfasi kwa hivo usimtuhum sh kwa makosa ya watu wengine
Ila hapa kwa duktur umechemka usiendekeze Sana chuki
Allah atuongoze tuijue haq tuache kulumbana ovyo ovyo
Who is this Guy ???
Allah awataqabalie kile waona ni kidogo ama kingi wamefunza wote hao
Hili Shekhe pumbavu ni la wapi Shekhe fanya adabu watu hawafundishani hivo Kwa kukosa Adabu kwako Bora unyamaze
Kumsema mwenzako kwa hali hii, yaani kumdhalilisha kwa jamii ni haki kweli?
Vita bado mbichi mtapigana Hadi uwahabi uishe 😂😂😂
Ma hizbi wakubwa
Hizb-ul Madkhaliya.
Ansar Tawaghit
عن جندب بن عبدالله رضي الله عنه قل:"قل رسول الله صلى الله عليه وسلم:من سمع سمع الله به، ومن يراء يراء الله به".متفق عليه.
Masheikh wamefanys kazi kubwa Allah awalipe kher. Hata nyie masalafi baadhi yenu mmepita kwa masheikh hao hao.
Assalamu alaikum warahmatullah wabarakatuh shekhe abdallah hua nakukubali sana ktk kurekebisha baadhi ya makosa ya mukhalifina lakin hii sijaikubali maana naona hakuna FAIDA ya kujua kuwe wewe mpaka Sasa kushafundisha vitabu vingapi na hisi hii inakua ni sehem ya riya'a na kujionesha Allah AKUSAMEHE Lau ungalifanya kwaajili ya Allah bas ingalikua vizur lakin pia shekhe fulani kwamba amefundisha vitabu viwili au kimoja sidhani kama hii inakipimo Cha manhaji salafy Kuna kitu mashekhe zetu wa SUNNA tuwaambieni kunasehem wanakosea kama huyu shekhe abdallah hapa kaharibu Wala sio Kila kitu kumsifia
Akhui baaraka'llahu'fiik kua mwadilifu mm simtetei sh abdallah dileli lakin yeye kwenye hii video hahusiki wala hajui kama kwafanywa mambo haya
Hii channel sh abdallah dileli yeye haijui wala hana uhusiano nayo huyu ni mtu tu kafanya haya kwa mapenzi yake yeye binfasi kwa hivo usimtuhum sh kwa makosa ya watu wengine
@@abuahlaam ALAA ok Allah atuhifadhi na atufanyiye wepesi shukran
Wow from A-rab to B-rab
Eti vijana wakatoka wakaenda soma Sunna...!
Chezea petro dollar wewe.😂
Kueni na ikhlaas wacheni riyaaa
Hakuna riyaaa hapo ukweli uwekwe wazi,,,mahizbi na masufi ni falsafa Tu nyingi,,wasomeshe vitabu awam
Hapa naona kikubwa ni 1.Hasadi 2.Riyaa 3.Sum-a' 4. Kukosa uchaMungu 4.Khusuma. 5.Kudhoofisha juhudi za wengine.Ndo maana Waislamu wanasema nyinyi mnatumika kudhoofisha Daawa. Wewe kama umesomesha vitabu vingi unataraji malipo kwa nani?Sisi tutakulipa nini mpaka ututangaziee????? Hili Pekee linaonesha shida uliyonayo na hao wenzako. Na hao walosomesha vitabu vichache toa hukumu yao. Au unamshawishi nani ili awapunguzie ujira???.
hawa jamaa naona wana viburi sana.. Kama ni rahisi kiasi hicho wao wasomeshe vitabu vyote duniani hakuna tatizo..hao wanadhoofisha daawa tu
Na hizi sura za maduat munazo weka kwenye headlines zenu kuwafedhehesha mujue mutakuja ulizwa ..... Kwa kuharibu irdhwi za watu wengine. Hamukushindwa kuwafuata kuwanasihi ipaswavyo lakini shida ni kwamba mushawahukumu kwamba ni watu wa motoni na nyinyi ni wa peponi
Hahah....majadida...mnataabu Sana
Sasa hio ni dini au ujasusi...hahaha...mnanifurahisha Sana..Halafu hizo picha za mashehe mnazozitumia...kuziweka mbele ya screen....Sasa dalili gani inayosema kutumia picha ya mwenzako ni halali..lakini za majadida ni haramu..hahaha....nyinyi ni madhaif zaid ya udhaif wenyewe
Mimi huwa nashangaa na hawa masalafi wanaficha picha zao lakini za wengine wanazianika😂😂😂
Kwao sawa,video na mushada ni Haram kwao na kwake haweki TV ila kiganjani ana TV kubwa ya UA-cam,na hakuna kinachompita,yy aweke audio lkn video zote anaangalia,Hadi za wasanii,mana wanaongelewa Hadi kina mkojani,mara kingwendu,Sasa bila videos zao ungewasemaje?
