Ila HIZI comment , Sasa kama MTU wakuwapokea labda kapata kuchelewa au dharura kias it means wako stranded 😏😏 kwani dymond ni mtu WA kuwa stranded somewhere or u just don't know the meaning of being stranded , how can u know maybe they wanted to chill first becz Penye wanaenda hamukuwa mushapaanda vizuri , dymond can't be stranded my dear , he can't be embarrassed infact anaweza kurudi alikotoka na akaenda show nyingine maana he usually has more than 5 events per day so wewe ndio umekuwa stranded Hadi u can't confront them.
I love my country 🇰🇪 people 🤣🤣🤣
cassypoool alisema diamond hataperform kenya mkapigana saaaanaa...
Acha tuone ukweli wa chawa wa rais......kama ana huwo uwezo😂😂
Waenda kwao waachane na wazungu weusi😂😂😂😂
Mboya wacha uoga...si ungeenda uongee nao sasa kujificha ukirecord
Show lazima ipigike...
Mondi lazima kashaa ingiza percentage ya pesa za show kabla aje...# Simba mkuu😂😂
hahaha media za kishoga hizi hii video ya sikunyingii sana diamondi keshafika tangia usiku
Umesema mondi alienda mbio akawaaacha hapa 😂😂😂 wakuje tu
Mboya unaogopa ku interview diamond ama😂😂
Mboya umeanza kusema uongo kama Plug Tv...say the truth
Tanasha kuja pea mzae chai😂
Welcome to Kenya simba 🔥
😂😂😂😂😂😂😂 Promoter ameingia mitini😂
Ila HIZI comment , Sasa kama MTU wakuwapokea labda kapata kuchelewa au dharura kias it means wako stranded 😏😏 kwani dymond ni mtu WA kuwa stranded somewhere or u just don't know the meaning of being stranded , how can u know maybe they wanted to chill first becz Penye wanaenda hamukuwa mushapaanda vizuri , dymond can't be stranded my dear , he can't be embarrassed infact anaweza kurudi alikotoka na akaenda show nyingine maana he usually has more than 5 events per day so wewe ndio umekuwa stranded Hadi u can't confront them.
Wewe kama hukutaka kuongea si ungesema...kwani ni uzungumzi nafsi. Hauko sure na chenye unaongea
😂😂😂Vincent mboya channel yako imeanza uongo Sasa😅unajiongelesha tu
Kenya country of comedy
😂😂😂 on my way
Hii ni kenya bwana
Tanasha letea wakwe zako chai😅
Wakwende huko
Warudi kwao
Kenyans for you😂😂😂😂😂 hakuna mtu anawaona😂😂😂
Kenya can not afford to pay chibude dangote hio contract alipewa alikiba
Chibude chibudi anakula 350ksh ananenda kulisha Tanzania yote
Look at you, Kenyans are rich bwana, wealthy
😂😂😂😂😂😂😂
Mboya niaje fikishia ericko hii taarifa please naitaji kuwa personal driver wake
Whom are they waiting for?