God is Very Able. Mchungaji umenipa kunijenga hasa sisi vijana tunatakiwa kumtafuta Mungu sana. Ahsante sana kwa Ushuhuda ulio hai Mungu akutunze wewe ni Lulu kwa kanisa
Very powerful,,, sooo powerful hakika nguvu ya Mungu ni kubwaa sanaaa sanaaaaa hatuwezi fananisha na chochote,,,, Mungu akutunze mtumishi wewe ni dhahabuu iliyoandaliwa haswaaaa
Nimelia,moyo wangu umeinama ila asante Mungu kwa kuwa ulimwokoa huyu mtumishi na leo anatupa ushuhuda wa kweli ili nasi tupate kuokolewa kupitia jina la Yesu.
"Nisingeokoka kama Kungekuwa na Kanisa zembe kama hili la sasa " Hii kauli ni Nzito sana Inafikirisha sana kwa Uelekeo wa kanisa la Leo , Wakristo tumekuwa wazembe Mno Mungu aturehemu Sana
Daaa NIMETOKA NA MACHOZI..VERY POWERFUL AND ANOINTING... HAKIKA USHUHUDA HUU UMENIPA HATUA ZAIDI. YESU AKUBARIKI SANA LEGEND MAN OF GOD. watching from South KOREA
Barikiwa Sana mtumishi Mwenyez Mungu anayeishi na akujaze nguvu zaidi za Kiroho ili injili yenye upako wa kweli toka Rohoni na ipate nafasi mbele zake baba wa mbinguni na watu wote wapate kumtambua Mungu wa kweli na nguvu zake kuu daima
Very inspiring testimony. Ni ushuhuda unaoonesha namna shetani anavyotenda kazi yake kupitia roho ya uchawi kutesa binadamu. Amina Mzee wangu mtumishi wa Bwana. Ushuhuda huu umenipa nguvu wa kusimama imara kwa Yesu Kristo na kumtumikia yeye tu kwa moyo wangu wote, akili zangu zote na kwa nguvu zangu zote. Bwana Yesu Kristo nisaidie
Mungu wa rehema...amekutetea...baba yangu..Neema ya Mungu imekuokoa..hapa ndo linatimia Neno "Mungu anawajua walio wake tangia mwango..usilie baba ww ni mshindi.
Daaaahhhh Kwakwel Historia Yako Imenigusa Sana Mm Mungu Akulinde Uishi Siku Nyingi Ili Maneno Yako Yawe Mwangaza Wetu Tutoke Gizani Mungu Akubariki Sana
Mungu hakika huyu mchungaji tokea kuzaliwa xjawahi mwuona huyu ndie Anatumia jina lako kwa haki Make hakuna mtu anaweza kutoa ushuhuda wake mzito km huu Ee Mungu mbn axaiv hakuna anae tumia jina lako km huyu mzee Manabii Mitume wengi wamejiunga na uxhetani 🙏🙏🙏 Mrinde na wenye husuda baba
Dah barikiwa baba nimekuelewa sana yaan jamani kuna watu walikufa kwa uchawi kumbe mm kuwepo Leo ni neema hivi mfano ningezaliwa kwenye hiyo familia ingekuwaje ningekiwa hai kweli.asante Yesu
Brother magembe , I thank my God of heaven for your testimony. There is an ultimate rest. May God that delivered you from witchcraft help you find this rest. Exodus 20 verse 8
Jambo Mch Moses Magembe samahani Mzee uwa tunakufatilia from Canada. Nakupenda sana na iyi vidéo yako nimelia sana Huruma kweli lakini wakati ninafataka nyigi baazi za video zako za mafudisho uwa zina anza vizuri ikifika sehemu ina simama ina kuwa giza na maneno yana katika after ina endelea. Kwamufano this video Kogamano la pasaka
Hee , kweli Mungu yupoo Ila hata Kanisa la Mungu lipo wala sio zembee jamn yeye mch ni Maputo Mungu aliachila kwake kumfundisha ili awe ushuhuda , Makamanda wa yesu tupooo ushindi Kwa damu ya yesu .
