Ahsante sana kipenzi kwa masomo mazuri Ombi langu siku nyingine tunaomba utufumdishe maneno haya ,wote,vyovyoye, chochote,wowote ,popote na mengineyo ahsante
Asante sana sema kujifunza umu kidogo naanza kuelewa atama caption ndogo ndogo nakua naelea sema kusema nakosa mtuu wakuongea nae😢 Ishaallah maiman tajua😊😊😊
Dada yangu wewe mwalimu mzuri sana tena sana mimi nilikua naboronga kuongea kingereza ila sasa namshukulu mungu sasa nanyoosa kuongea kingereza vizuri toka kukusikiliza wewe kujifunza hii lugha yakingereza asnte sana dada yangu
Ungekua unafundisha kitendo Kimoja kwa nyakati zote kama vile wakati wa sasa wakati ulio pita nawakati ujao ukimaliza ndo unaanza nyengine kwakuelewa vzr nakukariri pia nafikiri ndo inaweza ikawa vzr sn.
Kwa upande wa shall be ni kwamba ni kitendo cha lazima, ukitumia shall it means ni lazima utimize kile kitendo, lakini upande wa will be ni kwamba unaweza kutimiza kitend hicho au uxikitimize. Kwa hiyo neno shall ina maana ukutumia shall be ,it means umedhamiria ni lazima utafanya.
Sawa teacher Dorothy Mimi kwa jina naitwa Fardin Ibrahim Ombi langu Mimi ni Bora ufundishe Ivo Ivo kwa mpangilio sio kwa kurukisha2 tutakuwa sisi wengine kunabaadhi ya vitu tutavikosa ni Bora Ivo Ivo kwa mpango na pia usicheleweshe kutoa masomo Mana tunafatilia Sana ila Mimi kikubwa zaidi nikwamba usicheleweshe 2 masomo teacher Dorothy
Mh!!! Sivyo ,"ta" na "ki" =(Will have been +ing) "ta" "na"=(will be +ing) na hiyo Shall inatumika kwa nafsi mbili tu kama "ta" ukikuta shall imetumika kwa nafsi zingine jua hiyo imetumika kama "MUST" mnapotea wenzangu ila asante mwalimu😂.
Mafunzo yako ni mazuli nimependa kama ungekuwa apa kwetu mlandizi tungekuja kujifunza kwako lakini kwa kujifunza umu mtandaoni ni ngumu bando limekuwa lamoto lakini nikupe hongela wewe ni mwalimu mzuli unafundisha vizuli na unaeleweka vizuli.
Mungu akubariki sana Dada wewe ni mwalimu mzuri sana nimependa mafundisho yako mimi bado ni mgeni naomba no zako samaani.
my best teacher I'm still learning English here❤❤❤❤
Ubarikiwe , Mwalimu wetu nzuri.kufundisha ni kipaji Ongera sana🤝
You are member one to Teaching English. I love you so much
asante mwalimu D mwenzio najitahidi sana kujifunza kingeleza na wew ticha wangu❤❤❤❤❤❤
Kufundisha nikibaji .ongera Mwalimu wetu nzuri.Mungu akulinde.
Mwalimu tunamshukuru kwamafundisho unayo tupatiya God bless you
Ahsante sana kipenzi kwa masomo mazuri Ombi langu siku nyingine tunaomba utufumdishe maneno haya ,wote,vyovyoye, chochote,wowote ,popote na mengineyo ahsante
Thanks my teacher, God bless you,
Keep teaching us we love u so much god bless you
Asante mwalimu wangu mungu akuweke ili elimu tupate wengi na kwa rahisi km hivi.
Asante sana Dada ninaelewa sana
Ithanks you for teaching
You are best teacher
Shukran madam❤❤❤
Asante sana rch
Good job 👍 I like
Thank you my good teacher
Uko vizuri endelea
Mungu akubaliki madam
Asante sana nakuelewa
Asante sana sema kujifunza umu kidogo naanza kuelewa atama caption ndogo ndogo nakua naelea sema kusema nakosa mtuu wakuongea nae😢 Ishaallah maiman tajua😊😊😊
Tuwe marafiki tujifunze pamoja
Thenk you good tech engineering
Teacher nakukubali sana unanisaidia sana
Thanks so much God bless teacher
Thank madames
Good work
😁😁Thanks 😊 so Much 🌹🌺 May God bless you for your kindness
Pendekezo ninakuomba Mwalimu unapofundisha somo mpya uwenaandika tarehe ya siku hiyo.Asante.❤
❤ my sister
Dada yangu wewe mwalimu mzuri sana tena sana mimi nilikua naboronga kuongea kingereza ila sasa namshukulu mungu sasa nanyoosa kuongea kingereza vizuri toka kukusikiliza wewe kujifunza hii lugha yakingereza asnte sana dada yangu
Thanks 🥰🥰🥰
Thanks teacher Dorothy now I have known how to use will be and shall be 💕💕
lk❤jjkr
God bless you doroth❤❤
Ubarikiwe
😊so very very good job my teacher ☻☻❦❦
Ubarikiwe sana maadam
tunakupenda
Thank you
Dada nafurahia sana kusikia kipindi champ cha mafunzo ya kingereza
Asante mwl me ndio nimeanza jana
❤❤
Woow, I, understand a lot my teacher. Father God,Bless you,In jesus' name'' ''Amen!''
