Vip halizenu jamani naomba msada wakufaham bei ya trecta yamkono inauzwaje na hiyo mashine yakupanda karanga naomba msaada huo nazinauzwa sehemgani dar esalam
Mfumo wa maisha ya wanaume siyo mfupii unakosea kusema hivyo bali semaa, tunafanyakazi ngumu sana lishe lenyewe dogooo !!! Hapo lazima ufe mapema tu,je ?? Muhogo wa kuchoma na maji kutwa nzima, lazima ukohoe damu.
Vip halizenu jamani naomba msada wakufaham bei ya trecta yamkono inauzwaje na hiyo mashine yakupanda karanga naomba msaada huo nazinauzwa sehemgani dar esalam
0754314758 Bwana Shamba Chaula
Naomba namba yako bwana shamba ya WhatsApp
Hiyo ya kulimia sh. Ngapi mtaalamu
0628956252 Bwana Shamba
ubunifu mzuri mno
Dawa ya palizi kwenye karanga 🥜 inaitwaje?
0754314758 Bwana Shamba Chaula
Machine yakupandia inatumia umeme au nishati gani wakati wauendeshaji?
0754314758 Bwana Shamba Chaula
Unaona kabisaa mtu anasukuma kwa mkono lakini bado unauliza...maswali mengine bhana ??
Ni mkono tu mimi si nimeinunua??
Je mashine hizi zinapatikana Kyela?
Toa namba ya mawasiliano namna ya kupata hiyo Tractor .
0754 314 758 Bwana Shamba Chaula
Hongera sana
Hiyo mshine inaparikana wapi
Beigani zinauzwa
Laki 3 na nusu
Hiyo mashine yakupandia inauzwashingapi?
Toa mawsiliano
0628956252 Bwana Shamba
Na bei shingap
Je hiyo mashine inaweza kupanda maharage?
Ndio
Bei mtaji biashara magendo
Hizi planta zinapatikana wp na kwa bei gani
0754314758 Bwana Shamba Chaula
SAFI SANA NA KONGOLE KWA HILO. JE, GHARAMA ZA MASHINE SHILINGI NGAPI?
0754314758 Bwana Shamba Chaula
Bei sasa
Naomba namba ya mawasiliano...nipo Mbeya ninahitaji.
0754314758 Bwana Shamba Chaula
Tunapataje?
Bei ya kumiliki mashine ni juze ndugu
Nahitaji kukodi
Zinauzwa tu karibu 88 mwaka huu 2024 Dodoma zitakuwepo za kutosha kwa laki 3 na nusu tu
Mfumo wa maisha ya wanaume siyo mfupii unakosea kusema hivyo bali semaa, tunafanyakazi ngumu sana lishe lenyewe dogooo !!! Hapo lazima ufe mapema tu,je ?? Muhogo wa kuchoma na maji kutwa nzima, lazima ukohoe damu.
Hiyo powwer Tila inauzwa bei gani ikiwa fulu na hiyo mashine ya kupandia bei gani na je kwenye ubichi mwingi inapanda?
Iyo ya kupanda karanga ata marage inapanda
0754314758 Bwana Shamba Chaula
Hiyo mashine bei gani??
Laki Tatu na Nusu
dawa ya magugu inaitwaje
0754314758 Bwana Shamba Chaula
Bei ya kupadia karaga shigapi
Unataka mashine au kupandiwa?