God is Very Able.
Mchungaji umenipa kunijenga hasa sisi vijana tunatakiwa kumtafuta Mungu sana. Ahsante sana kwa Ushuhuda ulio hai Mungu akutunze wewe ni Lulu kwa kanisa
Shukran baba. Eeh Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu tupate vuna hekima zako na kweli ya yesu aliye Hai
Mungu akubariki Pastor Magembe. Umifundisha kuthamini agano la Damu ya Yesu na gharama ya wokovu nilioupoke. Yesu nisaidie.
Glory be to God.Asante sana Mchungaji.Bwana uliyewaita wa takatifu wako wawe mitume wachunga walishe kundi lako.......
Grory to god
Mungu mkuu
Pole mungu alikuwa na kusudi nawe ili uhubiri ukuu wake kwa mataifa pole mch
Very powerful,,, sooo powerful hakika nguvu ya Mungu ni kubwaa sanaaa sanaaaaa hatuwezi fananisha na chochote,,,, Mungu akutunze mtumishi wewe ni dhahabuu iliyoandaliwa haswaaaa
I believe in JESUS CHRIST
Nimelia,moyo wangu umeinama ila asante Mungu kwa kuwa ulimwokoa huyu mtumishi na leo anatupa ushuhuda wa kweli ili nasi tupate kuokolewa kupitia jina la Yesu.
Amina
Amen Mtumishi napokea Kijiti chako katika Jina la Yesu
"Nisingeokoka kama Kungekuwa na Kanisa zembe kama hili la sasa " Hii kauli ni Nzito sana Inafikirisha sana kwa Uelekeo wa kanisa la Leo , Wakristo tumekuwa wazembe Mno Mungu aturehemu Sana
Kabisa
Kabisaa
Nashukuru.mungu.kwawito.wenu.muzazi.niko.apa.congo.lumbu.mbashi
Kweli kabisaa
Hii kauli ni nzito kiukweli mimi mkiristo na ule uzembe uko katika kanisa Mungu tu atusaidie
Woow what a wonderful testimony , Mungu ni mweza
oooh Mungu wangu atusaidie jamani ,wazee hawa niwachache sana hii nchi ,Mungu awatunze hakika
Hakika yake BWANA YESU KRISTO ALIYE HAI awatunze watumishi wake katika jina kuu lenye uweza la YESU KRISTO ALIYE HAI AMINA.
Daaa NIMETOKA NA MACHOZI..VERY POWERFUL AND ANOINTING... HAKIKA USHUHUDA HUU UMENIPA HATUA ZAIDI. YESU AKUBARIKI SANA LEGEND MAN OF GOD.
watching from South KOREA
. jmu
Ukweli Pstr Magembe ana uchungu na kanisa ila kanisa halijitambui
@@salummusa9619 hakika watu wanacheza na wokovu hawaoni gharama kubwa ya ukombozi alioufanya Yesu
Kwel kbs mtumishi ubarikiwe sana, siku zote Mungu anainua kile kinyonge
Asante Mungu wangu asante Mungu kwa kuniongoza kwa ushuda huu.... si kwa nguvu zangu ila ni kwa neema yako bwana. Sifa na utukufu ni kwako yesu
Amina mtumishi!
Mpango wa Mungu huwa haushindwi na chochote!
Mungu akubariki Kwa mafundisho mazuri.
Keep preaching man of God, Lord is on your side, wishing you long and Holy happy blessed life in Jesus name. Amen.
