Plutto hakuna Mambo na kukaliwa, huyu ni Dem anajielewa n tollarates no shit compared to her worth. Thank you babygirl. Keep it up. Love yourself, feel not intimidated by nothing.
but for me i dont see any wrong ku show murio wako wakaribu kama ame ku connect biz and then igo through umu show thanks bro much love what the big deal here
May God bless you pluto aki unafanya kasi mzuri xana to couples Aki pluto nadai tu nikuone one day even kama si kunisanitise ata nadai kukaa na ww tubonge i love what your are doing ❤❤❤❤❤❤❤
I love this gal coz she is independent ❤when a woman have her own money and can pay bills for herself, a man is a bonus😊😂the courage is on another level❤
That guy is genuine a deserve uyo mdem, uyo mdem n kupe , how is she coping without talking to the man ,she says ako na friends na hana chat? Really uyo jamaa asonge sana asijiwastie time na uyo mdem she isnt worthy of him
Napenda vile huyu dame ako roho juu. Kwanza anipee plug wa hiyo dress. It's really beautiful.
Ni mtumba ya punch BS
@@CynthiaOyunge Wow! Are you the girl in the video?
@@BettyKagume yeah
@@CynthiaOyungeLOL. Last time ulikuwa kwa reunion show ya Wanjiku Wainaina tena uko kwa loyalty test ya Pluto.😂😂😂😂
So eti mlikuwa mwasema Pluto ndio analipia watu wafanye hii content Ili wakosane sio hio nayo ilikwua urongo
Being single is a vibe 😅😅😅😅😅,wapi likes za singles in the house 😅😅😅😅
Singles oyeeee😅😅
Uyo dem sauti ni ya King Kalala,long live the clan
Those addicted to this show piteni na likes
Plutto hakuna Mambo na kukaliwa, huyu ni Dem anajielewa n tollarates no shit compared to her worth. Thank you babygirl. Keep it up. Love yourself, feel not intimidated by nothing.
Hello dear hope uko poa naulisaje if you want ❤
Walai dem ako free to do what she wants
Haha the confidence in the lady is very Genuine
She knows everything before aliclear chatting
She is smart and beautiful too
The lady is supper cheating I know her from a different show
ua-cam.com/video/aqgesP8DR9o/v-deo.html
😂😂😂😂😂i love this lady aki her courage is on another level
She's even promoting Coca-Cola with dressing code😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂
It's Pluto's stepping back for me😂😂😂after the guy said he says I love you to his bros😂😂😂
but for me i dont see any wrong ku show murio wako wakaribu kama ame ku connect biz and then igo through umu show thanks bro much love what the big deal here
ua-cam.com/video/aqgesP8DR9o/v-deo.html
I know the lady from different show
@@paulkiarie5982wee kuna much love na i love you 😂😂 usisahau io😂
Uyo dem ni kierehere tu anajifanya perfect sana
We ladies always have extra money,its called "incase u misbehave😂😂,hallooo babyboy😂😂
😂😂😂😂😂😂ya Incase bana
Number one leo nipewe likes 20
Today am the first person to comment nipatieni likes za pluto 😂😂
ua-cam.com/video/aEWdm-wDY4A/v-deo.html
Inafaa
Kwani pluto hiyo distance yote umeweka hutaki kuambiwa "i love you" 😂😂😂😂
Hawa waachane tu hakuna relationship hapa, dem ni proud na ako na kiburi joogoo ashaiingia mjini boy forget this lady
May God bless you pluto aki unafanya kasi mzuri xana to couples
Aki pluto nadai tu nikuone one day even kama si kunisanitise ata nadai kukaa na ww tubonge i love what your are doing ❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂pluto why are you running,hutaki kusikia"I love you"😅😅😅
😂😂 like za PLUTO AM ADDICTED TO THIS SHOW 😂😂😂HUNIMALZIA STREE ZA WAARABU 😂😂😂 TEAM STRONG 💪 PITIENI APA 🎉🎉
Sitambui weuwe maunenge....cash crop ya nairobi ni dame yako 🤣🤣🤣
This girl is a vibe. Continue ooooh,,,, Sio kustuliwa na mapenzi holelaholela like others do for no apparent reason
The power of money in girls life,, it gives you power
The way 😂the Pluto shouts😂😂😂😂"Uambie bro unampenda"mahn😂😂😂😂😂😂
The courage of this lady is on another level😂😂how i wish to have it one day😂
😂😂😂😂😂
As a guy i love her self esteem too!
