Mama na mtoto tabia yenu imetisha sana hadi naogopa😂😂😂😂😂 kwako kuna mke mwenza mchepuko njee kuna mke mwenza 😂😂😂 Anna unayo tafuta utapata nikiangalia Devis hana penzi nawe akimalizna nawe utatemwa kama alivyio tema Rebecca 😅 hiyo time Diba atakuwa kwa new life😂😂😂
Unahizo hela sasa za kutafuta huyo mwanamke mwingine? 😂😂😂 maana unaishi kwa Ana unakula kwa Ana umeme analipa Ana mboga ananunua Ana harafu umbomoe Boss wako tena😂😂
Diba anatia huruma jmn Anna Mungu anakuona Team Diba tujuwane leo
Alitaka ndoa ndo kapata sasa acha apambane
Mtoto kauta mtoto kauta mtoto kautaka mtoto kautaka
Sihurumii Diba Anna alimuwarn wasioane Diba akalazimisha ndio hao matokeo
Tuliokua tunayaman Anna aolewe na diba na Sasa iyo ndoa ni ujinga Bora ivunjike tujuane😢😢
Nataman apigweee wee af Diba apate Kaz apate na penz jipya
😂😂😂😂😂
@@NaaPius-kl2whAmen 🙌
Anna chiz
😂😂💔
Mama na mtoto tabia yenu imetisha sana hadi naogopa😂😂😂😂😂 kwako kuna mke mwenza mchepuko njee kuna mke mwenza 😂😂😂 Anna unayo tafuta utapata nikiangalia Devis hana penzi nawe akimalizna nawe utatemwa kama alivyio tema Rebecca 😅 hiyo time Diba atakuwa kwa new life😂😂😂
😂😂😂Jmn glory kafula hasira leo had analia duuuh we piraaa ww jichunge sana
😅mbona piraaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mshanga G Leo umeniacha hoi kabisa
mapenzi ya wiz wiz yanakazi sana jmnii😂
Kama secondary unatumia sm nyumban hawajui😁😁
Hivi kule kijijini mbona hawaonyeshagi tena kwa kina dora ila juakali sijui itaisha lini imekuwa isidingo😂😂
Waw,tunashukuru kwa kutuwekea jua kali❤
Anna mtese Diba wetu ipo siku kitakulamba TU
Ya leo mbayaaaaa sijamuona regina
Namm sijapenda
Soon tutamuona pita anamfata Groly nyumbn kwake 😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂 hilo nalo neno
😅😅😅
Mama Semeni unanifurshisha wee mama😂😂haswa nikikumbuka single mama ukimwambia Salama Umalaya una umri Elimu haina umri😂🤗🤗🤗
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 mshangazi G analia😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimechekaaa🤣🤣🤣
Yan nimecheka kweli nilivo muona sof amemshangaa 😂😂
🤣🤣🤣🤣
Eva anachotaka ni kidinywaa tu😂, sema hii relation naipenda sanaa
Sindyo😅😅😅
Kama vile😂😂😂
Jaman kipande cha diba kinanikwaza amekua mapoozo
Acha ateseke,uliona alivyoteswa?
