MZEE NGULINGA WA YANGA AFUNGUKA MAZITO YANGA KUSAJILI WACHEZAJI WALIOCHEZA SIMBA/ MAKOSA MAKUBWA....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 29

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 19 годин тому +2

    Kwa kweli PA OMARI JOBE ana mkosi sana...kaachwa na SIMBA kwa nini hata YANGA hawakumsajili??

  • @allyhuyu1892
    @allyhuyu1892 9 годин тому

    Matapishi ya simbasc ni chakula kizuri sana kwa utopolofc

  • @kalolokisanga4943
    @kalolokisanga4943 18 годин тому

    Yaani Mzee uko sahihi tumekuwa timu ya kuchukua wachezaji waliotumika na simba Tena mda mirefu viongozi wetu kutafuta wachezaji vijana na wenye nguvu hawawezi

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 День тому +2

    Hapo naanza kuwaelewa kolo! Nadhan kuna viongozi wa kolo ndani ya yanga. 😊

    • @SaidJumanne-j1e
      @SaidJumanne-j1e 12 годин тому

      Weka sawa kali yko kuna viongozi wa simba ndani ya utopolo

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 19 годин тому

    Mmesau kuweka picha Ali kamwe uyo nae ni Simba, Mzee magoma anajua tangu utotoni anaitwa Ali Simba 😂😂😂❤

  • @SojaWaBrazil
    @SojaWaBrazil День тому +1

    Mimi nakalibia kuwama yanga

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 День тому +2

    Hata mimi kwa kweli nashangaa kwa nini ISRAEL MWENDA kuja Yanga Rais wetu tunakuomba wachezaji waliotoka Simba wasije Yanga

    • @KareemMandela-d5l
      @KareemMandela-d5l День тому

      Mashariti ya Mganga hayo msishangae hayo jamni

    • @omarymwenebatu
      @omarymwenebatu 22 години тому

      Hiyojeuri amna SIMBA ndo chuo cha yanga na angalieni huyo hersi atawaingizia madeni ambayo nyie wanachama amtoweza kuzilipa kisha GSM ajibinafsishe hiyotimuyenu kwasababu pesa zakumlipa amna hilo ndolengo la HERSI na alishagasema yeye ajahajiriwa na yanga.

  • @subiramoshi2157
    @subiramoshi2157 6 годин тому

    Ubaya ubwela...

  • @kakore_jr
    @kakore_jr День тому +1

    HIVI NINYI WAANDISHI KWANN MUNAWABUMBULUWA HAWA JAMAA

  • @binbadru8408
    @binbadru8408 22 години тому

    Tatizo lenu yanga hamna pesa

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu 22 години тому

    Yeyemwenyewe HERSI sioyanga huyo ni gsm yukohapo kikazitu na alishagaliongea mwenyewe kwenye maojiano.

  • @KisoMbaki
    @KisoMbaki 21 годину тому

    Ata uyo raisi mwenyewe Simba tu ndo maana anatujazia mamluki wa Simba wanatuaribia tim

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 День тому

    Here's ni simba damu mzee usihangaike kwa hili

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba День тому +1

    Hayo mabo ya zamani mpira sasa hivi ni biashara popote unafanya kazi, Mbona simba wamemsajiri kreshia aliyekuwa anachezea yanga presens.

  • @martinabel3896
    @martinabel3896 День тому

    yanga imekuwa simba B, huyu injinia atuachie yanga yetu, kajaza wachezaji wa simba kibao, pia kuna viongozi wengi wenye vinasaba na simba

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 22 години тому

    Hamna watafuta vipajiii

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 День тому +1

    Hahahaha hivi hamjajua Tu Yanga ni Simba B?

  • @JosephMwaitete
    @JosephMwaitete День тому

    Kwani Yanga Wana Hela za kusajili vijana?,wanangoja kuchukua wachezaji waliochoka na kuachwa na Simba

  • @AliMpenda
    @AliMpenda День тому

    Mtamuelewa mzee wa kurjuwani magoma ali magoma

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu 22 години тому

    UBAYA UBWELA

  • @VenasiMaile
    @VenasiMaile 13 годин тому

    Ubay ubwera

  • @ShabaniisdoryNdagano
    @ShabaniisdoryNdagano День тому

    Tambwe vp