Mtihani wa ahlulkitabu, hawakufarikiana ila baada kuwajia elimu!!
Inavyo tarajiwa watu waungane baada kuja elimu lakini imekua kinyume tafaruk inakuja baada yakuja bayana.
MTIHANI WA AHLULKITAB UMETUKUMBA TUNA FARIKIANA BAADA YA KUTUJIA ELIM...
ALLAH ATUONGOZE KATIKA LILE LA SAWA
Mnachanganya haki na matamanio. Tunapouliza hoja za msingi hamzijibu,mnatoa kejeli, vijembe na uwongo. Hadhaliliki ambae ALLAH SUBHANAHU WATAALA kamtukuza, na wala hatuki ambae ALLAH SUBHANAHU WATAALA kamdhalilisha, au aqida yenu inasemaje? NASAHA:"Tahadharini kuharibu matendo yetu mema kwa kujitukuza, kutaka sifa na kujionyesha.
Akhui baaraka'llahu'fiik kua mwadilifu mm simtetei sh abdallah dileli lakin yeye kwenye hii video hahusiki wala hajui kama kwafanywa mambo haya
Hii channel sh abdallah dileli yeye haijui wala hana uhusiano nayo huyu ni mtu tu kafanya haya kwa mapenzi yake yeye binfasi kwa hivo usimtuhum sh kwa makosa ya watu wengine
Hamuna kazi yakufanya
Je! mnawaamrisha watu wema na hali mmesahau nafsi zenu, kama mnavyosoma Kitabu? Hutatumia sababu yako? (2:44)
Wakosoa wenzio hali ya kuwa mwasahau nafsi zenu.....haijalishi umesomesha vitabu aina ngapi......
Je! Athari ya unachokisomesha ipo?
Mcheni Allah ﷻ...viongozi hiii ni dini ya Allah sw...sio mabishano ya kipuuzi puuzi... Usimshushe thamani ww ukajiona ndio Bora........اتقى الله
Usul ya khawariji ni ipi?🫵🏽😂
Jamani mungekua mnakosoa watu wa bidaa lakini sio walio simama na suna mnapoteza umma jamani
Mazingatio sio wingi bali mazingatio ni khaalisa lillah basi
Naam lakni pia kuweka wazi elimu Kwa ummah,,,kusomesha Kwa wingi
Mtume Muhammad swallallahu alayhi wasallam alikuwa na darsa ngapi kwa wiki?
Mtumeﷺ Maisha yake yote ni darsa. We wajua maana ya Sunnah kweli?
Allah atuongoze sote.
Huyu abdallah sijui kasomea wapi?
Muhammad mafuta mbona humtolei mfano au nyani haoni........
Kweli wewe dilele ni mpuzi sana yaani kwa akili yako watu hawajui haqqi mpaka kuja wewe au watu hawakujua tawheed mpaka kuja wewe ajabu alikosomesha wewe alisoma wapi.
Huu upumbavu wa masalafiy sijui utaisha lin😅
ABDALLAH HUMEID hakuna alilonalo zaid ya HASAD.
Kila ninapomsikiliza ABDALLAH HUMEID sioni zaid ya UGONJWA au HASAD (TRAUMA).
Akhui baaraka'llahu'fiik kua mwadilifu mm simtetei sh abdallah dileli lakin yeye kwenye hii video hahusiki wala hajui kama kwafanywa mambo haya
Hii channel sh abdallah dileli yeye haijui wala hana uhusiano nayo huyu ni mtu tu kafanya haya kwa mapenzi yake yeye binfasi kwa hivo usimtuhum sh kwa makosa ya watu wengine
MSHENZI LIMBUKENI MKUBWA
UNAFANUDISHAGA NINI WEWE?
ZAIDI YA MATUSI CHUKI NA HASADI.
