This man would need therapy haki. Burying a child because of carelessness of the doctor is very painful. I hope he doesn't go ahead with the threats he's made on air. God heal this man. This is painful.
Acha nirudi tiktok huku mtaniona joy akipatikana bt kwa sahii sina amani hata kazini.. sama tunataka story ya jacinter pliz na vile ilikua imeanza kushika
I remember once upon time nilienda hosi fulani ya district hospital ya serikali daktari akanidunga sidano baya sijui ya watu maiti ama wazimu ikaniharimbikia meno zangu zikachikana nikilala kwa kitanda siwezi jigeuza i will never forget that pain in the whole of my life i wish my pain will follow him one day he pass in that situation
Dr ameua mtoto ili apate kuspend time na mamaa . Na pia inawezekana Dr ameplan kumuoa huyu lady ndio kamuua hataki kulea step child . Huyo Doc kweli wa binaadamu. au Veterinary ?
Pole bro however kitu mbaya hapa Nikua mtoto alipoteza Maisha katika Hali ya kutatanisha..pole Sana ..kusema kua hangezikwa ukiwa Mbali ..NI vaco..ata mi nimluhya mtoto angezikwa Tu na ukuje Kwa kaburi..ungepeana Tu directive na mtoi afike home na apumzishwe. Na umalizie condruct yako..Kwanza keti na your wife Chini akuekezee shida NI nini..ili ATA ukioa tena ujue pakurekebisha.
Hii case mnamuonea huyu dada Kwa inavyoonekana Dr took advantage ya mama wa mtoto akiwa anaenda kumtibu mtoto nyumbani why could a mother afurahie kifo cha mtoto
Sir don't waste your time ufugwe maisha Kwa sababu ya maneno ya mdomo wako,be careful ukifanyika jambo lolote kubuka umesema na internet inaweka record so go through the right way update haki ya mwanao soma ujube wagu makini utakusaidia na pia kaa macho wanaweza kukuumiza wana kujua nawewe huwajuhi

This doctor atafutwe akamatwe immediately
Divorce that woman bro akwende akaolewe na Doc
Acha nirudi tiktok huku mtaniona joy akipatikana bt kwa sahii sina amani hata kazini.. sama tunataka story ya jacinter pliz na vile ilikua imeanza kushika
Wee enda tu salama sio kusema tutashidia pahali pamoja tu,well done samaritan
@@essy2023😂true
Kuna warembo wegine who are looking for a man like you to love
Warai tena sana nahatuwapati
So sorry my brother keep praying to God that is the best therapy talk to God he will make you stronger 🙏
Is very painfull kupoteza mtoi bna vle nliskia after kupoteza wangu ata sitakangivkukubuka bt huyo alitolewa kafara bna bona doki amnduge sumu
Samaaa how is Mzee?where is Jecinta mtoto alipatikana 😢Women on this country needs deliverance
Sammaa,,,this man is very hurt,,,mtafutir counsellor,,,,lossiing a baby through such negligence is a big brow,,,,
Sama ambia huyo jamaa arudi tu huku Qatar tuchape job aachane na huyo maraya
😂😂😂😂pole huko harundi tena Ako stable kenya 😂😂😂
Maraya ni nini😂😂?
I'm a luya who gives trust like you. May God heal your soul bro
Ooh dear...shalom...Mungu akubebe kaka
Sama What Of Kina Jacinter 😴
Let us stop asking about jacinta
We want to know. Kama ulifukuzwa na DCI tell us😂😂😂
Dci hapendagi camera sana mybe that why hatujajua rada ni gani
Pia mimi ndivo nauliza
Hio inasummerize Kila kitu 😂😂😂@@lindawanjau781
Tell the guy to go Lands and block the land not to be disposed by the wife.
Kwa sama Sasa kunaboo hatujamaliza kutfuta baby joy tusharushwa kwingine...mm huyoooo🏃🏃🏃
Ladies hutaka nini wpiye,na venye na struggle kupata mpezi but hakuna😢
Tuletee uyo doc kwa set tujie nibsindano gani alidunga mtoi ama ni ya kushona nguo period
DOCTOR ALIMUUA MAKUSUDI WAOANE FUNGULIA KESI PELEKA MAHAKAMANI KISI YA KUUA😢😢
Woooiii sama tuliza huyo Mzee mpata asikie roho yake imetulia🙏🙏🙏
Hii nayo ni chungu mtoto katolewa kafara Nini?