Barikiwa Sana mtumishi Mwenyez Mungu anayeishi na akujaze nguvu zaidi za Kiroho ili injili yenye upako wa kweli toka Rohoni na ipate nafasi mbele zake baba wa mbinguni na watu wote wapate kumtambua Mungu wa kweli na nguvu zake kuu daima
Very inspiring testimony. Ni ushuhuda unaoonesha namna shetani anavyotenda kazi yake kupitia roho ya uchawi kutesa binadamu. Amina Mzee wangu mtumishi wa Bwana. Ushuhuda huu umenipa nguvu wa kusimama imara kwa Yesu Kristo na kumtumikia yeye tu kwa moyo wangu wote, akili zangu zote na kwa nguvu zangu zote. Bwana Yesu Kristo nisaidie
Amen mtumish
Mungu akubariki sana Mch Magembe binafsi ninapenda mahubiri yako
Mungu wa rehema...amekutetea...baba yangu..Neema ya Mungu imekuokoa..hapa ndo linatimia Neno "Mungu anawajua walio wake tangia mwango..usilie baba ww ni mshindi.
This is real testimony, nasema nimeteseka sijafikia ata robo ya huyu mchungaji, Lord have mercy upon my soul
@Pasor mbiu ya Sauti kuu scammer
Mchungaji Mungu akubariki na akuongeze nguvu na hekima,kweli dunia imefika pabaya.
Mungu akuongezee miaka baba unatuvusha kiimani nakupenda Sana💞💞💞💞
Daaaahhhh Kwakwel Historia Yako Imenigusa Sana Mm Mungu Akulinde Uishi Siku Nyingi Ili Maneno Yako Yawe Mwangaza Wetu Tutoke Gizani Mungu Akubariki Sana
Q
Kwa nini sasa tafakari usimsifu mtu wa namna hii chukua hatua
9
Mungu akubariki sana mchungaji,kulikuwa na sababu kubwa sana Mungu kukuebusha hayo Mauti yote ili uihubiri injili na watu waokolewe
Ooh yes wangu 😢😢 MUNGU wangu usiniache 🙏🙏🙏😢😢😢😢😢
Hakika uzunii ulitayoo tumainii//baada yaa majuto na maangaikoo mbele kuna tumainii ///barikiwa mtumishii MUNGU akutunze na wingu la utukufu
I like paster how U teach the words of God from Burundi,kanisa la sasa siuwi penye linaelekea.may God bless U paster
Pole sana mzee moses Mungu amekuinua ili uwakoe walimwengu kupitia historia Yako Amen 🙏
Umenigusa sana Mzee wangu, ni kweli tumekuwa Wazembe kbs. Natamani nikuone
Kiu yangu na shauku yangu Nikuone Mungu . Vijana tumsihi MUNGU ATUSAIDIE
Hakika wajina ,, vijana dunia imetusonga na mambo yake ,, tumemuacha , tumemsahau na tumempuuza Mungu kiukweli ,, MUNGU aturehemu sana kanisa LA leo
Pole baba,Uko kwaajili ya Mungu,Mungu akutie nguvu,
Amen amen glory to God hallelujah ubarikiwe mchungaji
Mungu wangu mchungaji ubarikiwe sana Mungu ni mwaminifu Sana mungu ni mwaminifu Sana
Mpango wa Mungu hauwezi kuharibiwa.
what Almighty God can do no once can do.
S
Ushuhuda mzuri sana.Hakika Mungu akisema ndio hakuna wa kulipinga.Yesu aendelee kukusimamisha mtumishi wa Mungu.
Huyu yupo sawa amenigusa. sio kukanyaga mafuta.
Mzee magembe mungu aendelee kkupa nguvu zaidi ushuhuda waka umenijega sana
That's Fantastic baba Mungu akutunze
Huyu pastor kanibariki sana🙏🏾🙏🏾🙏🏾😭😭😭😭😭
Watching from kenya.what a testimony 🙌.
Barikiwa sana Mch. Mungu atusaidie sana.
