❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤woooow Trueeeeeeeful prophet prophet prophecy ❤❤❤❤my prophet of Lord God....from the true blood of Jesus our saviour❤❤❤❤❤❤waaah Asante Baba Mtakatifu kwa prophet wako Pastor George Mukabwa ❤❤❤❤❤❤❤Amen ....Amen. ❤❤❤❤Oye Niederosterreich woooooow❤❤❤❤❤ Hallelujah...Ameeeen❤❤❤❤❤❤❤
YESU WANGU ANAGAWA KARAMA, LAKINI KARAMA ALIOPEWA MCHUNGAJI HUYU NI YAKIPEKEE SANA,KILA NIKISIKILIZA MAHUBIRI YAKE,NAPATA NGUVU YA KUSONGA MBELE,YESU MLINDE ZAIDI MCHUNGAJI WETU AENDELEE KUTUCHUNGA KONDOO WAKO🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Ámen ámen ámen My Mentor in our Lord God and the Blood of Jesus Christ❤❤❤❤❤ubarikiwe Greatest Man Of God . Uliumbwa kufundisha na kufuata wayo wa Yesu ..Amen❤❤❤❤❤
I thank God for you pastor George,,,,nimerelax tu kuwatch teachings zako nikajipata pabaya pastor I thank God for you pastor I know what to do now....Ghai God bless you pastor I wish ningewatch 2weaks ago but have gained strength I fill relaxed now
Mungu akubariki sana pastor umefanyika baraka sana katika maisha yangu ya kiroho nisaidie neno la hekima nilimwamin wakala nikampa Hela aweke Kwa account amekimbia nazo na ni mkopo wa bank naomba nipatie neno naamini Mungu ameliweka ndani yako
Muchungaji naku fuata nikiwa yuganda lakini mimi ni mukimbizi mukongomani,ukweli ni kwamba nime barikiwa na mafundisho yako nakufuata kila siku na haya yame ni sogeza ma Hali,na muomba Mungu ni fuate nyayo zako.mungu akutumiye zaidi
HAKIKA USIACHE ELIMU AENDE ZAKE ,UBARIKIWE SANA NA MUNGU AENDE KUKUFANYA KUWA KICHWA, NA MAADUI WAJAPO KWA NJIA MOJA MUNGU AWASAMBARATISHE KWA NJIA SABA, UMENIINUWA TENA MUATUA NYINGINE.
Paster natamani nikuone bas tu nikuon talizika Naam toka nimeanza kukufuatilia najazwa Kila iitwapo Leo natamani nikuon bas tu talizika naamin takuon na hata kama SI duniani bas mbingun nabalikiwa hasa unapohubiri huku ukitunia neno paster mungu anatend
Mungu azidi kukupa ujasiri na nguvu uweze kusema UKWELI Huu MGUMU WA MUNGU WETU 🥰💕
Pastor ubarikiwe sana mafunzo yko yamenisaidia sana Asante Kwa kufunza watu neno la mungu 2likuwà 2mepotea sana na neno la mungu
Mungu asifie baba mchungaji unanibariki nakunipandisha kiwango uniombeye Nami
Hallelujah hallelujah hallelujah, glory to God, very powerful teaching in spiritual life 🙌🙌🙌🙏🙏
Pastor God aku bless juu hua wahubili vitu hua napitia
Mungu akubariki kwa kuniinua katika ngazi nyengine kusema nami katika mtazamo wangu mungu akuzidishie mtumishi🙏🙏🙏🙏
Amen mchungaji unanibariki kwa masomo mazuri MUNGU na akuongezehe siku amen
Nabarikiwa Sana na mafundisho ya huyu mtumishi,Mungu akutunze baba
Alelluyah alelluyah blessed barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu Glory be to God
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤woooow Trueeeeeeeful prophet prophet prophecy ❤❤❤❤my prophet of Lord God....from the true blood of Jesus our saviour❤❤❤❤❤❤waaah Asante Baba Mtakatifu kwa prophet wako Pastor George Mukabwa ❤❤❤❤❤❤❤Amen ....Amen. ❤❤❤❤Oye Niederosterreich woooooow❤❤❤❤❤ Hallelujah...Ameeeen❤❤❤❤❤❤❤
YESU WANGU ANAGAWA KARAMA, LAKINI KARAMA ALIOPEWA MCHUNGAJI HUYU NI YAKIPEKEE SANA,KILA NIKISIKILIZA MAHUBIRI YAKE,NAPATA NGUVU YA KUSONGA MBELE,YESU MLINDE ZAIDI MCHUNGAJI WETU AENDELEE KUTUCHUNGA KONDOO WAKO🙏
Pastor George Mungu akubariki sana kwa mafundisho nimekuwa nikijifunza kimjua MUNGU
Yaani huyu pastor🙏🙏🙏🙌🙌🙌Mimi nilikuwa sijuh hata kuelewa bibilia Lakini kupitia huyu Baba naelewa sasa😢😢😢
Huu ndio ukweli
1:10:32
Kweli kabisa anatubariki sana kwa mafundisho yake yote.
