Poleni sana sana sana. Tume safiri pamoja kuja Delhi lekini Bro ameni acha Huko Mimi bado na pata matibabu. Rest in peace my Brother. We were together in Ethiopian Airlines.
Poleni sana Tena mno Serikali inapotoa mchango sio kuwa chama tu chama cha mapinduzi peke yake kwani hela inapotolewa ni hela inayotokana na kodi za watanzania wote sio ccm peke yao Msiendeleze ubaguzi wenu wa ccm. Hili ni kwa watanzania wote wanaomboleza
AMEUMWA NINI HADI KUFARIKI MBONA MMEFANYA SIRI KUBWA KATIKA HILO! ONDOENI SITOFAHAMU HILO! KWANIMI KAMATI YA VETTING HAIKULIJUA HILO? MLIMPITISHAJE KAMA ALIKUWA NA TATIZO KUBWA LA KIAFYA? AU KALISHWA SUMU MAANA TANZANIA NI NCHI HATARI SANA
Poleni sana sana sana. Tume safiri pamoja kuja Delhi lekini Bro ameni acha Huko Mimi bado na pata matibabu. Rest in peace my Brother. We were together in Ethiopian Airlines.
MUNGU akuponye ndugu jipe moyo bwana akutetee sanasana
Poleni sana jmn, mwenyezi Mungu azidi kuwatia nguvu,
Mdogo wake wa nne😳😳. Ningedhani huyu ndo mkubwa
Poleni sana
Napenda tuwe tuna funuliwa mpendwa wetu kuna maana we are african
Poleni sana
Tena mno
Serikali inapotoa mchango sio kuwa chama tu chama cha mapinduzi peke yake kwani hela inapotolewa ni hela inayotokana na kodi za watanzania wote sio ccm peke yao
Msiendeleze ubaguzi wenu wa ccm. Hili ni kwa watanzania wote wanaomboleza
Fundisha vijana kuongea kiswahili pia tafadhali.Inabidi wote tuelewe waombolezaji wanaongea nini😢
Pole
Ameuawa na nini😢Watanzania tunataka kujua 😢😢😢Ni mhimu😮
AMEUMWA NINI HADI KUFARIKI MBONA MMEFANYA SIRI KUBWA KATIKA HILO! ONDOENI SITOFAHAMU HILO! KWANIMI KAMATI YA VETTING HAIKULIJUA HILO? MLIMPITISHAJE KAMA ALIKUWA NA TATIZO KUBWA LA KIAFYA? AU KALISHWA SUMU MAANA TANZANIA NI NCHI HATARI SANA
Poleni jamani ila inauma kama Watanzania maana huyo kaka alituheshimisha Watanzania Kwa kazi yake aliyopata kabla ya mauti kumpata.
Nini kilitokea Apollo Jamani?
Mh