Amen Baba mchungaji ubarikiwe sana utukufu kwa bwana
Haleluyaaa namuona Mungu kupitia huyu mchungaji
Asante Yesu kwa kumuokoa huyu mzee, na uwaokoe pia wote walitekwa nyara na shetani pia.... Hakika wewe ni muweza wa yote yasiyowezekana kwa mwanadamu,
Mungu wewe ni Mkuu sana asante kwa Damu yako Bwana Yesu ilioleta wokovu
thank God for Deliverance of our pastor magembe all glory is your's god
Mungu anawajua walio wakee,, mungu akutunze pastor
Hatali San
Mmmmh hakika Mungu akipanga lake lazima litimiee kubaki adi leo nikusudi la Mungu jamanii daah!!
Ushuhuda wenye nguvu. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Amen Mungu akubariki Sana mtumishi
kweli Mungu anwajua waliowake Mungu akubariki sana Baba magembe
Huyo doo aliyeniombeya mm nilikuwanakasaa kubwa umbalikiwe baba masunga
Baba kantikawantuwanaokufantiliya nakukuwelewa nimimi namungu akuongenzee miyakayakuishii
@@yohanapapaa2522 alimuombea wa ugonjwa wa ukimwi alipona na akaoa kabsa Mungu anatenda na Simama katika imani usiyumbe na manabii wa uongo
"Watumishi wa Mungu wa kwel kama huyu Mchungaji tumebakiwa nao wachache sana kwa kizazi cha sasa " Have mercy on us ooh Lord.
Ni wengi ndugu yangu si wachache ila hawajitangazi
Haya ndio mawazo Ya Elia alifikiri yupo peke Yake ,Mungu akamwambia ninao zaidi ya watu mia tatu ,usidanganyike Mungu anao watu
Amen pastor
Mungu hakika huyu mchungaji tokea kuzaliwa xjawahi mwuona huyu ndie Anatumia jina lako kwa haki Make hakuna mtu anaweza kutoa ushuhuda wake mzito km huu Ee Mungu mbn axaiv hakuna anae tumia jina lako km huyu mzee Manabii Mitume wengi wamejiunga na uxhetani 🙏🙏🙏 Mrinde na wenye husuda baba
Chunga Sana mungu anasema na wewe Hawa watu msiwaamini wote wachunguzeni
Ukiskia wale manabii wa uongo ndo mda sas bt huyu niwatofauti sana so kama Hawa wa kisas
Sasa mchungaji ulisoma shule gani na wapi mpaka mwisho?
God bless you pastor Mosses Magembe. Ni Mungu alikuwa na mpango na wewe
Tunabarikiwa Mungu akubariki sana
Mungu ni Mkuu,, let God be respected & honoured, anywhere there's no way He make way. Amen, Amen.
Dah barikiwa baba nimekuelewa sana yaan jamani kuna watu walikufa kwa uchawi kumbe mm kuwepo Leo ni neema hivi mfano ningezaliwa kwenye hiyo familia ingekuwaje ningekiwa hai kweli.asante Yesu
Brother magembe , I thank my God of heaven for your testimony. There is an ultimate rest. May God that delivered you from witchcraft help you find this rest. Exodus 20 verse 8
Umenifunza mengi baba,,,mungu akubariki
Mungu akuinue kiwango Cha juuu juu zaidi Mtumishi wa mungu
Mungu asante kwa hawa wachungaji,wametoka kwako,SHUHUDA zanibariki sn,Wanaoamka na kuanzisha kanisa mkome.
Namtukuza Bwana kwa ajili ya maisha yako ❤
Hakika hawa ndo wachungaji waloitwa na Mungu kiukwe.Hakika Mungu unatenda.
