Kiukweli Mungu akubariki sana hasa kupitia ushuhuda huu umenijenga mno naiman kupitia ushuda huu wewe ni mtu mkubwa mno tena mno. Niko arusha ipo siku tutaonana tu
Asanteni sana promova tv,Mungu awabariki na awainue,huyu mtumishi anahitaji sapoti,wachungaji kama hawa wamebeba baraka zetu,maana Bado hawajaja nakiburi chakukaa mjini,anawaza kuhubiri kijijini,Asante kwakutupa nambazake tutamtafuta,Mungu ni mwema.
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ushuhuda huu umenijenga na kunitia moyo, hata nami niko na imani yakwamba, IPO siku Mungu atanitendea na pia namushukuru Mungu kwa yote amenitendea
Mtumishi hakika umenibariki sana, sana, Mungu na akubariki,Asante Kwa promover tv, Kwa kumleta mtumishi chiriro, siyo Bure, ni kweli ufahamu wangu, moyo wangu na roho yangu imebadilika,Kwa kweli watu wengine ni nusu ya malaika hakika,. duniani Kwa kweli Kuna masalio,ila kweli wewe mchungaji ni miongoni mwa masalio duniani. Amen,.
Amen Amen 🙏 nimebarikiwa zaidi leo. Mungu awabariki sana wana promover na Mtumishi wa Mungu. Pole sana Mtumishi kwa changamoto ulizopitia, Mungu aliruhusu uyapitie hayo yote kusudi akutengeneze sawasawa.
Ahsante sana promover tv kwa ushuhuda wote from part 1-8 sasa swali langu ni hili tungeomba umuulize Mch. Chililo kuhusu wanawake wote ambao amepita nao kwasababu hajafafanua vizuri mwisho wao wote kuanzia kwa Siwema, Elizabeth, Esther nawengine wote ambao sijawataja mpaka kufikia kuowana na Recho
Daaa kweli Mungu alikukusudia kabisa umtumikie.pole sana kwa changamoto ulizozipitia ,.Utakwenda kuwa mtumishi mkubwa sana ,sana endelea kuwa mnyenyekevu kwa kila jambo ambalo Mungu anattaka ulifanyie kazi.Hakika utafanikiwa.

UBARIKIWE SANA mtumishi wa Mungu. nimeguswa SANA na USHUHUDA WAKO. Nimejifunza mengi
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ushuhuda huu umenijenga na kunitia moyo, hata nami niko na imani yakwamba, IPO siku Mungu atanitendea na pia namushukuru Mungu kwa yote amenitendea
Mbarikiwe sana sana timu yote ya Promover ,Ubarikiwe mtumishi kwa ushuhuda huu mkubwa
Mtumishi hakika umenibariki sana, sana, Mungu na akubariki,Asante Kwa promover tv, Kwa kumleta mtumishi chiriro, siyo Bure, ni kweli ufahamu wangu, moyo wangu na roho yangu imebadilika,Kwa kweli watu wengine ni nusu ya malaika hakika,. duniani Kwa kweli Kuna masalio,ila kweli wewe mchungaji ni miongoni mwa masalio duniani. Amen,.
Blessd kaka jacktan na Audax n promover tv n....nawapendaaa buree kbsaaa muishi milele❤
Mungu akuinue zaidi akupe hitaji la moyo wako
Hakika Mungu ni mwema.
Amen Amen 🙏 nimebarikiwa zaidi leo. Mungu awabariki sana wana promover na Mtumishi wa Mungu. Pole sana Mtumishi kwa changamoto ulizopitia, Mungu aliruhusu uyapitie hayo yote kusudi akutengeneze sawasawa.
Ahsante sana promover tv kwa ushuhuda wote from part 1-8 sasa swali langu ni hili tungeomba umuulize Mch. Chililo kuhusu wanawake wote ambao amepita nao kwasababu hajafafanua vizuri mwisho wao wote kuanzia kwa Siwema, Elizabeth, Esther nawengine wote ambao sijawataja mpaka kufikia kuowana na Recho
Daaa kweli Mungu alikukusudia kabisa umtumikie.pole sana kwa changamoto ulizozipitia ,.Utakwenda kuwa mtumishi mkubwa sana ,sana endelea kuwa mnyenyekevu kwa kila jambo ambalo Mungu anattaka ulifanyie kazi.Hakika utafanikiwa.
Amen amen ubarikiwe sana mtumishi Kwa kuvumilia
Mbarikiwe sana Watumishi wa Mungu
Waa Mungu ni mwema pole Kwa mapito mwanzo pale yule mama alikua akuvunje mkono naulikuwa mwepesi kuikumbuka sauti ya yule nabii
Anaongea kama Gwajima jamani huwezi kuwatofautisha
Mapito makubwa haya daaa, mungu atusaidie
AMEEEEEEEEEEEEEEN
Amen mtumishi
2 muombe mungu kwaroho na kweli
Ujumbe safi
Nathania ilikuwa haujapata maombi ya ukombozi kikamilifu mashida mingi sana
Eh,nimefuatilia kila sekunde ya ushuhuda huu.Mungu abariki mtumishi wa Mungu Chililo na Promova Tv kwa ujumla
Amen
Amen
Mie niko marekani bado wachawi wa Tanzania napigana nao usiku
Ohooooooo YESU AKUSHINDIE HIVYO VITA
Mi naomba namba za cm zahuyu mtumishi chililo,mnisaidie tu ninae shida
Huna Kanisa unasali wapi??Nenda kwa Wale waliokusaidia Ukafunguliwa Tumika Pale