Wenye imani na ufaham sahihi wakukufata hawa ni masifa kama kweli hawataki radd waketi chini wasomeshi dini ya Allah wawache kujidai masheikh kumbe ni brokers wa dini ya uislam
anaetaka afate haki kwa sababu haki ipo wazi, lakin asie taka aendelee kidogosha kila anaposkia hakki ikisemwa
Wachenni husda nyinyi dilele kazi kufundisha risala ndogo ndogo wakati nyinyi wanafunzi ndo mwafaa kuzisoma
Ni ukweli usiopingika hawa jamaa ni jadida sio Salafi. Daawat Salafiya haiwezi kuwa hivi. 1.Ikhlaas ni Imani iliyo moyoni lakini kuna matendo yanayodhihirisha maharibiko yake. Kubeza na kujitukuza. 2. Usulubu mbovu wa kiidaawa 3.Yale wanayowakataza na kuyakana ndo wanayafanya 4.Khusuma 5.Mushadiddiina 6. Kukataa Sulhu 7.Kufanya tathmini katika matendo ya waja wa ALLAH A'ZZA WAJALLA, hali ya kuwa nao ni viumbe (Uchache wa Tawhiid).
Akhui baaraka'llahu'fiik kua mwadilifu mm simtetei sh abdallah dileli lakin yeye kwenye hii video hahusiki wala hajui kama kwafanywa mambo haya
Hii channel sh abdallah dileli yeye haijui wala hana uhusiano nayo huyu ni mtu tu kafanya haya kwa mapenzi yake yeye binfasi kwa hivo usimtuhum sh kwa makosa ya watu wengine
Yani ukweli mtupu,mi kuna dogo nlimuona katoka maahad imaam shaafii,kwa barahiyani nkamuuliza umemaliza,akasema nimemaliza thanawi,wallahi hiyo thaanawi ilikua ni vituko,nkamwambia umepotezewa mda,njoo markaz ya irshaad ilala hapa,usome,wallahi saiv anashkuru kuwa na masalafi
Kwn shekh abuu khawla kapatia wp thanawy yake mpk useme unapotezew mda
Nyinyi ni walokole waliojiingiza kwenye uislaam
@@yusuphuswalehe1540 ni kweli lkn usufi ni uruhbaaniii kama ule aloutaja allah ktk suraatul hadiid
ورهبانية ابتدعوها
Ndo usuufii,huwez ukatuletea uzushi afu utaumbie
ليس كل محدثة بدعة
Kanuni ya kisheria inasema
الأصل في العبادات المنع إلا بالنص
Someni acheni kukata viuno maulidini
@@sultansaidsalehe3805 kwani thanawi ndo elimu😁,endelea na thanawi ya kukatika viuno maulidini,mtu anaeweza kuwafundisha watu mfano wa kitabu kma
مغني اللبيب عن كتب الأعاريب
Huyo martaba na marhala yake ya elimj ikoje,sasa abuu khaula kafundisha mfano wa vitabu kma hvyo,asa sijui hicho ni level ya thanawii?!!
Ungejaribu pia kufatilia kuuliza masheikh wakubwa wangapi wametokea imaam shafii.. inawezekana huyo mpumbav mwenzio alikua haingii darasani😂
Hizi ndizo Inaad , Riaa, hasad na uchafu wa moyo , tofauti zenu mnazichanganya na hasad muogopeni Allah , huyo anayesema hawezi Kuizuia Hii daawh, na yeye ndiyo hiyo hiyo daawah anayo ilingania, yaani mnamaajabu nyie , halafu kuorodhesha vitabu ulivyo somesha hii sio Tija na alama ya kuwa katika Haqq, Kwani hakuna Wanavyuoni walio kuwa na vitabu vichache tu na wengine hawana Historia kabisa?? Acheni chuki za kishetani.
Tandika mahizb hao hawano lolote
Mimi natatizwa sana hawa mahizbi. Bidah kwao ni maulidi tu wala hawaoni shida kuketi na watu wa bidah.
Msijitukuze nafsi zenu mkaita masheikh wote mahizbi tuombe mwisho mwema bas sio kujiona huko
Dileli arud akasome tuu alafu huyu alikua anasoma kwa dokta islam leo anamkataa 😂😂😂😂😂 hiii dini ilipo fikia bado kiyama tu
Nyie kwani duktuur aliwafanya nini 😂😂😂 acheni ushabiki bhana hii ni dini ya ALLAAH sio ya Abdallah Humeid wala nani
@salafi. Ninaamini duktur ameandika risala na vitabu mingi.. mbona hujavi_include katika hii video yako kama kweli unafanya haqi,, ukamtetea humeid ameandika vitabu na risala mbona pia hujasema duktur ameandika lakini samahani hukupata nafasi ya kuvitaja!!!??
Hizo link za darsa zote umezitaja ziko wapi
www.assalafiyyah.com, whatsapp group, youtube channel ya markaz imam shafi, Telegram, hudhuria mskiti wowote wa masalafi kila baada swala utasomeshwa na pia live and free kwa youtube .ukitaka links za google drive pia utapewa.Chaguo ni lako
Huna Adabu hata kidogo... Wallahi huu sio Uisilamu ...