Story ya Jacinta pls na mtoto joy
I remember once upon time nilienda hosi fulani ya district hospital ya serikali daktari akanidunga sidano baya sijui ya watu maiti ama wazimu ikaniharimbikia meno zangu zikachikana nikilala kwa kitanda siwezi jigeuza i will never forget that pain in the whole of my life i wish my pain will follow him one day he pass in that situation
Woiye 😢mbaba wa Qatar, so sad to be cheated, na hiyo kunyonga yote
Wenye mnauliza story ya joy alipatikana and jecinter yuko jela dci geofry did really a good work......i was there,lets concentrate on this😢
Joy alipatikana?? Ntarudi huku nkiona episode ya baby joy
Angetumalizia ya jecinta na Steve kwanza
Very heartbreaking 💔💔take heart habibi,God will fight for you
Is very sad wanawake nisawatu mungu anawaona will pay back one day 😭😭😭
Mungu akusaindie upone roho kaka juu siorahisi,huyu maybe ni bro ya chief,lakini n maoni yangu
Sama ako wapi Joy😢😢
Ground is hard😢😢 watu wanaishi na nyoka kwa nyuba
Msy God comfort this man and give him strength
Sama connect me with Davi acha case tufanye nikimtuliza roho😊
Dr ameua mtoto ili apate kuspend time na mamaa . Na pia inawezekana Dr ameplan kumuoa huyu lady ndio kamuua hataki kulea step child . Huyo Doc kweli wa binaadamu. au Veterinary ?
Are you forgetting that the dkt is also married?I don't think he was planning to marry her.
@@Sharin-e5f Basi kasacrify. mtoto nashuku kua sio qualified Doc .
He can marry many wife's as he can @@Sharin-e5f
This man is in total pain...ooh God pliz comfort him
Samaritan apa ntarudi nkiona Jecinta amenyenyekea after amekuliwa na kunguni kwa cell
😂😂same
Kama Esther!
Ata huyu ni binadamu please
Hadi umejengewa house 😢and care 😮qnyway
Tumalizane n jacinter afike langata wachana n hizi kwanza
Natamani sana but sama nae😢
😅 true...here we're not saving the baby... We want to know about baby Joy
Tell him. Tunangojea jecinter afungwe kwanza
@@priscillamakena3884 uuhm zote lazima tuende naxo
Weeee amkuchoka na hizo kelele za hao wanawake.wacheni tumpuzike leo
Nimeonea mluyha wetu huruma aki woe pole bro 🥲🥲🥲🥲🙏
Sama 😂😂😂😂 namba ya doc lazima we start another saga...Kenyans bana too much heading American way....
Where is baby Joy??😢😢😢
Inauma sana namii venye nimehangaika nipate mwanaume mwenye atanitunza watu kumbe hawana bahati
Sama nioganize na huyo akue wangu bona wanawake wanachezea ndoa ivo
I thought ni mimi tu simu yangu imekataa kuleta story na jecinter.
😂😂😂😂umebe jameni
Tuko wengi
Aki uniite
Tunangojea kwa mpigo. Akili iko kwa jecinter hizi zingine tunapita tu.
Umekosa bwana mzuli kweli yuko smart sana
Mwanamke amekwenda kwa VICTOR.
Victor ako Na bibi
Huyu nalitoka saudi maboy wa Saudi wanakuanga smart hivi
Jacintar ametuzungusha mwezi mzima😢😢
Story ya jecinter kwanza bro,,haja hizi
sio kwa ubaya but wat kind of question is sama asking
Kind of questions do want him to ask😏😏
Na mtoi wa 6months hatembei alivunjika kivipi am in shock too😢
Ma doktari siku hizi😢
Tunataka story ya jasinta, vipi joy alipatikana??
Imgn ata huyu ukonaye hapo akikuita beb unacheka,,,,,,,hio ni nyoka ni siku Tu haijafika
Na vile jua linatuchoma huku Qatar yawa 😌😌watu watumiwa pesa hawajui zinatoka wapi na bado wanahanya
Kufunchika mguu inaesa toaje uzaa juu kuna mahali anasema kidonda inatoa uzaa huyo doc alitoa mtoto kidney
Exactly my thinking 🤔
Dunia imefika penyewe
Samarta bana c utumalizie ya joy mbona watuijoi hivo watu boo sasa
Huyu jamaa awache kujifanya innocent saana juu hizo masiki alikua uarabuni alikua peke yake kweli tukiongopa mungu?
