BAHATI BUKUKU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лис 2017
  • Maneno mazuri ya BAHATI BUKUKU

КОМЕНТАРІ • 459

  • @gracemungure2124
    @gracemungure2124 6 років тому +3

    Kusifu kunawapasa wanyofu wamoyo MUNGU WA MBINGUNI azidi kukuinua ktk huduma yakoya uimbaji ubarikiwe sana my dada

  • @sarahmwaura9901
    @sarahmwaura9901 4 роки тому +4

    I love your songs bukuku Kwanza hii umewazidi wote iko poa Sana na sauti yako iko poa Sana BNA uskam Nairobi kuimbia watu uko ama gatundu infact naweza furahia Sana may God bless you

  • @gibsonmunyimani6330
    @gibsonmunyimani6330 5 років тому +3

    mungu akubariki Sana come to Zambia please sweet bahati bukuku love you so much

  • @celinamgundoi5601
    @celinamgundoi5601 5 років тому +2

    Nakupenda sana Dada bahati hua hubadiriki yn kimavazi kihuduma daah uko vizr sana mungu azidi kukulinda na akupe Afya njema

  • @catherinenaliaka1125
    @catherinenaliaka1125 6 років тому +3

    Mungu azidi kukubariki na kukupa nguvu hekima mariifa na maneno mazuri yanayo tutia imani napenda nyimbo zako sana be blessed always werever you go.

  • @paulomussakaleya4979
    @paulomussakaleya4979 6 років тому +1

    hasante sana dada yetu mungu was mbinguni akupe Neema ya kuishi miaka mingi ili uendelee kutangaza injili ya BWANA kwa njia ya nyimbo asante sana .mungu akubari tena:natena

  • @isaacnandi2038
    @isaacnandi2038 5 років тому +1

    Nafurahia sana mtindo wako wa uimbaji dada Bahati. Barikiwa sana.

  • @christophakawishe5152
    @christophakawishe5152 3 роки тому +1

    Mwimbaji chipukizi gospel Tanzania, Hongera mama, natamani siku 1 niimbe na wewe.

  • @tedisangaa8886
    @tedisangaa8886 6 років тому +3

    Mungu akubariki Dada maana nyimbo zako huwa zina nipa faraja sana

  • @filberteliudi3981
    @filberteliudi3981 2 роки тому +1

    Dada uko vizuri endelea kulitangza neno la mungu na kuelimisha jamii kwa njia ya uimbaji, ubarikiee sana.

  • @ireneonyango9173
    @ireneonyango9173 3 роки тому +3

    Good work Bahati Bukuku nime kualika Launching Dec13 Niko Nakuru

  • @happinessboaz8993
    @happinessboaz8993 6 років тому +5

    Kwakweli nakupenda mno pmja na nyimbo zako zooooote uwa zinanibariki mnoo Mungu azidi kuwa nawe

  • @LomnyakiNgima
    @LomnyakiNgima 14 днів тому

    Mama wimbo nzuri Mungu akubariki

  • @mariamambo
    @mariamambo Рік тому +1

    Dada mtumishi wa mungu nakupenda mungu akupe Maisha marefu uzidi kuinuliwa

  • @mariamyusuph7356
    @mariamyusuph7356 4 роки тому +1

    Nakupenda bahati.. nyimbo zako huwa zinapa furaha na amani.

  • @zahramasoud8012
    @zahramasoud8012 6 років тому +2

    nakupenda sana Dada angu bahati nyimbo zako zinanibariki sana

  • @monicachaula2289
    @monicachaula2289 5 років тому +1

    unaugusa sana moyo wangu Dada Bahati Bukuku so nakuombea kwa Mungu azidi kufanya vizuri

  • @barakamkagulu693
    @barakamkagulu693 6 років тому +3

    bahati bukuku huwa nafurahishwa sana Na nyimbo zako

  • @rosekageha2839
    @rosekageha2839 6 років тому +3

    Mimi nakubali mchango wako kwa jamii, nakuombea mungu apanue mipaka zako .

  • @sarahkongola9951
    @sarahkongola9951 5 років тому +3

    Nabarikiwa sana na huu wimbo, naamini na mimi nitawazidi wote.

  • @angelmwalukasa9812
    @angelmwalukasa9812 6 років тому +4

    Ameeen. Zidi kubarikiwa katka huduma yako.

