Kaimu Inspekta wa polisi Gilbert Masengeli kwa mara ya nne akaidi agizo la kufika mbele ya mahakama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Kaimu Inspekta wa polisi Gilbert Masengeli kwa mara ya nne amekaidi agizo la kufika mbele ya mahakama kutoa maelezo kuhusu waliko wakenya watatu waliotekwa nyara wakati wa maandamano ya nane nane mwezi uliopita. Mahakama ilielezwa kuwa Masengeli alikuwa Mombasa kwa majukumu ya kikazi na hangeweza kufika. Vikao vya leo hata hivyo vilisitishwa kwa muda kufuatia ghadhabu za familia za waliotoweka na wanaharakati, Kama Ben Kirui anavyoarifu

КОМЕНТАРІ • 26

  • @Usercintahcin
    @Usercintahcin 10 днів тому +4

    Most police come from very poor areas but they pretend like they're Europeans they don't care right of citizens

  • @alexjomo
    @alexjomo 10 днів тому +1

    Atafutwe by force by fire or hata yeye apatikane kware

  • @vincentokello-ec5mv
    @vincentokello-ec5mv 8 днів тому

    Usikanyanga kabisa boss wangu

  • @mecknaika4260
    @mecknaika4260 10 днів тому +1

    Kibicho na Matiang'i use to ignore court orders na Citizen hamkuangazia ama ni vile walikua wanakaa na SK meza moja😂

    • @worrior153
      @worrior153 10 днів тому +2

      Reason beyond your nose, we are speaking of unjust acts by the so called "police "

    • @Patoh254Somie
      @Patoh254Somie 10 днів тому

      Juu matiang'i alikua mkubwa wako amh wa polisi?

    • @KeprahWahinya
      @KeprahWahinya 9 днів тому

      They were not abducting people

    • @davidmuli896
      @davidmuli896 8 днів тому

      Then you say matiangi for president......president my foot

  • @touristmorgan4090
    @touristmorgan4090 10 днів тому +1

    Waende kitui kama urogi upo

  • @wilfredmusau2108
    @wilfredmusau2108 10 днів тому

    Why can't the court give out arrest orders against him?
    How superior and powerful is he that he can defy the orders?

    • @abduratwaha3945
      @abduratwaha3945 9 днів тому

      The question is....which policeman will dare arrest him😂😂😂

    • @neriaatota8913
      @neriaatota8913 9 днів тому

      ​@@abduratwaha3945kwani who is he???

  • @WillisAli
    @WillisAli 10 днів тому +1

    l salute yu you..... ni kama kibicho aliitwa na koti....

  • @alexjomo
    @alexjomo 10 днів тому

    Who is he

  • @musyokastephen508
    @musyokastephen508 10 днів тому

    William said nobody was abducted

  • @nikkonicholas4541
    @nikkonicholas4541 10 днів тому

    Hao ma judge's wanataka river yala tu

    • @Nat-wu4kj
      @Nat-wu4kj 10 днів тому

      Hiyo ndio Zakayo anajua tu, kumaliza Wakenya kama mambuzi?

  • @DANIELMACHARIA-d5y
    @DANIELMACHARIA-d5y 10 днів тому

    Masengeli was not on job that time,ask koome

  • @JaneJemima-nl7ec
    @JaneJemima-nl7ec 10 днів тому

    We know these courts and judges are being used by Wanjigi and protest sponsors after failing to overthrow Ruto. Masengeli should not even think or dream of going to court, we know the game these courts and judges want to play.

    • @Patoh254Somie
      @Patoh254Somie 10 днів тому

      Eeeh hii ni game ya wanjigi ebu gavaa ideal na Hawa watu mapema

    • @MadarakaKefa
      @MadarakaKefa 9 днів тому

      Where is jw here i wish they were your brothers