DIVA kuzaa na VUNJA BEI? Ukweli wote huu, hivi ndivyo mchakato wa kupata mtoto wao utakavyokuwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024
  • Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

КОМЕНТАРІ • 23

  • @Aishatheboss117
    @Aishatheboss117 5 годин тому +4

    Izi chawa mbili zinachekesha sana 🤣🤣🤣

  • @MabulaMaguta
    @MabulaMaguta Годину тому

    doto semaj mkuu hongera sana

  • @EnoqueJoaoMamba
    @EnoqueJoaoMamba 6 годин тому +2

    Wakwaza mimi weka like yako

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 6 годин тому +2

    Dotto na mwijaku nakupenda bure 😂😂😂

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 6 годин тому +3

    😂😂😂mwijaku lakin ww

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 5 годин тому +2

    Dooooo mume wangu ukifanya hv ulale hukohuko😅

  • @salumsalum5712
    @salumsalum5712 5 годин тому +1

    Maskini Diva kama vile mwehu sasa

  • @juliethhenrymasanja940
    @juliethhenrymasanja940 3 години тому

    Hao watu Wawili usipende kuwaweka kwenye interview wanaboa

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 хвилини тому

    😂wanachekesha

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 6 годин тому +2

    Ila kamkosea joketi sna 😂😂😂😂😂

  • @GloryJohn-h7x
    @GloryJohn-h7x Годину тому

    Hili alina akili😂😂😂😂

  • @kasangagregory5747
    @kasangagregory5747 3 години тому

    sasa hapo vunja bei si itabidi apige nyeto mmmmmmmmmh

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 6 годин тому +2

    Hii ichi nyie😂 wanaume wa zamani hawakuwa hvi😢

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 4 години тому

      Hao wa zamani uliwaona?

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k 4 години тому

      @@rumdeesonsoa1811 babu yngu

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k 4 години тому +1

      @@rumdeesonsoa1811 unajuwa kuna vitu kama mwanaume haswa na uko na fikra za mbali huwezi kuwa hvi unabwatukwa kama umezaliwa choon😏

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 3 години тому

      @@Sarah-e1o9k Jibu swali hasira za nn? Hiyo ni dalili ya kutokuwa na hela na pia ni dalili ya msongo wa mawazo

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 3 години тому

    Sasa huyu vunja bei kama hana akili

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 5 годин тому

    Uchawa ni kujizalilisha sana

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 4 години тому

      Watu wanatafuta hela unasema wanajidhalilisha