  • @fredopiyoh6069
    @fredopiyoh6069 3 роки тому

    sauri tamu dada wimbo zako inanifundisha sana

  • @pennyjohn1306
    @pennyjohn1306 6 років тому +1

    Dada bahati umependeza sana mpenzi wow mungu azidi kukuinua uzidi ktukosha kiroho mwaaaa ata mimi pia nimewazidi wote

  • @manamanamana8582
    @manamanamana8582 6 років тому +2

    Napenda nyimbo zako tunazisikiliza huku south Africa zinatubariki sana.ubarikiwe

  • @rizikitito3024
    @rizikitito3024 3 роки тому

    Malkia mrembo wa Yesu Bahati Bukuku barikiwa

  • @margreththomas9726
    @margreththomas9726 6 років тому +6

    ubarikiwe Sana da bahati, huwa nafarijika sana!!!nikiskiliza nyimbo zako,

  • @johnkaruri514
    @johnkaruri514 3 роки тому

    Mimi nampenda bahati bukuku naexa tamani nimuone na macho nisarimie na mkono

  • @yeskambale1323
    @yeskambale1323 2 роки тому

    Nakupenda sana nakutakiya barakaza mungu

  • @tummash1744
    @tummash1744 6 років тому +1

    Napenda mafundisho yako kupitia nyimbo zako barikiwa dadangu mrembo

  • @johnmwangeka4165
    @johnmwangeka4165 4 роки тому +1

    Wow so nice song inabariki sana barikiwa sana mtumishi wa mungu na mungu azidi kukutenda mema

    • @ricksonlyimo5594
      @ricksonlyimo5594 3 роки тому

      Not mungu unashusha hadhi ya jina kubwa kwetu tunaanza na herufi kubwa Mungu not m ni M

  • @salomemwaka3683
    @salomemwaka3683 5 років тому +2

    Barikiwa Dada bahati,,,nimewazidi wote

  • @jumakarenmoga2604
    @jumakarenmoga2604 5 років тому +7

    Jamani Dada Bukuku nyimbo zako zanibariki kila uchao, yani nakupenda sana Dada..Mwenyezi Mungu azidi kukuinua na huduma yako!

  • @dorlyneusseni3528
    @dorlyneusseni3528 2 роки тому

    Nalipenda sana nyimbo zimenifaridji muda wote👏👏

  • @regiusmsabila297
    @regiusmsabila297 2 роки тому

    nakupenda sana unaimba vizuri ,unavaa kwa heshima, unacheza kwa heshima.asante ubarikiwe.

  • @odilialucas2430
    @odilialucas2430 6 років тому +2

    Mungu akubariki Sana kwa huduma nzuri 🙋🙋🙋🙋

  • @berthadaniel4861
    @berthadaniel4861 2 роки тому

    Ubarikiwe Sana coz nyimbo zako zinabariki na kufundisha Sana♥️

  • @bernadethamadito5647
    @bernadethamadito5647 5 років тому +3

    Napenda nyimbo zako dada hazichuji mungu akuinue sanaaa

  • @annwairimu4207
    @annwairimu4207 2 роки тому +1

    Hii wimbo hunipangu sana nikiwa kwenye majalibu

  • @maidamwaipopo7645
    @maidamwaipopo7645 5 років тому +1

    Upo juu sana dada bahati bukuku kyala akusajeghe fijho

  • @tsumaashioya2406
    @tsumaashioya2406 6 років тому +1

    Amen amen barikiwa sana bukuku kwa music wako mtamu.

  • @denismlay3984
    @denismlay3984 6 років тому +9

    Barikiwa sanaa mama nakukubali sanaa mama nyimbo zako znanipaga faraja

  • @obonyojmanyanya2101
    @obonyojmanyanya2101 3 роки тому

    Umetisha bahati

  • @dorlyneusseni3528
    @dorlyneusseni3528 2 роки тому

    Mungu akubariki muda wote dada

  • @evemwaipungu3724
    @evemwaipungu3724 6 років тому +1

    Barikiwa sana dada MUNGU azid kukutumia kama chombo chake Amen

  • @luciewajesus731
    @luciewajesus731 6 років тому +2

    Nimewazidi wote asante mama kwakunitia moyo kuwa nimewazidi wote. Umenizidia wote love ❤😘you

