Tangu nkiwa mdogo I was always resembled to the only one king king kiba
My love for alikiba is unstoppable long live legend
Kiba is 🔥 lakini naye uyo mwenye ana ingiza vocal za nyuma ni 🔥🔥 tumjue naye 🔥❤️
Bro yani unajuwa mpaka unakera, salute king of the king
My mentor .....the African 🤴
Our Only One King! Tunakupenda❤🔥🎶👑🙌
Kingkiba 🔥🔥🔥👏👏
Alikiba nakuerewa sana mungu akupe maisha marefu
For the Love of Live Music... Natural Voice😘🔥🔥🔥🔥
No one like alikiba in live show 🙌🙌🙌
Yep baba unatupa rahaa sna kwenye music and you means a lot to us without you king 🤴we can't enjoy music Thanks brother 🙏👍❤
Ali saleh kiba tunakupenda sana na unakuwaka wepeke apo tz bengine banakusaidiaka tu mais artiste niwey tu ni alimasi fr𝔬𝔪🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩✌️
King ni moto sana
Kingkiba
Big up big boss of music in Africa
Mziki safi kabisa nakukubali sana King 👑👑 kiba
Only one king 🤴 😊😊😊😘😘😘😘🥰
Hatar na nusu king
Natural vocal
The BGV 💕💕💕💕💕💕💕✨✨✨✨✨i love the harmony
King kiba
The only one king 🤴 in Tanzania
Daah inafika wakati inatubidi tukaekimya2 maana tukikusifia sana wanasema tunakupendelea ✋✋
Hata Kama wakisema hivyo lakin ukweli si utabaki pale pale huyu jamaa ni nomaa
Kiba for life❤❤
Nyimbo zinazo ishi. Apana nyimbo zinazo hit
Kig kiba jamani hii nyimbo naipenda
KING
Kiboko yao🔥🔥🔥
Shabiki tangu utotoni from 254
King kiba is talented man
Nice King
King🙌🙌
King kiba bor2 nisem2 hizi bundles zngu znaishia hpa 🔥🔥👑
This man🔥
Safi
Hakuna kama king kibaaaaaa
voice 💯💯
jamaa anajua live sana
Jamaaa live anauaaa
Mpenzi mpenzi mpenzi aky wewe king
Noma sana😭💕🔥🔥🔥🎶
King 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sema nn mwana ana upendo xn maxhabiki
Nilishawahi sema all yuko peke yake duniani yaani hivyo alivyo ndo yeye wanaotaka afanye kama waleee wanakosea na akiwa kama wale ataharibu ile brand aliyopewa na mola.
The Only one ❤️ King 👐
king kiba fund ya music
😍😍😍🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Haluna kama king kiba na atotokea
Naenjoy
Wimbo unausikiliza unakupa kitu flani huyu jamaa anastahir tu UKING
Moo 🔥 🔥
Yachape baba🙏💥💥💥💥💥💥💥
🔥🔥🔥🔥😍😍
🥰🥰🥰🥰
Ndio show sasa
Fundi hatuping
Jaman ❤
Muziki unajieleZa
Kwenye live band kiba hajawahi kuacha kima yeyote yule huwa anauwa mpaka nzi wanashangilia angalia ile ngoma ya jikune mapele coke studio ndo utajua huu moto ni noma
Fund
Alikiba kwa live show hamna wakushindanishwa na wewe
Feel free to love
Alikiba kwa stage hamna. Wacha Kiburi na uimbe kwa stage .if alikiba angeimprove stage performance angekuwa no. 1 TZ but hamna kitu kwa stage kazi ni kiburi tuu
1:53 brother mani yaani weee
Kumtafuta photocopy ya mondi nirahisi sana maana ni konde na photocopy ya conde ni mondi lakini hebu tafuta copy ya huyu mwamba hutaipata kamwe.
Sikatai yule muonesha wivu ndie mwenye mapenzi ya kweli
jamaa anajua uwo ndo wengne ushubwada
Mwamba
Ametisha xn
Unakipaji Kaka kisiokua caote
No like Alikiba
Kiboko na kilo kingine ju🙌🙌🙌King Kiba 4ever
Noma sana😭💕🔥🔥🔥🎶
Tanzania mzima akutatokeya msanii kama kiba wote wanamfata tu from congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Lubumbashi