Huu wimbo unanikumbusha kwenye harusi yangu 2017 mwezi Julai.Asanteni nyote mliofanikisha sherehe ile.Baba hukushiriki kwa sababu ya maradhi.Endelea kupumzika babangu
Dady and mom we mic you soo much... Tunamshukuru Mungu mlipata muda wa kutulea vzur ktk hekima na maarifa ya Neno la Mungu.... Mungu awapumzishe kwa aman ipitayo akili za kibinadam..... Tumewakumbuka sana.
Kila ninapo utazama huu wimbo UA-cam lazima niandike ujumbe kiukweli nafarijika and always namkumbuka baba yangu kama nipo nae mpaka sasa . endelea kupumzika Kwa aman baba yangu..nani tupo pamoja 2024.june like zako
Hongera sana mtumishi wa Mungu mm sina neno zaidi ya kuwashukuru wazazi wangu nawaombea maisha marefu yenye baraka tele na amani tele nawapenda sana vipenzi vyangu
You will still in my heart.. always our life from God . rest in peace my father...my love mama I love you be blessing and I love you..I miss you soon I will be with you dodoma..
Asante sana kwa wimbo mzur MUNGU akutie ktka huduma yako. Nawashukuru sana wazaz wang kwa malez mazur kwang nawaombea kwa MUNGU muish miaka mingi AMINA ❤❤❤❤❤❤❤ sana home boy.
Ahsante sana wazazi wangu kwa kusikia wimbo huu maana kama si ninyi nisingefika hapa nilipo Mungu wajalie wazazi wangu afya njema na pia mafanikio memaaa
Wimbo mzuri kka, Mungu azidi kkuinua azidi kuinua kipaji chako azidi kuibariki kazi ya mikono yako Amina. Yan sijui uliwaza nni ukatoa mashair mazur hivi, ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu
Nyie mliolelewa wazazi wenu tena woote wawili mshukuruni sana mungu kwan mungu alitusaidiwa hata tukalelewa na ndugu hivyo mapenzi ya wazazi tuliishia kuona kwa majilani
Huu wimbo unanikumbusha kwenye harusi yangu 2017 mwezi Julai.Asanteni nyote mliofanikisha sherehe ile.Baba hukushiriki kwa sababu ya maradhi.Endelea kupumzika babangu
Wacha weeee
Pole sana 😢😢😢😢😢
mtumishi adi machozi yamenitoka asanteni sana wazazi wg
Asante sana wazazi wangu Kwa malezi Bora hasa ya kumjua Mungu 😢😢😢
Asante Sana Wazazi Wangu Kwa Malezi Bora Hasa ya kumjua Mungu. 😢😢😢😢
Hakika mungu akupe kibali zaidi na zaid
Asante sana simio mwambeje unanikumbusha nyuma maana mara ya kwanza kuusikia huu wimbo kwenye msiba wa my mother barikiwe sana
Pole sana dear
Dady and mom we mic you soo much... Tunamshukuru Mungu mlipata muda wa kutulea vzur ktk hekima na maarifa ya Neno la Mungu.... Mungu awapumzishe kwa aman ipitayo akili za kibinadam..... Tumewakumbuka sana.
Kila ninapo utazama huu wimbo UA-cam lazima niandike ujumbe kiukweli nafarijika and always namkumbuka baba yangu kama nipo nae mpaka sasa . endelea kupumzika Kwa aman baba yangu..nani tupo pamoja 2024.june like zako
Hongera sana mtumishi wa Mungu mm sina neno zaidi ya kuwashukuru wazazi wangu nawaombea maisha marefu yenye baraka tele na amani tele nawapenda sana vipenzi vyangu
Always nakukumbuka Mzee wangu.. endelea kupumzika Kwa aman..