So touching testimony my GOD help us to know more about word of GOD in JESUS name
Mungu ni mwema Sana jamn
Mchungaji nimekuelewa Asante Kwa ushuhuda umenijenga sana
Kumtumikia mungu kwa uwaminifu kunafqida kubwa
Mungu kwa herufi kubwa
Dah mzee katuita sana vijana sisi hatusikiii
Mungu atusaidie sana, vijana injili sasa imepoa saana.... Hongera Mchaga. Moses Mungu akuinue uwe wa viwango vikubwa 🙏🙏
Mpango wa Mungu haubadilishwi na mszingira yoyote hata kama ni magumu kiasi gani!!!!! Mungu tushike tulitumikie shauri lako jema.
Duuu, ushuhuda unasisimua kweli, Nimeamini Mungu huwatoa watu wake mbali sana.
Ll o
Amen baba nimebarikiwa mpka nais kutokwa na machozi.ila nimeyapenda mahubili yako
Ee ..Mungu unirehemu,unipe nguvu ya kuyatenda yaliyo ya kwako Mungu wangu🙏
Mungu tusamehe
Jambo Mch Moses Magembe samahani Mzee uwa tunakufatilia from Canada. Nakupenda sana na iyi vidéo yako nimelia sana Huruma kweli lakini wakati ninafataka nyigi baazi za video zako za mafudisho uwa zina anza vizuri ikifika sehemu ina simama ina kuwa giza na maneno yana katika after ina endelea. Kwamufano this video Kogamano la pasaka
Amen mtumishi zidi kutenda kazi ya bwana
mungu ni mwema ushuhuda mzto nimebarikiiliwa sana machozi na kamasi vimenishika, endeleeni kuleta habari zake
Amen Mungu aendelee kukulinda
Yesu siyo hayati yu hai milele ubarikiwe sana mtumishi
Mungu akubariki sana baba yangu mahubiri yako sijui naogopa kanisa la leo
Nguvu ya Mungu twende mbele
mshugaji wangu
Ahsante mungu kumuokoa mtushi wako nakuomba utushike mkono nasi tupate haki yako tukaiepuke jehamu ya moto kwa uovu wetu..
Umenifikisha mbali sana Mtumishi wa Mungu
Baba Mwenyezi Mungu azidi kukulinda umenena vema
Huyo ndiye Mungu anayeishi, aliyekuweko enzi za kina Musa katika wingu aiseeee
Sure
Nakuona mtumishi wa Bwana Stanley Mwanza mbarikiwe pia napata nguvu mpya kupitia ushuhuda wa mtumishi magembe.
Mwache Mungu aitwe Mungu.
Ubarikiwe mtumishi umenigusa sana
Hee , kweli Mungu yupoo Ila hata Kanisa la Mungu lipo wala sio zembee jamn yeye mch ni Maputo Mungu aliachila kwake kumfundisha ili awe ushuhuda , Makamanda wa yesu tupooo ushindi Kwa damu ya yesu .
Ah wap kunywa dawa
Historia ya huyu mzee imenitoa machozi 😭😭
Ubarikiwe baba mchungaji ubarikiwe sana mimi mama makundi Tanga New nguvumali
Bwana Yesu Asifiwe Tunamshukuru Mungu kwa uwokovu.
Mungu nisaidie nikujue wewe na uweza wako na nguvu zako zaidi ,niishipo hapa duniani.
Dah Mungu nisaidie kuuthibiti huu mwili wang ili nikuabudu vzr
Amen Amen
Mungu anampango nami
Ushuguda umenigusa Sana huuu Bwana yesu tusaidie watoto wako
Mungu ni mkubwa, Mchungaji haya mapito yako ni makubwa sana,
Mungu ametupa neema ya kukusikiliza.
My God bless you past
Ushuhuda huu udumu vizazi na vizazi. Yesu nakupenda, Yesu ni mzuri sana
AMINA
Amina.Pole sana Babu yangu.Mapito makali sana.Kweli Mungu ni mkuu
Mungu akazidi kukuwekea ulinzi mtumishi wake
Mungu atabaki kuwa Mungu
YESU ni nguvu🙏🙏🙏🙏 ila inaumiza😢 kuna mapito YESU ni uzima🙏🙏🙏