Daaaa mwanaume wa aina ya Diba cjui kma bado anapumua
Sofia ata alijifunzi hili bata 😅😅😅 mtu hamtak ety ushaharb akil yng kwan piraaa ni first lavu wako mattercore wewe😂😂😂
Mama vituko mtt vituko 😅😅😅😅😅
Yan shida tupu😂😂
Glory zee zimaovyo kamrithisha mwanae Anna😂 Anna za mwizi na 39 ya 40kifinyo kitamkuta
Miguu ya davis kweli yupo in love😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Lamata tunaomba kile kipengele cha diba anamfumania anna anaongea na davisi kwa sim kifike😂😂
Ana anavofny utafikir davis atamuoa😅😅 ataachwa kiacho kibaya
Mbona kiacho😂😂
😅@@dannylinguist15
Yaan
Eva mambo mazur haya taki pupa myh
Movie hi ka ibeba enzo!🎉🎉
Uyo Enzo kaja juz tu
Mwanaume ukila vya mwanamke huwezi kuw na sauti diba position yake kwa sasa ngumu,
Analipiziwa😂
Na anna anamkomesh jmn duuh
Ndo maana halisi ya kuwa mapenzi ayalazimishwiii
jmn lamata hcho kgaun cha eva veep hakibadlishwi😅
😅😅😅😅😅 piraaa
Tulitamani sana Anna apate ndoa but kaipata anaichezea Tena yaan daah na misukosuko yote aliyopitia bado hajajifunza tu🤦
Diba kipindi kile alimpiga sana Anna,alifikiri mwanamke anasamehe😂
Mwanaume ushakuwa khaaa zuzu sababu za kupenda kitonga😅
Diba hukusikia ya lusajo
Ila Ann 😂😂😂
Ya leo sijaikubal hata kidogo
Anna amesahau kilekichapo alichopigwa na diba,haiko mbali atakipata
Huyu devis anajua bhn😂😂😂
Diba yupo saw kweli
Aunt G shughuli ya mtoto wa rafiki yako imeisha😅😂
Anna kuna siku litakuwakiya Diba tafuta mmchepuko dawa ya mwanamke ni mwanamke
Yani kama kunakipande sikipendi ni cha uyu Ana na uyu Hawara ake
Kwan bill huna feeling jmniiiii 😂😂
Hayo macho ana jamani
Ana anaugonjwa kweli uyu ameze daw
Wanawake tungekuwa wang'ang'anizi kama Sophia ingekuwa raha sana 😅
Nije nisikie et diba kafanya vbay😂😂😂
Yaan diba uniite
Eva is need mzagamuo😂
😂😂😂😂
Eva niko hapa my Bill uko wap watoto wanachelewa kwenda shule 😂😂
😂😂
Bill na Eva mnazingua 😂😂😂ss mapenz gani bila ....
Ila we anna kitakacho kukuta cjui😢
Eva unajimaliza sana km n kweli
Hiyo forehead kiss, adi namuonea wivu Eva.🤭
Njoo nikukis😊
🤭🙈
@EliaNgitao acha tabia😂😂😂
ila pilo
@@Nahmasai-86 Njoo please, mm ndio bill wako🤦
Lamata leta Bobo sasa uyu anna anatuona makalio sana
Devis kwake parachuti itakuja kumhusu😂
Eva anataka kunyanduliwa😂😂😂
Upwilu umemjaq😅
😂😂😂
Bill bado hana maamuzi kuhusu eva ni kama anaogopa ku do nae
Mapenz usenge san
Peter simtie vibao huy
Ile ndoa ndoano sasa Nimeiyona kwa Diba 😂😂😂😂
Mambo ya kusikia ndo tunaon kwa macho, tunasikia wameuana tu kumbe ndo mambo yenyew hayo
Piraaaa😂
Regina m sijamuona ata sijapenda sana
Anna jua tu siku moja utalipia maumivu yote unayo mpatia diba 😢
Mbn unampangia lamata😂😂
Mbona Diba alimteka Ana na akaenda kumtesa 😂😂 ubaya Ubwela
Sio kihivyo Bora mtu akupige kuliko mateso anayopewa diba jaman
Devis enzoo shemeji yakoo😂
kwani peter huoni bahasha lakini
😂😂😂😂😂😂😊
Diba umemkumbuka mjomba lusajo
Dj umepewe maua yako mpaka yaliopita nimekubali
Ila diba ni zapunga sa si Bora urudi kwa mjomba lusajo
Nimemiss. Kijijini kwa Akina zakayo niliacha jua lawaka kuwaka chekesha 😂😂
Sasa mavdio mengine niyanini mwaboesha kweli ndipo
Diba endelea kupambana na hali Yako SI unajifanya wewe king'ang'a wa mapenzi😂😂😂
Dj Leo umekuwa hongera san
🎉
Diba kama msenge
Asante sn Dj
Kumbato la eva na bill iz so mwaaa!