Pole sana
Naijua thaman ya wazazi wangu mpaka nlipofkia mungu awatunze❤❤❤❤❤❤
keep going brother I like this song God blesse you,,,,one day naomba tuimbe sote
Asanteeeeeeeee eeeeeeee wa zaziiiiii kwa malez mazur
Nawapenda wazazi wanguu sana mungu awatunzeee jaman💙💛🌹👍👍
❤❤❤❤❤❤❤❤ hiyo nyimbo nzuri sana nakumbuka tulikuwa tunaenda kuangalia mnakaa chini vile wanaonesha majeneza watu wanavyzikwa usiku hatulali😂😂😂
You will still in my heart.. always our life from God . rest in peace my father...my love mama I love you be blessing and I love you..I miss you soon I will be with you dodoma..
Naupenda Sana huu wimbo barikiwa mtumishi
Huu wimbo naupenda unanitoa machozi. Kati ya vitu vikubwa wazazi wangu wamefanya ni kunieleza habari za Yesu. Mungu awabariki
Mungu akuongezee Hekima kwa wimbo Bora kabisa
Hongera kwa kuwashukuru wazazi mtumishi,ujumbe makini sana.
Ujumbe mzur sana
Safi sana wimbo wako mzuri Mungu alibariki🙏🙏🙏🙏🙏
Endelea kupumzika kwa Amani Baba yangu 😢nakukumbuka sana babaang 😢😢siku namzika babaang ndo niliusikia huu wimbo
Barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa ujumbe uliotukuka.
🎉Kaka unyenyekee chini ya mkonoo wa mungu akutumie
Mungu akubaliki huwa nabalikiwa sana nikisikia wimbo huu had najikuta nalia
nyimbo nzuri Sana,,,, MUNGU Akubariki mtumishi,,,Karibu DODOMA
Nyimbo nzuri Sana Mungu akubariki mtumishi ,,, Karibu mbeya.
MUNGU aifikishe mbali huduma yako mbele zaid mtumishi, Simon Mwambije.
Ubarikiwe mtumishi wa mungu mungu akujalie
Mungu akubariki Kwa nyimbo nzuri na kipaji kizuri
Barikiwa sana mwambeje wana ipinda tunakukubari sana mtumishi songa mbele
Nabarikiwa sana na wimbo huu, mungu akubariki sana
Asante sana kwa wimbo mzur MUNGU akutie ktka huduma yako. Nawashukuru sana wazaz wang kwa malez mazur kwang nawaombea kwa MUNGU muish miaka mingi AMINA ❤❤❤❤❤❤❤ sana home boy.
Uko vizuri mkuu
Ahsante sana wazazi wangu kwa kusikia wimbo huu maana kama si ninyi nisingefika hapa nilipo Mungu wajalie wazazi wangu afya njema na pia mafanikio memaaa
Nyimbo nzuri sana nawapenda sana wazazi wangu❤❤❤
Barikiwa sana
Wimbo mzuri mungu azidi kuku inua mtumishi
Mungu akubariki Kaka daima..
Kazi yako ni njema sana barikiwa sn Simon Mwambeje🎉🎉🎉
Hongera sana kaka Kwa wimbo wenye ujumbe mzito Mungu aendelee kukutumia
Umenitoa machozi hu mwimbo, Mungu akubariki kazi yako njema
So touching...it's quite reasonable be blessed man of God🙏
Wimbo mzuri kka, Mungu azidi kkuinua azidi kuinua kipaji chako azidi kuibariki kazi ya mikono yako Amina. Yan sijui uliwaza nni ukatoa mashair mazur hivi, ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe sana wimbo mzuri sana, Rip wazazi wangu baba na mama yangu
Wimbo ulipiga siku ya harusi yangu tarehe 28 July 2014 pale ukumbi wa mkapa Mbeya hakika hongera sana mpendwa uliyeimba huu wimbo Mr Mwambeje
Usikate tamaa mzazi ipo siku utaimbiwa wimbo huu kwa huyo unaetaka kumkatia tamaa. Barikiwa.
