КОМЕНТАРІ •

  • @miriamparmet7862
    @miriamparmet7862 Рік тому +1

    Ubarikiwe mtu wa Mungu

  • @neemapeter1734
    @neemapeter1734 9 місяців тому +1

  • @stellakimario4607
    @stellakimario4607 4 місяці тому

    Utukufu wa mungu unashuka🙌

  • @MaryFaustine
    @MaryFaustine 2 місяці тому

    Hakika Utukufu apewe Bwana siku zote

  • @afyatanzania4354
    @afyatanzania4354 3 місяці тому

    Nimeamka nasikia huu wimbo leo lakini in reality napitia mambo magumu. I dont know why Mungu ameweka huu wimbo moyoni mwangu but i hope kuna jambo anaenda kufanya la kuniponya moyo.

    • @godfreygerald8048
      @godfreygerald8048 3 місяці тому +1

      Aminaaaa,Mungu akutane na haja ya moyo wako

    • @afyatanzania4354
      @afyatanzania4354 2 місяці тому

      Amen ​@@godfreygerald8048

    • @afyatanzania4354
      @afyatanzania4354 2 місяці тому

      Juzi Mungu alinikumbuka nimepata mtoto wa kike baada ya miaka 13 tangu nimepata mtoto wa kwanza. Huu kwangu ni ushuhuda wa utukufu wa Mungu kwangu. Mungu ampe kila mwanamke anayehitaji mtoto

    • @godfreygerald8048
      @godfreygerald8048 2 місяці тому

      Ohoooo Jina la Bwana litukuzwe Yesu litukuzwe