Hizi Kong Kong za dem zinakaa za mwalimu wangu wa maths😂😂😂
Ii pesa huekwa chini ya cover ndo huitwa "wen I get angry I just leave"😅😅😅ladies always carry a back up🤗
I love this gal coz she is independent ❤when a woman have her own money and can pay bills for herself, a man is a bonus😊😂the courage is on another level❤
I like the way she stood for herself.
Me too! I love her self esteem. Fukin hey i lover self esteem.
Waiguru shukurani kwa wifi buh passport haraka ndio show isinipite🔥🔥🔥
Kama kawa 🔥🔥🔥
I love her already. She knows what she want aki na haamini kulishwa na mwanaume 😂😂😂😂
Uzuri wa kua na pesa Sasa😆😆😆😆Halloooo baby boy😅😅😅😅
At the start the way Pluto moved away 😂😂😂anyway still penda at ur own risk
Pluto nipe huyu dada huyu kijana mjinga sana tunatska wadada wa power kama hawa sisi❤
Ndume mbili for me😂,anyway mnipe likes leo❤
"Ukona miaka gapi" always remember kuuliza tujue weight ya maturity yenye wamefikisha
Exactly
Kwani maturity inapinwa na miaka yenye mtu ako nayo??
Quela quela😂😂😂😂😂plutonic family hii ndio kuanza sku na our boiii😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤
I love the way Pluto amesonga mbio after boy amesema huambia maboy "I love you" 😂😂😂😂😂
😂😂haraka chapchap mbiombio 😂
Yaani mlikataa kulala 😢 I thought I'm the first one 😅😅😅 kumbe mko sete
Weeeeeeee manzi akona kingereza 😂😂😂😂😂
The pluto yawaah mtu ashtuki hvo😅😅😅
Makonge was just chilling but boom marangi marangi from no where 😂😂😂😂
The girl has a very beautiful dress
Hi
Kwan Huwa mnalalà uku ,,,likes za kuchelewa zikam😂😂
I love u bby girl, all the best dia
Thank you
@@CynthiaOyunge ni wew kweli 🙌🙌🙌😄😄😄😄😄
She is a noble on my side ...boy hawezicheat in the name of provision..mbele kuzuri...kutubu ni mbinguni watu wangu😂😂😂😂😂
Vile pluto ametake hiyo step time huyo boy amesema hadi maboy huambiana I love you was priceless😂😂
Vile Pluto amemove after kuskia jamaa amesema huambia maboy "I love you" 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
wapi likes za kina carol.... Pluto thanks for the breakfast c mnidunge likes walai
The way pple r nampenda tu sana,then after sanitization boom matusi inaanza kumwagika😅😅
Huyu dame namjua anaitwa kwambox😂😂😂
kumbe ni mkisiii😂😂😂😂😂
This girl is crazy 😝 hallow baby boy😂😂😂😂 kmk
Dem akona kiherehere 😂😂😂😂 na aty ako clean😂😂😂😂
Makongwe imepakwa rangi😂😂😂 nywele
nimekuwa addicted kuona thee Pluto Hadi kazi watu wameninickname 'thee pluto' aki
Aaah manze Pluto panguza hiyo spot kwa camera umesema tutaionanga Kwa every episode
At least umenote,,,,karibu ning'oe screen ya simu😂😂
Wallai 😂😂😂
Mapenzi shikamoo😅😅,,nattoa wapi nguvu ya kupendaaa😂😂😂nkiona sanitization za pluto naisha nguvu😅😅😅
I can't toleret such character even for a single day bro my happiness comes first
Niliwatch huyu dame kwa show ya wanjiku wainana akiwa kwa nyumba ya wenyewe😂😂😂 na ni kichwa ngumu sana kwambox caroline
True
Kumbe nashindwa nilimwoma wapi, Nairobi ni bedroom ya kushare
😂😂😂eti makonge imepakwa Rangi
Huyu dem nakaa i know her please,,jina ingine ni kwamboka 😂😂 alikua kwa video ingine hapa ya wanjiku😂😂😂nafuatilia😅
Kuja nyeri Pluto.... I want to see this drama in nyeriii 😅😂
Kweza kweza😂vepe vepe😂😂
Kwani mliachana na yule bwana ya wenyewe kwamboka ,,, kevooo?? 😂😂😂 Kweli the ground ain't clean😅
Kweli that wasn't a lady is such a kind of man.