Hii tunafuatilia ukimalizia ile ya Akina Jecinta
Huyo mtoto alitolewa kafara,,ama alitowa some parts kwa mwili wake wauze akadedi akiwa kwa hiyo process
Woiiiiii hii ni uchungu kweli!!
Mtoto alifunjika muguu anje? And it took (2yrs) to heal?
Really na venye tuna teseka na jua huku Qatar 🇶🇦 take heart bro pole
Pole bro however kitu mbaya hapa Nikua mtoto alipoteza Maisha katika Hali ya kutatanisha..pole Sana ..kusema kua hangezikwa ukiwa Mbali ..NI vaco..ata mi nimluhya mtoto angezikwa Tu na ukuje Kwa kaburi..ungepeana Tu directive na mtoi afike home na apumzishwe. Na umalizie condruct yako..Kwanza keti na your wife Chini akuekezee shida NI nini..ili ATA ukioa tena ujue pakurekebisha.
This is so heartwreaching
Usiniambie story ya Jacinta imeisha hvyo kishamba
Yaaani story ya philip iliedaga ivo tu Samaritan 🤔
Chira ndio iliua mtoi...kwa nini analala na mwanaume mwingine akiwa na mtoto kijana? Huyo mama ni mchawi yeye ndio ameua mtoi na uchafu yake....😢😢😢😢
😢😢😢😢😢😢😢kwani boy friend ni illuminati 😢😢
Si mvumilie jamani sama ataleta udaku ya njoki tu
Kwani wanawake wa nairobi muko na shida gani? 😂😂😂😂 samarta nipe namba ya huyo mbaba na ww waslekisha sana samarta😂😂😂😂
Sama hivi ndio umemove on, Joy alipatikana?
Government should give this man a job but God is on control
Uyu mama ndio aliuwa mtoto kwahipo akupenda uyu bwana ni pesa imemueka apo kwanini huuwe mtoto
😢pia huyu aligogewa aki
Wanaume kwani mlianza kuwa soft not entertaining violence but huyo mwanamke angefaa makofi 😢😢😢😢
Brother usipanic mke wako ndiye mwenye kosa kukubali mwanaume wakati yeye ana mume huyo Dr usimfuate kwa kumpenda mkeo .
Uyu mwnamke ni malaya sana
Hii case mnamuonea huyu dada Kwa inavyoonekana Dr took advantage ya mama wa mtoto akiwa anaenda kumtibu mtoto nyumbani why could a mother afurahie kifo cha mtoto
Ametaja hospitali ama nimesikia zangu?..
Wababa wa Qatar mmefikiwa 😢
Sama mumevaa uniform😂😂😂
Sama mtoi alipatikana ,wakora waliperekwa njera
We need to know about BABY JOY ,,,,take back to where we left,,,,we are waiting
Tulia two years outside,chemuka bro utapoa tu
Sir don't waste your time ufugwe maisha Kwa sababu ya maneno ya mdomo wako,be careful ukifanyika jambo lolote kubuka umesema na internet inaweka record so go through the right way update haki ya mwanao soma ujube wagu makini utakusaidia na pia kaa macho wanaweza kukuumiza wana kujua nawewe huwajuhi
So painful to lose a child and your wife betraying you in such a way
Kwani ya akina jacinter imeisha hivo aky
Poli bro may God have mercy
Story ya jecinta ilienda aje mtoi alipatikana
Sama story ya Joy ilifika wapi
iyo imeisha Ivo
Sama tunataka story ya Jacinta kwanza iishe,,,,,,kama c hivo nimetoka kwa channel yako,,bye bye
Sama bona unatuachaga hanging?stori za njoki zilifika mwisho?
Very painful 😢
Maybe ni doctor wa illuminati haki,doc Ali sacrifice mtoy aki
SAMA ....WE WANT TO KNOW ABOUT ,JOY MTOTO,JACINTER, BABA KEN,FAITH !?
TUAMBIE PLS
I think this guy alipenda tu nyash ,lakini brains hakuna,anyways pole .I hope you guys will work things out .
😂😂😂aliona nyash hakuona akili😂😂😂😂
Sama did njoki bribe you uwache kubroadcast story yake ama?
Where's joy??
Sasa mtoto na mapenzi surely
Sujawahi ona mtu akifa juu ya kuvunjika mahali
They wanted to terminate the life of the kid ,so that they start a fresh together,
That's what I thought also but again the other guy has a wife