SEMAJI ALLY KAMWE BAADA YA KUWACHAPA KAGERA SUGAR - CHAMAZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @MuhungaMasengo-og3vk
    @MuhungaMasengo-og3vk 4 місяці тому +10

    Wahamuzi siyorafiki goli nzuri sana ila tushukuru mungu kwahili wachezaji wamejituma kweli kweli daima mbele nyuma mwiko

    • @trice_yanga
      @trice_yanga 4 місяці тому

      fitina ni nyingi sana tumecheza na kagera, waamuzi mpk mayele tv😂

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn 4 місяці тому +7

    Waoooo aluatani Mungu akutangulie katika ndoa Yako kaka nakupa zawafi ya ndoa. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 POKEA kaka

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 4 місяці тому

    Mungu asenta yanga yetu daima mbele 💛💚💛💚💛💚💛🙏🙏🙏

  • @IddyNchama
    @IddyNchama 4 місяці тому +2

    yaoyao ni kweli ni jeshi

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 4 місяці тому +2

    Hongera sana kwa wanajeshi wetu

  • @zakazitanzania1565
    @zakazitanzania1565 4 місяці тому +5

    Abdul kazi nzuri sana unafanya

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 4 місяці тому +7

    Mungu ni mwema 🙏

  • @trice_yanga
    @trice_yanga 4 місяці тому +1

    tunawapenda jaman kitengo cha habari mnafanya kazi nzuri sana Mungu awape afya njema😂🙏

  • @bahatisanga8664
    @bahatisanga8664 4 місяці тому +9

    YANGA BIGWA 2024/2024

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn 4 місяці тому +3

    Hakuna wa kutuzuia Yanga kuchukua ubingwaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂 waooooo

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 4 місяці тому

    Kila laheri ktk ndoa yako jijana wetu Alwatan

  • @edithmakwakwa9489
    @edithmakwakwa9489 4 місяці тому +2

    Nakuombea ndoa iwe ya heri alwatan

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 4 місяці тому +4

    Alama 68 wewe priva acha kuturudisha nyuma 65 ilikuwa kabla ya mech ya leo

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 4 місяці тому +3

      He! Mwananchi uko makini eeh! Safi sana, ubingwa uleeee!

  • @MasabudaJames
    @MasabudaJames 4 місяці тому +4

    Mungu ijalie chama langu ubingwa simba na Adam naomba watoke sare ya bao 1_1

    • @AthumanRamadhan-h5e
      @AthumanRamadhan-h5e 4 місяці тому

      Simba si Bora afungwe tu

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 4 місяці тому

      ​@@AthumanRamadhan-h5ekabisa apigwe tu

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 4 місяці тому

      Watoke sare ya 1-1 ili wote wakose cleasheet na wote wapoteze point 2-2. Hii itatupeleka haraka kwenye ubingwa.

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 4 місяці тому +3

    Ameen yarab harusi iwe ya kheri Al watan

    • @aminaabasi2146
      @aminaabasi2146 4 місяці тому

      Bwana harusi mstaarabu Allah ampe mke msikivu wallah 🎉

  • @AthumanRamadhan-h5e
    @AthumanRamadhan-h5e 4 місяці тому +2

    Harusi njema Alwataniii

  • @joycemmassi5046
    @joycemmassi5046 4 місяці тому

    Hongera sana chama langu!!! Ila waamuz waache kuumiza moyo makocha wetu kwa kudhulumu mabao kwa Yanga inakuwa desturi sasa TFF WACHUKUE MAAMUZI SASA,Gamond kumbe boxing unaiweza baba 😅😅😅😂😂

  • @maryamtan682
    @maryamtan682 4 місяці тому +1

    Asante mumgu kwa ushindi huu muhimu sana kwetu. 🙏🙏Hongera pia kwa wachezaji wetu kwa kuwa na moyo wa upambanaji❤❤❤

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 4 місяці тому +3

    Ubingwa huo ushafika tayari kesho sare wanatoa tunatuliza mzuka

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 4 місяці тому +2

    Hongera zako akhui al watan kila la kheri inshallah malka na harusi ya kheri pia.

  • @TwahirMohammed-x2h
    @TwahirMohammed-x2h 4 місяці тому +2

    Hongera kwa ushindi lakini viongozi wetu mwambieni ki azizi tunataka kiatu cha ufungaji bora hatutaki kugawana kiatu kila mwaka

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO 4 місяці тому

    Inshallaaaaaaaaaaaaaaaaah

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 4 місяці тому

    Pia mjitahidi mechi zijazo mfunge magoli mengi ata mengine yakikwtaliwa mengine yanatupa ushindi naona kunanjama za kuihujumu yanga hisipate point zote 3 yaani mechi zilizobakia ni muhimu zaidi kwetu kucheza kwa kuitaji ushindi na point 3 muhimu tu ili malengo yetu yatimie

  • @MusaAbdu-p3g
    @MusaAbdu-p3g 4 місяці тому +1

    Kazi nimeimaliza japokua amnijui kila mechi ninashiliki kikamilifu

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 4 місяці тому

    ndoa ofanyie kwa mkapa jaman

  • @songombingo108
    @songombingo108 4 місяці тому +1

    Quality huamua mechi.

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 4 місяці тому +1

    Allaah Akbar

  • @ChristopherKisarika
    @ChristopherKisarika 4 місяці тому +1

    Sisi tuna Mungu

  • @danielbenard9053
    @danielbenard9053 4 місяці тому +2

    ❤❤❤

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 4 місяці тому +2

    Azam Bingwa🤣🤣🤣

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 4 місяці тому

    awa marefa wanataka ku2zoea kuna siku 2tawatokea uwanjan wataelewa

  • @kiboshokiboshomungumkubwa7789
    @kiboshokiboshomungumkubwa7789 4 місяці тому +1

    Mashallah

  • @godfreymgonela321
    @godfreymgonela321 4 місяці тому +1

    Alama ya 68 bana sio 65

    • @DoreenMlay-e8g
      @DoreenMlay-e8g 4 місяці тому

      uyo anaesema 65 ni nani ana utani na mioyo ya wananch

  • @callicevallice7383
    @callicevallice7383 4 місяці тому +2

    Priva haupendezi kabisa kumoderate hizi conversation. Hauna mvuto

    • @adelaligate5927
      @adelaligate5927 4 місяці тому

      Acha makasiriko 😂

    • @proisolution7166
      @proisolution7166 4 місяці тому +1

      hana mvuto upi katangazee wewe?Hivi ninyi watu mkoje kukosea sawa lkn anauliza maswali sahihi.

    • @saidmasengo7988
      @saidmasengo7988 4 місяці тому

      Acha makasiriko KOLONWIZARD😂😂😂.Me nafurahia sana akiwa privaa.he is the best 🎉🎉