Hawa ndowalinganiaji wanaolingania watu kwenda motoni
Kwa hio kwa kifupi ni watu wa motoni ushahukumu..... subhanAllah. Muogope Allah ujue haya uliyoyaandika utaenda ulizwa.... Wacha hamasa.
Umesikia Mahali wakiamrisha mabaya na kukataza mazuri? Umesikia wakihalalisha haramu na kuharamisha Halali?
@@abdulrahmanabubakar5127 Ndugu yangu tukisema abdulrahmaan anapoteza watu haimaanishi abdul nimtu wa motoni elewa hilo natunaposema wanalingania watu kwenda mitoni yani hawa wanalingania chuki nahasadi bila misingi yakisheria wanahamasisha kuwadharau waisilaamu wenzao jambo ambalo niharaam namengine mengi tu nasisi hatumtii peponi mtu wala motoni awe hai au mayyit ila kwadalili قطعية nahiyo ndomisingi ya ahlussunnat waljamaat.
MNAJIDANGANYA ETI DAAWAH YENU INASAMBAA!!!!!
WALLAHI MUONGO MKUBWA
KILICHO WAPA NYINYI UMARAFU NI MATUSI YENU NA WALA SI ELEM
Hawa mahizbi ni michango tu na kula pesa za waislamu. Hawasomeshi dini kabisa
Wewe Ndio Uliyeenda ukala Nao??
naam kunaye mwanachuoni mwingine yuatukanwa na kutajwa kwa ubaya naye ni sheikh yahya alhajuri
tunamjua mwingine,sheikana YAHYA BIN ALLY ALHAJUURY ALLAH AKUHIFADWI!! Sheikh wako Kassim mafuta baada ya sheikh YAHYA BIN ALLY ALHAJUURY kutoa fatawa ya masalaf kuacha tabia za kuweka MAKAPU ya kuomba omba na kuachana ma TAASISI za kuombaomba kwa watu,alipandisha MASHETANI na kuuanza kumtukana na kumvunjia heshima!!
Nassor bachu ameanzakufundisha suna wewe humed ujazaliwa.
Kibri ndio itakuangamiza
Wewe admin wa hii channel, kua na inswaf, ukieneza picha hizo zoote hapo nia yako hua ni ipi? Dr. Islam aliwafanya nn mpaka mue na CHUKI kiasi hichi nae !!!!!!
KUMBE KUNA HUSDA NDANI YAKE
Ukiskia Upumbavu ni Huu
Wacheni ujinga nyie majadida madaakhila
Kama huyu mwengne kwao uislam unangamia badala aende huko awalinganie na kuwasomesha amekatalia hapo mombasa kwa ajili pesa ndogo ndogo sasa anadhani anafanya dawa sheikh wakumbushe hawa brokers
Kwa video hii nimeamini abdallah humed husda itakuuwa kina sheikh bachu hawatangazi suna 😮
Samahani sheikh podia se dedicar muito em ensinar nao de se sultarem nao fica bem. Voce sempre fala mal dos teus amigos
Mafuta unachefua
Awache Kumtukana Habib Omar Bin Hafeedh... Hana Heshima hata Kidogo Huyu Abdallah Humeid... Dilele
Ewe muabudu masharifu kwa clip katajwa wapi bin Hafidh sasa asiekua na Heshima ni nani?
Isitoshe bin Hafidh ni nani kwako?unamjua?
@@abusihaa6396 .... SubhanaAllah Mm NamuAbudu Allah na Nawaheshimu Wanawazuoni kama NilivyoAmrishwa Na Qur'aani... Fanya Adabu wewe na Mwalimu wako ... Wallahi Nyama ya wanawazuoni ni sumu ... Tahadharini ... Kazi ni kuichafua dini wala hamna Da3waa ya style hio Ilifanywa na wema waliotanguliaaaa
@@abusihaa6396 ... Uwe tayari kujibu Mbele Ya Allah ... Ni wapi Uliniona Mm Na Aabudu Masharifu ...
Hichi kikundi Cha salafi kazi yake ni raddi si kusomesha watu kazi kurudi watu ata ductur humfiki kwake wee n rawtha
Masalafi fekiii
Ndugu yangu nakuusia uache hizi propaganda zako...wallahi laysa fiyhi Shein...wasatadhkuru maa aquwlu laka
😂😂😂😂😂😂😂 leo mahizby mnapiga kelele sana...
Ni ukweli au urongo? Darasa ni ngapi kwa wiki???