  • @joshuamalekela6433
    @joshuamalekela6433 4 роки тому +2

    Nakupenda Sana dada angu

  • @shadiyashadiya4078
    @shadiyashadiya4078 6 років тому +2

    Mungu na aujaze Moyo wako mapendo daima barikiwa dada

  • @josbetemmanuel8681
    @josbetemmanuel8681 6 років тому +5

    Jamani mungu akujalie zaidi tunabarikiwa mno

  • @anaupendomallabeja2021
    @anaupendomallabeja2021 6 років тому +5

    Napenda hiii nyimbo cna mengi naamin ajaye amewazidi woteeeee......... ..

  • @kulwaelias3701
    @kulwaelias3701 6 років тому +4

    ubalikiwe sana mdada wimbo mzuri nawewe pia umependeza

  • @neemandunguru3473
    @neemandunguru3473 3 роки тому

    Neema ndunguru waoooooo kicheko ni faraja

  • @joycemachibya1502
    @joycemachibya1502 6 років тому +2

    Bahati Dada mungu akuzidishie kipaji uzidi kutuinua zaidi

  • @Rahmajohn-ix3lh
    @Rahmajohn-ix3lh Рік тому +1

    Mungu akulinde

  • @neemasimbeye9448
    @neemasimbeye9448 5 років тому +1

    Mungu aendelee kukuinua dada bahati

  • @bonifacepaul8566
    @bonifacepaul8566 3 роки тому

    Mungu hazidi kukuzidishia neema

  • @milkakasebele1088
    @milkakasebele1088 2 роки тому +1

    Nakuona mama

  • @mbozibukuru2592
    @mbozibukuru2592 5 років тому +1

    Ubarikiwe Sana mama napenda uyo wimbo sana

  • @mosesoganyo1994
    @mosesoganyo1994 3 роки тому

    Napenda hiyo song sana

  • @akaelisadallah3536
    @akaelisadallah3536 4 роки тому

    Barikiwa dada, nyimbo nzuri sana.

  • @habimanavenuste7176
    @habimanavenuste7176 3 роки тому

    Iyi nyimbo iko nzur

  • @mariethaphilipo9904
    @mariethaphilipo9904 2 роки тому +1

    Love you mom naitwa pendo

  • @priscarthomas3465
    @priscarthomas3465 5 років тому +1

    Barikiwa sana dada bahati

  • @gracealbert5626
    @gracealbert5626 4 роки тому +3

    Mercy masika

  • @gedeonbomengo7003
    @gedeonbomengo7003 6 років тому +1

    Sans vous mentir j'aime cette maman et sa musique, surtout sa chanson waraka ya amani...

  • @goodluckmongi6598
    @goodluckmongi6598 6 років тому +3

    Mungu aendelee kukutunza Bahati!!!!

  • @yustersimkwai6140
    @yustersimkwai6140 5 років тому +1

    Barikiwa Sana mtumishi wa mungu

  • @edinamsukwa8993
    @edinamsukwa8993 5 років тому +1

    Ww dada Mungu akulinde katika utume wako

  • @mikejuma9368
    @mikejuma9368 4 роки тому +1

    Nice and good one for me

  • @irenemavela1396
    @irenemavela1396 2 роки тому +1

    Wow love the song so real

  • @georgejohn1987
    @georgejohn1987 6 років тому +4

    Dada MUNGU azidi kukubariki sana. Nyimbo nzuri sana na zinabariki sana

  • @mecktiridangeme2695
    @mecktiridangeme2695 5 років тому +5

    Amen naupenda sana wimbo huu ubarikiwe sana dada ang

  • @violetjuma9522
    @violetjuma9522 5 років тому +1

    Nyimbo zako za inua xaana mungu akubariki mama

  • @hadijanafuna-qe7hm
    @hadijanafuna-qe7hm Рік тому

    Amen hallelujah kweli kabisa ❤❤

  • @ritahjoph2710
    @ritahjoph2710 2 роки тому +1

    Be blessed gwa kukajha

  • @odettenizo1983
    @odettenizo1983 5 років тому +1

    mungu akubariki sana maman bahati bukuku

  • @mmnn3060
    @mmnn3060 4 роки тому

    Tukigali tuna kumiss burundi mama bahati bukuku 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @annetatelu1145
    @annetatelu1145 2 роки тому +1