Yaani Baba kama unanisema Mimi hakika Mungu akubariki
Glory to God, after reasening this massage I will never b the same again in Jesus mighty name.I am more than a conqueror.🙏
Mungu azidi kukutumia Baba. Umekuwa mwalim na Mchungaji mwema. Amen
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Ámen ámen ámen
My Mentor in our Lord God and the Blood of Jesus Christ❤❤❤❤❤ubarikiwe Greatest Man Of God . Uliumbwa kufundisha na kufuata wayo wa Yesu ..Amen❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Goodness God umeniona nateswa.....😢😢😢😢😢Niederoesterreich
Barikiwa pastor unanisaidia sana katika huduma yangu...nimepata suluhisho ya maisha yangu kupitia mahubiri Yako....barikiwa saaaaaana
AMINA kutoka Luanda, Angola
Amen amen natamani nijue kuomba eeh mungu wa mbinguni nifungue akali nijue mambo ya kutamka wakati wa kuomba😢
Thanks pastor I blessed so much, God bless you.
Asante kwa mafundisho mazuri mtumishi wa Mungu barikiwa kupitia neno lako napata ukombozi ...kutoka kenya
Glory be tu God,mungu nitoe kw hali nayo pitia
Amen amen baba kwamafundisho haya umenifunza kujuwa kuomba mgu anionyeshe niaye munguakuzidishiye nakukupa mwishomuzuli kulikomwanzo natoka kongo
Asante Mungu neno lako kupitia mtumishi wako limekuja kwangu wakati sahihi
Ni kweli kabiza mutumishi wa mungu barikiwa sanaaaana hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah ❤❤
Amen Pastor kwa haya mafundisho
I thank God for you pastor George,,,,nimerelax tu kuwatch teachings zako nikajipata pabaya pastor I thank God for you pastor I know what to do now....Ghai God bless you pastor I wish ningewatch 2weaks ago but have gained strength I fill relaxed now
We thank God
Ubarikiwe sana Pastor George kwa mafundisho mazuri ambayo Mwenyezi Mungu amekujaalia kutupatia.
Listening to this man of God takes somebody to the highest spritual level be blessed
Very true, always when i listen to this pastor i must get something
Asante kwa mafundisho mazuri kutoka Kenya nimebarikiwa sana
Amen watching from Saudi Arabia nambarikiwa na mafundisho yako pastor ubarkiwe sana🙏🙏
Kwa sauti hii mungu naomba unitowe ktk mangu ninayopitia
Mungu akubariki Sanaa Mtumishi umenisaidia sana naomba Mungu azidi kukupaka mafuta mabichi
mungu akuinue zaidi wewe ni mtumishi ambaye mafunzo yako yananiingia zaidi na kunibadilisha Kila ninapo kuskiza...
Nimemwona Mungu akinijibu kupitia mahubiri Yako MUNGU AINULIWE
Nimebarikiwa mnoo na huu ujumbe,ninautendea kazi
Amima man of God🙏🙏🛐🛐
Mungu akubariki sana pastor umefanyika baraka sana katika maisha yangu ya kiroho nisaidie neno la hekima nilimwamin wakala nikampa Hela aweke Kwa account amekimbia nazo na ni mkopo wa bank naomba nipatie neno naamini Mungu ameliweka ndani yako
May God bless you pastor hakika n mahubiri tu imeniweka jinsi nilivyo
Pastor. Ubarikiwe. Sana. Umenisaindia. Sana. Tangu. Niase. Kusikilisa. Mahubili. Yako. Nimebalikiwa. Ni. Lucy. Kutoka. Kenya
Am blessed
Eeh Mungu Wangu bariki huyu nilikuwa Chibi Sasa Kwa wema wako nko huru💐💐💐🤣🎉🎉🎉💯💖💖 blessings pastor
Nimebarikwa sana Kupitia Hilo Neno Maana napitia Kipindi kigumu katika Maisha Yangu .Mungu Endelea kumbaruki Huyu Mchungaji
Amen 🙏 thank you Lord napokea neno la YESU la kujifungua kwa jina la YESU
Mungu ni mwema.. Amen amen, may God bless you pastor, neno limenibariki kweli
Amen kubwa baba yangu Mungu wetu akubariki sana tunajifunza mno.❤
Wooow❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mwenyezi Mungu anitiye nguvu nimutumikiye
Muchungaji naku fuata nikiwa yuganda lakini mimi ni mukimbizi mukongomani,ukweli ni kwamba nime barikiwa na mafundisho yako nakufuata kila siku na haya yame ni sogeza ma Hali,na muomba Mungu ni fuate nyayo zako.mungu akutumiye zaidi
Asante kwa neno lako
Amina barikiwa sana baba
Asante sana poster kwa mafundisho mazuri. Nabarikiwa sana.