Soph bana
Couple ya Eva na bill huwaga imepooza sn bhn haina mashamsham
Sasa huyu mshangaz wa peter analilia nn 🤣🤣 hata hapendezei et niache niondoke🤣🤣🤣
Ila glory bhana 🤣🤣 ukisikia mtu mzima hovyo ndo hii family ya prof
Maumivu dear 😂
@@EroniaEfraimu et analia 😅😅
Kama lijinga😂😂😂
@@RetisiaDeogratiasMashauri 🤣🤣🤣
Kwani lamata anawaza nini uu ni ujinga mtupu ana ateseke na mahusiano mpaka kufa na diba apate mke ambae hana tamaa timu diba tunateseka
Peter Reginal Sophy woyoooooo😅😅,,,, Bill Eva woyooooo.😊😊... Davis Anna Diba woyoooo 😊😊 Enzo regina woyooooo😊😊
Are you normal upstairs??😅😅😅
@shanisigwa8910 I'm ver normal..it's Peter glory and Sophy
Kinganganizi Sofia rithika na idi wako
Devis mjinga kwel Yan haogop Anna anamfanyia visavyote hivyo mume we kisa ni ww kaa ukijua kuwa Hilo ni deni utalipia huku mnalia
Huyu diba karogwa vipi anakaa zuzu
😂😂😂😂😂 anajaribu kuwaza jambo la hekima
❤❤❤
Mama ana naana mmmh mwakawao😂
Diba atakuja kufanya jambo ambalo hata Lamata atashangaa
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umewaza mbali 😁😁
😂😂😂😂😂😂 wanamchukulia poa...waulize wahusika wa kapuni wanamtambua,lamata mhurumie diba😂😂😂😂
😅😅😅😅
😅😅😅😅
Lishangazi ety linalilia mapenzi 😂😂
Kupendwa hakuna umri
Diba acha ufala
😂🤣🤣🤣 Anna amechukua Tabia za Mashagala kwenda Chooni na cm😂
🙄🙄🙄🙄tuache back khaa 😂😂😂😂😂wengine hadi washa ngusha choo 😅😅😅
@Leilafsadick MI NDIYO ZANGU IZO
Ningekua Diba huyu Annah namzibua mikofi huyu mpaka ajute au natafuta mwanamke mwengine kimya kimya Yeye akirudi Mm natoka home Kurudi majogoo
Tatzo pesa ndugu, diba hana pesa, uyo mwanamke mwingine atamtoa wap
@shanisigwa8910 Akatafute pesa uko uko alipo mtoa Annah na mwengine ata pata izo zarau unyanyasike kisa mwana mke ana pesa sio kweli piga makofi
Unahizo hela sasa za kutafuta huyo mwanamke mwingine? 😂😂😂 maana unaishi kwa Ana unakula kwa Ana umeme analipa Ana mboga ananunua Ana harafu umbomoe Boss wako tena😂😂
Mdomo wa eva unaomba busu
Zai kaamua kueka ushape wake live 🤣🤣🤣🤣🤣
Kama mmerogwa kuna siku naitafuta jua kali mpaka basi leo nashangaa
❤❤❤❤❤
Diba hio ni ndoa au ndoano,siujitoe mwache adange Anna sio wife material,wala hata huyo davis hatamuoa
Diba ana kazi ya kubadili mapajama tu😅😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂Nimechek kwa sautii kah jmn
Mjomba anajua kuchamba😅😅
Yaaan nmecheka, nikamkumbuka na anko Lusajo alisema kazi yake kufua pajama
😂😂😂 umenichekesha ujue daah
❤❤😂
🤩🤩🤩
masikin diba toloka uje😅😅😅😅
Yaan mim naua bila kutegemea,hali kama ya Diba sikubali ata kidg
Natamani Diba arudi kuwa jasir kama mwanzo amzabe Ana hata kibao Cha adabu tu 😂
🎉🎉
Sasa groly imri huo unalia nn sasa?? Kujidharirisha tu 😏😏😏mtu mzima kiaz wew😎😎😎
Hivi diba siamfue huyo anna kama ni ndoa iishie hapo