Asante sana kwa igirishe ndufundishe ntica
@@AAa-do5im mihigo nyagahigi nashukurusana
Thank Dorothy 🤗🙄🙏
Keep teaching us we love ISO much God bless you feel
Asante
thnkx ticher✌
Ok Teacher help me the past tense of the word CAN
Nakuomba somo la kutumia the
Asante sana lakini unarudia sana vitendo
Thank you 😊
Wewe ni mwalimu kweli
❤❤❤❤🎉🎉
We're are you located maana yake nini
Oky asante sana kwasomo zuri.... je? Kwa kujifunza zaid kama ku le call.... kaul yamtu mwingine iki kuiwasilisha kwa nyakat tofaut
Habari. Jaza hii fomu: docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLScdPI010whxjhdx6fgBJovi5rPRr1h7vqGR513I43HCVjIwuA/viewform?usp=send_form
vp mwalimu muzuri
Thank for you😢😮😅😊😢😮😂❤
G😍 good
Nimependa kujifunza kingereza
Wew unafuza vizuri sana
Mashaallah good mwalim mungu akubariki ☝️🙏🤲❤️❤️❤️
asante sana kwa somo lako
mwalimu
Ungekua unafundisha kitendo Kimoja kwa nyakati zote kama vile wakati wa sasa wakati ulio pita nawakati ujao ukimaliza ndo unaanza nyengine kwakuelewa vzr nakukariri pia nafikiri ndo inaweza ikawa vzr sn.
Thanks teacher dorathy
Kwa upande wa shall be ni kwamba ni kitendo cha lazima, ukitumia shall it means ni lazima utimize kile kitendo, lakini upande wa will be ni kwamba unaweza kutimiza kitend hicho au uxikitimize. Kwa hiyo neno shall ina maana ukutumia shall be ,it means umedhamiria ni lazima utafanya.
Well said
dada doro kam una group plz niunge
Uko poa sana
🥰🥰
Naitaji CD or frash naipataje na sh ngap?
Teacher Dorothy Endelea kufundisha hivyo hivyo, ila Nina ombi. Naomba utufundishe misamiati migumu sana.
Sawa teacher Dorothy Mimi kwa jina naitwa Fardin Ibrahim Ombi langu Mimi ni Bora ufundishe Ivo Ivo kwa mpangilio sio kwa kurukisha2 tutakuwa sisi wengine kunabaadhi ya vitu tutavikosa ni Bora Ivo Ivo kwa mpango na pia usicheleweshe kutoa masomo Mana tunafatilia Sana ila Mimi kikubwa zaidi nikwamba usicheleweshe 2 masomo teacher Dorothy
Shukuru Kwa unacho kipata ,Mambo ni mengi 🙂
Unachangia bundle? Tujifunze kushukuru
@@dadamuebrania1539 Eye to eye with you dear 😘
Thank you my friend
Kwani unaingia kuangalia bule, na anafundisha watu na watu lazima watoe mawazo yao nn aboleshe ili tujifunze zaiidi@@dadamuebrania1539
Teacher Dorothy vp mbona unachelewesha masomo hem tunakuomba yaorodheshe yote2 Bora kwa pamoja
Unapatikana wapi?? Nimependa unavyo fudisha napenda kujuwa kingereza
Download
How abt tolking. Naweza kusema Iwill be tolking engls
Teacher Dorothy tunahitaji somo la 38
😂😂😂😂 tumefulai sana
Dada unapatikana wp
Sorry mwalimu ukisem ONFRIDAY I WILL BE SLEEPING VERY MUCH vp nitakua nimekosea
Naitaji kufahamu vzr kingereza je naweza kupata namba yako
Madam where you we are not look new subject
Teacher Dorothy tunataka SoMo la 38
we shall be playing football
Teacher hebu nisaidie, mtu akiongea kingereza namuelewa vizuri lkn Mimi nikitaka kuongea nashindwa. Unaweza kunambia tatizo ni nini?
2:03
Pia tungependa kujua jinsi ya kutumia; Can, Could, May, Might na Would
Shall be muda mwengine unatumia pia kwa jambo amabalo lazima ulitekeleze yaan kama ahad lakin will unaweza ukafanya au usifanye nachangia tu
Nimependa kipindi chako teacher do
Mi Naomba no yako
Dada wengine tunaomba no zako maana tuna maswala mengi ya kukuulza kuhusu kujua lunga na namna ya kujua kanuni
Mh!!! Sivyo ,"ta" na "ki" =(Will have been +ing) "ta" "na"=(will be +ing) na hiyo Shall inatumika kwa nafsi mbili tu kama "ta" ukikuta shall imetumika kwa nafsi zingine jua hiyo imetumika kama "MUST" mnapotea wenzangu ila asante mwalimu😂.
Je nikitaka kukuwasiliana nawe binafsi nafanjaye?
Wat is more
Zaidi
Sorry naomba namba yako
Unafundisha vizuri tunakupenda
Good bus you
I we together all the time madam
Kua unatafusili neno moja moja about nikusem nini ?peaple nikusema nini? Nashukuru
About ni kuhusu na people ni watu
Nafikil utanielewa hapo
Naanza kujaribu, kama ntakuwa nimekosea, napenda kukosolewa
😐
• Nasubiri utuF𝐈𝐍Dishe tensi yA 'FUTURE PERFECT PROGRESSIVE'
Tunahitaji SoMo la 38
mwalimu tunaomba uwe una tupa mda waku tamka
na kingine ni hizi vitu wanasema ... no sooner than
Mafunzo yako ni mazuli nimependa kama ungekuwa apa kwetu mlandizi tungekuja kujifunza kwako lakini kwa kujifunza umu mtandaoni ni ngumu bando limekuwa lamoto lakini nikupe hongela wewe ni mwalimu mzuli unafundisha vizuli na unaeleweka vizuli.
Wa ukae kulonda kingereza
Nina shida na no yako