Ameeen kubwa baba
Amen yaani nabarikiwa Sana na mtumishi huyu
Amen amen amen Reverend George nakupata vizuri sana Kenya na Mungu akubariki Baba unagonga deep
yaani mafundisho mazuri yakujenga
Pastor Mungu Akutie Nguvu sana
Kweli mtumishi unabariki sana kwa mafundisho thabiti na wengi wanatolewa magetezani
❤❤ Kupitia njili hii nimebarikiwa sana Tena nimejifunza kitu ❤
You really empowering me mtumishi. Mungu akubariki sana.
Ubarikiwe pastor George. Mahubiri yako inanifariji sana na najifunza vitu muhimu sana.
Ila naomba contact yako. Nahitaji msaada.
Ubarikiwe mtumishi.
Bwana mungu nionyeshe njia zako weh bwana
Amen amen,baba umeniponya kwa kiwango kikubwa .Mungu wa mbinguni akujaze zaidi.
Nashukuru kwa kunitoa taka. Mungu akuinue zaidi...
Amina mchungaji
Napenda sana mukianzia kwa praise and worship 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amina Mtumishi wa Mungu nakufatiria nikiwa Nchini South Africa,nimebarikiwa maana huwa nafunuliwa sana Maandiko ila nilikuwasijuhi😂maana yake
Naomba rehema ya uzao wangu
Be blessed God's servant
Amen, Asante sana man of God.
Amen Mtumishi barikiwa sana
Amen Mungu maisha uendelee kutufundisha.
Asante Kwa Neno lako la uhai.
Be blessed man of god
Lord help me change my attitude in life from today the 23.10.23
Hallelujah Pastor i'm so blessed
Mungu akubariki mtumishi
Mungu akubaliki nabalikiwa sanaaaaaaaa
Ubari kiwe sana mtumishi wa Mungu
You are very right
Naomba maombi mtumishi
Lisening from kenya
Ooooooooh halleluyàah
Mungu wetu ni hallelujah tu
HAKIKA USIACHE ELIMU AENDE ZAKE ,UBARIKIWE SANA NA MUNGU AENDE KUKUFANYA KUWA KICHWA, NA MAADUI WAJAPO KWA NJIA MOJA MUNGU AWASAMBARATISHE KWA NJIA SABA, UMENIINUWA TENA MUATUA NYINGINE.
Barikiwa sana mtumishi
Barikiwa Baba
Mwalimu wa neno mafudisho kamili
Wapakwa mafuta ya Bwana bado wapooo
AMEN AND AMEN
Paster natamani nikuone bas tu nikuon talizika Naam toka nimeanza kukufuatilia najazwa Kila iitwapo Leo natamani nikuon bas tu talizika naamin takuon na hata kama SI duniani bas mbingun nabalikiwa hasa unapohubiri huku ukitunia neno paster mungu anatend
Kweli kabisa karama yauyo yakipakeee
Am blessed.
Ameen
Barikiwa mtumishi🙏🙏🙏
Amen Amen
Be bleased man of God
Jamani somo halipo tena yputube uwiii
🙏
Amen
Ubarikiwe sana naomba maombi yenu zaidi.
Amen and Amen pastor
Pastor kila mkristo angekusikiliza tungepunguza kukaa kutafuta Muujiza jamani ufahamu na maarifa ndio ushindi
wengi wameitwa dada ila wachache wachaguliwa,kuna mtu hata akisikia hasikii na akitazama haoni
🙏🙏