😅😅😅 umenifa ni cheke kaka Luka akuna dawa wivu ivyo ni muzidi tu kushikana na kupeana mapenzi na kuacha asira mbali 😅😅😅 hongera Sana mtuzi na ww kama mwenyewe chukeka kila sekunde 😅😅😅
Wooooow 🥰💞💗💗 l like that stroy but about your husband jealous kubali Hali yake ya wivu course anakupenda Sana na utazoea na wivu wake but congratulations to you guys 🥰🥰 girl and your Men 👏👏👏🥰🥰
Haswaa MUNGU hujawahi waaibisha walio wake kwani ukimtegemea MUNGU na kuzitegemea nguvu zake MUNGU na kumfanya kuwa yeye ni kila kitu kwako hakika hata wachawi, waganga, wanga wakuangie hawatakuweza kwani hata kukuona hawawezi kukuona hata kuuhisi uwepo wako hata wakufikiapo kwani MUNGU kawapiga upofu
Wivu kwa mwanawume nika ngizo huwa wengi wanagikilia kama nimapenzi ila ni ugonjwa kabisa , utakanae hivo ivo wewe itabidi ukubaliane na hali halisi kwa maana njo mapungufu ya mumewo
😅😅😅 umenifa ni cheke kaka Luka akuna dawa wivu ivyo ni muzidi tu kushikana na kupeana mapenzi na kuacha asira mbali 😅😅😅 hongera Sana mtuzi na ww kama mwenyewe chukeka kila sekunde 😅😅😅
Mwenzaqo niliachwa qisa sina wivu wivu muhimu qwenye mapenzi🎉
Asente Sana Lucas lumbasi pendo ya kweli hutoka kwa mungu lakini wewe huwezi kujuka mtu. Mungu ndiyo hujuka mtu tu mcho yake huna kila mahali
Waooooooo mashlaaaa ❤
shukrani kwenu wanasimulizi mix kwa kazi safi
Waooo mashallah ❤
Mwambie anitafute nimuelekeze ata mimi mume wangu alikuwa ivo ila sasa yuko vzr
Vp lukas mm naanza na ww una wivu kama huna wivu una mwenyewe naomba jibu basi 😊😊😊
Woow !
Nimiipenda sana❤❤❤❤
sana teacher wangu Lucas lumbas 😂😂
Ongera Kwa kupta.mwema.akuna sawa ya wivu
Nimeipenda❤❤❤
Mmmh..nyie hii simrizi pambe
Nice
Wow so sweet
Congratulations ❤❤❤❤
Allha is everything
Asante sana lucas 😂😂😂😂
That is my life 😭😭😭😭😭
Mm mapenzi ya mtandaoni koma mana yalinipoza..dawa ya wivuu kwa ndoa muachee iliakili imkae sawa
Naku penda bure❤
Mashallah penzi la mtandaoni pambe
Hivi kwele naeza pata mpenzi mtandaon 😊😊😊
😂😂 mwanaume mwenye wivu ndo mzuri
Hadi choon pia akufate haaaa
Ok
Wooooow 🥰💞💗💗 l like that stroy but about your husband jealous kubali Hali yake ya wivu course anakupenda Sana na utazoea na wivu wake but congratulations to you guys 🥰🥰 girl and your Men 👏👏👏🥰🥰
Hapana mwanaume gan huyo
Dawa ys wivu nipia ww uwena wivu waziada hapo mtakuwa sawa tu
Haswaa MUNGU hujawahi waaibisha walio wake kwani ukimtegemea MUNGU na kuzitegemea nguvu zake MUNGU na kumfanya kuwa yeye ni kila kitu kwako hakika hata wachawi, waganga, wanga wakuangie hawatakuweza kwani hata kukuona hawawezi kukuona hata kuuhisi uwepo wako hata wakufikiapo kwani MUNGU kawapiga upofu
Wa 3 🎉🎉🎉
Naanza kuingia kwenye groups labda nitapata wangu kama issa. 😢😢
@@Ashfaty 😁🤣🤣 kalib
@@ceciliacostantine4046 asante😁😁
❤❤❤
Wivu kwa mwanawume nika ngizo huwa wengi wanagikilia kama nimapenzi ila ni ugonjwa kabisa , utakanae hivo ivo wewe itabidi ukubaliane na hali halisi kwa maana njo mapungufu ya mumewo
Kumbee penzi la mtandaoni linanoga jamani 😂😂😂
Wacha na mm nijaribu 😊😊😊
Shadya karibu tujaribu linoge nikufiche ndani
Mpigee ataacha wivu wake jamani😂😂😂😂
😊😊😊
@@ftimaramadan4748 🤣🤣🤣🤣mbn umecheka sasa
Nafurahi kumpiga si uwe wa mueza sije ukapigwa ww ndio nafurah😊
@@ftimaramadan4748 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila me naona angeachanaa vitu hambavyo mume wake apendii afanye bc mbn wivu wake angeacha2 Yani
🫢🫢