DUA AMBAYO UTAKAYOISOMA X3 NI HIII *KWA KIARABU* يا حي يا قيوم برحمتك استغيث اصلح لي شأني كله ولا تكلني الى نفسي طرفة عين *KISWAHILI:* YAA HAYYU YAA QAYUUMU BIRAHMATIKA ASTAGHIITHU ASWLIH LII SHA,AN KULLAHHU,WALAA TAKILNII ILAA NAFSII TWARFATA AYNI *TAFSIIRI YAKE:* EWE ULIE HAI MWENYE KUDUMU (MLINZI),NITENGENEZEE MIMI MAMBO YANGU YOTE,WALA USINIACHE PEKE YANGU KWA KUPEPESA JICHO
Jazaka llah shehk wetu Allahazidi kuku bariki azidi kuku funguliya yalio mengi Piya Allah akujalie mwisho mwema Dua hiyi na kwenda ku ifanyia kazi insha Allah
Asalaam Alaykum ! Embu naomba utufafanulie- baada ya Rakaa ya pili kusoma Aya ya pili kwenye surah Al-Imraan, twasoma mara moja au mara 7? Sikuelewa kufanya vipi kwenye Rakaa Ya Pili. Tafadhani naomba utueleze Jazaka Allah Khayrun
DUA AMBAYO UTAKAYOISOMA X3 NI HIII
*KWA KIARABU*
يا حي يا قيوم برحمتك استغيث اصلح لي شأني كله ولا تكلني الى نفسي طرفة عين
*KISWAHILI:*
YAA HAYYU YAA QAYUUMU BIRAHMATIKA ASTAGHIITHU ASWLIH LII SHA,AN KULLAHHU,WALAA TAKILNII ILAA NAFSII TWARFATA AYNI
*TAFSIIRI YAKE:*
EWE ULIE HAI MWENYE KUDUMU (MLINZI),NITENGENEZEE MIMI MAMBO YANGU YOTE,WALA USINIACHE PEKE YANGU KWA KUPEPESA JICHO
Shukran sheikh, 🙏🙏🙏
Shukran barakallah
Shukuran
Jazakallah kheir 🙏
😅
Mashallah ni dua nzuri sn mashallah naitumia sana na inanisaidia mashallah kwa uwezo w allah allah ni mkubwa hamdulilah 😍
Asalam aleykum shukran Kwa faida zote Allah awape swiha muzidi kutukumbusha mambo mambalimbali zaidi Amiin
Alhamdulilah ❤
Shukran ustadh kwakutuelimisha tuiyokuwa hatuyakuwi Allah atakulipa
Mashallah Alhayuqayum
Shukran Allah akujaalie kila ya kheri. Tunaomba dua shehe tupate maana umetuweka kwenye njia ya kheri
allah azidi kukufungua tujue mengne ishallah
ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH
Asalam alaikum warahmatullahi wabarakatuh
Allah akulipe kheiri nyingi sheikh yetu
Tunasubiri hiyo duwa
Alhamndulillah Dua njema Inshallah Namuomba ALLAH Akujalie Kupata Malengo Yako Amiina
Allaahu yaziyduka fiy ilmika
Jazakalahu kheri shekhe 🙏🏿
Sheikh tunashkur kwa duaa
Tunasbir dua in sha allah
Jazaka llah shehk wetu Allahazidi kuku bariki azidi kuku funguliya yalio mengi Piya Allah akujalie mwisho mwema Dua hiyi na kwenda ku ifanyia kazi insha Allah
Maa sha Allah
Utasoma istighifari mara 100 swalat alla nabii mara 100 na sijaelewa nyingine ya tatu ni ipi mara 100?
TAHLIL YAANI KUSEMA
LAA ILAAHHA ILLA ALLAHH × 100
Barakallahu fiika
Jazaqlahu haira❤
Mashallah jazakallah Hrayru
Ma shaa Allah....jazaka llahu l kheir
Man shaa Allah
Asalaam alaykum eti atahalili ndiyo nini
Ya hayyu...ya kayyum...ya...wahabb.
Ok,shukra nmeiona
Askm sheikh
Tuna Subiri hiyo duaa
Shukran zaidi
Asante Sana amiin
Mashaallaah kwa darsa yenye mafundisho mazuri
Maash Allah jazakallah kheir Sheikh wetu
Assalam alaykum..eti atahalil ndiyo nini
Ni Tamko La Kusema LAA ILAHHA ILLA LLWAHHU
(لا اله الا الله )
@@Shafaakallwahhu asante shekh Mwenyezi Mungu akubariki
@@Catherine-mh8sw Amiin Kwa Sote
🎉🎉
Amee6
tuekee dua yake
Asalaam Alaykum !
Embu naomba utufafanulie- baada ya Rakaa ya pili kusoma Aya ya pili kwenye surah Al-Imraan, twasoma mara moja au mara 7? Sikuelewa kufanya vipi kwenye Rakaa Ya Pili. Tafadhani naomba utueleze
Jazaka Allah Khayrun
Asalam alaykum warahmatullah,, shekh mbona sijaiona Duua uliyo tuahidi?
dua hii waifanya muda gan???????
Mashaallaah kwa darsa yenye mafundisho mazuri
Jazakallahulkheyr