The Caro girl ako Kwa reunion show ya Wanjiku wainana Kaa side chick 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hiyo ya wanjiku wainaina ni gani ? inapatikana wapi?
Hii dame ni gaidi Kama tu mimi good girl madem self indipendent hellloooooo😂😂😂😂😂😂
Your thumbnails can do better💥💥Love your channel bro. Crazy content❤❤❤
Hii mapenzi it's shakaholic I blame Mackenzie 😂😂😂
Boy akubali tu hiyo nguo ya turkey ❤️❤️❤️❤️❤️na bado unasema hana kitu🤣🤣🤣but dame alijisanitize
I don't see a big deal that gal not chatting mm pia hukaa ata week tatu sijai chat na mtu 😢
Babygirl 🥰❤wow I just like
THE GIRL VIBES....VERY FUNNY
Ako sawa
Beb is now a common name,,mnakibisha syllabus 😅😅😅
Mapenzi niliwaabia tuachie Bahati na Diana hamskii 😅😅
Ata hao wako business tu mapenzi ni yale yale...wanajifanya kupendana views ziingiliane chanuka ii ni shosho media 😂
Mapenzi ni ya guardian na musila musicians oohhh
😂😂😂😂😂😂 naeza ona from the look of dem's reaction niukweli chenye chali anasema but he didn't do good
I usually say that I will never ever feel guilty of staying single,,very enjoyable indeed sitaki strezzz😿😿😿🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Wao wako the same soo akuna sijui nani ako na makosa waah,,,,,iyo drama sijui nisemee nn😢😢
Why are you running 🏃 murife (thee pluto )😂😂😂 eti ynaambia boy I love you
Pliz pluto jifunze pliz kueka aunt delete haki like pastors show cz sithani huyu dem hacheat anacheat ata anakaa na amedelete kila kitu
Dem ni vibe😂😂
I like the lady she's genuine,fine and beauriful😊
Vile nlikuwa nadhani ni ndume mbili azin ndume ndume😂😂
Waaa wanaume n uongo, I wonder hamkosi excuse walai😂😂
Hahaaaaaa ,hiii nayo nimecheka yangu yote ....
I love this babe's reasoning💯
Makonge 😂😂😂😂😂kumbe na waste pesa kwa makonge na vile zimejaa bara 😢😂
Sasa the dude alitaka abaki maskini men sometimes eiiii bt io bravery God nirudishie yangu
Halllooooo baby boy 😂😂😂we need such girls who can stand for herself
That guy is genuine a deserve uyo mdem, uyo mdem n kupe , how is she coping without talking to the man ,she says ako na friends na hana chat? Really uyo jamaa asonge sana asijiwastie time na uyo mdem she isnt worthy of him
5:42 😂 Pluto anasonga mbali aje 😂😂💔😂
ha ha ha..love this gyal...sitaki kaswende
Mie hufurahia venye after tu party moja ameenda venye Pluto huanza kuuliza tumaswali,,ety bro umekaliwa😂😂
Thee pluto what a step you made like you were to make score in basketball 😂😂
I love you bro🤔 so shock
Mimi pia
Unasalimia mama yako alafu kinakurambaa liiive 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 imajin na ushamwambia akuwatch
🤣🤣🤣 let me laugh in the manner that please God🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Huyu dame alipatikana kwa wanjiru wainaina
Mimi sitaki kadswendeee😅😅😅😅😅😅😅😅 mniokote kathozweni😅😅😅
😂😂😂😂😂😂wueh huyo dem ni kiboko
😂haloo baby boy wueh this babygirl is something else
Enyewe ata mm nshazoea kuita mtu beib awe dem au boy😂😂😂
Waaaaaaah kuna place niliona pluto mahali manze kaveve kazoze kakaingia miwa, niliona waru ziko faa😅
Someone to sponsor me with bundles for watching baba Zoey doing what he does best. Am really missing a lot 😪😪
Huna bundles na wewe ni dj
Mafans hawajaturn up😂😂
Karibu nione kama plutoo anakuna Dem miaus kwa intro😂😂😂
😂😂😂😂 uko na ujinga