Mungu.ndie.muweza.wakila.jmb
Kabisa
Asante sana kwa Wimbo huu, umenitafakarisha sana. Mungu akubariki sana
Mungu akubariki sana mtumishi
Huku arumeru kila harus huu wimbo ni lazima upigwe
naipenda Sana hii nyimbo namkumbuka Sana baba yangu rest in piece dady forever love you papaa
Morning Africa morning Tanzania..be blessing
Hongera sana mungu akubariki
Nyie mliolelewa wazazi wenu tena woote wawili mshukuruni sana mungu kwan mungu alitusaidiwa hata tukalelewa na ndugu hivyo mapenzi ya wazazi tuliishia kuona kwa majilani
Baba na mama nnawashukru pia
Simon, big up wimbo mzuri sana endelea kubarikiwa
Gonga like za kutosha kama kweli unampenda mzazi wako na baba mleziiii
2024 huu wimbo. Unanifanyia nimependa mama...... Love u mama...rip Baba anguu❤❤❤
Mungu akubariki mtumishi
Pole sana kwa kuondokewa na baba 😢😢😢😢😢😢😢
Mungu akuinue akupeleke viwango vingne
Unatufundisha jambo jema sana mwimbaji wewe ubarikiwe sana
Goood bleas you ❤❤❤❤❤❤
I am very much blessed man.
Asante sana wazazi kwa malezi mazuri mbarikiwe Sanaa
Kwa sababu yenu wazazi ninaonekana mbele za Mungu ..mbarikiwe sana wazazi wangu nawapenda sana Mungu awalinde!!
Barikiwa sana wimbo mzuri sana
Mungu akubakiki sana kwakujua thamani ya wazazi
Mungu akubariki San mtumishi wa Mungu🙏
nabarikiwa sana Simon na nyimbo zako,hakika Mungu atakupa zaidi ya hapo
Nice song ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Today 09.09.2021 am still listening this song i see happy & blessed forward forward man of GOD ⛪👏🙏🙏🙏🙏🤣🤣🤣
Nabarikiwa sana
Yan huu wimbo unanikumbusha mama yang na baba yang coz mama yang anaupenda sana
Karibu tena Tunduma,kanisa la House of Prayer (Huduma ya maombi na maombezi)kwa bishop Furaha Mwakabenga tumebarikiwa sana
Mungu akubarikisana pamoja na kaziya mikono yako
wimbo wako wa baba na mama umenibariki sana naupenda mno, ubarikiwe sana
barikiwa sans wimbo mzur sana
Mungu akubarik mtumish
Asante sana mama kwa malezi mazuri uliyonilea . Kwasababu yako naonekana mbele za watu.
Flora Kapange hongera sana mungu akuinue tena
Mzur sana umenigusa sana
Ubarikiwe Sana
Kiukweli wimbo ni mzuri sana
Asante kwa ujumbe mzuri sana mungu akubariki simon
Kwa sababu nyinyi wazazi naonekana mbele yenu asante Sana⛪
ubarikiwe kaka
Wimbo Safi ingawa una mda kidogo !!!pga kazi ya mungu
Mungu akubariki sana kwa ujumbe mzuri
Wimbo huu unagusa Sana moyo wangu barikiwa Sana iduguye Simon
Well done, it is the best song.
Barikiwa
Pumzika kwa Amani Babaangu😢
Ubalikiwe sana mbaka ushangae kwa wimbo mzuri
Hongera sana ubarikiwe
Kaka keep going I'm praying for you wimbo ni nimeupenda
Wimbo unaujumbe mzur kweli mungu akubariki sana
Pumzika kwa amani baba ang
sichoki kuusikiliza huu wimbo Mungu akubariki kaka Simon
2019 August 2
Good job
be blessed mtumishi nyimbo nzuri mno
MUNGU akubariki kaz nzuri sana
Nyimbo nzuri sana mungu akubariki
Mungu akubariki kwa wimbo mzur
Wimbo mzuri unatubariki Sana nawapenda wazazi wangu RIP dady
Wimbo mzuri unatukumbusha kuwashukuru wazazi
Good I love mom and my dad so much I like this song
If you love this sove like
kweli baba na mama mungu awabariki mzidi kuishi
Wimbo mzur mno na sauti nzur barikiwa
barikiwa sn mtumishi simon nazipenda sn nyimbo zko
Nice kaka kwa nyimbo nzuriii
Nzur San huu wimbo