    Amen Tena amen

  • @akinyililian3330
    @akinyililian3330 6 років тому +2

    Barikiwa dada na penda nyimbo zako

  • @lucyisrael6121
    @lucyisrael6121 6 років тому +1

    Ubarikiwe sana dada yangu mungu akuzidishie,nakupenda sana

  • @dorikasndichaye4423
    @dorikasndichaye4423 5 років тому

    Mungu akutie nguvu dada nyimbo zako nazikubar

    • @jacksonjohn3151
      @jacksonjohn3151 4 роки тому

      Bahati Bukuku mimi na watoto wangu tunaweza kukuona live? Niliumwa na loho wiki nzima baada ya kusoma taarifa za kifo chako ktk mitandao ya kijamii, lkn walionena tunawaombea heri kwa mola, la hash , wamekuongezea mda wa kuishi.. Mungu akulinde mdogo wangu

  • @simonnakara5723
    @simonnakara5723 6 років тому +11

    amen God bless you mum
    my favorite artist

  • @elizakideka9072
    @elizakideka9072 5 років тому +1

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu

  • @bijouakatch6847
    @bijouakatch6847 6 років тому +8

    Mimi ni mcongo ,lakini Nina kupenda sana.napenda wimbo wako,mungu a zidi kuku bariki na kukupa pumzi na afia njema

    • @G1MEDIA
      @G1MEDIA  6 років тому +1

      +bijou akatchung Amina Bijou

    • @annemmbone8326
      @annemmbone8326 6 років тому +1

      bijou akatchung MUNGU HUANDIKWA KWA herufi kubwa ndogo ni miungu please

    • @nicholaskatana7623
      @nicholaskatana7623 5 років тому

      Amen

  • @tolumnyama3935
    @tolumnyama3935 5 років тому +3

    Yan dah..!! Bahati cjui hata niseme nn but in short nakupnda sana mwana mama bahati etyy..

  • @omarymasudi8251
    @omarymasudi8251 3 роки тому

    Good bahati bukuku.

  • @jean-paulidi6358
    @jean-paulidi6358 6 років тому +1

    amen,dada Mungu akuzidishie vipaji vingi

  • @NadegeNgalula-ld1px
    @NadegeNgalula-ld1px Рік тому +1

    Bahati bukuku depuis mon enfance je t'aime tant

  • @gloriamawiamuthui9729
    @gloriamawiamuthui9729 3 роки тому

    mungu akubariki tena sana sana

  • @allyiddy91
    @allyiddy91 2 роки тому

    Nitulize moyo wangu by william

  • @katerinadada6481
    @katerinadada6481 6 років тому +8

    Ubalikiwe dada yangu napenda sana nyimbo zako zina upako

  • @atukuzwemesco6297
    @atukuzwemesco6297 6 років тому +1

    Mungu azidi kukuinua bahati

  • @athumanshauritanga5196
    @athumanshauritanga5196 6 років тому +5

    Barikiwa sana Dada bahati bukuku

  • @gracejoseph3336
    @gracejoseph3336 4 роки тому

    Nikweli hawajui ni mekufanyia nn katika maisha yako

  • @eveimbusi5940
    @eveimbusi5940 6 років тому +1

    Amen nimewazidi wote ubarikiwe Mom

  • @Adailton_Compositor
    @Adailton_Compositor 5 років тому +19

    Unatufanya furaha sana na nyimbo zako. (=) Você nos deixa muito feliz com suas músicas!

  • @pamelanabokolweojuma1964
    @pamelanabokolweojuma1964 5 років тому +1

    ya mungu ni mengi siku moja nitakuja tzd tuonane

  • @zindunasaidi8264
    @zindunasaidi8264 3 роки тому

    Unaweza sana

  • @gfugffufgh2928
    @gfugffufgh2928 5 років тому +4

    Amen great song may God bless you siz 🙏🙏🙏

  • @user-co4xe6xy9l
    @user-co4xe6xy9l 12 днів тому

    Amen... its blessing ❤❤

  • @rashidomari4282
    @rashidomari4282 6 років тому +1

    Amina barikiwa mtumishi